Health FOOD SUPPS TZ

Health FOOD SUPPS TZ Let's spread the diet

*LISHE KWA AJILI YA KUIMARISHA AFYA YA TENDO LA NDOA!*Lishe hizo ni:-𝐎𝐦𝐞𝐠𝐚 πŸ‘(Mafuta ya samaki wa vina virefu)Pamoja na k...
06/05/2023

*LISHE KWA AJILI YA KUIMARISHA AFYA YA TENDO LA NDOA!*

Lishe hizo ni:-
𝐎𝐦𝐞𝐠𝐚 πŸ‘(Mafuta ya samaki wa vina virefu)
Pamoja na kwamba inachangaia kwa kiasi kikubwa afya ya mbegu za kiume,inasaidia pia kwa jinsia zote katika kusahahihisha mzunguko wa damu kwa kuondoa vizuizi katika njia za damu na kuondoa madhara ya msongo wa mawazo ambavyo vyote huchangia katika kurekebisha mihemko katika tendo la ndoa.

π•π’π­πšπ¦π’π§ 𝐀
Maembe,pilipili,spinach,viazi vitamu,nyanya,matikitimaji,mazabibu,carot,cabbage,lettuce

Hii hutumika katika kuzalisha vichochezi vya kiume na kike(male and female s*x hormone) ,husaidia katika mzunguko wa siku kwa mwanamke na kwa mwanaume husaidia uzalishwaji wa mbegu za kiume na kuimarisha urijali wake.

π•π’π­πšπ¦π’π§ 𝐄
Hii inapatikana kwenye vyakula k**a samaki,mayai,maziwa/bidhaa zitokanazo maziwa,

Inasaidia katika uzalishwaji wa kichochezi cha kiume(testosterone) pia husaidia;-
Kurekebisha nzunguko wako wa damu kukaa vizuri hivyo kupeleka oxygen katika viungo vyako vya siri,hii itakusaidia kustahimili tendo kwa mda mrefu(stamina) bila kuchoka.

π’π„π‹π„ππˆπ”πŒ
Haya madini yapatiakanayo kwenye nyama ya ng’ombe,cabbage,broccoli,vyakula vya baharini,vitunguu,uyoga,kondoo n.k,

Husaidia kuongeza urijali kwa mwanaume.Madini haya hupotezwa sana mwanaume anapomwaga.

π•πˆπ“π€πŒπˆππˆ ππŸ‘
(ngano isio kobolewa,mchele wa brown,samaki wa kina kirefu yani tuna,maini,paprika,karanga,nyanya zilizokaushwa n.k)

Hii husaidia kuongeza msisimko hivyo damu kupita kwa wingi katika maeneo ya siri na kuongeza raha wakati wa kufika kileleni,

π•πˆπ“π€πŒπˆππˆ ππŸ”
(Ndizi,parachichi,viazi vya kuokwa bila maganda,nyama ngombe,nyanya n.k)

Hii husaidia kudhibiti kichocheo(hormones) prolactine kisiathiri vichochezi vinavyohusiana na tendo la ndoa estrogen na testosterone,hivyo kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa ujumla.

π•πˆπ“π€πŒπˆππˆ 𝐁𝟏𝟐
(nyama ya ng’ombe,mayai,dagaa,,maini,pwez,kaa/crab,chaza/oysters n.k)

Hii husaidia kuongeza msisimko hivyo uume kusimama bila kudhoofu kutokana na mishipa ya damu katika uume kutanuka

πŒπ€πƒπˆππˆ π˜π€ πŒπ€π†ππ„π’πˆπ”πŒ
Mbegu za maboga,mbegu za matikiti,cocoa/chokoleti nyeusi/dark chocolate,almond,korosho,mbegu za kitani/flax seeds,mbegu za alizeti/sunflower seeds n.k

Haya husaidia katika uzalishwaji wa vichochezi vya tendo la ndoa

πŠπ”πŒππ”πŠπ€ π‹πˆπ’π‡π„ π‡πˆπ™πŽ 𝐔𝐍𝐀𝐄𝐙𝐀 πŠπ”ππ€π“π€ πŠπ–π€ π•π˜π€πŠπ”π‹π€ 𝐓𝐀𝐉𝐖𝐀 π‡π€ππŽ 𝐉𝐔𝐔 𝐀𝐔 πŠπ”ππˆπ“πˆπ€ π•πˆπ‘π”π“π”ππˆπ’π‡πŽπ‹πˆπ’π‡π„(π…πŽπŽπƒ π’π”πππ‹π„πŒπ„ππ“π’) π€πŒππ€π•π˜πŽ 𝐇𝐔𝐀 𝐍𝐀 πŒπ‚π‡π€ππ†π€ππ˜πˆπŠπŽ 𝐖𝐀 π•π˜π€πŠπ”π‹π€ π‡πˆπ•π˜πŽ π“π€π˜π€π‘πˆ πŠπ–π€ π€π‰πˆπ‹πˆ π˜π€ πŠπ”π“π”πŒπˆπ€ πŠπ€π“πˆπŠπ€ πŒπ…π”πŒπŽ 𝐖𝐀 πŠπˆπƒπŽππ†π„π‹πˆπ’π‡π„.

▫️ *Maana Ya Magonjwa Nyemelezi Kwa Binadamu* Magonjwa nyemelezi ni yale ambayo hushambulia mwili wa binadamu pale uwezo...
06/05/2023

▫️ *Maana Ya Magonjwa Nyemelezi Kwa Binadamu*

Magonjwa nyemelezi ni yale ambayo hushambulia mwili wa binadamu pale uwezo wa kinga ya mwili kupigana na vimelea vya magonjwa unaposhuka.
Ni magonjwa ambayo katika hali ya kawaida hayategemewi kujitokeza kwa mtu mwenye kinga kamili ya mwili.
Kwa kawaida mwili wa binadamu yeyote umeumbwa na kinga ya mwili ya asili ambayo lengo lake kuu ni kuulinda mwili dhidi ya vimelea vya magonjwa.Inapotokea kimelea (vimelea) kuingia katika mwili wa binadamu kwa njia yoyote (kunywa au kula vimelea,kugusana na majimaji au ngozi ya mtu mwenye vimelea,au kupitia damu yenye vimelea n.k), mwili hutengeneza kingamwili (antibodies) ambazo hupigana na vimelea hivyo ili kuuweka mwili katika afya njema k**a hapo awali.

Kushuka kwa kinga ya mwili hupelekea mwili kushindwa kupigana na vimelea vya magonjwa hivyo kusababisha kushambuliwa na magonjwa.Ifahamike kwamba baadhi ya vijidudu(microorganisms) pia hupatikana katika mwili wa binadamu bila madhara yoyote (normal flora) k**a vile kwenye ngozi, mfumo wa chakula, ukeni, uumeni n.k Hata hivyo vijidudu hivi huweza kuwa chanzo cha magonjwa iwapo kinga ya mwili itashuka.
`

Vitu gani hupelekea kushuka kwa kinga ya mwili?
Sababu mojawapo kubwa ya kushuka kwa kinga ya mwili haswa katika nchi zilizopo chini ya jangwa la Sahara ni Ukimwi/VVU.Hata hivyo ieleweke kwmba si kila mtu mwenye upungufu wa kinga mwilini ana VVU.

Kuna sababu nyingine nyingi ambazo husababisha kwa njia moja au nyingine kushuka kwa kinga ya mwili.Zifuatazo ni baadhi tu ya sababu hizo;

Utapiamlo, Kuugua mara kwa mara,Sababu za kijenetiki (kurithi),Madhara kwenye ngozi,Msongo wa mawazo na Ujauzito. Madawa ya Kutibu saratani, Matumizi ya muda mrefu ya antibayotiki (antibiotics),steroidi (steroids) na madawa ya kushusha kinga mwilini (immunosuppressant drugs)) ambayo hutumika wakati wa kupandikiza viungo mwilini k**a figo n.k

Magonjwa nyemelezi husababishwa na vijidudu mbalimbali k**a bacteria,virusi,fangasi na bakteria.

Bakteria
Baadhi ya magonjwa yasababishwayo na bakteria ni k**a yafuatayo;

▫️ *Kifua Kikuu (TB)*
Ugonjwa huu husababishwa na kimelea kiitwacho Mycobacterium tuberculosis ambacho ni moja katika kundi la Mycobacterium Avium Complex (MAC).Kushuka kwa kinga ya mwili hupelekea kulipuka kwa vimelea vya kifua kikuu ambavyo hupatikana, pamoja na viungo vingine, zaidi kwenye mapafu.
Dalili za kifua kikuu ni pamoja na kikohozi na homa (haswa nyakati za usiku) kwa zaidi ya wiki mbili.Kutokwa jasho usiku (mara nyingi jasho huwa jingi mpaka kulowesha shuka),kupungua uzito (zaidi ya kilo moja na nusu ndani ya mwezi), Kichomi na kukohoa damu.
Ugonjwa huu pia huweza kupelekea kupata homa ya uti wa mgongo(meningitis) ambayo huambata na dalili k**a kuumwa kichwa, kichefu chefu na kutapika ikifutiwa na kuongezeka kwa joto la mwili na maumivu na kukaza kwa shingo.

▫️ *Nimonia (Pneumonia)*
Huu ni ugonjwa ambao kwa kiasi kikubwa huathiri mfumo wa hewa na haswa mapafu.Baadhi ya vimelea viletavyo nimonia ni k**a Pneumococcus ,Haemopilus influenza, Mycoplasma (haswa kwa watoto) pia Klebsiella, Staphylococcus aureus, Pseudomonas aeuroginosa (kwa wagonjwa waliolazwa mahospitalini) na wengineo.
Ugonjwa huu huanza ghafla na dalili zake ni k**a homa kali, kikohozi, maumivu wakati wa kupumua, baridi na kutetemeka.

▫️ *Ugonjwa wa Ngozi*
Huu husababishwa na vimelea vya Staphylococcus aureus.Vimelea hivi huishi katika mwili wa binadamu (kwenye ngozi ya kichwa na kinena (groins) na kwapani) bila madhara.Pia hupatikana kooni na katika utumbo mpana na mkojo.
Vimelea vya Staphylococcus husambaa kwenda sehemu nyingine ya mwili kutoka kwenye usaha, mgusano na ngozi ya mwenye maradhi, kutumia taulo, matandiko,vifaa vya mtu aliyeathirika n.k

Dalili zake ni pamoja na chunusi, majipu, kubabuka kwa ngozi na magamba magamba katika ngozi.

*Magonjwa ya Virusi*
*Magonjwa yasababishwayo na virusi ni k**a;*

Ugonjwa wa Malengelenge
Husababishwa na virusi vya Herpes Simplex.Hivi vimegawanyika katika Herpes Simplex Virus-1 (HSV-1) na Herpes Simplex-2 (HSV-2).Virusi vya HSV-1 vyaweza ambukizwa kupitia ngozi laini (mucous membranes) za mwili na kubusiana.Huweza kusababisha mwasho kwenye midomo,ulimi,fizi za meno au kingo za juu za kinywa (buccal mucosa).Kwa upande wa virusi vya HSV-2 hivi huweza kusababisha michubuko na maumivu kwenye uume,uke na njia ya haja kubwa.

Katika kiwango cha juu cha ugonjwa viungo vingine vya mwili k**a macho, njia ya chakula, mfumo wa fahamu na na njia za mfumo wa hewa huathirika.

Dalli balimbali za ugonjwa huu ni malengelenge (blisters), mwasho na muunguzo.Kushindwa kumeza au kupata maumivu wakati wa kumeza (haswa chakula),tezi kuvimba na maumivu wakati wa haja kubwa au ndogo.

▫️ *Mkanda wa jeshi*
Husababishwa na kirusi kiitwacho Varicella Zoster (VSV).Mara nyingi hutokana na kuamshwa kwa ugonjwa ambao ulikuwepo mwilini hapo Awali (reactivation of an earlier infection).Mbali ya kuathiri β€˜uwanda’ (dermatome) moja au zaidi wa mishipa ya fahamu (neva),pia huweza kudhuru jicho (herpes zoster opthalmicus) na sikio (herpes zoster oticus).
Dalili zake ni maumivu makali katika β€˜uwanda’ ulioathirika, homa, vipele, maumivu ya kichwa, uchovu na maumivu ya macho kutokana na mwanga (photophobia).

Maumivu ya Retina
Kwa lugha ya kitaalamu huitwa CMV Retinitis na husababishwa na kirusi kiitwacho Cytomegalovirus (CMV).Kirusi hiki, mbali ya kuathiri jicho na haswa retina, pia huathiri viungo vingine k**a mapafu na kusababisha nimonia, utumbo mpana na mfumo wa fahamu ambako husababisha maumivu.

Dalili zake ni pamoja na kutoona vizuri, macho kuuma, kutokwa na machozi kwa wingi.Kutopata matibabu mapema huweza kusababisha upofu.Pia Huweza kuathiri viungo vingine na kusababiosha homa, nimonia, kichefuchefu, kuharisha na kupungua uzito.

Magonjwa yatokanayo na Fangasi
Fangasi pia huweza kujitokeza iwapo kinga ya mwili itashuka.

▫️ *Kandidiasisi*
Ugonjwa huu uliozoeleka pia hujulikana kwa kitaalamu k**a Candidiasis.Kandidiasisi husababishwa na fangasi aitwaye Candida albicans ambaye huathiri kinywa, mfumo wa chakula,uke na mfumo wa hewa.Kandidiasisi katika uke huweza tokea kwa mwanamke mwenye afya asiye na VVU.

Dalili za Kandidiasisi katika kinywa ni pamoja na kubadilika kwa ladha,maumivu kwenye ulimi,utando mweupe kwenye ulimi na kingo za juu za kinywa (buccal mucosa),kushindwa kumeza,maumivu wakati wa kumeza chakula ikiwa fangasi imesambaa sana. Pia mwasho na maumivu ukeni pamoja na kutokwa na majimaji meupe ukeni.

▫️ *Homa ya Uti wa mgongo*
Homa ya utiw amgongo au Meningitis kwa kitaalamu husababishwa na fangasi aitwaye Cryptococcal neoformans.Uti wa mgongo utokanao na aina hii ya fangasi huweza kusababisha kifo usipotibiwa.Aina hii ya fangasi ambayo huathiri zaidi ubongo na uti wa mgongo, hutokana na kuvuta hewa yenye vumbi litokanalo na ndege lenye vimelea vya ugonjwa.
Baadhi ya dalili zake ni homa, kutoona vizuri,macho kuuma kutokana na mwanga,kuchanganyikiwa akili,maumivu ya kichwa ka kukak**aa na kuuma kwa shingo.

▫️ *Histoplasmosisi*
Aina hi ya fangasi hutokana na vimelea vya Histoplasma capsulatum.Fangasi huyu huathiri mapafu pamoja na viungo vingine.Dalili zake ni homa,uchovu,kupungua uzito na kupumua kwa shida.Pia kukohoa na kuvimba kwa tezi kwaweza kutokea.

▫️ *Nimonia*
K**a bakteria na fangasi pia huweza kusababisha nimonia ijulikanayo kwa kitaalamu k**a Pneoumocystis Pneumonia (PCP).Vimelea vya Pneumocystis jiroveci (awali vilijulikana k**a Pneuomocystis carinii) huathiri mfumo wa hewa.Fangasi huyu pia huweza kuathiri viungo vingine k**a ini,wengu (spleen) na figo katika baadhi ya wagonjwa.
Dalili zake ni kikohozi kikavu,kifua kubana,kupumua kwa shida,homa,kuishiwa pumzi na kutokwa jasho nyakati za usiku.

Magonjwa yatokanayo na Protozoa
Toksoplasmosisi ya Ubongo
Cerebral toxoplasmosis, k**a ujulikanavyo kitaalamu,hutokana na kuamshwa kwa ugonjwa wa awali kutokana na vimelea vya Toxoplasma gondii (kimelea kiwezacho kuishi ndani ya seli kinachoathiri ndege,wanyama na binadamu).Kimelea hiki kiathiricho zaidi mfumo wa fahamu,hupatikana kwenye nyama isiyopikwa vizuri na mavi ya paka.Huathiri zaidi ubongo na kusababisha maumivu ya kichwa,kuchanganyikiwa,udhaifu wa viungo,homa,kupoteza fahamu,kupooza na kifafa.

Kriptosporidiosisi
Huu ni ugonjwa utokanao na vimelea vya Cryptosporidium.Huathiri zaidi mfumo wa chakula na hutokana na kutumia kwa maji au chakula vilivyoathirika na vimelea vya ugonjwa huu.Dalili zake ni kuharisha sana kiasi cha kusababisha kupungukiwa na maji mwilini (dehydration),maumivu wakati wa haja kubwa, kichefuchefu na kutapika.Wagonjwa wa aina hii huwa na joto la mwili la kawaida.

*Matibabu na Ushauri*

Aina ya matibabu hutegemea na aina ya ugonjwa na mtu, pia kutokana na kuwepo kwa Ukimwi/VVU hutegemea kiwango cha seli za CD4 mwilini.Iwapo una dalili kati ya zilizotajwa hapo juu ni vyema kumona daktari kwa uchunguzi zaidi.
Ni vyema kuzingatia kuwepo kwa dalili zilizotajwa hapo juu hakumanishi kuwa muathirika ana VVU na si kila mwenye VVU huwa na dalili hizo.Pia kujitokeza kwa dalili kunaweza kutofautiana kati ya mtu na mtu.Hata hivyo ni vyema kupima afya yako kila mara haswa VVU ili kujua chanzo cha kupungua kwa Kinga ya mwili ambayo huweza kupelekea kupata magonjwa nyemelezi

Liven Alkaline Coffee kwa kunywa hii kahawa ni kahawa pekee ambayo ina Caffeine ndogo 0.01, imechanganyiwa aina 12 za mb...
05/05/2023

Liven Alkaline Coffee kwa kunywa hii kahawa ni kahawa pekee ambayo ina Caffeine ndogo 0.01, imechanganyiwa aina 12 za mbogamboga, aina 12 za matunda, aina 12 za uyoga, aina 29 za vitamins, calcium, zinc, amino acids, anti oxidants etc

Faida za kunywa liven alkaline coffee

1. Inakukinga usipate cancer ya aina yoyote ile
2. Inakukinga usipate tezi dume kwa wanaume
3. Inafanya damu izunguke vizuri kwenye viungo vyote vya mwili
4. Inaimarisha tendo la ndoa kwa wanaume wanaowahi kumaliza mechi k**a ni mtu wa dakika 5 basi kwa kunywa hii kahawa utaenda mpaka dakika 15
5. Inaondoa sumu mwilini
6. Ni nzuri kwa kina Dada wanaosumbuliwa na tumbo LA bleed
7. Inakupatie nguvu k**a umechoka
8. Ni nzuri sana kwa watu wenye matatizo ya moyo na kisukari
9. Ni nzuri pia kwa wanawake wanakosa hamu ya kufanya tendo LA ndoa
10. Ni nzuri sana kwa wanaosumbuliwa na ulcers maana ina alkaline inayofanya kazi ya kunutralize acidic tumboni
11. Ni nzuri sana kwa wanaosumbuliwa na UTI sugu
12. Ni nzuri pia kwa maumivu ya kichwa
13. Inaondoa hangover kwa wanaokunywa pombe
14. Inatibu pia magonjwa ya aina yoyote
15. Inaondoa stress pia
16. Ni nzuri pia kwa watu wenye hormonal imbalance

Kahawa hizi ni tamu na ina harufu nzuri sana ipo flavour tofauti latte, cappuccino, original na sugarfree box nzima ina packet 20. Jali afya yako tupo dar es salaam ,pia tupo Makumbusho na mikoani tunatuma.
0688593052

Chungwa ni katika matunda maarufu sana duniani kote. chungwa lina kiwango kikubwa cha vitamini C na madini ya potassium ...
05/05/2023

Chungwa ni katika matunda maarufu sana duniani kote. chungwa lina kiwango kikubwa cha vitamini C na madini ya potassium (potashiam). Pia embe ni chanzo kizuri cha vitamini B k**a vile thiamine na folate.

Katika chungwa. kuna vitu vingi ambavyo husaidia sana katika afya. K**a vile flavonoid, carotenoid na citric acid. Citric acid husaidia katika kupunguza uwezekano wa kuweza kupa kupata matatizo ya figo (kidney stones). Embe pia husaidia katika kuzuia kupata maradhi ya anaemia.

Ndizi zina vitamin na madini, ndizi zina madini ya potassium kwa kiasi kikubwa sana. Moja katika sifa kuu ya ndizi ni ku...
04/05/2023

Ndizi zina vitamin na madini, ndizi zina madini ya potassium kwa kiasi kikubwa sana. Moja katika sifa kuu ya ndizi ni kuwa na carb makeup. Carb ni ukijani uliopo kwenye ndiri ambayo haijaiva. Ukijani huu una starch kwa wingi ambao husaidia katika kuthibiti sukari kwenye damu. Na kuimarisha mmeng’enyo wa Chakula.

Je nani una mfahamu ana changamoto ya kuumwa nyonga, miguu kuwaka moto, mgongo au changamoto yoyote ya viungo. Ni wewe, ...
04/05/2023

Je nani una mfahamu ana changamoto ya kuumwa nyonga, miguu kuwaka moto, mgongo au changamoto yoyote ya viungo. Ni wewe, wazazi wako au ndugu yako?

Tuna virutubisho vya asili ambavyo vinasaidia kuongeza ute(fluid) uliokauka kwenye viungo k**a nyonga, miguu na mgongo. Ni nzuri kutumiwa na wanamichezo, wanawake ambao wametoka kujifungua huwa wanaumwa nyonga na mgongo pia wazee umri ukishaenda viungo huwa vinaisha ute hivyo huumwa sana.

Karibuni nyote.
Kwa tiba wasiliana nasi
0688593052

Hili ni katika matunda yanayopatika na sana kwenye uoto wa kitropik. Tunda hili ni katika matunda yenye virutubisho ving...
04/05/2023

Hili ni katika matunda yanayopatika na sana kwenye uoto wa kitropik. Tunda hili ni katika matunda yenye virutubisho vingi kuliko matunda mengi sana yanayopatikana katika maeneo yenye uoto huu. Kwa mfano kikombe kimoja cha nanasi (mililita 237) kinatosheleza uhitaji wa mwili wa vitamini C kwa siku nzima na asilimia 76 ya madini ya manganese.

Nanasi pia lina bromelain huu ni mchanganyiko wa enzymes ambayo inajulikana kwa kudhibiti uvimbe na kuwa na uwezo wa kumeng’enya protini mwilini. Tafiti nyingi za kisayansi zimeonesha kuwa bromelain husaidia kuzuia mwili kupata maradhi ya saratani na uvimbe amao ni katika viashiria vya saratani.

Hili ni katika matunda yenye fat (mafuta). Itambulike kuwa si kila mafuta ni hatari ndani ya miili yetu. Tunahitaji vyak...
04/05/2023

Hili ni katika matunda yenye fat (mafuta). Itambulike kuwa si kila mafuta ni hatari ndani ya miili yetu. Tunahitaji vyakula vya fat yaani mafuta kwa ajili ya kutupatia joto kwenye miili yetu. Pia fati husaidia kuipa miili yetu nguvu. Katika tunda hili palachichi mafuta yake ni aina ya oleic acid yaani yapo katika aina flani ya asidi ambayo husaidia katika kupunguza uvimbe mwilini na kusaidia kuboresha afya ya moyo.

Palachici pia hutambulika kitaalamu kuwa lina lina madini ya potassium na magnesium kwa wingi sana. Pia ni katika vyakula vyenye kambakamba yaani fiber. Vyakula hivi vyenye fiber husaidia katika kuweka usalama wa tumbo yaani kuhakikisha chakula kinatembea ipasavyo ndani ya tumbo kutoka sehemu moja mpaka sehemu nyingine mpaka kufika kwenye njia ya haja kubwa.

Pia tunda hili husaidia kupungusa hatari za kupata maradhi ya stroke yaani kupalalaizi kutokana na kiwango kikubwa cha madini ya magnessium ambayo husaidia katika kupunguza shinikizo kubwa la damu. Hivyo palachichi husaidia katika kudhibiti afya ya moyo. Palachichi moja linaweza kutoa 28% ya mahitaji ya mwili ya madini haya.

.*_UGONJWA WA KISUKARI,CHANZO CHAKE,DALILI ZAKE,ATHARI NA MATIBABU YAKE_* β€’Ni kundi la magonjwa ambayo hupelekea kuwepo ...
03/05/2023

.*_UGONJWA WA KISUKARI,CHANZO CHAKE,DALILI ZAKE,ATHARI NA MATIBABU YAKE_*

β€’Ni kundi la magonjwa ambayo hupelekea kuwepo na kiwango cha sukari kilichozidi katika damu (high blood glucose ~*hyperglycemia*)

AINA ZA KISUKARI
1️⃣ *TYPE 2 DIABETES*
β€’Ni hali iliyokuwa sugu ambayo inaathiri namna ambavyo mwili unabadilisha kiwango cha sukari kilichozidi kwenye damu (glucose).

2️⃣ *TYPE 1 DIABETES*
β€’Ni hali iliyokuwa sugu ambapo kongosho(pancreas) huzalisha kiasi kidogo cha insulin au hushindwa kabisa kuzalisha insulin kwaajili ya kuondosha kiwango cha sukari kilichozidi kwenye damu.

3️⃣ *PRE-DIABETES*
β€’Ni hali ambapo kiwango cha sukari katika damu kinakuwa juu lakini bado hakijafikia kuwa kisukari type 2.
β€’Na Sukari huwa 5.7- 6.4 kabla ya kula kwa mtu ambae ana dalili ya *prediabetes*

VIWANGO VYA SUKARI NA MAANA YAKE KATIKA MWILI WA BINADAMU

1️⃣ *_KIWANGO CHA SUKARI KILICHO SAWA (normal blood Sugar)_*

β€’Kwa watu wengi Wenye Afya nzuri,Kiwango kilicho sawa cha Sukari kwenye damu ni k**a vifuatavyo‡‡‡:

➑️ *_KABLA YA KULA_*

Sukari huwa Kati ya 4.0 hadi 5.4 mmol/L (72 hadi 99 mg/dL) kabla ya kula.

➑️ *_BAADA YA KULA_*

Hufika 7.8 mmol/L (140 mg/dL) Masaa 2 baada ya kula.

2️⃣ *_KWA WATU WENYE KISUKARI_*
β€’Kiwango cha sukari mwilini kwa watu Wenye kisukari huwa k**a ifuatavyo‡‡‡‡:

➑️ *_KABLA YA KULA_*
-Sukari hufika 4 hadi 7 mmol/L kwa watu Wenye type 1 au type 2

➑️ *_BAADA YA KULA_*
-Sukari huwa chini ya 9 mmol/L kwa watu wenye Kisukari type 1 na huwa chini ya 8.5 mmol/L kwa watu wenye Kisukari type 2

*_SABABU ZINAZOWEZA KUSABABISHA UGONJWA WA KISUKARI_*
‡️‡️‡️

➑️Utumiaji wa vyakula vyenye Sukari kupitiliza
-Husababisha kisukari kwasababau hupelekea mwili kuwa mzito zaidi.
➑️ Ulaji wa nyama nyekundu kupita kiasi(k**a vile nyama ya ng'ombe,mbuzi,kondoo nk)
➑️ Utumiaji wa vyakula vyenye mafuta mengi(fats & lipids)

➑️Kutokufanya mazoezi/Uzembe wa mwili.
➑️ Utumiaji wa Vilevi na Sigara.
➑️ Uzito uliopita kiasi
➑️ Presha ya kupanda(Hypertension)
➑️ Sababu za Kurithi.
➑️ Umri mkubwa miaka 45 au zaidi.

*_DALILI ZA UGONJWA WA SUKARI_*‡️‡️

➑️ Kupata kiu kila wakati na kupelekea Kunywa maji kupita kiasi.
➑️Kukojoa sana hasa wakati wa usiku(frequent uniration)
➑️Uchovu na mwili kukosa nguvu kila wakati.
➑️Kuchelewa kupona kwa majeraha na vidonda hasa miguuni nk.
➑️Miguu kuoza
➑️Kupungua kwa nguvu za kiume na kukosa hamu ya tendo la ndoa
➑️kutokuona vizuri na kupata upofu
➑️Ganzi miguuni na kwenye vidole pamoja na Miguu Kuvimba.
➑️Kupungua uzito na kukonda hata K**a unakula vizuri
➑️ Ngozi kupauka licha ya kupaka mafuta Mara kwa mara

*_MADHARA YA UGONJWA WA SUKARI_*
‡️‡️‡️‡️
➑️kupata magonjwa ya moyo (Cardiovascular Diseases)
➑️ Kiharusi au kuparalaizi( Stroke)
➑️ Shinikizo la damu (NHT)
➑️ Figo kufeli kufanyakazi na mawe kwenye figo(Kidney Stones)
➑️ Kupungua kwa nguvu za kiume. na kukosa hamu ya tendo la ndoa
➑️kupata upofu
➑️ Hatari ya kupata Kansa kutokana na Vidonda visivyopona.

πŸ–‡οΈ Kisukari ni ugonjwa wenye kutibika kwa dawa za asili hasa pale utakapobahatika kupata dawa ya uhakika katika kutibu kisukari mfano wa dawa za uhakika zenye kuondosha kabsa kisukari ni dawa ya asili.(virutubisho)

0688593052

KWANINI UNASHAURIWA KUTUMIA KIRUTUBISHO CHA CHOLEDUZ.. SOMA SABABUπŸ‘‡FAHAMU SASA VIRUTUBISHO VILIVYOMO NDANI YA BIDHAA HII...
03/05/2023

KWANINI UNASHAURIWA KUTUMIA KIRUTUBISHO CHA CHOLEDUZ.. SOMA SABABUπŸ‘‡

FAHAMU SASA VIRUTUBISHO VILIVYOMO NDANI YA BIDHAA HII YA CHOLEDUZ VINAENDA KUKUSAIDIAJEπŸ‘‡..

Bila shaka watu wengi wamekuwa wakijiuliza Omega 3 ni nini na Omega 6 ni nini,Bila shaka na wewe unayeisoma makala hii ni mmojawapo wa watu wanaojiuliza viambata hivi ni nini.
Basi leo nitakuelezea kwa undan nini maana ya viambata hivi na vina umuhimu gani katika afya yako.

OMEGA 3 NA OMEGA 6 NI NINI?

Omega 3
Hizi ni aina ya Fats(Mafuta) ambazo mwili hauwezi kujitengenezea bali mwili unategemea aina hii ya virutubisho kutoka katika vyakula. Virutubisho hivi vinasaidia utendaji kazi wa Cells zote za mwili,Virutubisho hivi vinasaidia kutengeneza Hormones ambazo zinasaidia kuganda kwa damu pindi unapopata majeraha,Zinasaidia kutanuka na kusinyaa kwa mishipa ya damu hivyo kusaidia kuimarisha mzunguko wa damu.
Omega 3 pia inasaidia kuukinga mwili na matatizo ya moyo(heart attack) na Kiharusi(stroke),Pia inasaidia kutuliza matatizo ya aleji za mwili k**a Pumu ya ngozi(eczema) na matatizo ya Joints.

Vyakula vingine ambavyo vinaweza kuupatia mwili aina hii ya virutubisho ni k**a Samaki na vyakula vingine vya baharini,Soya beans na Spinach

Omega 6
pia ni aina ya Fats muhimu sana katika mwili ambayo inafanya kazi kubwa ya kusababisha ukuaji wa cell za mwili na ni muhimu kwa ukuajia na utendaji kazi wa ubongo na misuli.Pia inasaidia kuimarisha mishipa za fahamu(nerves) hivyo ina umuhimu mkubwa katika kuimarisha mfumo wa neva na mawasiliano katika mwili.
Omega 6 pia inapatikana kwenye nyama ya kuku,mayai, na nafaka k**a mahindi na mchele,alizeti,maboga,mafuta ya kupikia ya pamba,na zabibu.

MBALI NA OMEGA 3 NA 6, ina virutubisho vingine zaidi ambavyo ni muhimu katika kuimarisha afya yako.Vifuatavyo ni aina ya virubisho utakavyopata ndani ya

Vitamin A
Symptoms of severe deficiency are night blindness, dry eyes, diarrhoea and skin problems.
Hi ni vitamini muhimu sana katika ukuaji na uimara wa mifupa,kuzaliana na nguvu za kiume pia kuimarisha kinga ya mwili.Pia ni vitamini nzuri kwenye macho kwa sababu inaimarisha macho na kukufanya kuona vizuri na kukukinga na matatizo ya macho.

Vitamin B1
Hii usaidia kuvunjavunja Wanga(Carbohydrates) kuwa sukari pia inaimarisha mfumo wa neva na kuukinga mwili na maradhi ya beri beri na kuzuia tatizo la mgongo wazi kwa watoto.Pia usaidia kuwakinga watoto na matatizo ya moyo na

tatizo la mgongo wazi kwa watoto.
Vitamin B2
Hii husaidia kuifanya ngozi yako kua yenye afya na kuzuia tatizo la chunusi

Vitamin B12
Hii husaidia katika utengenezaji wa chembechembe hai nyekundu za damu.

Vitamin E
Hii pia husaidia kuimarisha afya ya ngozi na kuimarisha kinga ya mwili.
Hizo ni baadhi tu ya FAIDA utazoweza kuzipata ndani ya CHOLEDUZ

KUIPATA Tupigie
0688593052

We are here to make to make u become healthier.
01/05/2023

We are here to make to make u become healthier.

C 24/7 kirefu chake ni Complete nutrients masaa 24 siku 7 za week. Bidhaa ya Mimea(Herbal) nambari moja duniani kwa sasa...
01/05/2023

C 24/7 kirefu chake ni Complete nutrients masaa 24 siku 7 za week. Bidhaa ya Mimea(Herbal) nambari moja duniani kwa sasa. Bidhaa hii inatengenezwa na Kampuni namba moja Marekani kwa kutengeneza bidhaa za Mitishamba ya NATURES WAY...Imeptishwa na vyombo k**a USDA, HALAL, NSF, GMP na kwa Tanzania TFDA. Pia inanembo ya super brands kutokana na ubora na kukubalika katika soko Bidhaa hii inavirutubisho vifuatavyo 22,000 ndani yake;

- Mchanganyiko wa aina 12 ya matunda
- Mchanganyiko wa mboga mboga aina 12
- Mchanyiko wa mimea na virutubisho maalum 14
- Mchanganyiko wa uyoga aina 12
- Vitamini na madini zaidi ya 29

⚫ KAZI/FAIDA ZAKE KWENYE MWILI NI;

- HUZUIA CANCER ZA AINA ZOTE
- HUTIBU MATATIZO YA FIGO
- HUONGEZA KINGA YA MWILI(CD4)
- HUSAIDIA WENYE UGONJWA WA MOYO
- HUSAIDIA WENYE UGONJWA WA SUKARI
- UPUNGUFU WA DAMU
- UGONJWA WA NGOZI
- KIHARUSI
- TEZI DUME
- GOITER
- MAWE YA FIGO
- Saratani YA SHINGO YA KIZAZI NA UVIMBE KATIKA MFUKO WA UZAZI
- MAUMIVU YA UTI WA MGONGO
- KUKOSA CHOO

Hizo ni baadhi ya faida zake. Tafakari kukosa lishe bora ni sababu kuu ya kupatwa na magonjwa Mbalimbali...
Bidhaa hizi ni lishe na si dawa.
For Order Call/whtsapp +255688593052

Address

Makumbusho Stand
Dar Es Salaam

Telephone

+255688593052

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Health FOOD SUPPS TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share