Bf Suma pharmacy tz

Bf Suma pharmacy tz Bf Suma pharmacy limited Tanzania

25/02/2024

Ukavu kwenye Uke.

Uke kuwa mkavu ni sababu ingine ya kutokwa damu baada ya tendo la ndoa kwa mwanamke. Uke mkavu unaweza kusababishwa ana vitu hivi.
Kunyonyesha

Upasuaji wa kuondoa mifuko ya mayai
Matumizi ya dawa mfano za pumu, dawa za kupunguza athari ya msongo wa mawazo.
Chemotherapy na radiotherapy
Kufanya ngono bila kuandaliwa
Matumizi ya kemikali na sabuni kwenye kuosha uke
Kulegea kwa Uke

Uke unaweza kulegea na kupata majeraha hasa mwanamke akifanya ngono kupita kiasi pasipo mpangilio (rough s*x). Majeraha hutokea zaidi pale mwanmke anapokuwa amekoma hedhi au siku chache baada ya kujifungua.

Genito-urinary Syndrome of Menopause (GSM)Tatizo hili kwa kifupi GSM hutokea zaidi kwa wanawake wanaokaribia kukoma hedh...
25/02/2024

Genito-urinary Syndrome of Menopause (GSM)

Tatizo hili kwa kifupi GSM hutokea zaidi kwa wanawake wanaokaribia kukoma hedhi, wale waliokoma hedhi na wanawake waliokwisha kufanyiwa upasuaji wa kuondoa mifuko ya mayai (ovari).
Wanawake wanapofikia ama kukaribia kukoma hedhi, kiwango cha homoni ya estrogen hupungua. Estrogen inavopungua, baadhi ya dalili hutokea kwenye uke wako.

Mwili huanza kuzalisha kiwango kidogo na maji maji yanayolainisha uke, na hivo kupelekea uke kuwa mkavu na kuvimba wakati mwingine. Kiwango kidogo cha estrogen hupelekea pia kupungua kwa hali ya kuvutika ya uke. Tishu za uke zinakuwa nyembamba na kusinyaa. Hali hii hupelekea maumivu kwenye tendo la ndoa, kukosa uhuru na pia kutokwa damu.

Ukavu kwenye Uke.

Uke kuwa mkavu ni sababu ingine ya kutokwa damu baada ya tendo la ndoa kwa mwanamke. Uke mkavu unaweza kusababishwa ana vitu hivi.
Kunyonyesha

Upasuaji wa kuondoa mifuko ya mayai

Matumizi ya dawa mfano za pumu, dawa za kupunguza athari ya msongo wa mawazo.

Chemotherapy na radiotherapy

Kufanya ngono bila kuandaliwa

Matumizi ya kemikali na sabuni kwenye kuosha uke

Kulegea kwa Uke

Uke unaweza kulegea na kupata majeraha hasa mwanamke akifanya ngono kupita kiasi pasipo mpangilio (rough s*x). Majeraha hutokea zaidi pale mwanmke anapokuwa amekoma hedhi au siku chache baada ya kujifungua.

Saratani

Kutokwa damu kusiko na mpangilio, hasa baada ya tendo la ndoa ni moja ya dalili ya saratani ya shingo ya kizazi. Ni muhimu kuwahi kufika hospitali k**a tatizo litaendelea kuwa la muda mrefu.
Saratani ya shingo ya kizazi nuwapata zaidi wanawake wenye umri zaidi ya miaka 50 au waliokoma hedhi. sababu zingine hatarishi ukiachilia mbali umri ni pamoja na uzito mkubwa, matumizi ya vidonge vya kupanga uzazi, na maambukizi ya virusi wa papiloma.

Maelezo ya mwisho

Kumbuka unahitaji kumwona daktari endapo unaona dalili k**a

Muwasho ukeni au hali ya kuungua

Hali ya kuungua ukeni wakati wa kukojoa

Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa

Hedhi nzito yen

26/12/2023

KUTOKWA NA MAJIMAJI, MUWASHO UKENI (VAGINAL DISCHARGE)

NI tatizo linalowapata zaidi wanawake walio katika umri wa kuzaa ingawa katika hali isiyo ya kawaida inaweza kuwatokea watoto ambao hawajavunja ungo au wanawake watu wazima waliofikia ukomo wa kuzaa ‘menopause’. Tatizo linaweza kuambukizwa kwa njia ya ngono au likatokea tu k**a fangasi.


Uchunguzi wa ugonjwa wa dalili hizi hauhusiani na maambukizi ya njia ya mkojo au U.T.I. Ugonjwa umegawanyika katika makundi matano k**a ifuatavyo;


Kwanza ni kutokwa na uchafu mwepesi na muwasho ukeni wenye harufu k**a shombo ya samaki ‘Bacterial vaginosis’. Pili ni kutokwa na majimaji ukeni na muwasho mkali ukeni hasa sehemu ya nje ya uke na ukijisafisha na maji ya moto unapata nafuu. Ugonjwa huu unaitwa ‘Trichomoniasis’.

Tatu ni kutokwa na usaha ukeni ‘Gonorrhea’ au ‘Gono’. Nne ni kutokwa na majimaji mazito ukeni yasiyo na harufu wala muwasho ila yanakera yakiambatana na maumivu chini ya tumbo. Ugonjwa huu unaitwa ‘Chlamydia’. Na mwisho ni kutokwa na uchafu mzito ukeni wenye muwasho ambao kitaalam ugonjwa huu unaitwa ‘Vaginal Candidiasis’.


Takribani magonjwa yote hayo huambukizwa kwa njia ya ngono isipokuwa fangasi ambayo hutokea kutokana na mabadiliko ya mazingira ya uke na hali ya mwili kwa jumla.


Kwa hiyo hapa tutaanza kuyachambua magonjwa haya yenye dalili za aina moja. Kwa jumla magonjwa haya ni sugu na hata tiba zake hutofautiana. Unaweza kudhani kwamba tatizo la kutokwa na uchafu ukeni halikuishi kumbe unaweza kutibiwa ugonjwa ambao siyo au kumbe una ugonjwa zaidi ya mmoja kwa hiyo suala la muhimu ni kuwaona madaktari kwa uchunguzi wa kina ili kujua una aina gani ya ugonjwa kati ya haya na upate tiba sahihi.

BACTERIAL VAGINOSIS

Ugonjwa huu kwa jina lingine unaitwa ‘Vaginitis’, mwanamke hutokwa na uchafu mweupe ukeni wenye harufu ya shombo la samaki ‘fishy odor’. Kwa kawaida mazingira ya ukeni ni tindikali, lakini katika hali hii mazingira hayo huwa Alkali na katika vipimo vya maabara kuna aina ya chemb

☠MADARA YA MATUMIZI YA KISASA YA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO!👉A) MADHARA YA SINDANO ZA KUZUIA MIMBA(1)Usumbufu wa hedhi(2)Ku...
29/05/2023

☠MADARA YA MATUMIZI YA KISASA YA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO!

👉A) MADHARA YA SINDANO ZA KUZUIA MIMBA
(1)Usumbufu wa hedhi
(2)Kuumwa kichwa mara kwa mara
(3)Kizunguzungu
(4)kichefuchefu
(5)kuongezeka uzito usiokuwa na faida
(6)kupunguza hamu ya tendo la ndoa
(7)kusababisha uvimbe kwenye kizazi

👉B)MADHARA YA VIDONGE VYA KUZUIA MIMBA
(1)huharibu fuko la uzazi kwa ndani na kusababisha uvimbe
(2)kuongeza uzito wa ute utokao katika njia ya uke ili kuzuia mimba kutunga
(3)kuumwa kichwa mara kwa mara
(4)kuhisi kichefuchefu kila muda
(5)kutopata hedhi kwa baadhi ya wanawake
(6)kubadilisha mzunguko wa damu
(7)kuliathiri ini kidogo kidogo
(8)kupata kisukari
(9)kupata ugonjwa wa moyo
(10)kupooza upande wa mwili
(11)kupunguza hamu ya tendo la ndoa

👉C) MADHARA YA KITANZI
(1)damu kutoka ovyo
(2)kutoboka fuko la kizazi
(3)kuongezeka kwa upana wa uke na kufungua lupa na kufunga kwa kizazi
(4)kitanzi kufyatuka na kusababisha upasuaji
(5)kuondoa hamu ya tendo la ndoa
(6)Maambukizi kwenye via vya uzazi yaani pelvic inflammatory disease PID
👉D)MADHARA YA KIJITI
(1)husababisha kansa
(2)huchanganyikiwa (mvurugiko wa akili)
(3)shinikizo la damu
(4)maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
(5)kusababisha ukavu uliopitiliza kwenye uke hivyo kusababisha vidonda
(6)maumivu ya mgongo na kiuno kila siku
(7)maumivu makali ya kichwa
(8)kutokwa na damu nyingi bila mpangilio
(9)mwili kuwa mzito au kiuno

🛇CHUKUA TAHADHARI EWE MWANAMKE UNAATHIRIKA BILA KUJITAMBUA
●madawa haya yanasababisha ugumba kwa wale wote ambao tayari wameshaathirika na matumizi haya.

👉📞WASILIANA NASI ILI UPATE MATIBABU KWA KUTUMIA BIDHAA ZISIZO NA CHEMICALS ZITAKUSAIDIA KUONDOA SUMU ZOTE NA MATATIZO YOTE YA UZAZI

📞📞📞 TUNAPATIKA PIGA SIMU 0743937240

12/05/2023
09/05/2023
08/05/2023

MADHARA YA KUJICHUA (PUNYETO) KWA WANAWAKE

Wanawake wengi leo hii wamekuwa wahanga wa tatizo hili la kujichua kwa kile wanachodai kuto ridishwa na wenza wao badala yake hutumia vidole au vitu mbalimbali kujichua na kujiridhisha wenyewe.

Kitendo hiki wengi hukifanya wakiwa wanaimani hakina madhara au watafanya kwa mda tu wataacha, lakini ukweli ninaotamani wote waujue ni kwamba yapo madhara mengi ya jambo hili, leo tuangalie haya machache.

1. Kukosa hamu ya tendo la ndoa; Kujichua ni kitendo kinacho husisha ubongo na hormone katika mwili, unapofanya kitendo hiki sehemu zako za siri zitapata sugu ambayo itapelekea ukose hamu na radha hata pindi unapokutana na mwenza wako.

2. Maradhi; Magonjwa k**a UTI sugu na Fangasi yamekuwa sugu yani hayaponi kwa watu wanaojichua na hii inatokana na usafi wa vitu vunavyotumika kujichua na ulaini wa sehem zako a siri.

3. Kansa ya shingo ha uzazi; kuna baadhi ya wanawake hutumia ndizi, vifaa vya plastiki au chochote kuingia sehem za siri wakati wa kufanya tendo hili, hii ni hatari kubwa kwa maana inaweza kukupelekea kupata kansa katika via vya uzazi.

4.Kushindwa kupata mimba; K**a utakuwa umefanya kitendo hiki kwa mrefu, kumbuka sehem zako za siri zitakuwa na sugu na pia zitakosea ule ute wa uzazi unaotumika kusafirisha mbegu za kiume hadi kwenye mji wa mimba, ukifikia kiwango hiki sahau kupata mtoto.

5. Maumivu makali wakati wa tendo; Hii inatokana na kufa kwa tezi zinazohusika kuzalisha ute pale ukeni, kufa kwa tezi hizi kutafanya sehem yako ya siri iwe kavu, ukavu huu ndio unaopelekea maumivu makali pindi unapofanya tendo la ndoa kutokana na mchubuko mkali unaotengenezwa kwa kukosa ute wakutosha.

5.Maambukizi ya HIV; Mtu alie athirika na punyeto ni rahisi sana kupata maambukizi ya ukimwi pindi akikutana na muathirika hii ni kwasababu uke wake unakuwa hauna ute hivyo msuguano ni mkubwa wakati wa tendo la ndoa, hii itamfanya apate virusi mapema.

6. Kutokuvutiwa na wanaume; tafiti nilizofanya zimenipa kujua kuwa mwanamke anae

UNA SHOMBO NA MUWASHO WA FANGASI UKENI ULIPO...!K**a ndo unaanza kuona dalili za uke kutoa majimaji yenye harufu na unah...
08/05/2023

UNA SHOMBO NA MUWASHO WA FANGASI UKENI ULIPO...!

K**a ndo unaanza kuona dalili za uke kutoa majimaji yenye harufu na unahisi miwasho unaweza kuijaribu njia hii ya
KuChukua punje moja au k**a mbili hivi za kitunguu saumu na umenye vizuri kisha zifunge kwenye kitambaa. Weka kitambaa hicho ukeni muda wa kulala kisha asubuhi kitoe na uchambe uke wako kwa maji (sio maji moto)

Njia hii husaidia kuua bakteria au fangasi wanaoshambulia uke.

Unaweza kutumia maziwa mtindi, mtindi nao ni mzuri sana kwani husaidia kutunza bakteria wazuri wanaolinda uke usishambuliwe. Utumie mtindi kwa kunywa pia unaweza kuweka kijiko kidogo kimoja shamba za bibi usiku wakati wa kulala...

Madhara Ya fangasi au bakteria kushambulia uke, husababisha mvurugiko wa hedhi na ikidumu sana hupelekea vivimbe katika vifuko vya mayai, mirija kuziba, kuwa na makovu katika njia za uzazi na mimba kuharibika.

Kabla hujafikia madhara makubwa Lifanye jiko lako kuwa hospital kwa kuzingatia kanuni bora ya ulaji na unywaji [Unaweza kujiunga group langu la WhatsApp namba 0757487684]

Wakati ukiachana na ulaji wa vyakula vya ngano iliyokobolewa na vyakula vya kutiwa sukari na mafuta mengi k**a soda, roast beef n.k
👇🏿
👉🏽Chai yako iunde kiasili zaidi kwa kutumia viungo k**a iliki, mdalasini, tangawizi, mchaichai, mshona nguo, majani makavu ya mpapai, mlonge, majani ya limau, karafuu, n.k atleast upate vitatu au vinne kati ya hivi na unaweza usiweke sukari ukitumia asali k**a mbadala ni nzuri na utaipenda sana chai yako na kwa sababu ngano (mikate, chapati na mandazi) sio vitu vizuri kwako basi unaweza kuandaa mchemsho wako wa ndizi, au muhogo, au magimbi au hata mayai ili kuisogeza chai yako.

👉🏽Kuhusu mlo wako, iwe mchana au usiku hakikisha hukosi tunda pembeni au mboga ya majani ni muhimu kwa ajili ya kuimarisha kinga yako ya mwili.

Ukihisi tatizo limeshakuwa sugu na unakosa amani ndani ya ndoa kwa mambo ya uzazi,,, ninazo dawa asili kwa ajili ya kusafisha mirija, kuondoa uchafu katika uzazi na

▶️Ni Kawaida kuona uchafu mweupe ukitoka ukeni wakati tendo la ndoaHii ni kwa sababu ya msisimko unaopata wakati wa tend...
08/05/2023

▶️Ni Kawaida kuona uchafu mweupe ukitoka ukeni wakati tendo la ndoa

Hii ni kwa sababu ya msisimko unaopata wakati wa tendo la ndoa

▶️Hii ni kawaida pia mwanzoni mwa hedhi na unapomalizia hedhi ni kawaida kupata uchafu mweupe ukeni na mzito.

▶️Hali ya uchafu mweupe na mzito kutoka ukeni baada ya tendo la ndoa ni ishara ya MAAMBUKIZI UKENI..

Mambukizi ukeni husababishwa na FANGASI na BACTERIA ukeni

▶️Dalili hizi ndizo huonekana mara baada ya kupata maambukizi ukeni

01:harufu mbaya ukeni k**a shombo la samaki

02 :Uchafu kutoka mwingi kupita kiasi

03:Maumivu na muwasho ukeni

04:Maumivu wakati wa kukojoa.

05:kuhisi kuungua ukeni

06:Uke kuwa mwekundu sana

07:maumivu wakati wa kukojoa

08:maumivu wakati wa tendo la ndoa

▶️Uchafu huu unaotokana na maambukizi ukeni, husababisha baadae mirija ya uzazi kuziba pia kutoshika mimba(ugumba)

▶️Tumia Namba Ya HUDUMA Hapo chini endapo utagundua harufu na mwonekano wa uchafu wako ni tofauti na ulivozoea

PIGA/WHATSAPP :0656862954

FAHAMU KUHUSIANA NA KUWASHWA KWA SEHEMU ZA SIRI ZA MWANAMKEVia vya uzazi vya mwanamke vimekuwa vikishambuliwa na magonjw...
08/05/2023

FAHAMU KUHUSIANA NA KUWASHWA KWA SEHEMU ZA SIRI ZA MWANAMKE

Via vya uzazi vya mwanamke vimekuwa vikishambuliwa na magonjwa mbali mbali k**a Maambukizi katika via vya uzazi yaani PID, Fangasi N.K. Baadhi ya magonjwa yakionyesha dalili mapema wakati mengine yakichelewa.

SABABU ZA KUWASHWA UKENI

Jee kuwashwa ukeni kunatokana na nini????
●Dalili za magonjwa mbali mbali k**a Fangasi wa Sehemu za siri(kwa mwanaume na mwanamke)

●Magonjwa ya zinaaa k**a kasendwe,kisonono, au chlamydia

●Matumizi ya baadhi ya sabuni zenye makemiko sehemu za siri

●Kuwashwa kutokana na magonjwa ya ngozi

●Kuwashwa kunakosababishwa na allergy ya kitu flani, Mfano nguo za ndani,pedi N.k

●Kushuka kwa kinga ya mwili kutokana na sababu mbali mbali k**a Ujauzito au matumizi ya dawa flani,hivo kupelekea sehemu za siri kushambuliwa haraka na magonjwa k**a Fangasi,UTI n.k

ZINGATIA MAMBO HAYA MUHIMU

✍️Mambo ya kufanya baada ya hali hii ya muwasho kutokea

●Fanya usafi wa kutosha mara tu baada ya kukojoa au tendo la ndoa

●Zingatia swala la kuweka mazingira ya sehem za siri kuwa safi mda wote

●Epuka kuvaa nguo za ndani ambazo hazijakauka vizuri

●Epuka kuvaa nguo za ndani zinazobana

●Jitahidi kubadilisha nguo ya ndani mara tu baada ya kuitumia mfano baada ya siku moja

●Nenda hosptal kwa ajili ya vipimo na matibabu k**a tatizo lipo bado

✍️Ikiwa umeshatumia madawa ya aina tofautitofauti bila kupona usisite kuwasiliana na mimi upate tiba sahihi ya kukutibu chanzo cha tatizo upone ndani ya siku7 tuu😊😊

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA 0656 862 954

Check out this sweet Reishi Cass found on her Costa Rican adventure! In the spirit of her find, let’s explore the glorio...
08/05/2023

Check out this sweet Reishi Cass found on her Costa Rican adventure! In the spirit of her find, let’s explore the glorious benefits of this mushroom.

Research has shown that Reishi mushrooms have immune-modulating and anti-inflammatory effects, adding some modern science to a couple thousand years of traditional use. While the mechanisms behind these effects are not fully understood, Reishi mushrooms are definitely worth incorporating into a healthy lifestyle.

In traditional Chinese medicine (TCM), Reishi are believed to tonify the body, particularly the immune system, and promote calmness of the mind by nourishing the shen or spirit. According to TCM theory, Reishi mushrooms are thought to support liver health, which is considered crucial for overall well-being.

These amazing fungi contain compounds such as polysaccharides, triterpenes, and beta-glucans that may help to support immune function and quality sleep, reduce stress and anxiety, promote cardiovascular health, and provide antioxidant protection.

Have you tried Reishi mushrooms before?

Let us know in the comments!

*MWANAMKE HII NI MUHIMU SAANA KWAKO FEMICARE NI MKOMBOZI WA MATATIZO SUGU KWAKO*Ni dawa ipo katika mfumo wa kimiminikaUn...
08/05/2023

*MWANAMKE HII NI MUHIMU SAANA KWAKO FEMICARE NI MKOMBOZI WA MATATIZO SUGU KWAKO*

Ni dawa ipo katika mfumo wa kimiminika
Unasafishia ukeni usiku mara Moja

*KAZI ZAKE*
👉Hutibu UTI sugu
👉Hutibu Fangasi sugu
👉Inaondoa Miwasho ukeni
👉Inaondoa Harufu mbaya ukeni
👉inaondoa Uchafu unatoka ukeni
👉inasafisha na kuzibua milija ya uzazi
👉inakurinda usipate UTI na Fangasi
👉inaufanya uke unakuwa msafi na kuvutia muda wote
👉inaongeza joto la uke
👉inabana Kuta za uke zilizo legea
👉inapunguza Maumivu makali wakati wa Hedhi
👉inarudisha ute ute ukeni
👉inatibu PID ikitumika na refined, Refined ni ya vidonde unameza

*N.B: Ni nzuri kwa kila mwanamke kwani husafisha sehemu za siri za mwanamke na Inawafaa wanawake wote hata wewe usiye na tatizo ni muhimu sana kwako*

Kwa maelekezo zaidi namna ya Kuipata hadi ulipo karibu inbox ;

08/05/2023

SABABU ZA MWANAMKE KUSHINDWA KUBEBA MIMBA

(A)KUSHINDWA KUZALISHA MAYAI
Kushindwa Kuzalisha Mayai (Anovulation)
Hili ndilo tatizo ambalo linachangia ugumba kwa wanawake kwa asilimia 30 lakini kwa bahati nzuri asilimia 70 ya wanawake wenye tatizo hili hupata tiba na kufanikiwa kupata watoto. Mwanamke mwenye tatizo hili hutoa mayai mara chache au hatoi mayai kabisa. Chanzo cha tatizo huwa ni moja ya yafuatayo:

1.Matatizo Ya Homoni

Matatizo ya homoni ndiyo yenye mchango mkubwa zaidi kwenye kumfanya mwanamke ashindwe kuzalisha mayai. Uzalishwaji wa mayai hutegemea mchanganyiko wa homoni utakaofanya kazi kwa kuhusiana bila kuvurugwa katika utendaji wake wa kazi.

2.Makovu Kwenye Ovari

Uharibifu kwenye ovari unaweza kusababisha ovari hizi kushindwa kuzalisha mayai. Operesheni za mara kwa mara hujenga makovu kwenye ovari hizo na kuzifanya zishindwe kuzalisha mayai. Maambukizi ya magonjwa huweza pia kusababisha ovari kushindwa kuzalisha na kutoa mayai.

3. Kukoma Hedhi Mapema

Kukoma hedhi mapema ni tatizo ambalo halijaeleweka vizuri kisayansi. Baadhi ya wanawake wanaacha kupata siku zao za kawaida kwenye umri usiotegemewa. Dhana moja ni kuwa hifadhi yao ya mayai imekwisha au nyingine ni kuwa inatokana na wanawake hawa kuwa wenye historia ya kuwa wanariadha waliokuwa na miili yenye uzito mdogo na waliofanya mazoezi ya nguvu kwa muda mrefu. Kuna uwezekano kuwa kukoma hedhi mapema ni suala la urithi.

4.Matatizo Ya Follicle

Kuna tatizo lisilo na maelezo ya kisayansi “unruptured follicle syndrome” ambapo mwanamke hutengeneza mfuko wa kawaida wa yai wenye yai ndani yake kila mwezi lakini mfuko huo hugoma kupasuka na kuachia yai. Hivyo kwamba, yai hubaki ndani ya ovari na utolewaji wa yai nje ya ovari kutotokea.

(B) MIRIJA YA UZAZI KUSHINDWA KUFANYA KAZI VIZURI

Magonjwa katika mirija ya uzazi huathiri asilimia 25 ya wanafamilia ambapo tatizo laweza kuwa dogo la kunata kwa yai au kubwa la mirija kuzibwa kabisa. Matatizo yanayopelekea kuziba kwa mirija ya uzazi ni k**a yafuatayo

1. Maambukizi Ya Wadudu

Maambukizi ya virusi na bacteria yanayoenezwa kwa ngono husababisha makovu na uharibifu, kwa mfano, maambukizi ya Hydrosalpinx yanayosababisha mirija ya uzazi kuziba pande zote na kujaa maji

2.Upasuaji

Hii ni sababu kubwa ya magonjwa na uharibifu wa mirija ya uzazi. Upasuaji wa kwenye maeneo ya kinena na tumbo huweza kusababisha uharibifu utakaozuia upitaji wa yai.

3.Mimba Ndani Ya Mirija Ya Uzazi (Ectopic Pregnancy)

Women health care
Call/whtpp 0656862954

Address

Bf Suma
Dar Es Salaam

Telephone

+255656862954

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bf Suma pharmacy tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Bf Suma pharmacy tz:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram