
02/08/2024
*KWANINI MKATE WA BROWN HAIFAI KWA MGONJWA WA SUKARI*
nimekuwa nafikiria kwa muda mrefu kwa nini hospitals wanashauri wagonjwa wa sukari kutumia MKATE wa brown licha ya kuwa mkate ni wanga
Jambo linanishangaza
Licha ya MKATE wa brown wanaoshauri mgonjwa kutumia bado wanamaambia ale dona kiasi cha ngumi Awe anakula mara
Ohh nachnaganyikiwa kwanini wanashauri hivi
Ndio maana baadhi ya wagonjwa wanafata masharti yote ya hospital lakini bado sukari zao ziko juu kuliko kawaida
Hapa dhana potofu inapozaliwa utasikia wagonjwa wanasema hii sukari sio bure itakuwa nimerogwa
Inasikitisha sanaa
Leo nataka nikuelekeze kwanini MKATE wa brown sio mzuri kwa MGONJWA wa sukari
Haufai tena haufai hata kidogo
Unatakiwa kufahamu kuwa asimilia 90 ya vyakula kutoka kiwandani lazima viwekwe sukari
Hiyo ni lazima haipingiki
Kaangalie kwenye kopo la tomato utaona sukari hakuna chakula kinatoka kiwandani kikakosa sukari
Hivi ni vitu ambavyo vimo kwenye MKATE wa brown
Wameweka
*sukari 6g (sawa na vijiko 8 vya chai*
*Mafuta 4.3 gram*
*Cholestrol 0mg*
*sodium 601mg*
*potasium 223mg*
Nafikiri umeona vitu vilivyomo kwenye MKATE wa brown
MGONJWA wa sukari.
Una sukari 7,8,9,10 na kuendelea unatumia chakula ambacho kina kiwango cha vijiko 8 vya sukari halafu unategemea sukari yako kushuka
Nakushauri acha kutumia MKATE wa brown una kiwango kikubwa cha sukari ingawa hospital hujaambiwa
Utakuja kunishukuru baadae.
K**a una swali au sehemu hujaaelewa nakaribisha maswali nitakuwa hapa kwa ajili ya usaidizi
It's me Owen Gabriel .
Expert and competent in diabetes and weight loss