19/02/2024
JE,UNASUMBULIWA NA KUTOKA UCHAFU SEHEM ZA SIRI,MIWASHO,FANGASI,U.T.I NA UZAZI KWA MUDA MREFU??
Zipo sababu mbalimbali zinazopelekea kuwa na hii changamoto ya (P.I.D) (kutokwa na uchafu sehem za siri)
1). Ulaji wa vyakula vyenye madawa k**a vile chipsi kuku/chipsi mayai,vyakula vya viwandani na aina k**a hizo
2).Matumizi ya njia za uzazi wa mpango
3).Utoaji wa mimba hovyo
4).Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja
5).Matumizi ya mara kwa mara ya antibiotics
6).U.T.I sugu
7). Vifaa vya kujifungulia kuwa na bakteria(kutooshwa vizuri)
DALILI ZA P.I.D
1).Kutokwa Uchafu k**a maziwa wenye harufu wakati mwingine hauna harufu
2).Mzunguko wako kuvurugika
3).Kutoa harufu mbaya sehemu za Siri
4).Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
5).Maumivu ya tumbo upande wa kulia au kushoto
6).Maumivu wakati wa tendo la ndoa
7)Kuwa na dalili za mimba lakini huna mimba
😎.Uk* kuwa mkavu kupita kiasi
9).Kukosa hamu ya tendo la ndoa
10).Miwasho sehemu za Siri
11).Kupata homa au kuhisi homa
MADHARA YA P.I.D
1).Maumivu ya tumbo au nyonga
2).Ugumba /kushindwa kupata ujauzito
3).Ujauzito kuharibika
4).Mirija ya uzazi kuziba
5).Kupata uvimbe kwenye mirija ya uzazi
6).Kupata Uvimbe kwenye mji wa mimba
7).Kupata Saratani ya shingo ya kizazi
8.kizazi kutolewa
9).Kizazi kuharibika
10).Kupoteza uhai
Tumewasaidia watu wengi kupona changamoto hii baada ya kuhangaika sana kutafuta tiba mbalimbali na kupoteza pesa bila mafanikio.
Wasiliana nami Dr. Irene niweze kukusaidia kwa ushauri na tiba.
📞0746371652