Mtabibu Asilia Tz

Mtabibu Asilia Tz Mtabibu Asilia Tanzania: Ni mjuzi & mtaalamu wa Elimu Asilia.
(34)

Tiba Asilia zinatambulika na kutegemewa 100%🌱

Tungependa kusikia kutoka kwako,
kwa kuwa shabiki na utoe maoni yako leo!💥

 :👁:  Pita sokoni nunua ndimu/ Limao haraka moja tu! Tafuta kipande cha karatasi Andika jina lako na mama yako  . Hamisi...
04/04/2026

:👁: Pita sokoni nunua ndimu/ Limao haraka moja tu! Tafuta kipande cha karatasi Andika jina lako na mama yako . Hamisi bint Jackline.

Kata ndimu kwa mfumo wa X Mara 3 weka karatasi jina lako kati choma (unguza) upate majivu ya karatasi yaliyogusa ndimu. Ikiungua funga zipande vya ndimu kisha..

👉Nuia mambo yako na kukiwekea kinga k**a kuna jini, uchawi na nguvu hasi ya tego hazikupata.

👉Kisha fungua vipande vya ndimu pakaa majivu hayo mwilini.Usoni, kifuani, mikononi magoti na miguuni..

: K**a kuna mtu mbaya akikugusa atapigwa shoti ya radi na kurushwa mbali... .👁

Uchawi wa sanaa ya kiini macho kuibiwa sehemu za siri, chumaulete, kuwangiwa na kuharibiwa nyota basi mwili utakuwa chuma cha reli endapo utakuwa unafanya mara kwa mara💪💪💪.

💥

Ambaye amewahi kujaribu naomba atoe ushuhuda hapo chini kwenye comment....

Usisahau kuangalia bidhaa zetu:
Tabibu Marimo Herb's :+255 758 0758 673 897 Karibu 👏👏

ASILI NI Mtabibu Asilia Tz

 : Kwanini uwe kila mara wa kuharibikiwa majambo yako au kurogwa bila sababu yeyote? Wewe sio tena mtu wa kuteseka kwa w...
02/04/2026

: Kwanini uwe kila mara wa kuharibikiwa majambo yako au kurogwa bila sababu yeyote? Wewe sio tena mtu wa kuteseka kwa waganga tena sema sasa basiii💥💥💥

👉Leo nitakufunza kuweza kurudisha ubaya unaotendewa kwa wale wanaokufanyia ubaya haijalishi awe mtu wa karibu au mbali awe ndugu au rafiki ikiwa anakufanyia uchawi sasa uchawi unaenda kumdhuru yeye mwenyewe.

👉Zoezi hili litafanika siku ya Ijumaa, Jumamosi & Jumanne, nenda sokoni nunua pilipil hoho za rangi 3. Kijani, njano na nyekundu na ukitajiwa bei usikatae wala kuomba kupunguziwa bei.

👉Na usichague chague wewe ukiona chukua tu sio umeshika hili au hiki hapana. K**ata tia mfuko lipa.

Rudi nyumbani na Pilipili hoho zako, kata kata pilipili hoho arafu twanga weka kwenye maji ya kuoga.

👉Nenda bafuni anza kujisugua na pilipil hoho kuanzia utosi malizia kichwa chote fanya kujisugua kwa kushuka chini hadi miguuni huku ukitia nia yako

"Ubaya wa kichawi uliofanyiwa na ndugu, jamaa, mtu wa karibu au mbali namrudishia ubaya wake wa rangi zote uwe wa njano, mwekundu au kijani namrudishia hiki kinavyowasha na yeye awashwe na mengine ongezea wew mwenyewe"

Jimwagie mwaji yote kwa kujitwaharisha. Hii ni Ubaya Ubwela

: USIOGOPE PILIPILI HOHO HAKIWASHI, ELIMU TIBA SIO TUNGULI NI MUDA ( SAA) (SIKU) & ELIMU YA KINYOTA SIO SHIRKI.

Follow Tabibu Marimo Herb's kwa kuona bidhaa zetu

Whatsapp:0684 765 575
ASILI NI Mtabibu Asilia Tz

SIRI KUBWA ILIYO NDANI YA MAJANI MPERA:Huu mpera nadhani wengi mtakuwa mnaujua, ni mmea ambao unatumika sana kuua kesi, ...
01/04/2026

SIRI KUBWA ILIYO NDANI YA MAJANI MPERA:

Huu mpera nadhani wengi mtakuwa mnaujua, ni mmea ambao unatumika sana kuua kesi, kuua marumbano nyumbani, kukwepa adhabu unapokosea n.k,

👉Hata watoto zamani walikuwa wakikosea wazazi wanachukua mmea huu na kwenda kuutega nyumbani mzazi aruke au wanaficha kwenye mifuko yao kukwepa adhabu ya viboko.

👉Mmea huu k**a kuna mtu unamdai / anakudai au unaenda kuongea nae jambo na unataka likubalike unaenda unatafuna majani yake k**a vile unavyotafuna Big G au jojo yote unayoongea yatakubalika na utasikilizwa.

👉Kwenye kesi unachuma majani ya mpera kwa staili ya kuweka mkono juu ya mmea na kuvuta bila kuangalia umevuta nini eidha maua au majani, we weka mkono uvute utakavyovuta ndio hivyo hivyo, kisha weka kwa mfuko wa suruali au kwenye nguo yako, nenda kwenye hiyo kesi, lakini unapochuma fanya manuwizi kwanza.

👉Huu mmea ukinywa maji ya majani yake siku 7 mfululizo mara 2 kwa siku. utafungua uzazi na utapata ujauzito. Uhakika atumia ipo kwenye comment.

👉K**a unagombana na mwenza wako sana yaani gubu maneno hayaishi hamuelewani, chukua majani mpera kaweke kwenye mto unaolalia, kisha anza kuongea na mwenzio, majibu hayawezi kuwa k**a mwanzo kamwe. mafuta ya hasadi yatumike k**a kutakuwa na hasidi kwenye ndoa ako.

👉Kwa nuksi chuma majani ya mpera, changanya na majani ya mtope tope pori, twanga upate unga, uwe unaoga kutwa mara mbili siku 7, nuksi hata iwe kali vipi itaondoka.

: Maulizo hapa comment, WhatsApp utalipia huduma

Hebu niambie mmea huu wewe uliutumia vipi na unatumikaje pande za kwenu huko? Tupeane elimu

USISAHAU KUTEMBELEA PAGE YA Tabibu Marimo Herb's kuona faida zaidi za mpera: CALL 0758 673897


ASILI NI Mtabibu Asilia Tz

  HII: Chukua yai la kienyeji moja tu! Weka chini ya uvungu wa kitanda chako kwa kunuia mambo yako yaliyo haribika hakik...
31/03/2026

HII: Chukua yai la kienyeji moja tu! Weka chini ya uvungu wa kitanda chako kwa kunuia mambo yako yaliyo haribika hakikisha ukiweka yai ulale siku iyo kitandani hapo na usifanye tendo la ndoa usiku huo k**a wanandoa.

Utaota ndoto zenye kuona adui wako na : Ukiamka Toa yai kabla ya kupasua, niambie umeona nini..

Uliyemuona ndio mbaya wako.. Tumia hekma sio uvunjifu wa amani.. Sawa tumia tiba za kujikinga naye.👁

Yai utapasukua na kukaanga bila chumvi wala mafuta na kula utakuwa unaona mambo yalijificha kila mara💪💪💪.

Nataka kumuona sasa ndio huyo.💥

Ambaye amewahi kujaribu naomba atoe ushuhuda hapo chini kwenye comment....

Usisahau kuangalia bidhaa zetu:
Tabibu Marimo Herb's :+255 684 765 0684 765 575 Karibu 👏👏

ASILI NI Mtabibu Asilia Tz

KESHO TAREHE 1 MWEZI 4, MWAKA UNAKIMBIA MIPANGO YAKO INAZIDI KUANGUKA, UNAJUA UMELETEWA HASSAD- IMEONDOSHA NEEMA YAKO, B...
31/03/2026

KESHO TAREHE 1 MWEZI 4, MWAKA UNAKIMBIA MIPANGO YAKO INAZIDI KUANGUKA, UNAJUA UMELETEWA HASSAD- IMEONDOSHA NEEMA YAKO, BAHATI & UNAKATISHWA TAMAA..

Ulikuwa na neema unafanya kazi zako mambo yanakwenda vizuri ghafra mambo yanabadilika neema unayotarajia inatoweka kwa sababu ya Hassidi amekuletea HUSDA(HASSAD)

HASSAD ni chuki inayoharibu mambo kwa kuleta kijicho na kila mwenye kijicho ni hasidi makhsusi kabisaa. kwahiyo kila mwenye kijicho ni hasidi katika Quran kumetajwa surat falaq kujikinga na hasidi. Ndio adui mwenye kijicho pia ameingia humo. Hii inatokana na ukubwa wa qurani imeeleza Kukaa mbali na hassadi kwa kuharibu mambo.

👉 Boss / Watu kukusema vibaya kila mara liwe zuri au baya kwako si njema. Ukipata, Watu hutamani uondokewe na neema uliyonayo hata k**a yule anayetamani vile hapati wala hafaidiki na chochote..yenyewe inatokana na chuki,bughda roho mbaya nk

Pia hasidi huweza kulihusudu hata jambo linalotarajiwa kufanyika hata kabla bado halijatokea na kwa upande wako. Umepata jambo njema ghafra linapeperuka.. Ulikuwa na ahadi ya kuoa au kuolewa ghafra ndoa inaota mbawa.. 🦅

Hasadi inatokana na mtu khabithi na mwenye chuki inaharibu mambo Aamir rabiia alipomsifu Sahli bin Hunaif na akapatwa na kijicho

HASSADI OIL
ni mafuta yenye kisomo cha Rukyia kwa kukimbiza kijicho cha hasadi mwenye kuhusudia jambo la mtu mpaka liharibike kwa njia za kijini au kichawi.. Kuharibu mambo yako kuvuruga ndoa, Akilia watoto shuleni, kazi yako na kila kitu kuharibiwa..

Mafuta ya HASSAD yenye kipawa cha kufukuza shari za kijicho cha hasadi chenye kuharibu majambo yako na kuharibu nguvu au kibali kilicho chukuliwa na hassidi kurudi kwako.

FAIDA ZAKE:
1.Kutoonekana na majini na wachawi
2.Kuzuia shari za majini na wachawi.3.Huongeza kipato (rizki)
4 Huweka mvuto mwili
5.Huondoa kijicho cha hasadi mwilini
6.Huongeza kinga zidi ya wachawi na majini
7.Husaidia watoto au wanafunzi uelewa shuleni.
8.Husaidia wenye kutafuta mali

MATUMIZI: PAKAA MENGI USONI ILI KIJICHO CHA HASADI KISFIKE KWENYE HAIBA YA USO WAKO. CHOMA JIFUKIZE AU FUKIZA OFISI YAKO KWA SIKU 5 MPAKA 7.

HASADI OIL- 25000TSH
WHATSAPP:+255 758 673897
MANZESE, DSM

Leo Jumatatu! Kamulia ndimu 1 au Limao 1 kwenye maji yako ya kuoga leo, nenda kaoge kuanzia kichwani mpaka miguuni kweny...
30/03/2026

Leo Jumatatu! Kamulia ndimu 1 au Limao 1 kwenye maji yako ya kuoga leo, nenda kaoge kuanzia kichwani mpaka miguuni kwenye unyayo. kisha usijifute acha maji yakauke yenyewe malizia process zote. K**a una miadi leo piga simu au Nenda kazini sasa.. 💰💰💸💸

Utakuja kunishukuru baadae.💥

Ambaye amewahi kujaribu naomba atoe ushuhuda hapo chini kwenye comment....

Usisahau kuangalia bidhaa zetu:
Tabibu Marimo Herb's:+255 684 765 0684 765 575
Karibu 👏👏

MKAA NI BONGE LA DAWA ASILIAIni moja ya vitu ambavyo haviwezi kukosekana katika makazi ya watu. Mkaa unatumika kwa matum...
27/03/2026

MKAA NI BONGE LA DAWA ASILIAI

ni moja ya vitu ambavyo haviwezi kukosekana katika makazi ya watu. Mkaa unatumika kwa matumizi ya kupikia bila kujua matumizi mengine yanayoweza kumalizwa na mkaa.

👉Kuondoa sumu mwilini
Mkaa ukisagwa vizuri ukawa unga ukichanganya na maji ya kunywa unafaa zaidi kwa kukabiliana na sumu iliyopo mwilini mwako. Ata kwa wale waliokunywa sumu mpe hii k**a huduma ya kwanza.

👉Kuondoa Harufu
K**a kuna sehemu au kitu kinatoa Harufu mbaya weka kipande cha mkaa sehemu hiyo. Harufu itapungua na kuondoka. Mfano viatu au jokofu linatoa harufu mbaya weka mkaa baada ya mda hutosikia harufu.

👉Kidonda
Tumia mkaa kwa kuusaga kisha weka sehemu uliyoumia kwa kufanya hivi kidonda kitapona. Na k**a kidonda ni kikikubwa hakiponi safisha kidonda chako vizur kisha weka unga wa mkaa.

👉Kung'arisha ngozi
Saga mkaa changanya na limao tumia kwa kujipaka usoni.

👉Kuzuia chuma ulete
Kuweka kipande cha mkaa wa kuokota sehem unayohifadhia pesa ni njia nzuri ya kuweka ulinzi wa kipato chako unaweza kuweka ktk droo yako au mfukoni kulinda kipato chako.

👉Kuzuia kuweweseka usingizini
Tumia kipande cha mkaa kuweka chini ya mto unaolalia itakusaidia sana kuzuia ndoto mbaya.

👉Unapoanika nafaka njee
Jitahidi uweke na kipande cha mkaa kufanya hivi utakua umezuia shari na vitimbi vya wabaya ktk nafaka hizo.

👉Kuondoa uchawi mwilini
Tumia kipande cha mkaa cha moto tumbukiza ktk glass ya maji kwa manuizi ya unavyozima huu moto kwenye maji ndivyo uchawi uliopo mwilini mwangu nao uzimike hivi. Kunywa hayo maji.

👉Kuondoa uchawi na limbwata
Tumia mkaa kuusaga changanya na asali kisha uwe unakunywa kijiko kimoja mara mbili kwa siku

👉Tiba ya mifugo
K**a unafuga kuku au bata wakawa na tatzo la kuharisha damu wasagie mkaa wachanganyie ktk maji wape.

👉Zingatia
Matumizi ya mkaa kupita kiasi ni tatizo kwa afya yako. Tumia kwa kipimo na usipendelee kutumia kupita kiasi.

Usisahau kufollow page yetu ya Tabibu Marimo Herb's kwa elimu zaidi +255 758 67 3897

ASILI NI Mtabibu Asilia Tz

Nashauri kutumia Mafuta ya Mavuo kwa watoto wenye changamoto za ukuaji.. Kutokutemba au kuchelewa kuongea, viungo kuchel...
27/03/2026

Nashauri kutumia Mafuta ya Mavuo kwa watoto wenye changamoto za ukuaji.. Kutokutemba au kuchelewa kuongea, viungo kuchelewa kukomaa, kushindwa kula, kutokwa na utenda.. Vichwa vikubwa au vichwa viwili.. Angalia post zetu kuona mafuta ya MAVUO.

Kitovu ni sehemu au nikiungo kinachomuunganisha Mama na mtoto wakati mtoto anapokua ktk tumbo la Mama yake. Kwamaana hatua zote za ukuaji wa mtoto hutegemea kitovu kwaajili ya chakula, damu hisia na vitu vingine ila pia apa kwenye kitovu ndipo penye Maagano ya mzazi na mtoto.

Mtoto anapozaliwa sehem hii hutenganishwa hivyo mtoto ataweza kujitegemea ktk hewa, chakula, hisia lakini hawezi kuvunja maagano yaliyomuunganisha yeye na Mama yake.
Hivyo inafanya kitovu kua bado ni sehemu muhimu kwa mtoto huyu na kwa Mama yake pia..
Ndiomaana ni rahisi mchawi kutengeneza madhara ya kiafya, kiakili na kimaisha kwa Mama na mtoto kupitia kitovu.

Kutokana na umuhimu na maagano yaliyo ndani ya kitovu inafanya kitovu kua Lulu, hadhina na kitu cha kipekee
Kitu muhimu chenye maana nzuri hua kina nyenyekewa na kutuzwa kulinda umuhimu wake.
Kitovu cha mtoto hakitakiwi kuhifadhiwa
👉Chooni
Chooni ni sehemu inayokusanya taka mwili na kitovu ni kiungo kinachounganisha uhai, maagano ya Mama na Mtoto. Kutupa kitovu chooni ni kuathiri Maagano hayo kwani chooni hukaa viumbe vibaya k**a mashetani wa kijini. Wanapokiona kitovu hich wakakila unaenda kuathiri maisha ya mtoto na mama ktk ukuaji, au ridhiki au afya na kizazi anaweza kupata athari moja wapo au zote. Kitovu ni mwanzo wa uhai kitovu mwanzo wa maisha kwanini mwanzo wa mtoto wako uanzie ktk choo. Baadae mtoto anakosa kizazi au anakua mkaidi kiburi unamlaumu mtoto ikiwa makosa ni yako...

👉Jalalani
Kitovu hakitupwi jalalani kwani jalala ni sehem ya kuhifadhi vilivyo vichafu visivyobitajika, visivyokua na umuhimu je uhai, maagano yako na mwanao kilichompa pumzi na chakula mtoto wako akiwa tumboni kwako ni uchafu au hakina umuhimu utakua mchoyo wa fadhila pia jalalani kuna mashetani wa kijini, kuna wanyama na wadudu itakuaje mwanzo wa uhai wa mtoto wako ukaliwa na jini, au mbwa au kunguru huoni k**a inaweza kumletea madhara mtoto huyu ktk ukuaji wake je utamlaumu nani?

👉Maji yaliyotuama
Usitupe wala kufukia kitovu cha mtoto wako katika maji yaliyotuama k**a kisimani kwani kunaweza kumuathiri mtoto wako ktk kua mzembemzembe kua na uelewa hafifu pia.

👉Maji yanayotembea
Usitupe kitovu cha mtoto ktk maji yanayotembea k**a mtoni kwani huathiri ukuaji wake na kumfanya awe mkaidi mzururaji.

👉Usichome moto
Utayaangamiza maisha ya mtoto huyu kwa kuchochea shida, ukame ktk umri wake.
Naunawezaje kuchoma moto mwanzo wa mtoto wako

Mahali gani ni salama kwa kuhifadhi kitovu

👉Kufukia
Hii ni njia salama ya kuhifadhi kitovu ila hutakiwi kufukia mahali popote unatakiwa kufukia ktk eneo salama ambalo sirahisi watu kujua. Pia wakati wa ufukiaji unapaswa kuzingatia vitu kadhaa k**a kukinenea maneno mazuri yenye kinga dhidi ya mtoto na yenye kuashiria mwanzo mzuri na mwisho mwema. Kifukie ktk mti wenye matunda au migomba k**a sehemu inayoakisi uzao bora na wakutosheleza. Epuka kuonekana au kusema kua umefukia hapo kitovu hicho. Epuka kumpa mtu mwingine usiejua undani wake kwani WACHAWI WANGA HUTUMIA KITOVU KWA SHUGHURI OVU. unaweza kulia kwa kumpa mtu usiejua undani wake tambua kitovu hakijabeba maana kwa mtoto tu bali na kwako pia.
Wapo waliowapa kitovu mabibi mashangazi na wazazi ikawa salama kutokana na undani wa aliepewa kua mtu mwema pia wapo walioathiriwa kutokana na undani wa watu hao kua waovu... Lazima ujue tabia za unaempa japo vizuri zaidi ukafukia mwenyewe.

Zipo tamaduni ambazo ufukia kitovu cha mtoto maeneo ya karibu na makazi yao wengine huifadhi kwa kufukia mlangoni.

Zipo baadhi ya tamaduni ambazo hufunga dawa za kinga kitovu hicho na kukihifadhi sehemu salama k**a ishara ya ulinzi wa mtoto na mama.

Zingatia
WACHAWI WANAKIHITAJI KITOVU CHA MTOTO KULIKO UNAVYODHANI HIVYO K**A UMEKITUNZA NDANI ZINGATIA WAKIKIPATA UTAJUTIA
NDIOMAANA NI MUHIMU KUCHUKUA HATUA SALAMA.

KITOVU NI MWANZO WA UHAI WA MTOTO PIA CHANZO CHA KIZAZI CHA MAMA. KIPE HESHIMA YAKE KILICHOKUUNGANISHA WEWE NA MWANAO KWA NYAKATI ZOTE AMBAZO MTOTO WAKO ALIKUA TUMBONI KWAKO.

FANYA UDADISI KWA WAZEE WENU ILI KUJUA ZAIDI MILA NA DESTURI ZENU KTK UHIFADHI WA KITOVU.

K**A ULIKOSEA KWA KUTUPA KITOVU CHA MTOTO WAKO JITAHIDI KUMUOMBEA KHERI NA KUMFANYIA TIBA NA MATAMBIKO PIA KUA NA MAZOEA YA KUMTOLEA SADAKA INAWEZA KUMSAIDIA KUMTOA KTK ADHA NA MATATIZO MBALI MBALI. Wala usiwe mnyonge kwa kuona ndio basi tena ktk Ulimwengu kila kitu kinawezekana ila jitahid usiyarudie makosa

👉👉MAJI YA KWANZA KUMUOGESHEA MTOTO
Muoheshe mtoto wako kwa maji ya kwanza yaliyo safi na yenye dawa zenye nuru k**a chumvi ya mawe walau jiwe moja la chumvi, na kuyaombea maji hayo maombi yenye kheri na mafanikio kwa maisha yake yote.
Usimwage chooni au sehemu chafu maji uliyomuogeshea mtoto wako kwa mara ya kwanza. Pia utambue maji haya wanga na wachawi huyahitaji k**a wanavyohitaji maji utakayoogeshewa mara yako ya mwisho wa uhai wako. Hivyo ukiwa k**a mzazi jitahidi uyamwage sehem yenye uhakika wa usalama.

Tuishie apa nitaendelea kwa elimu iliyobaki.

Usisahau kufollow page yetu ya Tabibu Marimo Herb's kwa elimu zaidi

Usiku wa Alhamis.members wa Mtabibu Asilia Tz  habari za asubuhi. Katika maisha tunayoishi tunakabiliwa na changamoto za...
25/03/2026

Usiku wa Alhamis.

members wa Mtabibu Asilia Tz habari za asubuhi. Katika maisha tunayoishi tunakabiliwa na changamoto za kuteswa, kusumbuliwa na Wanga na wachawi kulete mikwamo na kukosa maisha mazuri na bahati vile tunapambana.

Ikifika usiku leo mda wa kuanziaa saa 2 usiku.

Andaa
👉chungu kidogo
👉MAZIWA FRESH
👉Funga simbi pembeni na chungu

weka mlangoni kwako au uwanjani kwako k**a nyumba yako. Uwe Vaa nguo nyeusi,

Weka maziwa chupa au glass.. Weka chumvi ya mawe punje 7 au 14 ktk glass ya maziwa, Chukua chungu weka mbele yako.. Ndondoshea maziwa kwa manuizi ya kukalibisha mafanikio na kukalibisha bahati mwilini mwako.

Dondosha Tia nia tia nia yako... Mugumu unayo pitia. Ukimaliza kiruke chungu kwa mbele..

"KWA TAMBIKO HILI SEMA NIMEVUKA.." Geuka nyuma piga magoti kunywa maziwa kidogo ukimaliza jifangie nyote mwilini.

Nyooka moja kwa moja mpaka ndani kwako usigeuke nyuma mpaka uingie ndani.

k**a umefanyia mlangoni ndani ukimaliza fungua mlango.

Pia unaweza kutumia maji ya kisima ambao hakufanikiwi kupata maziwa, Maji yawe ya kuchota na gata vile visima Asilia. Chumvi ya mawe.

Mchanga wa njia panda saba. Weka kwenye maji ya kuoga kidogo kidogo, kwa manuizi ya kukalibisha bahati nzuri. Tumia kwa kuogea . oga maji ya juu tu mchanga kamwage mbele ya nyumba yako.. Au mbele ofisi yako uliokuwa chini ya ndoo.

Oga bafuni

Usisahau kufollow page ya Tabibu Marimo Herb's Kwa Elimu zaidi
0684 765 575

ASILI NI MTABIBU ASILIA TZ

 ! UMEIBIWA/ UMEDHULUMIWA LEO KOMESHA! KOMESHA! TUMIA KENGELE..Usije kuleta mzaha na hili chapisho narudia k**a umedhulu...
25/03/2026

! UMEIBIWA/ UMEDHULUMIWA LEO KOMESHA! KOMESHA! TUMIA KENGELE..

Usije kuleta mzaha na hili chapisho narudia k**a umedhulumu au kuiba rudisha! Kengele italia kila mara masikioni mwako ni hatari.. Ataweuka😎

Mtu anaamua kukuibia au kukudhulumu hawa watu hawavumiliki. Huyo ni mchawi si mtu wa kumvumilia amekuwa adui kwako.. Anakuja kukuazima pesa unamkopa halipi anaamua kukudhulumu.. Au Anakuibia ni Mchawi leo

Pole sana ila usijikatie tamaa leo tunarudisha Amana yetu. Pambana nae pata maarifa ya kujiongezea ubora wako na utashinda tu. Mimi ni nipo apa kwaajili ya kukujuza unayopaswa kujua ili uweze fanikisha kisasi chako.

Andaa
👉KENGELE / FILIMBI
👉MCHANGA NJIA PANDA
👉JINA LAKE / YEYOTE
👉MSHUMAA KIJANI
👉Karatasi nyeupe (2)
👉Markpen nyekundu

CHAKUFANYA

Hii kazi itafanyika IJUMAA Usiku wa kuamkia JUMAMOSI.

👉 karatasi ya kwanza kata kipande andika jina la mhusika au Andika yeyote anaye mwizi wangu au mdhulumati wangu kwa markpeni

👉weka karatasi nyingine chini juu weka mchanga wa njia panda. Arafu katika mchanga washa mshumaa weka katika usimame ukiwa unawaka

👉 chua kipande cha jina / yeyote weka ndani ya kengele / filimbi.

👉GONGA KENGELE sema "CHAOHI MKURU,CHAOHI MKURU" huku Unagonga kengele. Ukigonga kengele mara moja unanuia arafu unagonga tena. Gonga mara 7

👉UKIMALIZA CHOMA JINA AU MAJINA YA WAHUSIKA KWENYE MSHUMAA.. ACHA MSHUMAA UWAKE MPAKA UISHE NENDA KAZIKE KOKOTE VITU VYOTE ..


"KOKOTE ALIPO UKELELE HUU ULIE MASIKIONI MWAKE AJUTE KWANINI ALIIBA HAKI YAKO" GONGA KENGELE Sema "CHAOHI MKURU"

: Atapata KELELE MASIKIONI NA LAWAMA ZA WIZI WAKE KILA AENDAPO NA KUANGUKA KIFAFA. Elimu hii ni hatari sana..

: UDHULUMATI / MWIZI ACHA SIO VYEMA.

Follow page Tabibu Marimo Herb's kwa mahitaji ya tiba mbalimbali utasaidika
WhatsApp: 0684 765 575

ASILI NI Mtabibu Asilia Tz

 : MWEZI UNAISHA USISEME MAMBO HAYAENDI REKEBISHA NYOTA..💥K**A UMEIBIWA AU UMEFUNGWA NYOTA YAKO UMEWEKA MSUKULE.Mwili bi...
25/03/2026

: MWEZI UNAISHA USISEME MAMBO HAYAENDI REKEBISHA NYOTA..💥

K**A UMEIBIWA AU UMEFUNGWA NYOTA YAKO UMEWEKA MSUKULE.

Mwili bila ya nyota ni k**a nyumba isiyo na mlango.. Chochote kibaya na mikosi nuksi itaingia na kukuletea mikwamo na maradhi mwilini kwako.

Mtu aliyeiba nyota yako huchukua baraka zako na kukuachia mikosi na nuksi zake.

Pengine nyota sio neno geni kwenye masikio yako lakini maana halisi ndio inaweza kuwa haba akilini mwako.

Nyota ni zile code za mtu husika ambazo kila kiumbe kina code yake mbele ya Mungu. Lugha nyepesi ni namba za usajili ulizopewa na Mungu tokea ulipoumbwa paka utakapokufa.

Namba hizi ni mfano k**a wa ID ambayo humo ndani kuna kila kitu kinachokuhusu wewe na riziki zako na mambo yako yote katika neema na mitihani. Hii ndio maana ya nyota kwa ufupi.

Sasa wanachofanya wachawi ni kuingia kwenye hizi code zako na kuharibu ile mipango yako mizuri ambayo Mungu kakuwekea. Je wakati wanaharibu Mungu mwenyewe anakuwa hayupo?. Mungu anakuwepo na ndie anaekulinda.

Ila Mungu huwaacha ili akupe mtihani wewe kwasababu dunia hii ni chumba cha mitihani tu. Sasa anaacha ili akupe mtihani lakini yupo na anakulinda haachi wafanye yote wanayodhamiria.

Sasa ukigundua kuwa nyota yako imechezewa, imeibiwa, umepoteza nuru yako, mambo yako yamesimama au nuksi na mikosi kila kukicha ndio tiba ya kurudisha nyota yako. kuna aina nyingi za tiba. Kuna tiba za visomo na dawa pia, lakini usikae tu kwasababu wachawi wanatabia mbaya sana kadri unavyozidi kukaa ndio nao wanazidi kuongeza tatizo.

Dalili za kuchafuka nyota. Mambo kuharibika bila sababu. Kukimbiwa na watu bila sababu. Hela unayopata haifanyi maendeleo yoyote inapotea tu. Kufukuzwa kazi na kuchukiwa bila sababu nk. Hizi ndio habari za nyota.

WAL- NSAA Ni mafuta yalio-andaliwa kulinda (CODE YAKO) yaani nyota yako kile kibali cha baraka zako. K**a nyota yako imeibiwa au kufanyika hasadi imeshuka basi mafuta haya ya kipawa kikubwa cha kuimarisha nyota na kupandisha nyota kileleni.

Mafuta yana mchanganyiko wa mafuta za zaidi ya 07 na kisomo maalum za Rukyia kwa KUPANDISHA NYOTA..

Faida ya mafuta ya WAL-NSAA
1. Hurudisha bahati yako
2.Hupandisha nyota juu.
3.Kupendwa na kila mtu
4.Kufanikisha kila jambo
5.Huongeza mvuto mwilini.
6.Hufungua rizki

: Ni mafuta mazuri kwa wachimba migodi kupata bahati ya mali

: Pakaa usiku na mchana mwili mzima. Choma chumbani kwako.. Pia jifukize itakusaidia kurudisha Ufalme wako na bahati yako

MAFUTA YA WAL-NSAA-25000Tsh
MANZESE:DSM
WHATSAPP:+255 684 765 575
CONTACT CALL: 0758 673897

SIRI KUBWA YA MAJANI YA CHUNGAUsisahau kutembea page ya  Tabibu Marimo Herb's  kwa kuona bidhaa zetu follow chap! chap! ...
21/03/2026

SIRI KUBWA YA MAJANI YA CHUNGA
Usisahau kutembea page ya Tabibu Marimo Herb's kwa kuona bidhaa zetu follow chap! chap!

Mchunga ni mimea unaoleta chakula muhimu katika jamii za kiafrika lakini pia usilolijua ni kwamba hutibu Malaria, Pia sehemu ya Tiba Asili inayoweza kuondoa changamoto zinazokukabili na kukusumbua kwa mda mrefu.

Leo nitawapa baadhi ya faida za majani ya chunga katika tiba mbadala ya Utakaso wa mwili.

Ikiwa unashindwa na maisha kila wakati bila sababu yoyote au kila wakati una hisia kwamba kitu kibaya kitatokea na kinakufanya uogope. kila wakati unapigana na watu, ndoto mbaya, biashara zako zinaanguka au Afya yako imeteteleka..

Tafadhali fanya hivi 👇
Tumia utakaso wa Chunga
Vifaa vyako.
👉.Pata majani ya chunga, yale yanayotumika kupikia (mboga)
👉.Pata ndimu 7.
👉.Chumvi ya mawe ya bahari.

Saga au twanga Chunga yako.kisha kata kata ndimu zako changanya maji yote pamoja, Unapaswa kupata lita 20 kamili yaliyochanganywa pamoja kwenye ndoo. Weka chunga zako ulizotwanga au kusaga, ongeza chumvi mawe kidogo ya bahari ndani yake, na nenda kuoga nayo bila kuongeza maji zaidi ndani yake na usiogee chooni au na sabuni.

Unapooga nayo, sema kwa utulivu kwamba unajiondoa kwa aina yoyote ya uchawi nuksi na nguvu hasi unaozunguka maisha yako. Sema kwamba unajifunua kwa baraka, neema na Vivutio. Baada ya kuoga nayo, tafadhali usitumie taulo.

❌❌❌ acha mwili wako ukauke kawaida kisha uvae na uendelee na shughuli zako za kila siku. Tiba hii inasaidia sana na inafanya kazi sana💥 Utahisi utulivu na amani hii papo hapo ndani yako na utafurahi baada ya kufanya Tambiko hili rahisi lakini lenye nguvu la kuchaji Nishati.


Majani ya mchunga usinywe oga tu hakikisha unatia nia zako zote.

TUPIGIE 0758973897
WHATSAPP 0684 765 575
ASILI NI Mtabibu Asilia Tz

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255684765575

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtabibu Asilia Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram