07/09/2023
Naitwa *ASHURA KITANGU l*
Binafsi, Nahusika na masuala ya afya na virutubisho kutoka Kampuni ya *Forever Living Products,* Inawezekana umewahi kuisikia au hujawahi kuisikia hilo halina shida, Ila ni Kampuni ya Kimarekani ambayo inasaidia watu wengi kuwa na Uhuru wa Kipato, Afya Njema ya ndani ya Mwili, Lakini pia kuwa na Muonekano Mzuri wa Nje Kwa Kutumia virutubisho Lishe Bora na Salama Kwa Mtumiaji.
*▪︎INAWEZEKANA KUWA NI WEWE, NDUGU AU RAFIKI AMBAE UJUMBE HUU ANAUHITAJI SANA AUPATE SIKU YA LEO...👇👇*
Hivi, Unajua mfumo wetu wa maisha ambao tunaishi kwasasa, unachangia Sana Watu Wengi kuwa na changamoto nyingi za kiafya ambazo zinasababishwa na Mifumo ya Maisha tunayoiishi na Uduni wa Kipato pia...??
*▪︎Changamoto hizi zinaweza kuhusiana na:*
*1. Mmeng'enyo wa Chakula.*
(Choo ngumu, Vimbe, Miwasho na Maumivu wakati wa haja kubwa)
*2. Afya ya Mzunguko wa Damu.*
(Pressure ya kupanda au kushuka, Kupooza / Stroke)
*3. Uzito uliopitiliza ( kitambi,nyamauzembe)*
*4. Afya ya Tendo la ndoa Kwa Wanawake na Wanaume.* ( NGUVU ZA KIUME & NGUVU ZA K**E)
*5. Magonjwa ya Kudumu K**a Vile:*
Tezi Dume
Kisukari
Presha
Vidonda vya tumbo,
Magonjwa ya Viungo n.k
*6. Afya Ya Mama na Mtoto.*
- Hamu ya kula.
- Hedhi isiyo na Maumivu
- Uzito uliopitiliza.
- Vimbe za uzazi n.k
Kwa kutambua Umuhimu wa Kuwa na Afya Njema kwa Kila Mtu Mwenye Kuijari Afya Yake.
Tumekuandalia Program nzuri sana za Virutubisho ambavyo Vitakupa Afya Njema na Muonekano Mzuri, na Kwa Yule Mwenye Changamoto ya Kiafya, Vitaondoa Changamoto hiyo na Kurejesha Tabasamu Lako Tena.
*Kwa Usiye na Changamoto ya Kiafya:*
Unaruhusiwa kutumia Virutubisho hivi, kwaajili ya kulinda na kuboresha Afya Yako.
*Je ungependa nikupe ufafanuzi zaidi Katika Nini Hasa, Kati ya hivyo nilivyo vitaja hapo juu !??*