10/08/2023
VYAKULA VINAVYOWEZA ONGEZA UTE WA UZAZI ( CERVICAL MUCUS) KWA WANAWAKE
Ute wa Uzazi ni Ute wenye sifa ya Uzazi kwa mwanamke, unabeba sifa ya Uzazi. Ingawa uwa unatofautiana wingi wake na uzito wake kulingana na upo katika wakati Gani katika mzunguko wa hedhi. Hii inatokana na mabadaliko ya hormones katika mzunguko.
Hormones hizi uamasisha shingo ya kizazi ( cervix) kutengeneza Ute huu.
Ute wa Uzazi unaweza kuwa na sura mbalimbali kulingana na kipindi Cha mzunguko.
Unaweza kuwa mzito, wenye chenga, wa cream, k**a maji ( colourless) ila tabia kuu mbili ni
โ๏ธkutereza na
โ๏ธkuvutika
Katika kipindi Cha hatari ambapo yai linashuka Ute huwa k**a k**a maji ( colourless) na kutereza na kuvutika.
Wakati unapokuwa siku zisizo za hatari Ute unakuwa mzito.
Vyakula na virutubisho Vinavyoweza ongeza Ute wa Uzazi
๐ฅ Carrots
Carrots Zina madini ya beta- carotene ambayo uhusika katika utengenezaji wa vitamin A, ambapo vitamin A uhusika na wingi wa Ute pamoja na ubora wa Ute.
๐ฅ Omega-3 ( nuts, parachichi, samaki, mayai).
๐ฅProtein itokanayo na mimea ( vege proteins) maharage jamii zote, mboga za majani, sea moss, spirulina etc.
๐ฅVyakula vyenye vitamin D, kwa kuwa vit d inafanya kazi ya utengenezaji wa hormones za kupevusha mayai za estrogen.
Samaki, dagaa, kiini Cha yai na uyoga.
๐ฅMaji ๐
Ingawa sio chakula lakini 96% ya Ute ni maji
K**a ukiona Bado hujafanikiwa tafadhali husisite kuwasiliana nasi kwa namba hizi 0622446558/0685267528

K**a ukiona Bado hujafanikiwa tafadhali husisite kuwasiliana nasi kwa namba hizi 0688820050 na 0673402024