11/09/2023
DAWA YA MAPAFU, PUMU NA MFUMO WOTE WA UPUMUAJI.
Dawa hii ni mchanganyiko wa Cordyceps sinensis mycelium, Radix ginseng, Flos chrysanthemi, Cordate Houttuynia, Bulbus Lilii, Apricot Kernel, Exocarpium Citri Rubrum, Green Tea
Mchanganyiko huu ni mzuri Sana katika kutibu na kusaidia mfumo mzima wa upumuaji kuondokana na matatizo yote.
Kazi za dawa hii ni;
▪️Inaimarisha na kuongeza Kinga ya mwili, Kwa kuongeza white blood cell, T-helper cells, Nk cells na macrophages
▪️Inatibu mapafu yalioathiriwa na SIGARA, vumbi, sumu, na mfumo mzima wa upumuaji,
▪️Dawa hii Inauwa bakteria na virusi ndani ya mfumo wa upumuaji wanaosababisha maradhi.
▪️Huongeza kiwango Cha immunoglobulin; na kusaidia kiwango Cha kinga ya mwili kuongezeka.
▪️Inatibu mfumo wa upumuaji nakuondoa kikohozi, bronchitis, pulmonary tuberculosis, chronic obstructive pulmonary na Pumu,
▪️Inaimarisha uingizaji wa hewa ya oksijeni ktk mapafu,
▪️Inatengeneza mucoca iliyoharibika kwa kuongeza oksijeni. Pia Inaongeza ubora wa shughuli za tishu za epithelial ya mapafu na kufanya mapafu kufanya kazi,
▪️Inatibu kibofu Cha mkojo na ini
▪️Inaisaidia limokokini(lymphokine) kufanya kazi kwa ubora, Lymphokine huua virusi kwenye mfumo wa kupumua moja kwa moja
WATUMIAJI
▪️Wenye matatizo ya mfumo wa upumuaji, matatizo ya pumu, na wenye matatizo ya KIKOHOZI SUGU.
▪️Watu wanaovuta sigara,
▪️Watu wanaofanya kazi kwenye mazingira machafu.
Mchanganyiko huu ni aina mbili za bidhaa na jumla yakw Inauzwa 120,000.
OFISI ZETU
Address; Karume (Machinga Complex), Dar Es Salaam
Saa Za Kazi
Jtatu—Jmosi: saa 3:00–saa: 1200
Simu 0657004001