Afya Kwa Wote

Afya Kwa Wote FERTILITY TIPS
AFYA YA UZAZI KWA WANAMKE NA MWANAUME
UTI
PID
FANGASI

Ujumbe Muhimu Sana Kwa Wanawake Wote Wanaotaka Kupata Watoto...HATIMAYE! China Yavujisha Tiba Asilia Ya Kunasa “MIMBA” N...
20/06/2024

Ujumbe Muhimu Sana Kwa Wanawake Wote Wanaotaka Kupata Watoto...

HATIMAYE! China Yavujisha Tiba Asilia Ya Kunasa “MIMBA” Ndani Ya Siku 29 Tu...
..Tiba Iliyofichwa Kwa Zaidi ya Miaka 1,300 Kwa Wanawake Wenye Umri wa Miaka 35 - 46+….

(Hata K**a mwanamke ameshajaribu Kila Njia na Amefeli au Mimba Zinaharibika)

Tiba asilia iliyowasaidia zaidi ya wanawake 300+... Kwa kila mwezi

Njia ambayo INA GUARANTEE Ndani ya siku 90 utapata matokeo.

Njia ambayo ni rahisi sana kuitumia.

Piga simu moja kwa moja kuwa wakwanza kupata huduma hii piga simu namba 0682853970

Au

Bofya hapa kufahamu zaidi sasa hivi
>>> https://wa.me/message/U7ZPRWVWPA7UG1

NB: Tangazo hili halitokuwepo online muda wote.

Chukua hatua mara moja kabla haijaondolewa.

Piga simu namba 0682853970 kupata huduma ya haraka zaidi

Au

Bofya hapa kupata huduma ya haraka
>>> https://wa.me/message/U7ZPRWVWPA7UG1

Gcat Eternal Hospital

VIPIMO,,, USHAURI NA MATIBABU KWA BEI YA PUNGUZO Shirika la Afya  kutoka CHINA/ GCAT HOSPITAL, IMETOA  OFA KWA WATU WATA...
19/06/2024

VIPIMO,,, USHAURI NA MATIBABU KWA BEI YA PUNGUZO

Shirika la Afya kutoka CHINA/ GCAT HOSPITAL, IMETOA OFA KWA WATU WATAKAO fika katika vituo vyake vyote, KUPATA HUDUMA YA VIPIMO NA MATIBABU,,Ofa hii niya👇👇
▪️ Vipimo vya mwili mzima, Kupimwa magonjwa yote mwilini ni Tshs 20,000/= tu
▪️ Punguzo la bei 20% kwa kila dawa( bidhaa zetu )

Magonjwa tunayo tibu ni;
🚑 ✅, ✅ Matatizo ya Moyo na INI
✅Kansa, ✅Vidonda vya Tumbo,
✅Kisukari ✅Pumu
✅Stroku. ✅Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba
✅Matatizo ya mifupa, ✅Matatizo ya miguu
✅Ngozi, ✅Figo, ✅Fangasi sugu
✅Kupunguza unene, uzito, na matumbo
✅Kuongeza kinga mwilini(CD4)
✅U.T.I sugu,Gesi
✅Bawasiri, ✅Tenzi dume
✅Heshima ya ndoa kwa kina baba. N.k

TIBA ZETU NI TIBALISHE NA VIRUTUBISHO.
Ambavyo hufanya kazi kuu nne ( 4 ) mwili
👉 Kuosha
👉 Kulinda/ Kukinga
👉 Kujenga
👉 Kutibu

Karibu sana Upate huduma Zetu imara . Tupo Dar es salaam Majumba sita Airport na Mikoani pia tunapatikana

Wasiliana nasi kwa simu namba

0682 853 970
Kwa Whatsapp gusa Link hapa chini 👇
https://wa.me/message/U7ZPRWVWPA7UG1

🔴 *MADHARA YA SINDANO ZA KUZUIA MIMBA*👉🏻Usumbufu wa hedhi👉🏻Kuumwa kichwa mara mara👉🏻Kizunguzungu👉🏻Kichefuchefu👉🏻Kuongeze...
14/04/2023

🔴 *MADHARA YA SINDANO ZA KUZUIA MIMBA*

👉🏻Usumbufu wa hedhi
👉🏻Kuumwa kichwa mara mara
👉🏻Kizunguzungu
👉🏻Kichefuchefu
👉🏻Kuongezeka uzito usiokuwa na faida
👉🏻Kupunguza hamu ya tendo la ndoa
👉🏻Kusababisha Uvimbe kwenye kizazi (fibroids)

🔴 *MADHARA YA VIDONGE VYA KUZUIA MIMBA*

👉🏻Huathiri fuko la uzazi kwa ndani na kusababisha uvimbe
👉🏻Kuongeza uzito wa ute utokao katika njia ya uke ili kuzuia mimba kutunga
👉🏻Kuumwa kichwa mara mara
👉🏻Kupata kichefuchefu
👉🏻Kutopata hedhi kwa baadhi ya wanawake
👉🏻Kubadilisha mwenendo wa damu
👉🏻Kuliathiri ini kidogo kidogo
👉🏻Kupata kisukari
👉🏻Kupata ugonjwa wa moyo
👉🏻Kupooza upande mmoja wa mwili.
👉🏻Kupunguza hamu ya tendo la ndoa

*🔴MADHARA YA KIJITI*

👉🏻Husababisha saratani za aina mbali mbali
👉Kuchanganyikiwa kiakili
👉🏻Shinikizo la damu
👉🏻Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.
👉🏻Kusababisha ukavu uliopitiliza kwenye uke hivyo kusababisha vidonda
👉🏻Kupunguza kwa kasi kubwa hamu ya tendo la ndoa

*🔴MADHARA YA KITANZI*

👉🏻Utokaji ovyo wa damu
👉🏻Kutoboka fuko la uzazi
👉🏻Kuongezeka kwa upana wa uke na kuifungua lupa na kufungwa kwa uzazi.
👉🏻Kitanzi kufyatuka na kusababisha upasuaji
👉🏻Kuondoa hamu tendo la ndoa.

K**a umeshaathirika na moja Kati ya njia hizi karibu nikusaidie( 0682853970)

NJIA SALAMA YA KUTIBU UZAZI KWA MWANAUME NA MWANAMKE     Wanaume wengi wanashindwa kutungisha mimba na wanawake Kutoshik...
13/04/2023

NJIA SALAMA YA KUTIBU UZAZI KWA MWANAUME NA MWANAMKE
Wanaume wengi wanashindwa kutungisha mimba na wanawake Kutoshika Mimba kutokana na changamoto mbalimbali. Swala la uzazi sio la upande mmoja tu wa mwanamke pia wanaume wengi hawana uwezo wa kutungisha mimba. ✍🏻✍🏻
Tumewasaidia wanaume na wanawake wengi sana kutibu tatizo la ugumba na wamepata watoto. Na wengi wao walikuwa na changamoto k**a hizi👇
✅Kuwa na mbegu chache
✅Kuwa na uvimbe kwenye kizazi au kwenye mayai
✅Mbegu kuwa na uwezo mdogo wa kuogelea.
✅ Mvurugiko wa homoni/ Homone imbalance
✅ Kutokurudia tendo la ndoa
✅ Mirija ya uzazi kuziba
✅ Upunguvu wa nguvu za kiume
✅Kukosa hamu ya tendo la ndoa
✅Dhakari kusimama kwa ulegevu.
✅ Kukosa hedhi/Period
✅ Saratani ya shingo ya kizazi
✅Kuhisi maumivu wakati wa tendo.
✅ Kukosa hisia
✅ Changamoto ya tezi dume.
#.Nanyingine nyingi

Haijalishi changamoto yako wewe imekutesa kwa mda gani,GCAT HEALTH CARE CLINIC Kutoka China ipo kwa ajili ya kutatua changamoto yako.
⚫Tunatoa huduma ya vipimo vya mfumo mzima wa Mwanaume na Mwanamke kwa Tshs 20,000/= tu .
NB: Usitumie dawa yoyote bila kupata vipimo na Ushauri wa daktar.✖️
Je ni wewe unahitaji huduma kwa ofa hii ya vipimo?
K**a ni wewe basi piga simu kwa namba 0682853970 Kwa maelekezo zaidi , Tunapatikana dar es salaam Majumba sita na mkoani pia.
Wasiliana nasi kwa namba 0682853970 maana ninao mda wa kuongea na wewe ,piga simu sasa hivi.
Au bonyeza link hapo chini
https://wa.me/message/U7ZPRWVWPA7UG1

NIMEPANGA KUWASAIDIA WATU WENYE CHANGAMOTO HII YA HORMONE IMBALANCE (0682853970)
13/04/2023

NIMEPANGA KUWASAIDIA WATU WENYE CHANGAMOTO HII YA HORMONE IMBALANCE (0682853970)

MATUMIZI HOLELA YA DAWA ZA HOSPITAL(ANTIBIOTIC) NI HATARI KWA AFYA YAKO YA MWILI, NA ORGANS MUHIMU K**A FIGO, INI, KONGO...
13/04/2023

MATUMIZI HOLELA YA DAWA ZA HOSPITAL(ANTIBIOTIC) NI HATARI KWA AFYA YAKO YA MWILI, NA ORGANS MUHIMU K**A FIGO, INI, KONGOSHO NA MOYO NA KUPELEKEA FIGO KUFELI, INI KUCHAKAA NA KUCHOKA, KONGOSHO KUFELI NA KUSHINDWA KUZALISHA INSULINI YA KUTOSHA LAKINI PIA MATUMIZI YA DAWA ZA HOSPITALI KWA MUDA MREFU HUATHIRI MIFUMO YA UZAZI(WANAWAKE NA WANAUME) NA KUATHIRI MOYO KIUJULA NOTE;PUNGUZA KUTUMIA DAWA ZA HOSPITALI MARA KWA MARA NA ANZA SASA KUTUMIA VIRUTUBISHI NINAVYO LEO VIRUTUBISHI VYA KUONDOA SUMU MWILINI, HABARI NZURI NI KWAMBA NITAKUPATIA KWA OFA VIRUTUBISHO ABAVYO VITOA SUMU MWILINI NA KULINDA INI, FIGO, KONGOSHO NA MOYO(0682853970)

*K**A HUPATI UJAUZITO JIULIZE MASWALI YAFUATAYO* 👉Je, mzunguko wa siku zako upo vizuri?👉je, unapata maumivu makali sana ...
13/04/2023

*K**A HUPATI UJAUZITO JIULIZE MASWALI YAFUATAYO*

👉Je, mzunguko wa siku zako upo vizuri?

👉je, unapata maumivu makali sana ya tumbo wakati wa hedhi?

👉Je, una uvimbe kwenye kizazi?

👉Je, unapata maumivu ya tumbo chini ya kitovu upande wa kulia na kushoto?

👉Je, unatokwa na uchafu wa aina yeyote ile ukeni?

👉Je, unapata siku zako vile inavyotakiwa? Yaani mzunguko wa siku zako upo sawa?

👉Je, unapata maumivu wakati wa tendo la ndoa?

👉Je, unapata ukavu wakati wa tendo la ndoa?

👉Je unakosa hisia za tendo la ndoa?

👉Je, huwa unapata ute wa uzazi siku za hatari (ovulation days)?

👉Je, ulishawahi kutoa ujauzito?

👉Je, umeshawahi kuugua P.I.D (mashambulizi ya bakteria kwenye kizazi)?

k**a jibu ni ndio kwa sababu mojawapo tajwa hapo juu basi hiyo ndiyo Sababu inayokuzuia kupata ujauzito.

Je wewe unatatizo gani linakusumbua? Niambie sasahivi! Nikusaidie 0682853970

*NINI CHANZO CHA UKE KUWA MKAVU                 *Uke mkavu;* ni tatizo ambalo husababishwa na *upungufu wa homoni au kut...
13/04/2023

*NINI CHANZO CHA UKE KUWA MKAVU


*Uke mkavu;* ni tatizo ambalo husababishwa na *upungufu wa homoni au kutokua na uwiano wa homoni ya estrogen ambayo upelekea misuli ya uke kusinyaa na kukosa vilainishi* .

🩸Kwa kawaida uke unatakiwa kuwa na Ute wa wastani ambao hufanya uke kubana kuleta joto na Raha ya tendo.

🩸 Ute huo ukizidi Sana au kua pungufu Sana nalo ni tatizo.

*VISABABISHI VYA UKE MKAVU.*

-Utumiaji mafuta yenye kemikali (cosmetics)

-Magonjwa ya zinaa na fangasi

-Matumizi ya sabuni za antibiotics kwa kuoshea uke

-Upungufu wa homoni

-Uoga na wasiwasi

*DALILI ZA UKE MKAVU*

-Maumivu wakati wa tendo la ndoa

-Kupungua hamu ya tendo la ndoa

-Kua na ngozi kavu

-Maumivu ya mifupa na viungo

-Msongo wa mawazo

-Mzunguko wa hedhi Kubadilika badilika

-Kutokufurahia tendo la ndoa kutokana na Maumivu.

MATIBABU YA UKE MKAVU

Kuna tiba imetengenezwa kwa kuzingatia tiba lishe na Ni Bora Zaidi kwa afya

Kwa maelezo zaidi piga 0682853970

🛑 *UJUE UGONJWA WA P.I.D*Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke kwa kitaalamu Pelvic Inflamatory Diseases au kwa k...
13/04/2023

🛑 *UJUE UGONJWA WA P.I.D*

Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke kwa kitaalamu Pelvic Inflamatory Diseases au kwa kifupi PID, ni moja ya matatizo ambayo huwaathiri sana wanawake. Kwa kawaida maambukizi haya huusisha shingo ya uzazi (cervix) hali ambayo hujulikana k**a cervicitis, nyama ya mfuko wa uzazi (endometrium) ambayo kitaalamu huitwa endometritis, na mirija ya uzazi (fallopian tubes) hali ijulikanayo kitabibu k**a salpingitis.

*_PID husababishwa na nini?_*

Pamoja na aina kadhaa za vimelea kuhusishwa na PID, vimelea vya jamii ya Neisseria Gonorrhoeae pamoja na Chlamydia trachomatis ndivyo vinavyoongoza kwa umaarufu zaidi katika kusababisha PID kwa akina mama.

*Je mwanamke huambukizwaje PID?*

Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza kuambukizwa PID. Njia hizo ni pamoja na

✅Kufanya ngono isiyo salama.

✅Maambukizi ya njia ya uzazi hasa kipindi mara baada ya kujifungua (au postpartum period)

✅Maambukizi ya njia ya uzazi mara baada ya kutoa mimba kwa njia zisizo salama (post abortion) au mara baada ya mimba kutoka (miscarriage)

✅Kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa uzazi (IUCD) k**a njia mojawapo ya uzazi wa mpango.

✅Kuambukizwa kupitia damu iliyo na vimelea vya PID.

*Dalili za PID ni zipi?*

Zipo dalili kadhaa za ugonjwa huu wa PID. Miongoni mwa dalili hizi ni :-

✅Mwanamke kuhisi maumivu ya tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu

✅Kupata maumivu ya mgongo.

✅Mwanamke kupata utoko mchafu sehemu za siri. Utoko huu huambatana na harufu mbaya.

✅Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa.

✅Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa.

✅Kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi.

✅Kupata homa.

✅Wakati fulani kuhisi kichefuchefu na
Pia kutapika.

⏩Ugonjwa huu wa Pelvic Inflammatory Diseases *P.I.D* unakuwa kwa Kasi kubwa na baadhi ya wanawake hupata madhara makubwa baadae hususani Ugumba kutokana na kupuuzia matibabu. Ikiwa unaona dalili tajwa hapo juu jitahidi kuanza matibabu taratibu kabla haujapata madhara ambayo yanaweza kugharimu Maisha yako kwa ujumla.
✍🏿✍🏿✍🏿✍🏿✍🏿✍🏿✍🏿✍🏿

Kwa maelezo Zaid tupigie 0682853970

*JE KUNA MADHARA YA KUTOA MIMBA⁉️*Kabla hujafiria kutoa mimba, ni muhimu kufahamu matokeo mabaya kiafya yanayoweza kujit...
13/04/2023

*JE KUNA MADHARA YA KUTOA MIMBA⁉️*

Kabla hujafiria kutoa mimba, ni muhimu kufahamu matokeo mabaya kiafya yanayoweza kujitokeza siku za mbele baada ya kufanya kitendo hichi, hasa kwenye swala zima la uzazi.

*NINI KINATOKEA BAADA YA KUTOA MIMBA?*

Wanawake wengi hupata dalili hizi siku chache baada ya kutoa mimba, dalili ambazo zinaweza kuchukua mpaka siku 21 kuisha

1. ```kutokwa damu kwa week 2 mpaka 4
2.muumivu ya nyonga
3.mwili kukosa nguvu na kusinzia ovyo
4.kutapika na kizunguzungu```

*MADHARA MAKUBWA YANAYOWEZA KUJITOKEZA BAADA YA KUTOA MIMBA NI PAMOJA NA:*

🔆 ```majeraha kwenye mlango wa kizazi na kizazi
🔆kutokwa damu kupita kiasi mpaka kuishiwa damu
🔆mimba kushindwa kutoka yote(incomplete abortion) na hivo kuhitaji upasuaji mwingine
🔆maambukizi sugu kwenye via vya uzazi(PID)
🔆makovu kwenye tumbo la uzazi
🔆kufanyika kwa mashimo ndani ya kizazi
-mgonjwa kufariki```

*MADHARA YA MUDA MREFU BAADA YA KUTOA MIMBA*

🔆 ```kujifungua mtoto kabla ya muda wake kutimia(pre-term deliveries
🔆kutoa mimba husababisha kulegea kwa mlango wa kizazi na hivo kuongeza hatari ya mimba zijazo kutoka ama kujifungua kabla ya wakati yaani chini ya week 37.
endapo mtoto atazaliwa chini ya muda wa week 37 anaweza kupata madhara ya kiafya k**a matatizo ya ubongo.
🔆saratani ya matiti: Tafiti zinasema kwamba kutoa mimba kunaongeza hatari ya mwanamke kupata saratani ya matiti.
kuugua magonjwa sugu k**a chlamydia na PID

🔆kupata magonjwa ya akili:
tafiti zinasema kwamba waawake wengi hupata matatizo ya akili baada ya kutoa mimba na dalili k**a
kujutia kutoa mimba
sonona na msongo mkubwa wa mawazo
kupata wasiwasi k**a je watashika tena ujauzito mwingine
kuona aibu na kujihisi wakosaji
kupata mawazo ya kujiua
K**a ulitoa mimba na unaanza kupata dalili hizi hapa juu, chukua hatua mapema, onana na mtaalamu wa afya ya akili kupata ushauri wa kina.````

*KUSHINDWA KUSHIKA UJAUZITO KWA SIKU ZA BAADAE BAADA YA KUTOA MIMBA*

1.Kutokana na athari ya magonjwa k**a PID kwenye kizazi na mirija, inaweza kupelekea mwanamke kushindwa kushika mimba kwa siku za baadae.

2.Kwa mwanamke aliyetolewa mimba hospitali kutokana na changamoto za kiafya, hatari ya kukosa mimba kwa siku zijazo ni kubwa hasa k**a mwanamke husika ana changamoto za kisukari, magonjwa ya figo, ini, moyo na mapafu na kuchanika kwa kizazi.

3.Kushindwa Kushiriki Tendo la Ndoa ipasavyo

*BAADA YA KUTOA MIMBA WANAWAKE HUWEZA KUPATA CHANGAMOTO KWENYE TENDO KUTOKANA NA;*

1.uke kuwa mkavu sana
2.kupungua kwa hamu ya kushiriki tendo
3.kushindwa kufika kileleni na
4.maumivu makali wakato wa tendo.

⚠️ *K**a unapata dalili hizi na uliwahi kutoa mimba onana na daktari atakupa ushauri wa kina na k**a unatamani kuondoa Madhara ambayo tayari umeshayapata, pengine hupati mimba au ukipata zinatoka mara kwa mara, tumaini lako lipo tena...wasaliana na mm na uwe muwazi ili nijue namna ya KUKUSAIDIA*

TIBA SAHIHI YA UGONJWA WA U.T.I , FANGASI SUGU NA MUWASHO UKENI.Fangasi Inasababishwa na jamii ya fungi anaitwa CANDIDA....
13/04/2023

TIBA SAHIHI YA UGONJWA WA U.T.I , FANGASI SUGU NA MUWASHO UKENI.

Fangasi Inasababishwa na jamii ya fungi anaitwa CANDIDA. Seli za fangasi na bacteria wazuri huishi ukeni bila tatizo lolote. Tatizo linakuja endapo ukuaji wa fangasi hawa ukeni watakuwa wengi kushinda wazuri. Basi hapo ndio inapotokea ugonjwa wa fangas na miwasho mingi.

DALILI ZA FANGASI

1. Kukojoa mara kwa mara.

2. Mkojo kuwa na harufu kali.

3. Maumivu ya misuli na tumbo hasa chini ya kitovu.

4. Maumivu ya kiuno.

5. Kuwashwa sehemu za siri.

6. Kuhisi maumivu wakati wa kujamiiana.

7. Kupata vidonda vya ukeni.

8. Kuvimba na kuwa mwekundu kwa mdomo wa inje wa uke.

9. Kuhisi kuwaka moto sehemu za siri baada ya tendo la ndoa.

10. Kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu unaoweza kuwa mwepesi au mzito au majimaji.

VISABABISHI VYA FANGASI.

1. Mabadiliko ya homoni katika kipindi cha upevushwaji wa mayai kwa mwanamke kipindi cha ujauzito, utumiwaji wa uzazi, wa mpango na kukoma kwa hedhi.

2. Upungufu wa kinga mwilini: Mtu mwenye upungufu wa kinga mwilini k**a vile mwenye kuugua kansa, ukimwi, magonjwa mbalimbali yenye kupunguza kinga ya mwili.

3. Kukosa usingizi stress, vidonda sehemu za siri,matumizi ya antibiotics, kuweka marashi sehemu za siri.

4. Watu wanaougua kisukari ambao hawawezi kudhibiti kwa kutumia dawa za kisukari, inakuwa kwenye damu na hicho kisukari ndiyo chakula kikuu cha hao fangasi.

Hata wanawake ambao wanapenda kula vyakula vya sukari nyingi k**a vile chocolates, soda, na vingine vyenye sukari nyingi ambavyo ni chakula cha fangasi.

5. Mazingira ya joto hii inamaanisha nguo ambazo tunatakiwa kuvaa k**a vile chupi za cotton hasa kwa wanawake, hazihitaji joto sababu bacteria wabaya wanakuwa wengi sana na kusababisha miwasho na FANGASI

6. Kondomu na mbegu za kiume huharibu hali ya asidi iliyopo ukeni ambayo ni ya muhimu sana maana inasaidia kukinga uke usiingiliwe na bacteria wabaya.

MADHARA MAKUBWA YA FANGASI

Kupatwa kwa ugonjwa wa Pelvic Inflammatory Disease (PID) maambukizi katika via za uzazi na kupelekea kuwa mgumba, ndio maana wanawake wengi ni wagumba.

NAMNA YA KUJILINDA NA U.T.I NA FANGASI.

1. Tumia viini lishe na virutubisho i.e food supplements.

2. Kunywa maji mengi angalau glasi nane kwa siku.

3. Epuka matumizi ya pombe na kahawa.

4. Kunywa maji kabla ya kufanya mapenzi na kojoa baada ya kufanya mapenzi.

5. Jitawaze kuanzia mbele kwenda nyuma. (Front to Back)

6. Kata makucha marefu kwa sababu unavyokwenda chooni kujitawaza huwa baadhi ya uchafu unabaki kwenye makucha na ndio chanzo cha wanawake wengi kuwa na U.T.I inayojirudia mara kwa mara.

7. Tumia pads ukiwa kwenye period.

8. Ebuka kujipulizia pafyumu kwenye sehemu za siri.

9. Vaa nguo za ndani za pamba na epuka nguo zilizobana sana.

SULUHISHO LA WENGI.

Watu wengi wanapokuwa na U.T.I huenda kupewa antibiotics ambazo huenda kuua bakteria wazuri na matokeo yake baada ya muda U.T.I inarudi kwa kasi sana.

SULUHISHO LA KUDUMU.

Tumia supplement/ Tiba lishe za asili ambazo hazina kemikali ndani yake.

Unapaswa wewe mwanamke usijioshee kila siku badala ya kuweka marashi au sabuni za chemical, zaidi huuwa bacteria wazuri na kuwaacha wale wabaya. Na pia kutumia dawa bila ushauri kutoka kwa daktari ni hatari kwa afya yako pia kwan kuna wengine wanatumia dawa za kuweka ukeni na baada ya muda ujikuta uchafu unaanza kutoka na mwisho wa siku tatizo uwa kubwa na kupelekea PID.

HITIMISHO;

JE, UNA DALILI TAJWA HAPO JUU AU UNA TATIZO ILI LA FANGASI SUGU AU UTI?

K**a una tatizo hili au unamfahamu mtu mwenye tatizo na ameshindwa kulipatia ufumbuzi, wasiliana nasi kwa ushauri na msaada zaidi. Kwani tunavyo virutubisho/ supplement ambayo imekuwa msaada kwa wanawake wengi ambao walikuwa wamekataa tamaa kwa kutafuta ufumbuzi muda mrefu bila mafanikio.

13/04/2023

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Kwa Wote posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share