Afya Bora Afrika

Afya Bora Afrika Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya Bora Afrika, Medical and health, Ilala boma, Dar es Salaam.

Tuna huduma ya utoaji ushauri na matibabu katika maradhi mbalimbali, kama kisukari, presha, bawasiri, Ngiri, vidonda vya tumbo nk: Tuna tumia tiba asilia karibuni sana kwa ushauri wa kiafya.

10/08/2023
K**A UKO HIVI UTAACHWA NA KILA MWANAMKELeo nimeona niongele hili swala wanaume wengi kutodumu kwenye Mahusiano au kuachw...
25/03/2023

K**A UKO HIVI UTAACHWA NA KILA MWANAMKE

Leo nimeona niongele hili swala wanaume wengi kutodumu kwenye Mahusiano au kuachwa mara kwa mara

Kuna sababu zinaweza kuchangia lakini kuna wakati wanamke anaamuwa tu kutoka na mwanume mwingine.

wengi huona k**a hakuna tatizo ila ni maamuzi tu ya mwanamke ila ukweli wa mambo kuna sababu moja kubwa ukiwanayo hiyo lazima mwanamke akuwache ni kushindwa kurudia tendo au ukiwa mtu wa kimoja tu chali yani hapo hapo hakuna mwanamke atakae dumu labda kubaki na familia tu...

Sasa k**a unatatizo hilo au bado hujui ila unahisi basi usipatiki.

Nimekuandalia Elimu nzuri ya kufanya utatuwe hiyo aibu hapo hapo nyumbani kwako bila ya kwenda hospital

Katika somo hilo nimeleza jinsi ya kufahamu saikologia ya kufanya kuwa mshindi mechi zote kitandani.

Tuma ujumbe neno AFYA BORA kwenda whatsp +255755162724 na nitakutumia bila malipo yoyote. Au bonyeza link itakuleta Inbox

https://wa.me/message/FFHKQHQ2GIBGN1

HII NDIO KIBOKO YA BAWASIRI AINA ZOTEDR LIWAYA0717541527Bawasiri ni hali ya kuota vijinyama sehemu za haja kubwa. Bawasi...
26/09/2020

HII NDIO KIBOKO YA BAWASIRI AINA ZOTE

DR LIWAYA
0717541527

Bawasiri ni hali ya kuota vijinyama sehemu za haja kubwa. Bawasiri yaweza kuwa ya ndani au kuota nje. Bawasiri hutokea kutokana na kuvimba kwa mishipa ya vein ktk mfereji wa haja kubwa .

Dalili za Bawasiri.
-Kukosa hamu ya kwenda chooni
-Kupata choo chenye damu
-Kuota vijinyama kwenye sehemu ya haja kubwa
- Kuwashwa sehemu ya haja kubwa
- kupata choo kigumu mithili ya kinyesi cha mbuzi.
- kupta maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa.

Tiba na suluhisho la bawasiri ni kutibu au kuondoa kinyama na kurekebisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula uwe vizuri. Suluhisho ninalo kwa mwenye changamoto hii bila upasuaji. unakaa sawa kabisa . NINAYO BAWASIRI POWDERS NA BAWASIRI FLUID DIPEL, TATIZO LINAISHA KABISA. NI ZA ASILI NA ZINAONDOA CHANZO CHA TATIZO NA KUTIBU KABISA. Niko Dar es salaam lkn hata wa mikoani huduma yangu wataipata kwa kuwasafirishia. Kwa mawasiliano

Dr.Liwaya
Tiba asili, Tanzania
Whatsap; +255 717 541 527
Calls; +255 717 541 527/+255 684 167 579
Email; mohammedliwaya@gmail.com

HII NDIO KIBOKO YA BAWASIRI0717541527WhatsappCall
15/09/2020

HII NDIO KIBOKO YA BAWASIRI

0717541527
Whatsapp
Call

TATIZO LA BAWASIRIBAWASIRI,AINA ZAKE,CHANZO,DALILI NA TIBA ASILIBAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE⚫Ni ugonjwa unaotokana na kuvi...
13/09/2020

TATIZO LA BAWASIRI

BAWASIRI,AINA ZAKE,CHANZO,DALILI NA TIBA ASILI

BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE
⚫Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa.

AINA ZA BAWASIRI⤵️
1. BAWASIRI YA NJE
Ni kuota kinyama sehemu ya nje ya haja kubwa.

2.BAWASIRI YA NDANI
Ni kuota kinyama sehemu ya ndani ya haja kubwa mara nyingi huambatana na maumivu makali na damu.

▶️HATUA YA KWANZA Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahali pake pa kawaida.
▶️HATUA YA PILI
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya kujisaidia
▶️HATUA YA TATU
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe
▶️HATUA YA NNEH
ii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi

SABABU ZINAZOPELEKEA MTU KUPATA BAWASIRI

(1) Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva
(2) Tatizo sugu la kuharisha
(3) Ujauzito
(4) Uzito wa mwili kupita kiasi
(5) Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
(6) Kupata haja kubwa ngumu
(7) Kua na mgandamizo mkubwa tumboni.
(8) Kunywa pombe
(9) kula sana nyama nyekundu
(10) Vidonda vya tumbo
(11) ngiri
(12) Kula sana pilipili
(13 ) kunyanyua vitu vizito

ATHARI ZA BAWASIRI
▶️Upungufu wa damu mwilini
▶️Kutokwa na kinyesi bila kijitambua
▶️ kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
▶️kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
▶️kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
▶️Kupata tatizo la kisaikolojia
➡️ Kutopata ujauzito
➡️ Mimba kuharibika

NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASIRI

▶️Kula mboga za majani na nafaka zisizo kobolewa kwa wingi
▶️ kunywa maji mengi lita sita hadi kumi na mbili kwa siku
▶️Acha kufanya ngono kwa kutumia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
▶️Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu.
➡️ Acha kunywa pombe
➡️ Punguza kula nyama nyekundu
➡️ Punguza matumizi ya pili pili.
➡️ Jitibie vidonda vya tumbo

⚫DALILI ZA BAWASIRI
▶️kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
▶️kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
▶️kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
▶️kupata kinyesi chenye damu
▶️kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia.

Dr LIWAYA
Tiba Bora Afrika

0717541527
mohammedliwaya@gmail.com

*TATIZO LA BAWASIRI.**BAWASIRI,AINA ZAKE,CHANZO,DALILI NA TIBA ASILI* DBAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE⚫Ni ugonjwa unaotokana ...
05/09/2020

*TATIZO LA BAWASIRI.*

*BAWASIRI,AINA ZAKE,CHANZO,DALILI NA TIBA ASILI* D

BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE
⚫Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa.

AINA ZA BAWASIRI⤵️
1. BAWASIRI YA NJE
Ni kuota kinyama sehemu ya nje ya haja kubwa.

2.BAWASIRI YA NDANI
Ni kuota kinyama sehemu ya ndani ya haja kubwa mara nyingi huambatana na maumivu makali na damu.

▶️HATUA YA KWANZA Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahali pake pa kawaida.
▶️HATUA YA PILI
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya kujisaidia
▶️HATUA YA TATU
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe
▶️HATUA YA NNEH
ii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi

SABABU ZINAZOPELEKEA MTU KUPATA BAWASIRI

(1) Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva
(2) Tatizo sugu la kuharisha
(3) Ujauzito
(4) Uzito wa mwili kupita kiasi
(5) Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
(6) Kupata haja kubwa ngumu
(7) Kua na mgandamizo mkubwa tumboni.
(8) Kunywa pombe
(9) kula sana nyama nyekundu
(10) Vidonda vya tumbo
(11) ngiri
(12) Kula sana pilipili
(13 ) kunyanyua vitu vizito

ATHARI ZA BAWASIRI
▶️Upungufu wa damu mwilini
▶️Kutokwa na kinyesi bila kijitambua
▶️ kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
▶️kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
▶️kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
▶️Kupata tatizo la kisaikolojia
➡️ Kutopata ujauzito
➡️ Mimba kuharibika

NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASIRI

▶️Kula mboga za majani na nafaka zisizo kobolewa kwa wingi
▶️ kunywa maji mengi lita sita hadi kumi na mbili kwa siku
▶️Acha kufanya ngono kwa kutumia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
▶️Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa.
➡️ Acha kunywa pombe
➡️ Punguza kula nyama nyekundu
➡️ Punguza matumizi ya pili pili.
➡️ Jitibie vidonda vya tumbo

⚫DALILI ZA BAWASIRI
▶️kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
▶️kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
▶️kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
▶️kupata kinyesi chenye damu
▶️kupata maumivu makali wakati wa kujisai

Bawasiri ni mojawapo ya matatizo ambayo mara nyingi inapotokea humfanya muathirika kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospi...
04/09/2020

Bawasiri ni mojawapo ya matatizo ambayo mara nyingi inapotokea humfanya muathirika kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba.Bawasiri husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.

A.KUNA AINA MBILI ZA BAWASIRI(HEMORRHOIDS)
1.Ya nje ya puru- Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na mara nyingi huambatana na maumivu na muwasho katika sehemu hiyo.Mara nyingi mishipa hiyo ya damu(vena)hupasuka na damu huganda na kusababisha hali iitwayo THROMBOSED HEMORRHOIDS kitaalamu.
2.Ndani ya puru/tupu/duburi-Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa na haiambatani na maumivu hivyo kuwafanya wengi kutotambua kuwa wana tatizo hili.
Aina hii imegawanyika katika sehemu zifuatazo;
i.Bawasir kutotoka katika mahali pake(iliyosimama)
ii.Bawasir inayotoka wakati wa haja kubwa kurudi yenyewe baada ya kumaliza kujisaidia
iii.Bawasir inayotoka wakati wa haja kubwa na hairudi yenyewe baada ya kujisaidia mpaka mwathirika airudishe mwenyewe.
iv.Bawasir inayotoka wakati wa haja kubwa na ni vigumu mtu kuirudisha baada ya kumaliza kujisaidia.

B.NINI KINASABABISHA BAWASIR ?
Miongoni mwa visababishi vya bawasir ni;
-Tatizo sugu la kuharisha
-Kupata haja kubwa(kinyesi)kigumu
-Uzito kupita kiasi(OBERSITY)
-Ngono ya njia ya haja kubwa(ANAL S*X)
-Umri mkubwa na mambo yanayoongeza shinikizo katika tumbo.

C.DALILI ZA BAWASIR
-Kinyesi kuchanganyika na damu wakati wa kujisaidia CHEMATOZECHEZIA
-Maumivu au usumbufu katika njia ya haja kubwa
-Kutokwa na kinyesi bila kujitambua(kuvuja kinyesi)
-Kijiuvimbe katika eneo la tundu(mlango)wa kutolea haja kubwa.
-Ngozi katika eneo la tundu la haja kubwa kuwasha.
-Bawasir kutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.

D.ATHARI ZA BAWASIR
-Upungufu wa damu mwilini(ANEMIA)
-STRAGULATED HEMORRHOID
-Kinyesi kutoka na kuvuja bila kujitambua na kusababisha kunuka kinyesi saa zote.
-Kukupunguzia morali ya kufanya kazi kutokana na maumivu hasa watu wanaokaa muda mrefu maofisini.
-Kuathirika kisaikolojia
-Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
-Kupungukiwa nguvu za kiume

E.JINSI YA KUZUIA BAWASIR
-Kula mboga za majani na matunda na nafaka zisizokobolewa kwa wingi
-Kunywa maji mengi lita sita hadi kumi na mbili kwa siku
-Punguza kukaa kwa muda mrefu chooni bila kutoa choo.

*Kwa maelezo zaidi na suluhisho wasiliana nasi kwa PIGA/SMS/WHATSAPP US
+255717541527

https://wa.me/message/IAZFRQUUGYJLF1

-Kula mboga za majani na matunda na nafaka zisizokobolewa kwa

BAWASIRI NI NINI???√Hii ni hali inayomtokea MTU pale ambapo vinyama vinajitokeza KWENYE eneo LA haja kubwa hususani waka...
03/09/2020

BAWASIRI NI NINI???

√Hii ni hali inayomtokea MTU pale ambapo vinyama vinajitokeza KWENYE eneo LA haja kubwa hususani wakati wa eneo la haja kubwa √Inawezekana bawasiri yako ikawa nyama haijajitokeza kwa nnje hii huitwa bawasiri ya ndani kwa ujumla bawasiri(mgolo) huendana na dalili zifuatazo

KAWAIDA INAAMBATANA NA DALILI ZIFUATAZO √Maumivu makali wakati unapata haja kubwa, √Kupata choo kilichoambatana na damu √Kujisikia hali ya kukera eneo LA haja kubwa sana wakati wa haja kubwa

CHANZO CHA BAWASIRI NI NINI???
√Kupata choo kigumu sana √Uzazi-mara nyingi wanawake waliotoka kujifungua au kubeba mimba hupata tatizo hili √Watoto wadogo √Watu wenye umri wa miaka 50 na zaid wana asilimia zaidi ya 50 wa KUPATA bawasiri

K**a una sumbuliwa na bawasiri pamoja na maradhi mengine karibu sana tuje tuzungumze na tupeane elimu na ushauri kuhusu afya zetu

Wasiliana Nami 0717541527/0684167579

Whatsapp 0717541527.

Address

Ilala Boma
Dar Es Salaam
12345

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Bora Afrika posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram