18/10/2023
UJUMBE HUU NI WAMUHIMU SANA KWAKO:
Rejesha afya yako na furaha.
Tokomeza P.I.D [PELIVIC INFLAMMATORY DISEASE] ndani ya mwezi mmoja.
P.I.D ni nini:- Pelivic inflammatory diseases ni ugonjwa unao
wakumba sana wanawake, ugonjwa huu husababishwa na bakteria
wabaya kwenye mfumo wa uzazi wa mwanamke [Via vya uzazi].
Maambukizi haya huathiri sana kibofu cha mkojo [Urethira] na mfuko wa uzazi wa mwanamke[Uteras].
Dalili za Pelivic Inflammatory Diseases[P.I.D]
-Maumivu makari ya nyonga au chini ya kitovu
-Kutokwa na maji maji ukeni yenye kuambatana na harufu mbaya
-Maumivu makari wakati wa kushiliki tendo la ndoa
-Kutokwa na maji maji yenye harufu mbaya ukeni baada ya kumaliza tendo la ndoa na baada ya kuingia katika hedhi.
ATHARI ZITOKANAZO NA P.I.D
-Husababisha ugumba au Utasa
-Mimba kutoka
-Kukosa kabisa hamu ya tendo la ndoa
-Kuvurugika kwa homoni kuwa na hedhi ya muda mlefu ambayo siyo ya kawaida.
-Kuharibika kwa mfuko wa uzazi kuwa na makovu ya vidonda vikubwa vilivyo sababishwa na Bakteria
-Kuzaa mtoto mwenye hitirafu kutokana na kuzalishwa mayai yasiyo bora katika mfuko wa o***y
MATIBABU YA P.I.D
Suluhisho la P.I.D fika katika kituo chetu cha kutolea huduma
njoo upate ushauri na sahaa pamoja na matibabu kamili na sahihi
wasiliana nasi kwakupiga simu/ kupitia whatsapp namba
Phone number:
0746988720