Mtaalamu wa Afya beatrice

Mtaalamu wa Afya beatrice Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mtaalamu wa Afya beatrice, Medical and health, Dar es Salaam.

ACHA KUUITA UGONJWA WAKO, ACHA KUSEMA UMESHINDIKANA, NJOO USAIDIWE...🧄Umetibiwa wapi na nani mpaka ufikie hatua ya kukat...
24/02/2024

ACHA KUUITA UGONJWA WAKO, ACHA KUSEMA UMESHINDIKANA, NJOO USAIDIWE...

🧄Umetibiwa wapi na nani mpaka ufikie hatua ya kukata tamaa?

🫚Mbona wenye shida k**a zako WAMEPONA na WAMERUDI kutimiza ndoto zao?

🥦ETERNAL INTERNATIONAL ni hospital za kichina zinazopatikana karibu mikoa yote Tanzania.

🥥Tumebobea Katika TAFITI NA KUTIBU magonjwa YASIYOAMBUKIZA kwa njia ya VIRUTUBISHO MAALUMU Vinavyotokana na mimea ya asili. Ni hospital pekee nchini tanzania iliyojipambanua kupambana na magonjwa yasiambukiza.

🥭Usikubali kuendelea kuhangaika njoo tukusaidie na wala hatujaribu tunaweza amini tumesaidia wengi wenye matatizo k**a yako.

🥑KARIBU uKutane na Wataalamu waliobobea kwenye Masuala ya Matibabu Kutoka China.

🥕Mfano wa magonjwa yasiyoambukiza ni k**a vile:

✓ matatizo ya Uzazi Kwa wanaume na Wanawake
√ Vidonda vya Tumbo na Typhoid sugu.
√ Mifupa, Ganzi. Na Meno
√ Stroke au kupalalaizi.
√ Magonjwa ya Moyo na Figo
√ Bawasiri na Tezidume
√ Ngiri na Uvimbe aina zote.
√ Matatizo ya Ngozi
√ KISUKARI, Presha ( BP), P I D, matatizo ya Macho N.K

Bonyeza Alama ya WhatsApp hapo Chini ili kuwasiliana na Daktar Bingwa Moja kwa moja.
Au Tupigie. 0655070634

HAKIKA MUNGU AMETUSHUSHIA NEEMA…Kwanini tena twende nje kutafuta matibabu? Wale wataalam mahiri wa kichina  wanaotoa tib...
04/02/2024

HAKIKA MUNGU AMETUSHUSHIA NEEMA…

Kwanini tena twende nje kutafuta matibabu?

Wale wataalam mahiri wa kichina wanaotoa tiba kwa magonjwa yasiokuwa ya kuambukiza kwa kutumia virutubisho maalum sasa wapo TANZANIA wakitoa huduma.

Huduma hizi zinapatikana katika vituo vyetu vya Hospital za ETERNAL INTERNATIONAL zilizoenea karibu nchi nzima(Tanzania).

Hakika ni wabobezi katika magonjwa yasioambukiza k**a vile:

🌷Vidonda vya tumbo.

🌷Matatizo ya macho.

🌷Shinikizo la damu(presha).

🌷Matatizo ya meno na kinywa.

🌷Magonjwa ya moyo.

🌷Bawasiri.

🌷Tezi dume.

🌷Gazi na miguu kuwaka moto.

🌷Mifumo ya uzazi kwa wanawake na wanaume.

🌷Matatizo mgongo.

🌷kupooza /stock.

🌷Magonjwa ya figo na homa ya ini

🌷Typhoid na u.t.i sugu na pid

🌷Matatizo ya ngozi.

🌷Kisukari. Na mengine mengi yasiokua ya kuambukiza.

Je! Ungependa kufahamu Jinsi gani Tumeweza Kuwasaidia watu wengi Kutibu Maradhi hayo Kwa Kutumia virutubisho maalumu?
Bonyeza Alama ya WhatsApp hapo Chini ili kuwasiliana na Daktar Bingwa Moja kwa moja.
Au Tupigie. 0655 070 634

01/02/2024
SABABU ZINAZOPELEKEA MIGUU KUWAKA MOTO NA KUFA GANZI.Miguu kufa ganzi au kuwaka moto ni ishara kwamba Nerve hazipeleki m...
27/01/2024

SABABU ZINAZOPELEKEA MIGUU KUWAKA MOTO NA KUFA GANZI.

Miguu kufa ganzi au kuwaka moto ni ishara kwamba Nerve hazipeleki mawasiliano katika ubongo, nikimaanisha ilo eneo lililoathirika mzunguko wake wa damu hauendi vizuri.

VYANZO NI NINI?
> Uzito kupita kiasi.
> Kutumia kiungo kimoja kwa muda mrefu ( uchovu ).
> Kushika au kukanyaga maji ya baridi mara kwa mara au sehemu zenye baridi kali.
> Utumiaji wa pombe kali au Uvutaji tumbaku nk.
> Ukosefu wa Vitamin B12.
> Ugonjwa wa Moyo, Kisukari na Presha.
> Kutokuwa na taratibu za kufanya mazoezi ya viungo mara kwa mara.
> Kufanya kazi zinazokulazimu kusimama kwa muda mrefu.
> Kupata ajari zitakazosababisha kuathirika kwa nerve..

TIBA YA MIGUU KUWAKA MOTO, KUPASUKA ,GANZI,KUUMA.

TAFUTA MKUNDE PORI CHEMSHA MIZIZ MINGI WEKA KWENYE BESENI AU NDO TUMBUKIZA MIGUU YAKO IKAE HUMO NUSU SAA UFANYE KWA MUDA WA SIKU 3-7, UKIMALIZA TAFUTA MAFUTA YA KUJIPAKA UPAKE MIGUU NA SEHEMU ZOTE ZENYE GANZI.

*KUPATA HEDHI MARA MBILI KATIKA MWEZI MMOJA*DOCT  NI KAWAIDA JIBU HAPANA ?? JIFUNZE 👇👇*(INTERMENSTRUAL BLEEDING,METRORHA...
26/01/2024

*KUPATA HEDHI MARA MBILI KATIKA MWEZI MMOJA*
DOCT NI KAWAIDA JIBU HAPANA ??
JIFUNZE 👇👇

*(INTERMENSTRUAL BLEEDING,METRORHAGIA)*

Hii ni ile hali ambayo mwanamke hupata hedhi au kutokwa na damu ukeni muda wowote katika mzunguko wake tofauti na tarehe au muda aliiouzoea.....
......na damu hii hutokea pasipokua ama kuhusiana na tendo la ndoa.....
......mfano kwa mwezi huu wa 1mwanamke anaweza kupata hedhi tarehe 10/1 halafu akapata tena tarehe 25/1

Kuna wanawake wenye mzunguko ambao uko vizuri yaani haubadiliki badiliki na wanapata damu kidogo au matone kidogo tu katikati ya mzunguko(Cyclic midcycle intermenstrual bleeding).

Yaani wakati wa yai kutoka(ovulation).

Na kuna wengine hutokwa na damu nyepesi siku chache kabla ya kupata hedhi au baada ya kumaliza hedhi kwa siku kadhaa(Cyclic premenstrual or postmenstrual intermenstrual bleeding).

Hii ni hali ya kawaida ya kimwili tu kwani kunakua na mabadiliko kidogo ya hormonal ama vichocheo vinabadilishana majukumu nyakati hizi.

*VISABABISHI VYA KUPATA HEDHI MARA MBILI*

1.Matumizi ya vidonge vya majira(Oral contraceptives)

2.Maambukizi ya shingo ya kizazi(Cervicitis)

3.Maambukizi ya ndani ya kizazi(Endometritis)

4.Saratani ya kizazi(Uterine cancer)

5.Saratani ya shingo ya kizazi(cervical cancer)

6.Saratani ya uke(vaginal cancer)

7.Saratani ya sura ya uke na mdomo wa uke(Vulva cancer)

8.Maambukizi ya Uke(Vaginitis)

9.Madonda ya magonjwa ya zinaa kwenye mfumo wa uzazi(Sexually transmitted ulcerations)

10.Uvimbe ndani ya kizazi,shingo ya kizazi,uke nk(Benign growths).

Kwa ushauri na TIBA
Wasiliana nami

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtaalamu wa Afya beatrice posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram