Afya Fitness

Afya Fitness Karibu kwenye ukurasa huu kupata suluhisho la magonjwa sugu yasioambukizwa.

Mwanaume Nisikilize Kwa Umakini Sana. K**a Uko Serious Na Kuondokana Na Changamoto Za Nguvu Za Kiume Ni Lazima Kufuata U...
01/10/2023

Mwanaume Nisikilize Kwa Umakini Sana. K**a Uko Serious Na Kuondokana Na Changamoto Za Nguvu Za Kiume Ni Lazima Kufuata Utaratibu Wa Matibabu. ACHA KUTAFUTA NA KUTUMIA DAWA BILA KUFAHAMU CHANGAMOTO YAKO VIZURI.

USIDANGANYIKE! Hakuna Dawa Ya Kuboost Ya Kupaka Wala Ya Kunywa Inayomaliza Changamoto Za Nguvu Za Kiume, Pasipo Kufuata Utaratibu Wa Matibabu.

Ukiwa Na Changamoto Za Nguvu Za Kiume Fuata Utaratibu Huu Wa Matibabu Kwa Makini Kabisa Itakusaidia Kwa 100%.

👉 Fanya Vipimo Sahihi Vya Uzazi. Vipimo Hivi Vitahusisha;

✅ Afya Ya Misuli na Mishipa Inayopitisha Damu Hadi Kwenye Uume (Hii Ni Msaada Kwa Walioathirika Na Punyeto Pia),

✅ Homoni Ya Kiume (TESTOSTERONE) - Hii Ikiwa Kwa Kiwango Cha Chini Ni Athari Kwa Afya Ya Mwanaume,

✅ Uwezo Wa Kusimamisha (ER****ON TRANSMITTER) - K**a Uwezo Wa Kusimamisha Uko Chini Lazima Uathiri Uanaume Wako,

✅ Magonjwa Yanayoathiri Afya Ya Mwanaume (Moyo, Ini, Bawasiri, Figo, Vidonda Vya Tumbo, Presha, Kisukari n.k)

✅ Wingi Na Uimara Wa Mbegu Za Kiume. Ni Lazima Kufanya Vipimo Hivi Wewe Mwanaume Mwenye Changamoto Ya Nguvu Za Kiume Kabla Hujatumia Dawa Yoyote Ile.

👉 Fanya Mazoezi Mepesi Hasa Ya Kegel. Kwa Lengo La Kuimarisha Msuli Wa Pelvic Floor Muscle (Msuli Muhimu Kwa Ajili Ya Kumuimarisha Mwanaume Na Kumfanya Awe Imara K**a SIMBA 🦁)

👉 Kula Vyakula Vyenye Madini Mengi Hasa Madini Chuma, Calcium, Protein Na Zinc. Vyakula K**a Samaki Wa Omega 3, Karanga, Korosho, Tangawizi, Vitunguu Swaumu, Nafaka Zisizokobolewa Zote Na Matunda Tofauti Tofauti K**a Parachichi, Ndizi n.k.

Vyakula Na Matunda Hayo Huboresha Mzunguko Wa Damu Na Kuongeza Madini Muhimu Mwilini.

👉 Acha Mitindo Hatarishi Inayoathiri Uanaume Wako. ACHA PUNYETO! ACHA ULEVI ULIOPITILIZA! PUNGUZA STRESS KABISA! ISHI MAISHA YA FURAHA NA FANYA KAZI ZAKO KWA BIDII.

MUHIMU
👉 USITUMIE KABISA DAWA ZA KUBOOST ILI KUWA NA NGUVU ZA MUDA MFUPI ZINAZIDI KUKUATHIRI.

K**a unahitaji msaada zaidi baada ya kuathirika na ukosefu wa nguvu za kiume na punyeto nipo tayari kukusaidia kwa kufuata utaratibu wa matibabu kwa kuanza na vipimo vya mfumo wa uzazi nilivyozungumzia hapo juu kwa thamani ndogo sana ya tsh 20,000 tu kwa vituo vyetu vyote vya afya nchi nzima.

Jisajili kupata huduma ya vipimo sahihi vya afya ya mwanaume kwa thamani ya ofa ya tsh 20,000 program maalumu ya kuwa imara kiume na kuongeza ubora wa mbegu za kiume na matibabu yanayofuata utaratibu kwa kuwasiliana na mimi hapa chini;

Au bonyeza neno WHATSAPP hapo chini sasahivi kupata nafasi hii adhimu. Mwenye changamoto ya nguvu za kiume unahitaji msaada wa haraka sasahivi

Dr. Leila Ramadhan
0748959142
https://wa.me/message/DRNEFRET7NUBI1

Address

Majumbasita
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Fitness posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram