Tuli Health Care

Tuli  Health Care Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tuli Health Care, Medical and health, Swahili and makamba Street, Dar es Salaam.

Afya Ni Mtaji:Jitunze, Jijali!*Pima Afya Yako Leo!*Vipimo vya Mwili mzima BureKumuona Daktari bureUshauri ni BureIla kuf...
19/10/2023

Afya Ni Mtaji:
Jitunze, Jijali!
*Pima Afya Yako Leo!*

Vipimo vya Mwili mzima Bure
Kumuona Daktari bure
Ushauri ni Bure
Ila kufungua faili kwa ajili ya huduma ni Shilingi 20,000/= tu

Tupigie kwa Maelezo Zaidi: 0677998827

Tunajali afya yako na tunaweza kukusaidia kujua hali yako ya afya na kupata tiba inayofaa. Fanya maamuzi bora kwa afya yako leo!

Tunatibu magonjwa yote sugu, Yasiyoambukiza k**a vile Vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, Bawasili, ganzi, kuvimba miguu, Mgongo nk. na kuweza kipona kabisa na kipatiwa ushauri wa Bure wa elimu ya afya Kwa ujumla.

K**a una changamoto ya kiafya na unahitaji huduma ni sehemu sahihi na ya uhakika wa kupata matibabu bora.

Inawezekana umepoteza muda mwingi na fedha nyingi kutatua tatizo lako lililokutesa kwa muda mrefu, lakini hakuna matokeo chanya uliyopata mpaka sasa.

Usikate tamaa;

Karibu, tunatoa huduma nzuri ya kipimo cha mwili mzima kwa ofa ya kumuona daktari bure, ushauri bure, vipimo bure, lakini kufungua faili ni 20,000/= tu,

UTAFANYIWA VIPIMO KATIKA MIFUMO YOTE YA MWILI K**A;-
✳Mfumo wa damu.
✳Mfumo wa mifupa.
✳Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
✳Mfumo wa uzazi kwa kina mama.
✳Mfumo wa uzazi kwa kina baba.
✳Mfumo wa fahamu.
✳Mfumo wa ngozi.
✳Mfumo wa upumuaji.
✳Mfumo wa macho, mishipa nk

▫️Hebu fikiria furaha utakayoipata kwa kupata Suluhisho la uhakika kwa tatizo lako, baada ya mateso ya muda mrefu.

▫️Hebu fikiria umepima kwa gharama nafuu na umepata jibu sahihi la tatizo lililokusumbua kwa muda mrefu.

▫️Fikiria jinsi utakavyokutana na wataalamu wa afya kwa gharama nafuu na unapatiwa vipimo vyote na ushauri sahihi wa tatizo lako.

▫️Umewahi fikiria jinsi utakavyo okoa pesa zako na muda wako wa kupanga foleni!?

Sasa sio stori tena ni uhalisia njoo na wewe upate usahihi wa tiba kwa magonjwa yako.

Zipo shuhuda nyingi kwa watu wengi waliofanikiwa kupona kabisa Kwa huduma piga 0677998827

OFFER OFFER OFFER!!!TUNAWASAIDIA WATU WENYE CHANGAMOTO YA MARADHI SUGU YOTE.PATA VIPIMO VYA MWILI MZIMA NA USHAURI KWA 2...
03/10/2023

OFFER OFFER OFFER!!!

TUNAWASAIDIA WATU WENYE CHANGAMOTO YA MARADHI SUGU YOTE.

PATA VIPIMO VYA MWILI MZIMA NA USHAURI KWA 20,000 TU.

JUA AFYA YAKO, PATA VIPIMO MWILI MZIMA KWA BEI NAFUU, PATA USHAURI BURE,
NJOO TUKUHUDUMIE TUPO KWA AJILI YAKO.
TUNA WATAALAMU WATAKAO KUSIKILIZA, KUKUPIMA NA KUKUTIBU.

TUNAHUSIKA NA;

🔹Presha, 🔹Matatizo ya Moyo na INI 🔹Vidonda vya Tumbo,
🔹Kisukari 🔹Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba,
🔹 cholesterol
🔹Kupunguza unene, uzito, na matumbo
🔹Tenzi dume

Kupima au kufanya chekapu ya mwili mzima ni badala ya 140,000 utalipa 20,000/= tu. karibu sana.

MATIBABU NA VIPIMO KWA MWENYE TATIZO PIGA
Namba- wa.me/255677872577

KUFIKA OFISINI.

OFFER OFFER OFFER!!!TUNAWASAIDIA WATU WENYE CHANGAMOTO YA MARADHI SUGU YOTE.PATA VIPIMO VYA MWILI MZIMA BURE NA USHAURI ...
03/10/2023

OFFER OFFER OFFER!!!

TUNAWASAIDIA WATU WENYE CHANGAMOTO YA MARADHI SUGU YOTE.

PATA VIPIMO VYA MWILI MZIMA BURE NA USHAURI BURE NA KUNGUA FAILI KWA AJILI YA KUFANYIWA HUDUMA NI 20,000 TU.

JUA AFYA YAKO, PATA VIPIMO MWILI MZIMA PATA USHAURI BURE,
NJOO TUKUHUDUMIE TUPO KWA AJILI YAKO.
TUNA WATAALAMU WATAKAO KUSIKILIZA, KUKUPIMA NA KUKUTIBU.

TUNAHUSIKA NA;

🔹Presha, 🔹Matatizo ya Moyo na INI 🔹Vidonda vya Tumbo,
🔹Kisukari 🔹Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba,
🔹 cholesterol
🔹Kupunguza unene, uzito, na matumbo
🔹Tenzi dume

Kupima au kufanya chekapu ya mwili mzima ni badala ya 140,000 utalipa 20,000/= tu kwa ajili ya kufungua faili la kuhudumiwa karibu sana.

MATIBABU NA VIPIMO KWA MWENYE TATIZO PIGA
Namba- 0677998827

KUFIKA OFISINI.

Je haupati hedhi vizuri??
03/10/2023

Je haupati hedhi vizuri??

K**a una tatizo hili nitafute nikusaidie
19/09/2023

K**a una tatizo hili nitafute nikusaidie

09/09/2023

Tokomeza kabisa *Kisukari* na *presha* Ndani ya siku 30 mpaka 90 bila ya kutumia dawa za kushusha na kupandisha kiwango cha sukari na presha

Hivi unajua kwamba ugonjwa wa kisukari unaweza kuathiri kila kiungo katika mwili wako? Ikiwemo:👇👇
📌Moyo
📌Mishipa ya Damu
📌Figo
📌Njia ya utumbo n.k

Inamaana utapoteza kiungo kimoja baada ya kingine mpaka kupoteza uhai wa maisha yako kabisa.

Takwimu za CDC (Centre of Disease Control) zinaonyesha kuwa watu 9980 hufariki kwa tatizo la kisukari kila mwaka chinini Tanzania.

Na ugonjwa wa sukari upo katika list ya 7 ya ugonjwa wenye kusababisha kifo kuliko maradhi mengine dunian. Na kwa bahati mbaya ugonjwa huu unasemekana hauna Tiba.

Lakini mimi leo nipo hapa kukujulisha kuwa sio tu kuwa tiba ipo Bali ipo ya Kuondoa tatizo kabisa hili kabisa milele.
Ni bahati kwako kwamba kuna suluhisho pekee kwa sasa

Suluhisho hilo linakwenda kutibu chanzo cha tatizo na sio tatizo lenyewe na baada ya hapo utakuwa tayari changamoto yako imeisha.

Ili niweze kukusaidia inabidi ufike ofisini kwangu ili uweze kufanyiwa vipimo tuangalie kiwango chako cha sukari kikipofikia ili tuweze kukusaidia.

Na utafanyiwa vipimo Vya mwili mzima kwa ajili ya kuangalia na changamoto zingine ndogo ndogo zinazokunyemelea.

Kwa maelezo zaidi Bonyeza link hapo chini👇👇 kwa ajili ya kukupa maelekezo vizuri.

https://wa.me/message/MKWC6AUKDOLPH1

Au nitafute whatsApp kwa namba _0677872577_ ili nikupe muongozo vizuri kwa kutuma Neno *_Muongozo_* sasa hivi.

Tukutane whatsApp 🙏

✍🏻Uzito ni moja ya tatizo kubwa sana kwa sasa katika afya za walio wengi na madhara ya UZITO uliopitiliza ni makubwa na ...
09/09/2023

✍🏻Uzito ni moja ya tatizo kubwa sana kwa sasa katika afya za walio wengi na madhara ya UZITO uliopitiliza ni makubwa na yanatisha sana kiafya katika maisha ya watu wengi.

✅Ikiwa watu wataelimishwa juu ya madhara mbalimbali yatokanayo na uzito ni dhahiri kabisa wengi wataepukana na madhara hayo na wengi watakuwa wakichukua hatua za mapema katika kukabiliana na tatizo la uzito.
Uzito unapopitiliza katika afya ya mtu huwa kuna baadhi ya changamoto ambazo mtu huanza kuzipitia au kuzihisi kwenye mwili wake.

📌Sote tunajua kuwa tunatakiwa kufanya mazoezi, kula mboga za majani na matunda kwa wingi na kupunguza idadi ya vyakula vilivyo kaangwa, vyenye chumvi na vitamu tamu mfano vyakula vyenye sukari. Lakini pamoja na kujua hayo yote bado tunaendelea kuyafanya na mwisho wa siku tunapata madhara mengi sana na siku zote tatizo sio kujua bali ni kwenye utekelezaji wa kile unachokijua.

✅Na watu wengi hawana tabia ya kufanya mazoezi mpaka waambiwe na daktari kuwa wapunguze mwili ila bila hivyo wataendelea na mifumo yao mibovu ya maisha lakini tambua kuwa mazoezi ni afya na sio tu kupunguza mwili na ni muhimu sana kwani faida zake ni maradufu.

*ZIFUATAZO NI SABABU SABA KWA NINI UZITO WAKO UTAKUJA KUKUUA NDANI YA MIAKA MITANO USIPOCHUKUA HATUA.*
⏩Kuwa na uzito una hatarisha maisha yako kwani wana sayansi wanasema kuwa watu wenye uzito huwa wanakufa mwaka mmoja mapema kabla na wenye uzito mkubwa zaidi wanakufa miaka mitatu mapema.
⏩Uchovu wa mwili na maumivu ya viungo.
Uzito unapokuwa mkubwa vile vile mtu huandamwa na uchovu wa mara kwa mara. Mfano kusinzia sinzia ovyo, kuamka umechoka sana, hufanya akili yako kutofikiri kwa haraka yaani unajikuta umekuwa mzito kufikiri. Unachoka mapema na ukienda kulala unakoroma sana. Pia maumivu ya viungo k**a vile kiuno, magoti, miguu, uti wa mgongo, nyonga n.k

⏩KUPANDA KWA KIWANGO CHA MAFUTA MABAYA KWENYE MISHIPA (Cholesterol).
⏭️ MATATIZO KATIKA MFUMO WA UPUMUAJI
⏭️ MATATIZO YA SUKARI NA PRESHA MWILINI
⏭️ MATATIZO YA KUKOSA CHOO MUDA MREFU
⏭️ MATATIZO YA MFUMO WA UZAZI

* Ningependa kusikia kutoka kwako ndugu msomaji Sababu inayokuweka hatarini na uamuzi wako juu ya Hilo tatizo

Call /sms 0677872577

JINSI YA KUPUNGUZA MAKALI YA PRESHA.✍🏻Chakula cha afya kisicho na mafuta mengi na chenye madini ya potassium kitaalamu k...
09/09/2023

JINSI YA KUPUNGUZA MAKALI YA PRESHA.

✍🏻Chakula cha afya kisicho na mafuta mengi na chenye madini ya potassium kitaalamu kinaitwa DASH diet (dietary approaches to stop hypertension)

✅Mazoezi mara kwa mara- angalau nusu saa kwa siku

✅Kwa wavutaji sigara kuacha kuvuta sigara

✅Punguza au k**a unaweza acha unywaji wa pombe ( kwa wanaume angalau bia 2 kwa siku na wanawake bia 1)

✅Punguza utumiaji wa chumvi hasa ya kuongeza mezani (usitumie zaidi ya gramu 1.5)

✅Punguza msongo mawazo

✅Hakikisha unakuwa kwenye uzito wa afya, k**a uko kwenye uzito wa hatari fanya mpango wa kupunguza uzito.

✅Matumizi ya mafuta ya samaki husaidia kupunguza shinikizo la damu,

KWANINI WAGONJWA WENGI WA PRESHA HUPOTEZA MAISHA GHAFLA BAFUNI.*✅*BAFUNI*Hapa tunaangalia yule aliyeenda kuoga. Kwanza u...
09/09/2023

KWANINI WAGONJWA WENGI WA PRESHA HUPOTEZA MAISHA GHAFLA BAFUNI.*

✅*BAFUNI*
Hapa tunaangalia yule aliyeenda kuoga. Kwanza unatakiwa ujue mtu mwenye shinikizo la damu hashauriwi kabisa kuoga maji ya baridi hasa asubuhi na k**a atafanya hvyo basi kuna taratbu za kufuata ili kidogo aepuke tatizo.

❇️Anza kwa kujimwagia maji sehemu k**a miguuni mikononi na kupanda juu taratibu. Hii ni kwa ajil ya kuufanya mwili uanze kuadapt new temperature taratibu na hatimaye ubongo utoe taarifa mwili u regulate whole body temperature kulingana na iliyokuwa induced.

❇️Utakapoanza kwa kujimwagia maji ya baridi haraka unaulazmisha mwili u adapt new temperature haraka sana hivyo process inayoitwa chilling kwa kimombo itafanyika. Yaani mwili utasisimka ghafla na kufanya contraction and relaxation of blood vessels haraka. Hii contraction and relaxation husababisha either damu ishindwe kusafiri endapo ni contraction au k**a ni relaxation basi isafirishwe nyingi upande mmoja kuzidi uwezo wa mishpa ya damu hivyo kusababisha mishipa ya damu kupasuka hivyo upande mmoja either kwenye ubongo au moyo kukosa damu.

*Hii itasababisha jambo moja kati ya haya:*

*STROKE*
Hii hutokea pale ambapo kuna upungufu/hamna damu kwenye ubongo hivyo kupelekea ubongo kukosa oxygen na glucose ili uendelee kufanya kazi vizuri. K**a tatizo lilikuwa dogo na baada ya muda ukarudi katika hali ya kawaida basi hiyo wanaita Complete Stroke ila k**a ndo moja kwa moja hio wanaita Incomplete means sio ya kupita ambayo inaweza ikaleta kifo sasa.

*HEART ATTACK*
Hii hutokea pale ambapo damu haifiki kwenye moyo vizuri/kabsa hivyo moyo kukosa oxygen. Maelezo mengine yote ya Heart attack ni k**a hayo hapo juu.

✅*CHOONI*
Hii hutokea hasa pale mtu anapoenda kutoa haja kubwa. Bado tunarud kule kule kwenye contraction and relaxation of blood vessels ambapo vyote kati ya hvyo husababisha either *HEART ATTACK au STROKE.*

▶️Unashauriwa kuepuka sana choo kigumu(constipation) hasa k**a una shinikizo la damu. Jinsi unavyojibana kutoa haja kubwa unabana mpaka mishipa ya damu hivyo kupelekea sehemu moja kati ya kwenye ubongo au moyo kukosa damu(oxygen) kwa muda.

_NI WAJIBU KUJIFUNZA SOTE NA NI JUKUMU LAKO KUCHUKUA HATUA_

_ELIMU YA LISHE INATAKA UTULIVU SANA. MUNGU KAFICHA TIBA ZA MARADHI KATIKA LISHE NA SIO DAWA ZA HOSPITAL.__Uwe makini sa...
09/09/2023

_ELIMU YA LISHE INATAKA UTULIVU SANA. MUNGU KAFICHA TIBA ZA MARADHI KATIKA LISHE NA SIO DAWA ZA HOSPITAL._

_Uwe makini sana, unaweza kupoteza muda , pesa, kuharibu viungo na hata uhai.

_ANGALIA_ kwenye chakula chako unachokula na fanya mazoezi kila siku (Hasa nyakati za asubuhi) ndio dawa kubwa ya sukari. Dawa za hospital sio nzuri kwa afya yako, *KWASABABU* 👇

➡️Unapoanza kuzitumia dawa za hospital, baada ya muda mchache mwili wako hautaweza kupambana na sukari bila msaada wa hizo dawa.

➡️Mwili utakua unahitaji msaada wa hizo dawa ili uweze kupambana na sukari, mwili wenyewe k**a wenyewe itafikia hatua hauwezi kupambana na sukari bila msaada wa hizo dawa, hii itapelekea dose ya dawa kuwa inaongezeka kila baada ya miaka (K**a utaanza na kidonge 1 kwa kila siku, itafikia unakunywa kidonge 1 kila baada mlo, na itafikia hatua vidonge havitafanya kazi hivo itabidi uanze kutumia sindano ya dawa).

✍️Kwakuwa lengo ni kushusha sukari na kuwa katika kiwango kinachokubailka kwamba hakina madhara, njia mbalimbali zinatumika kukamilisha lengo hili.

✅. kushusha sukari kwenye damu mpaka kiwango kinachokubalika ki afya

✅. Kudhibiti madhara ya kisukari.

✅. Kukinga madhara ya kisukari.

*UFANYE NINI KUONDOKANA NA CHANGAMOTO HII* ⁉️

✍️K**a imani yako ipo hospitali basi nakushauri uendelee kutafuta _DAWA_ ila k**a unataka kupata tiba ya ugonjwa wa kisukari endelea kutufatilia kwa karibu na kufanyia kazi yale ambayo ninaelekeza..

@0759184043
Karibu!!

NAKUKUMBUSHA TU HAYA MAMBO YA MUHIMU KUYAFANYA IKIWA UNA UMRI WA MIAKA 40+ NA UNAPENDA KUWA NA AFYA IMARA ZINGATIA SANA ...
09/09/2023

NAKUKUMBUSHA TU HAYA MAMBO YA MUHIMU KUYAFANYA IKIWA UNA UMRI WA MIAKA 40+ NA UNAPENDA KUWA NA AFYA IMARA ZINGATIA SANA

WEKA TABIA YA KUPIMA MARA KWA MARA
1. Shinikizo la damu
2. Kiwango Cha damu Sukari/kisukari
3. Kiwango Cha lehemu/Cholesterol
4. Kiwango cha Hormones
5. Tezi dume
7.Saratani

PUNGUZA
1. Chumvi
2. Sukari
3. wanga
4. Maziwa
5. Vyakula vilivyosindikwa
6. Mafuta mengi

Tumia zaidi:
1. Mbogamboga
2. Nafaka
3. Maharage
4. Mbegu
5. Mayai
6. Mafuta ya asili K**a zaituni, samaki, N**i na yatokanaoyo na mbegu ...)
7. Matunda

VITU VITATU UNAVYOPASWA KUVISAHAU:
1. Umri wako
2. Yaliyopita zamani
3. Majuto yako

VITU VITATU MUHIMU SANA:
1. Marafiki zako
3. Mawazo yako chanya
4. Nyumbani kwako kuzuri.

MAMBO MATATU YA MSINGI:
1. Tabasam/cheka daima
2. Fanya mazoezi nyumbani kwako
3. Angalia na uweke sawa/(balance) uzito wako

VITU SABA VYA KUZINGATIA SANA:
1. Usisubiri kiu ili unywe maji
2. Usisubiri kusinzia ndipo ulale
3. Usisubiri mpaka uchoke ndipo upumzike
4. Usisubiri mpaka uumwe ndipo ukapime afya yako
5. Usisubiri muujiza utokee ndipo uanze kumwamini Mungu
6. Usijidharau/usikate tamaa
7. Amini kuwa kila Jambo linawezekana na kesho yako itakuwa nzuri zaidi ya leo ...

UMEBARIKIWA🙏

Address

Swahili And Makamba Street
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tuli Health Care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram