Buchi Herbal Product

Buchi Herbal Product This is Official Page for Buchi Herbal Products,which deals with producing and selling Natural Cosmetics,Herbal and other related Products.

Huu ni Ukurasa Rasmi wa Kampuni ya Buchi ambayo inatengeza na kuuza bidhaa Asili za urembo na dawa.

Unaweza Kuitumia K**a Tiba Na Unaweza Kuitumia K**a Kiungo Kwenye Mboga Na Ukapata Virutubisho Vyote Jwa ubora Uleule.Tu...
21/05/2025

Unaweza Kuitumia K**a Tiba Na Unaweza Kuitumia K**a Kiungo Kwenye Mboga Na Ukapata Virutubisho Vyote Jwa ubora Uleule.

Tunauza Jumla Na Rejareja.

Muonekano Mpya Wa Bidhaa Yetu Ya Aple Cider Vinegar....Bidhaa Hii Pia Unaweza Kuitumia K**a Kiungo Kwenye Mboga/Chakula....
19/05/2025

Muonekano Mpya Wa Bidhaa Yetu Ya Aple Cider Vinegar....Bidhaa Hii Pia Unaweza Kuitumia K**a Kiungo Kwenye Mboga/Chakula.

Sasa Unaweza Kuipata Dukani Kwetu Kwa Bei Ya Jumla Na Rejareja...0783 86 46 95

FAIDA ZA UWATU-Hurekebisha mfumo wa homoni -Ni nzuri kwa afya ya akina mama-Maumivu ya hedhi kwa mwanamke -Huongeza kiwa...
03/04/2025

FAIDA ZA UWATU
-Hurekebisha mfumo wa homoni
-Ni nzuri kwa afya ya akina mama
-Maumivu ya hedhi kwa mwanamke -Huongeza kiwango cha maziwa mwa mama anaenyonyesha
-Hutibu na kukinga saratani
-Huongeza hamu ya tendo
-Maumivu ya viungo
-Hupunguza uzito
-Hurekebisha mfumo wa chakula
-Husaidia wagonjwa wenye kisukari
-Huondoa mafuta yaliyozidi mwilini
-Hujaza maziwa kwa wanawake
-Husawazisha kiwango cha asid tumboni.

Tunauza Jumla Na Rejareja 0783 86 46 95

MUFASIL ni Moja Kati Ya Dawa Nyingi Za asili Zinazofanya Vizuri Kwenye Kumaliza Kabisa Maumivu Ya Mifupa Na Mishipa Ya D...
29/03/2025

MUFASIL ni Moja Kati Ya Dawa Nyingi Za asili Zinazofanya Vizuri Kwenye Kumaliza Kabisa Maumivu Ya Mifupa Na Mishipa Ya Damu.

Zinapatikana Dukani Kwetu Jumla Na Rejareja.

POAPower Of Attraction 🔥 Ni Zaidi Ya Bidhaa Za Urembo Ulizowahi Kutumia,Ni Bidhaa Zinazokupa Kile Unachohitajia Kwenye N...
15/01/2025

POA

Power Of Attraction 🔥

Ni Zaidi Ya Bidhaa Za Urembo Ulizowahi Kutumia,Ni Bidhaa Zinazokupa Kile Unachohitajia Kwenye Ngozi Yako.

Wadada Mnao Sumbuliwa Na P.I.D hivi ni vidonge vya asili vilivyotengenezwa Kwa utaalam Wa hali Ya juu Ni Mchnganyiko Wa ...
06/06/2024

Wadada Mnao Sumbuliwa Na P.I.D hivi ni vidonge vya asili vilivyotengenezwa Kwa utaalam Wa hali Ya juu Ni Mchnganyiko Wa Aina 7 tu Za Miti Zilizo Changanywa Kitaalam Kabisa Ili kuhakikisha Vinamaliza kabisa tatizo la P.I.D na kuzuia kutoka uchafu sehem za siri

Ni Aina 49 Za Miti Shamba Iliyochanganywa Na Asali Ndani Yake Kwa Lengo Moja Tu.....HESHMA NDAANI YA NYUMBA*Inakupa Uwez...
06/06/2024

Ni Aina 49 Za Miti Shamba Iliyochanganywa Na Asali Ndani Yake Kwa Lengo Moja Tu.....HESHMA NDAANI YA NYUMBA

*Inakupa Uwezo Wa Kulimudu tendo
*Inakupa Hamu Ya Kurudia Tendo
*Inaongeza Wingi Wa Mbegu

Na Kubwa Zaidi Hata K**a Jogoo Lako Lilikua Halidonoi Mahindi Basi Kupitia MZINGA litawika Na Kudonoa Mahindi 🔥 🔥 🔥

Unasumbuliwq Na Vidonda Vya Tumbo??Mwamba Ndio Huyo Sasa BUCHI PLUSNi mchangaanyiko Wa kipekee Wa Dawa Za Asili Zenye Uw...
06/06/2024

Unasumbuliwq Na Vidonda Vya Tumbo??

Mwamba Ndio Huyo Sasa BUCHI PLUS
Ni mchangaanyiko Wa kipekee Wa Dawa Za Asili Zenye Uwezo wa kupambana Na kuua Bakteria Aina Ya (Helicobacter Pylori)Ambao Ndio Chanzo Kikuu Cha Vidonda Tumbo,Imazuia Tumbo Kuwaka Moto Na Kudhibiti Umwagikaji wa Tindikali Tumboni.

Hii NI kwa wewe Ulie Hangaika Na Matatizo Ya uzazi kwa Muda Mrefu,,,,*Mvurugiko wa hedhi*Maumivu wakati wa hedhi*Maumivu...
06/06/2024

Hii NI kwa wewe Ulie Hangaika Na Matatizo Ya uzazi kwa Muda Mrefu,,,,

*Mvurugiko wa hedhi
*Maumivu wakati wa hedhi
*Maumivu wakati wa tendo la ndoa
*kutopata Hamu Ya tendo
*Heshi Kupitiliza Muda Wake
*Kutopata Mtoto

06/06/2024
💥💥💥💥        Endelea kutumia bidhaa bora kabisa Kutoka .
24/10/2023

💥💥💥💥

Endelea kutumia bidhaa bora kabisa Kutoka .

Address

Nyamwezi Street
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255715750677

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Buchi Herbal Product posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share