Boman health care

Boman health care Tunawasaidia watu wenye maradhi sugu kuondokana na maradhi hayo kabisa kwa kutumia ushauri wa lishe

OFFER OFFER OFFER!!!TUNAWASAIDIA WATU WENYE CHANGAMOTO YA MARADHI SUGU YOTE.PATA VIPIMO VYA MWILI MZIMA BURE NA USHAURI ...
13/10/2023

OFFER OFFER OFFER!!!

TUNAWASAIDIA WATU WENYE CHANGAMOTO YA MARADHI SUGU YOTE.

PATA VIPIMO VYA MWILI MZIMA BURE NA USHAURI BURE NA KUFUNGUA FILE KWAAJILI YA HUDUMA SH 20,000 TU

JUA AFYA YAKO, PATA VIPIMO MWILI MZIMA BURE, PATA USHAURI BURE,
NJOO TUKUHUDUMIE TUPO KWA AJILI YAKO.
TUNA WATAALAMU WATAKAO KUSIKILIZA, KUKUPIMA NA KUKUTIBU.

TUNAHUSIKA NA;

🔹Presha, 🔹Matatizo ya Moyo na INI 🔹Vidonda vya Tumbo,
🔹Kisukari 🔹Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba,
🔹 cholesterol
🔹Kupunguza unene, uzito, na matumbo
🔹Tenzi dume

Kupima au kufanya chekapu ya mwili mzima ni badala ya 140,000 utalipa 20,000/= tu. karibu sana.

MATIBABU NA VIPIMO KWA MWENYE TATIZO PIGA
Namba- wa.me/255683177342

KUFIKA OFISINI.

Karibu kupatiwa matibabu na vipimo bure kabisa
07/10/2023

Karibu kupatiwa matibabu na vipimo bure kabisa

OFFER OFFER OFFER!!!TUNAWASAIDIA WATU WENYE CHANGAMOTO YA MARADHI SUGU YOTE.PATA VIPIMO VYA MWILI MZIMA BURE NA USHAURI ...
05/10/2023

OFFER OFFER OFFER!!!

TUNAWASAIDIA WATU WENYE CHANGAMOTO YA MARADHI SUGU YOTE.

PATA VIPIMO VYA MWILI MZIMA BURE NA USHAURI BURE NA KUFUNGUA FILE KWAAJILI YA HUDUMA SH 20,000 TU

JUA AFYA YAKO, PATA VIPIMO MWILI MZIMA BURE, PATA USHAURI BURE,
NJOO TUKUHUDUMIE TUPO KWA AJILI YAKO.
TUNA WATAALAMU WATAKAO KUSIKILIZA, KUKUPIMA NA KUKUTIBU.

TUNAHUSIKA NA;

🔹Presha, 🔹Matatizo ya Moyo na INI 🔹Vidonda vya Tumbo,
🔹Kisukari 🔹Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba,
🔹 cholesterol
🔹Kupunguza unene, uzito, na matumbo
🔹Tenzi dume

Kupima au kufanya chekapu ya mwili mzima ni badala ya 140,000 utalipa 20,000/= tu. karibu sana.

MATIBABU NA VIPIMO KWA MWENYE TATIZO PIGA
Namba- wa.me/255753349348

KUFIKA OFISINI.

Zipo sababu nyingi za mwanamke kutoona siku zake mfano:-Kua miamzito-Kunyonyesha,-Kufika ukomo wa hedhi- Nia za uzazi wa...
03/10/2023

Zipo sababu nyingi za mwanamke kutoona siku zake mfano:
-Kua miamzito
-Kunyonyesha,
-Kufika ukomo wa hedhi
- Nia za uzazi wa mpango k**a sindano, na vidonge
-Unene kupitiliza
-Kua na uzito mologo sana
-Msongo wa mawazo
-Hitilafu katika o***y
-Homoni imbalance nk

✨Kupata hedhi kupita kiasi ni moja ya matatizo ya uzazi yanayosumbua wanawake wengi. Tafiti zimeonyesha kwa kila wanawak...
03/10/2023

✨Kupata hedhi kupita kiasi ni moja ya matatizo ya uzazi yanayosumbua wanawake wengi. Tafiti zimeonyesha kwa kila wanawake 1000; wanawake 53 kati ya huwa na tatizo la kupata hedhi kupita kiasi. Ni theruthi tu ya wanawake wenye shida ya hedhi hutafuta tiba stahiki kwa daktari wengi hukaa nayo kwa aibu au hofu.

✨Je ni wakati gani mwanamke anatakiwa kuhisi kuwa anapata hedhi kupita kiasi?

1: Unapata hedhi inayozidi siku 7
2: Unapata hedhi nzito inayofanya ubadiri pedi moja ndani ya masaa mawili
3: Unapata hedhi nzito inayokulazimu kuvaa pedi zaidi ya moja
4: Unapata hedhi nzito inayolowesha hadi nguo za nje
5: Unapata hedhi nzito inayokulazimu kuamka usiku kubadiri pedi
6: Hedhi inayotoka na mabonge
✍️Sababu gani huweza kuchangia mwanamke kupata hedhi nzito kupita kiasi?

Vivimbe kwenye kuta za mji wa kizazi; vivimbe hivi sio saratani huitwa fibroids
Yai kupevuka bila mpangilio (Irregular ovulation) ; hali hii husababisha kuta za mji wa mimba zivimbe na kuwa nene hivyo kutoa damu nyingi. Hutokea zaidi kipindi cha kuvunja ungo na kipindi cha kukaribia ukomo wa hedhi
Matatizo ya kugandisha damu
Matumizi ya dawa za kuzuia damu kuganda
Baadhi ya wanawake waliotumia vitanzi (IUD) hasa ndani ya mwaka wa kwanza
Maambukizi ya mji wa mimba na mirija ya uzazi (PID)
Endometriosis
Saratani ya mji wa kizazi; kwa kinamama waliofikia umri wa ukomo wa hedhi. Wakianza kupata hedhi isiyokoma huweza kuwa dalili ya ya saratani ya mji wa kizazi
✨ATHARI ZA HEDHI NZITO KUPITA KIASI KWENYE AFYA

◽Hedhi nzito kupita kiasi huchangia wanawake wengi kupata upungufu wa damu
◽Hedhi kuwa nzito kupita kiasi huweza kuwa ni dalili ambao unahitaji tiba ya haraka
◽Huweza kuchangia kudhoofisha afya ya akili ya mwanamke ikiwemo kujiamini na wasiwasi

Wasiliana nasi
☎️255753349348
Like & follow Ishiutakavyoafya

K**a una sumbuliwa na matatizo haya nitafute mapema sana nikupe suluhisho la kudumu
03/10/2023

K**a una sumbuliwa na matatizo haya nitafute mapema sana nikupe suluhisho la kudumu

*_USHAURI KUHUSU ULAJI WA CHAKULA KWA WAGONJWA WA KISUKARI._* ➖Matibabu ya ugonjwa wa kisukari yanagharimu fedha nyingi....
03/10/2023

*_USHAURI KUHUSU ULAJI WA CHAKULA KWA WAGONJWA WA KISUKARI._*

➖Matibabu ya ugonjwa wa kisukari yanagharimu fedha nyingi. Kwa hiyo ni muhimu kuzuia na kudhibiti athari za kisukari mapema.

➖Ili kudhibiti ugonjwa wako wa kisukari unapaswa kupata matibabu sahihi, kufuatilia na kupima hali yako ya afya mara kwa mara pamoja na kuzingatia mtindo bora wa maisha na taratibu zinazofaa za ulaji wa chakula.

*_KANUNI ZA ULAJI UNAOFAA UNAOPASWA KUUZINGATIA UNAPOKUA NA KISUKARI_*

1️⃣Kula mlo kamili (angalau mara 3 kwa siku) kwa kuzingatia muda mahususi kwasababu hutakiwi kukaa na njaa kwa muda mrefu.

2️⃣.Dhibiti kiasi cha nishati – lishe (wanga) katika chakula ili kisizidi mahitaji ya mwili. Kiasi kitegemee mahitaji ya mtu binafsi siyo kuacha Kula.

3️⃣.Ongeza ulaji wa vyakula vyenye makapi – mlo kwa wingi. Kiasi kikubwa cha nishati-lishe kitokane na vyakula vya asili ya nafaka isiyokobolewa, mizizi na ndizi za kupika. Sukari inayotoka katika vyakula hivi hufyonzwa kwa taratibu na hivyo kupunguza kasi ya ongezeko la sukari katika damu.

4️⃣.Panga utaratibu wa kula chakula na matumizi ya dawa zako. Iwapo unatumia insulin au dawa za kushusha kiwango cha sukari katika damu unapaswa kujipangia muda wa kula chakula na kumeza dawa ili kuzuia kupungua kwa sukari katika damu.

5️⃣.Kula mbogamboga kwa wingi katika kila mlo.

6️⃣Kula tunda katika kila mlo.

7️⃣Epuka kunywa pombe.

8️⃣Epuka ulaji wa vyakula vyenye sukari nyingi k**a soda, keki, biskuti, p**i na asali.

_*KANUNI NYINGINE ZA KUZINGATIA NI*_

✅.Punguza uzito k**a una uzito uliozidi - au dhibiti uzito wa mwili ili usifikie uzito uliozidi(Overweight). Ni muhimu kuwa na uwiano sahihi wa uzito wa mwili kulingana na urefu wako(BMI).

✅.Zingatia usafi na usalama wa chakula.

_*NB*_
Ugonjwa wowote unaotokana na mfumo wa maisha(Lifestyle deases) kuuishi au kuutatua unahitaji garama kwel kwel.

✍️ *KUUISHI NA KUENDANA NAO NI GARAMA*
✍️ *KUHAKIKISHA K**A NI SUKARI/PRESSURE HAIPANDI NI GARAMA*
✍️ *KUNUNUA DAWA/SINDANO NI GARAMA*
✍️ *KULA VYAKULA AMBAVYO HUVIPENDI NI GARAMA* .
✍️ *KUTHIBITI HASIRA HASIRA KWA MFANO MTU MWENYE SUKARI NI GARAMA*.

Maswali na ushauri :-255753349348

Karibu kupata huduma kwa wale walemavu ambao sio wa kudumu kupata huduma kwa urahisi na dawa za lishe pia ushauri tunato...
03/10/2023

Karibu kupata huduma kwa wale walemavu ambao sio wa kudumu kupata huduma kwa urahisi na dawa za lishe pia ushauri tunatoa bure na vipimo bure kabisa 255753349348

*Ugonjwa sugu wa figo*✍️ Hufafanuliwa k**a upotezaji wa polepole wa utendaji wa figo. Kawaida kazi ya figo ni kuchuja ta...
03/10/2023

*Ugonjwa sugu wa figo*

✍️ Hufafanuliwa k**a upotezaji wa polepole wa utendaji wa figo. Kawaida kazi ya figo ni kuchuja taka na maji mengi kutoka kwa damu yako, ambayo hutolewa kwenye mkojo. Katika hatua ya hali ya juu, kiwango kikubwa sana cha maji, elektroni, na taka zinaweza kuongezeka mwilini.

_*Dalili*_
▶️ Mwili hauonyeshi dalili Katika hatua za awali na dalili kubwa huonekana figo ikiwa imeharibiwa sana. Baada ya uharibifu muhimu wa figo kufanyika kwa muda, dalili na dalili zifuatazo zinaweza kuzingatiwa:-

🔶Uchovu
🔶Kupoteza hamu ya kula
🔶Uvimbe au uvimbe katika macho, mikono, na miguu
🔶Shinikizo la damu
🔶Uzito hasara
🔶Kuvuta kwa misuli
🔶Upungufu wa kupumua
🔶Kichefuchefu & kutapika

✍️ Sababu za ugonjwa wa figo sugu
📌 Kazi ya figo inaweza kuharibika kwa sababu ya ugonjwa wowote au hali, ambayo inaweza kujumuisha yafuatayo:

🔶Maambukizi ya figo ya mara kwa mara
🔶Kuzuia kwa muda mrefu kwa njia ya mkojo
🔶Nephritis ya ndani
🔶Ugonjwa wa figo wa polycystic
🔶Glomerulonephritis
🔶Aina 1 au aina 2 ya ugonjwa wa kisukari
🔶Shinikizo la damu
🔶Causes of CKD

▶️Shida za Ugonjwa wa figo sugu
Kwa kuendelea kwa ugonjwa sugu wa figo kunaweza kusababisha shida k**a vile:

🔶Uharibifu wa Mfumo wa neva wa Kati (CNS) unaosababisha kutokuwa na uwezo wa kuzingatia.

🔶Kuongezeka ghafla kwa viwango vya potasiamu katika damu, ambayo inaweza kusababisha kuharibika kwa utendaji wa moyo.

🔶Kuongezeka kwa hatari ya magonjwa ya moyo na mishipa.

🔶Shida zinazohusiana na ujauzito

🔶Mifupa dhaifu na kuongezeka kwa tabia ya kuvunjika

*_Je! Magonjwa ya figo sugu hutibiwa vipi?_*

▶️ Hatua za mwanzo za hali hii zinaweza kutibiwa kwa kufanya mabadiliko ya lishe na mtindo wa maisha k**a

🔶Kudhibiti sukari ya damu.
🔶Kudumisha shinikizo la kawaida
🔶Kula chakula chenye chumvi kidogo
🔶Zoezi
🔶Kudumisha uzito wa kawaida
🔶Kuepuka pombe, tumbaku, na kuvuta sigara
🔶Walakini, katika hatua za baadaye, mgonjwa atahitaji "dialysis ya kawaida au upandikizaji wa figo."

Maswali, maoni na ushauri:255753349348

KWANINI WAGONJWA WENGI WA PRESHA HUPOTEZA MAISHA GHAFLA BAFUNI.*✅*BAFUNI*Hapa tunaangalia yule aliyeenda kuoga. Kwanza u...
03/10/2023

KWANINI WAGONJWA WENGI WA PRESHA HUPOTEZA MAISHA GHAFLA BAFUNI.*

✅*BAFUNI*
Hapa tunaangalia yule aliyeenda kuoga. Kwanza unatakiwa ujue mtu mwenye shinikizo la damu hashauriwi kabisa kuoga maji ya baridi hasa asubuhi na k**a atafanya hvyo basi kuna taratbu za kufuata ili kidogo aepuke tatizo.

❇️Anza kwa kujimwagia maji sehemu k**a miguuni mikononi na kupanda juu taratibu. Hii ni kwa ajil ya kuufanya mwili uanze kuadapt new temperature taratibu na hatimaye ubongo utoe taarifa mwili u regulate whole body temperature kulingana na iliyokuwa induced.

❇️Utakapoanza kwa kujimwagia maji ya baridi haraka unaulazmisha mwili u adapt new temperature haraka sana hivyo process inayoitwa chilling kwa kimombo itafanyika. Yaani mwili utasisimka ghafla na kufanya contraction and relaxation of blood vessels haraka. Hii contraction and relaxation husababisha either damu ishindwe kusafiri endapo ni contraction au k**a ni relaxation basi isafirishwe nyingi upande mmoja kuzidi uwezo wa mishpa ya damu hivyo kusababisha mishipa ya damu kupasuka hivyo upande mmoja either kwenye ubongo au moyo kukosa damu.

*Hii itasababisha jambo moja kati ya haya:*

*STROKE*
Hii hutokea pale ambapo kuna upungufu/hamna damu kwenye ubongo hivyo kupelekea ubongo kukosa oxygen na glucose ili uendelee kufanya kazi vizuri. K**a tatizo lilikuwa dogo na baada ya muda ukarudi katika hali ya kawaida basi hiyo wanaita Complete Stroke ila k**a ndo moja kwa moja hio wanaita Incomplete means sio ya kupita ambayo inaweza ikaleta kifo sasa.

*HEART ATTACK*
Hii hutokea pale ambapo damu haifiki kwenye moyo vizuri/kabsa hivyo moyo kukosa oxygen. Maelezo mengine yote ya Heart attack ni k**a hayo hapo juu.

✅*CHOONI*
Hii hutokea hasa pale mtu anapoenda kutoa haja kubwa. Bado tunarud kule kule kwenye contraction and relaxation of blood vessels ambapo vyote kati ya hvyo husababisha either *HEART ATTACK au STROKE.*

▶️Unashauriwa kuepuka sana choo kigumu(constipation) hasa k**a una shinikizo la damu. Jinsi unavyojibana kutoa haja kubwa unabana mpaka mishipa ya damu hivyo kupelekea sehemu moja kati ya kwenye ubongo au moyo kukosa damu(oxygen) kwa muda.

_NI WAJIBU KUJIFUNZA SOTE NA NI JUKUMU LAKO KUCHUKUA HATUA_

Usiogope mpendwa unaweza kupona shinikizo la damu kabisa wasiliana nasi uweze kupata matibabu stahiki 255753349348
03/10/2023

Usiogope mpendwa unaweza kupona shinikizo la damu kabisa wasiliana nasi uweze kupata matibabu stahiki 255753349348

Karibu kupata huduma stahiki kwa dawa za lishe zitakazosaidia kupona kabisa 255753349348
03/10/2023

Karibu kupata huduma stahiki kwa dawa za lishe zitakazosaidia kupona kabisa 255753349348

Hii nimeweka special kwa wanawake wanaochanganya UTI na Fungus/PID/ bacterial vaginosis(kutokwa uchafu unaonuka)unakuta ...
03/10/2023

Hii nimeweka special kwa wanawake wanaochanganya UTI na Fungus/PID/ bacterial vaginosis(kutokwa uchafu unaonuka)

unakuta mtu anakwambia Dr natoka Sana uchafu unajaa kwenye Chupi, nimeaambiwa Ni UTI, nimetumia sana madawa haiponi, unabaki HUELEWI

📌Mwanamke ana Vishimo viwili,cha juu ni NJIA ya mkojo,hapa mkojo Tu Hupita,na shimo la Chini ni VA**NA,UKE wenyewe hapa uume hupita,mtoto hupita wakati wa kuzaliwa lakin pia mwanamke akiwa period, damu Hupita Hapo..

UTI inahusiana na Njia ya JUU tu,yaan njia ya mkojo,na dalili zake ni kuumia wakati wa kukojoa, kukojoa mara kwa mara mkojo kidogo,kutoa mkojo wenye harufu kali sana

kutoka Uchafu unaonuka sana, kuwashwa Ukeni kwa ndani,maumivu wakati wa s*x, chanzo ni NJIA hiyo ya chini, Vagina...inaweza kuwa Vaginal candidiasis yaan fungus,PID,au hata vaginosis, ila SIO UTI📌..

In Shortly Uke umeganyika katika Sehemu kuu mbili nazo ni:-
1.UKE (VA**NA)/ njia ya Uzazi.
Uke ni ile sehemu (tundu) inayopitisha mtoto wakati wa kuzaliwa,pia ndiyo sehemu ambayo uume huingia wakati wa kujamiiana. Kwa maana rahisi kabisa, uke ni sehemu ya ndani inayotengeneza sehemu za siri za mwanamke, rejea kidole kwenye picha

2.VULVA
V***a ni sehemu ya nje ya uke ambayo ndiyo hugusana na nguo za ndani anazovaa mwanamke. Hii inahusisha mashavu makubwa ya nje ya uke, mashavu madogo ya ndani ya uke, tundu la mkojo pamoja na sehemu zote zilizo nje (isipokuwa tundu lenyewe la uke).

Sehemu ya haja kubwa japo siyo mojawapo ya sehemu zinazounda mfumo wa uzazi wa mwanamke tunaweza kuikaribisha pia kuwa sehemu ya v***a kwa kuwa matatizo yoyote yanayohusisha v***a huathiri pia sehemu ya haja kubwa.

K**a umejifunza usiache kumtag rafiki yako tujifunze pamoja.

Pia k**a una changamoto yoyote ya Uzazi? Tuambie, tunaweza kuwa sehemu ya suluhisho kwako!

Leo nimetoa upendeleo wa kipekee Niko Online DM/ Inbox Najibu messange zote una changamoto yoyote ya UZAZI nitumie Ujumbe DM/ inbox au Whatsapp no:255753349348

Jipatie Vipimo vya Mwili Mzima ni bure..✓kumuona daktari bure✓ushauri bure✓vipimo bure✓hakuna kupanga foleni✓utatibiwa c...
03/10/2023

Jipatie Vipimo vya Mwili Mzima ni bure..
✓kumuona daktari bure
✓ushauri bure
✓vipimo bure
✓hakuna kupanga foleni
✓utatibiwa chanzo cha tatizo lako either kwa njia ya lishe au tiba

Utafungua file Elfu 20 tu

Je, unataka kujua hali ya afya yako kwa undani? Hapa ndipo penyewe!

Tunatoa vipimo vya mwili mzima bure.
Huduma zetu ni za hali ya juu na zinajumuisha uchunguzi kamili wa afya yako na utajipatia tiba sahihi kwa tatizo ulilo nalo. Utajipatia tiba ya chanzo cha tatizo lako na utapona .

**Huduma Zinazojumuishwa:**
- Uchunguzi wa maswala ya uzazi
- Vipimo vya shinikizo la damu
- Kipimo cha uzito na urefu
- uchunguzi wa mifupa na joints
-maumivu na ganzi kwenye miguu na mikono
- uchunguzi wa vidonda vya tumbo
- uchunguzi wa tatizo la sukari (diabetic) na tiba ya uhakika
- Uchambuzi wa matokeo na ushauri wa kitaalam

Fahamu zaidi kuhusu mwili wako. Huduma hii ya kipekee ni kwa muda wa kikomo, hivyo tuchukue fursa sasa!

Kuweka miadi ili usikae kwenye foleni , wasiliana nasi kwa simu: 255753349348

MATUMIZI YA DAWA AU VIPANDIKIZI VYAUAZAZI WA MPANGO💉💊💉▪️kuzorotesha mirija ya fallopian na wakati mwingine husababisha▪️...
03/10/2023

MATUMIZI YA DAWA AU VIPANDIKIZI VYA
UAZAZI WA MPANGO💉💊💉
▪️kuzorotesha mirija ya fallopian na wakati mwingine husababisha
▪️kuziba hivyo hupelekea homone za uzazi kutokuwa na uwiano pH wakati mwingine unajikuta
▪️UNAKOSA UTE WA UZAZI
▪️hamu ya mapenzi au TENDO LA NDOA KUPOTEA,
▪️mvurugiko wa Hedhi,
▪️hedhi isiyoeleweka nyepesi au yenye mabonge bonge (HOMONE IMBALANCE) ▪️maambukizi kwenye mirija ya uzazi( PID) hupelekea Kutokwa na
▪️uchafu mzito wenye harufu na
▪️Kupatwa maumivu ya tumbo hasa chini ya kitovu na sababu nyingine nyingi japo hutofautiana mtu na mtu.
Lakini sababu hizi hufanya mtu kutoshika ujauzito. Je ulipatwa na hizo dalili?
nitafute kwa number zangu
WhatsApp 255753349348
nikusaidie k**a umekuwa muhanga wa hizo changamoto.

Hii nimeweka special kwa wanawake wanaochanganya UTI na Fungus/PID/ bacterial vaginosis(kutokwa uchafu unaonuka)unakuta ...
03/10/2023

Hii nimeweka special kwa wanawake wanaochanganya UTI na Fungus/PID/ bacterial vaginosis(kutokwa uchafu unaonuka)

unakuta mtu anakwambia Dr natoka Sana uchafu unajaa kwenye Chupi, nimeaambiwa Ni UTI, nimetumia sana madawa haiponi, unabaki HUELEWI

📌Mwanamke ana Vishimo viwili,cha juu ni NJIA ya mkojo,hapa mkojo Tu Hupita,na shimo la Chini ni VA**NA,UKE wenyewe hapa uume hupita,mtoto hupita wakati wa kuzaliwa lakin pia mwanamke akiwa period, damu Hupita Hapo..

UTI inahusiana na Njia ya JUU tu,yaan njia ya mkojo,na dalili zake ni kuumia wakati wa kukojoa, kukojoa mara kwa mara mkojo kidogo,kutoa mkojo wenye harufu kali sana

kutoka Uchafu unaonuka sana, kuwashwa Ukeni kwa ndani,maumivu wakati wa s*x, chanzo ni NJIA hiyo ya chini, Vagina...inaweza kuwa Vaginal candidiasis yaan fungus,PID,au hata vaginosis, ila SIO UTI📌..

In Shortly Uke umeganyika katika Sehemu kuu mbili nazo ni:-
1.UKE (VA**NA)/ njia ya Uzazi.
Uke ni ile sehemu (tundu) inayopitisha mtoto wakati wa kuzaliwa,pia ndiyo sehemu ambayo uume huingia wakati wa kujamiiana. Kwa maana rahisi kabisa, uke ni sehemu ya ndani inayotengeneza sehemu za siri za mwanamke, rejea kidole kwenye picha

2.VULVA
V***a ni sehemu ya nje ya uke ambayo ndiyo hugusana na nguo za ndani anazovaa mwanamke. Hii inahusisha mashavu makubwa ya nje ya uke, mashavu madogo ya ndani ya uke, tundu la mkojo pamoja na sehemu zote zilizo nje (isipokuwa tundu lenyewe la uke).

Sehemu ya haja kubwa japo siyo mojawapo ya sehemu zinazounda mfumo wa uzazi wa mwanamke tunaweza kuikaribisha pia kuwa sehemu ya v***a kwa kuwa matatizo yoyote yanayohusisha v***a huathiri pia sehemu ya haja kubwa.

K**a umejifunza usiache kumtag rafiki yako tujifunze pamoja.

Pia k**a una changamoto yoyote ya Uzazi? Tuambie, tunaweza kuwa sehemu ya suluhisho kwako!

Leo nimetoa upendeleo wa kipekee Niko Online DM/ Inbox Najibu messange zote una changamoto yoyote ya UZAZI nitumie Ujumbe DM/ inbox au Whatsapp no: 255753349348

Je unasumbuliwa na matatizo ya kifua kukohoa ,unapata maumivu kifuani karibu tuweze kukusaidia kupata dawa husika zitaka...
03/10/2023

Je unasumbuliwa na matatizo ya kifua kukohoa ,unapata maumivu kifuani karibu tuweze kukusaidia kupata dawa husika zitakazoweza kukusaidia 255753349348

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255683177342

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Boman health care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Boman health care:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram