
30/05/2024
๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐
๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐. ๐. ๐ (๐๐๐๐ฆ๐๐ฎ๐ค๐ข๐ณ๐ข ๐ค๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐ ๐ง๐ฃ๐ข๐ ๐ฒ๐ ๐ฆ๐ค๐จ๐ฃ๐จ) ๐. ๐. ๐ ๐ง๐ข ๐ง๐ข๐ง๐ข? ๐๐, ๐ข๐ง๐๐ฐ๐๐ณ๐ ๐ค๐ฎ๐๐ฆ๐๐ฎ๐ค๐ข๐ณ๐ฐ๐ ๐ฆ๐ข๐จ๐ง๐ ๐จ๐ง๐ข ๐ฆ๐ฐ๐ ๐ฐ๐๐ฉ๐๐ง๐ณ๐ข? ๐๐ณ๐ฎ๐ฆ๐ ๐ง๐ ๐. ๐. ๐, ๐ฎ๐ค๐ฐ๐๐ฅ๐ข ๐ง๐ข ๐ฎ๐ฉ๐ข?
๐. ๐. ๐ - Urinary tract infection ni maambukizi kwenye njia ya mkojo, ni maambukizi ya vimelea vya magonjwa (bacteria) kwenye njia ya mkojo yaani urethra, kibofu cha mkojo, ureter au figo Sehemu kubwa ya maambukizi hutokea sehemu ya chini ya mfumo wa mkojo (urethra na kibofu), asilimia 80-85% ya UTI husababishwa na bacteria aina ya E.coli ambao wanapatikana kwenye utumbo na njia ya haja kubwa k**a normal flora, husaidia kumeng'enya chakula na kufyonzwa virutubisho tumboni .Tatizo linaanza anapohamishwa kutoka eneo la makazi yake kwenda sehemu nyingine ambayo si makazi yake.
๐๐๐ฅ๐ข๐ฅ๐ข ๐ณ๐ ๐๐๐
โ Maumivu wakati wa kukojoa
โ Maumivu chini ya kitovu
โ Kukojoa kila saa (mara kwa mara kuliko kawaida)
โ Damu wakati wa kukojoa
โ Homa
โ Mkojo kuwa na harufu kali
โ Maumivu kiuno, wakati mwingine.
๐๐ต๐ฎ๐ป๐ฎ ๐ฝ๐ผ๐๐ผ๐ณ๐ ๐ธ๐๐ต๐๐๐ ๐จ๐ง๐
๐๐๐ ๐ก๐ฎ๐ฐ๐๐ฉ๐๐ญ๐ ๐ฐ๐๐ง๐๐ฐ๐๐ค๐ ๐ฉ๐๐ค๐๐ ?!
Ukweli; UTI inaweza kupata jinsia zote, japokuwa wanawake wanaambukizwa kwa wingi kuliko wanaume ambapo wanawake 60 kati ya 100 wanapata UTI. Na wanaume 12 kati ya 100. Hii inafanya ionekane k**a ugonjwa wa wanawake pekee. Hutokea sana kwa wanawake kwa sababu ya ufupi wa njia ya mkojo (urethra) ambayo ni sm 4 tofauti na wanaume ambayo ni sm 20, hii inafanya bacteria kushika hatamu haraka kwa wanawake tofauti na kwa wanaume. Maumbile, ukaribu wa njia ya mkojo na njia ya haja kubwa kwa mwanamke.
๐๐๐ ๐ฅ๐๐ณ๐ข๐ฆ๐ ๐ข๐จ๐ง๐๐ฌ๐ก๐ ๐๐๐ฅ๐ข๐ฅ๐ข ?!
Ukweli; UTI mara nyingi huwa na dalili k**a maumivu wakati wa kukojoa, kukojoa mara kwa mara. Sio mara zote mtu atakuwa na dalili, mtu anaweza kuwa na vimelea vya ugonjwa kwenye njia ya mkojo lakini asiwe na dalili yoyote ile.
๐๐๐ณ๐ข๐ฆ๐ ๐ฎ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐ ๐๐๐ฐ๐ ๐ฎ๐ค๐ข๐ฐ๐ ๐ง๐ ๐๐๐ ?!
Ukweli: Watakaokuwa na bacteria kwenye njia ya mkojo lakini hawana dalili hawana ulazima wa kutumia dawa. Wajawazito, wazee, na wenye mpira wa mkojo (catheter) ni lazima watumie dawa wakionekana kuwa na bacteria hata k**a hawatakuwa na dalili husika.
๐๐๐ ๐ข๐ง๐๐ฐ๐๐ณ๐ ๐ค๐ฎ๐ฉ๐จ๐ง๐ ๐ฒ๐๐ง๐ฒ๐๐ฐ๐ ?!
Ukweli; Mtu mwenye dalili za UTI ni vema akatumia dawa husika kwa ajili ya matibabu Watu wasio na dalili kabisa hawatalazimika kutumia dawa na ugonjwa unaweza kuisha wenyewe, na kwa wale wenye tatizo hili sugu wafanye hivo kupata tiba haraka Zaidi kuepusha madhara k**a saratani ,PID n.k.
๐๐๐ ๐ข๐ง๐๐ฐ๐๐ณ๐ ๐ค๐ฎ๐๐ฆ๐๐ฎ๐ฆ๐ข๐ณ๐ฐ๐ ๐ค๐๐ญ๐ข ๐ฒ๐ ๐ฐ๐๐ฉ๐๐ง๐ณ๐ข ?!
Ukweli; UTI sio ugonjwa wa zinaa (STIs) hivyo hauwezi kuambukizwa kwa kujamiiana kwani uhusika wa njia ya mkojo kwenye kujamiiana haupo. UTI ni maambukizi kwenye njia ya mkojo, tendo la kujamiiana halihusishi njia ya mkojo kabisa.
๐๐๐ ๐ง๐ข ๐ฎ๐ ๐จ๐ง๐ฃ๐ฐ๐ ๐ฐ๐ ๐ณ๐ข๐ง๐๐ (๐๐๐ฑ๐ฎ๐๐ฅ๐ฅ๐ฒ ๐ญ๐ซ๐๐ง๐ฌ๐ฆ๐ข๐ญ๐ญ๐๐ ๐ข๐ง๐๐๐๐ญ๐ข๐จ๐ง - ๐๐๐๐ฌ)?!
Ukweli; UTI sio ugonjwa wa zinaa, ingawaje kujamiiana kunaweza kuongeza hatari ya UTI kwa wanawake.
Hivyo ni vema baada ya tendo kunawa kwa maji na kukojoa ili kuondoa vimelea vya magonjwa ambavyo vinaweza kunasa kwenye mlango wa njia ya mkojo na kusababisha ugonjwa. Mwanamke akiwa na UTI haimfanyi mwenza wake kuwa na UTI pia.
"๐๐ค๐ข๐จ๐ง๐ ๐๐ง๐๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐ ๐๐ณ๐ฎ๐ฆ๐ ๐ฎ๐ฃ๐ฎ๐ ๐๐๐ ๐ฌ๐ฎ๐ ๐ฎ ๐ฌ๐๐ง๐" Azuma ni jila la chapa (brand name) ya Azithromycin. Azithromycin ni dawa (antibiotic) kutoka kwenye kundi la Macrolides, inafanya kazi kwa kuzuia ukuaji wa bacteria kisha kuziua. ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐.
๐๐ณ๐ข๐ญ๐ก๐ซ๐จ๐ฆ๐ฒ๐๐ข๐ง ni nzuri kwa kutibu magonjwa ya mfumo wa upumuaji k**a Nimonia, mafindofindo (tonsillitis), pharyngitis, maambukizi kwenye masikio na magonjwa ya zinaa k**a Kisonono na PID, na hapa ndipo utata ulipo na watu kudhani kuwa Azuma inatibu UTI, UTI sio ugonjwa wa zinaa nan do maana watu hutumia dawa weeee lakini tatizo hubakia pale pale, karibu kwa tiba thabiti ya kudumu na kuondosha usugu huo na ugonjwa huo mara moja.
Kutokwa uchafu ukeni
Muwasho ukeni
Kuharisha na kutapika
Kutokwa harufu isiyo ya kawaida ukeni na dalili zingine k**a hizi Sio dalili za UTI.
๐๐๐ง๐๐ ๐ก๐จ๐ฌ๐ฉ๐ข๐ญ๐๐ฅ๐ข ๐ฎ๐๐๐ง๐ฒ๐ข๐ฐ๐ ๐ฏ๐ข๐ฉ๐ข๐ฆ๐จ ๐ค๐๐ฆ๐ ๐ฎ๐ค๐จ ๐ฆ๐๐๐ฅ๐ข ๐ง๐๐ฆ๐ข ๐๐๐๐๐ ๐ฒ๐ ๐ก๐๐ฉ๐จ ๐ง๐ข๐ญ๐๐๐ฎ๐ญ๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐๐ฃ๐ข๐ซ๐ข ๐ฒ๐ ๐ฌ๐ฎ๐ฅ๐ฎ๐ก๐ข๐ฌ๐ก๐จ ๐ฅ๐ ๐ค๐ฎ๐๐ฎ๐ฆ๐ฎ ๐ค๐ฐ๐ ๐ฆ๐๐ญ๐ข๐๐๐๐ฎ ๐ฒ๐ ๐.๐.๐, ๐.๐.๐, ๐
๐๐๐๐๐, ๐ง๐ ๐ฆ๐๐ซ๐๐๐ก๐ข ๐ฆ๐๐ง๐ ๐ข๐ง๐๐ฒ๐จ. ๐๐ฌ๐ข๐ฃ๐ข๐ญ๐ข๐๐ฎ ๐ฆ๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐๐ฐ๐ ๐๐ข๐ฅ๐ ๐ฎ๐ฌ๐ก๐๐ฎ๐ซ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐ค๐ญ๐๐ซ๐ข ๐๐ฅ๐๐ฐ๐ ๐ค๐ฎ๐ง๐ ๐ฆ๐ฐ๐ข๐ฅ๐ข ๐ค๐ฎ๐ฃ๐๐ ๐ฌ๐ฎ๐ฆ๐ฎ ๐ฆ๐ฐ๐ข๐ฅ๐ข๐ง๐ข ๐ง๐ ๐ค๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐ฎ๐ฉ๐๐ญ๐ ๐ง๐๐๐ฎ๐ฎ ๐ฐ๐ ๐ฎ๐ ๐จ๐ง๐ฃ๐ฐ๐ ๐ฐ๐๐ค๐จ ๐ฆ๐ฐ๐ข๐ฌ๐ก๐จ๐ฐ๐ ๐ค๐ฎ๐๐ฅ๐๐ค๐๐ ๐ค๐ฎ๐ฉ๐๐ญ๐ ๐ฆ๐๐ซ๐๐๐ก๐ข ๐ฆ๐๐ค๐ฎ๐๐ฐ๐ ๐ค๐๐ฆ๐ ๐๐๐ง๐๐๐ซ ๐๐ฎ ๐ฆ๐๐ซ๐๐๐ก๐ข ๐ฒ๐ ๐
๐๐๐, ๐๐๐ ๐ง.๐ค!