
17/11/2023
HESHIMA YAKO INAWEZA KURUDI
PALE UTAKAPOPATA USHAURI SAHIHI
Changamoto yakutokumudu tendo la ndoa isikufanye ukakosa raha kabisa ,
Kuna njia nyingi zakutatua tatizo lako
Yakwanza kabisa nikupunguza mawazo pamoja na hofu
Yapili , nikutibu magonjwa mbalimbali yanayokusumbua ,yawezekana nichanzo chawewe kutokumudu tendo vizuri
Yatatu , Mazoezi , je unapata muda wakufanya mazoezi ili kufanya mwili wako uwe nanguvu lakini pia hata uwe na mzunguko mzuri wa damu , ili uweze kumudu tendo
Ya nne , Unapata mlo kamili ,ili kuweza kupata virutubisho muhim vinavyoweza kukupatia nguvu na kuongeza ufanisi katika tendo
Je umetumia virutubisho gani ili kuji imarisha?
Kwa Ushauri Zaidi
Mawasiliano; 0714 242 107