
07/01/2024
Habari njema kwa wahitimu wa kidato cha Nne sasa unaweza kusoma ukiwa na Ufaulu wa alama D mbili na kuendelea mpaka ukahitimu Degree Vyuo vikuu.
Chuo cha afya na sayansi shirikishi EAST EVAN kilichopo KIGAMBONI DAR ES SALAAM tunakupa nafasi ya kutimiza ndoto zako katika kozi mbali mbali;
📌Jiunge nasi kwa kozi zifuatazo👇👇
✅Laboratory Assistant (Afisa Msaidizi wa Maabara)
✅Business Operation Assistant (Afisa Biashara Msaidizi)
📌Kumbuka ufaulu ni kuanzia alama D mbili na kuendelea
📌Kujisajili lipa Tzs 10,000/= kwenda lipa namba 5543361(EAST EVAN)
📠📞 Wasiliana nasi moja kwa moja piga simu 0676722621
✅ TEMBELEA WEBSITE YETU👉. www.ecohas.ac.tz
.rweikiza