Afya Maridhawa Tanzania

Afya Maridhawa Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya Maridhawa Tanzania, Medical and health, Magomeni, Dar es Salaam.

26/01/2026

Je Bado Unasumbuliwa na dalili gani kati ya hizi zifuatazo?
[1]▪️ Kutokwa na uchafu sehemu za siri.
[2]▪️Maumivu ya tumbo chini ya kitovu.
[3]▪️Maumivu ya kiuno na nyonga.
[4]▪️Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
[5]▪️Miwasho sehemu za siri.
[6]▪️Uchafu mweupe na mzito k**a maziwa mtindi.
[7]▪️Kubadilka kwa mzungunguko wa hedhi.
Tutakusaidia Kuondokana na Tatizo hili kwa Haraka.
Bonyeza hapa chini Kupata Undani wa Suluhisho Tulilokuandalia.
au Piga simu 0711 556 377

Je Bado Unasumbuliwa na dalili gani kati ya hizi zifuatazo?[1]▪️ Kutokwa na uchafu sehemu za siri.[2]▪️Maumivu ya tumbo ...
12/01/2026

Je Bado Unasumbuliwa na dalili gani kati ya hizi zifuatazo?
[1]▪️ Kutokwa na uchafu sehemu za siri.
[2]▪️Maumivu ya tumbo chini ya kitovu.
[3]▪️Maumivu ya kiuno na nyonga.
[4]▪️Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
[5]▪️Miwasho sehemu za siri.
[6]▪️Uchafu mweupe na mzito k**a maziwa mtindi.
[7]▪️Kubadilka kwa mzungunguko wa hedhi.

Tutakusaidia Kuondokana na Tatizo hili kwa Haraka.
Bonyeza hapa chini Kupata Undani wa Suluhisho Tulilokuandalia.
au Piga simu 0711 556 377

DARASA BURE: Jinsi Ya Kutokomeza U.T.I, P.I.D & Fangasi  Kwa Njia Asili Bila Madawa MaKali Wala Kuchoma Sindano...Je Una...
29/12/2025

DARASA BURE: Jinsi Ya Kutokomeza U.T.I, P.I.D & Fangasi Kwa Njia Asili Bila Madawa MaKali Wala Kuchoma Sindano...

Je Unasumbuliwa na dalili gani kati ya hizi zifuatazo?
[1]▪️ Kutokwa na uchafu sehemu za siri.
[2]▪️Maumivu ya tumbo chini ya kitovu.
[3]▪️Maumivu ya kiuno na nyonga.
[4]▪️Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
[5]▪️Miwasho sehemu za siri.
[6]▪️Uchafu mweupe na mzito k**a maziwa mtindi.
[7]▪️Kubadilka kwa mzunguko wa hedhi?

Wengi Kwa Kushindwa Kujua Tofauti ya U.T.I, P.I.D Na Fangasi Wamejikuta Kwenye Matatizo ya Kushindwa Kushika Mimba Kwa, Kuvurugika Kwa Mzunguko wa Hedhi na Matatizo ya Chango la uzazi...

Tumeandaa DARASA Jingine Whatsapp Maalumu Kwa Ajili Hujifunza ELIMU Hii na Kujua Njia Asili Zenye Matokeo ya Haraka zaidi...

Katika Group Hili Utajifunza Njia za Haraka za Kupona kabisa Bila kujirudia...

Group Likijaa Hatutakuwa na DARASA Jingine Mpaka Mwakani...

BONYEZA: CHAT ON WHATSAPP Kujiunga na Group...

Au Tuma Ujumbe WhatsApp Moja Kwa Moja Kwenye Namba 0711556377.

Mafanikio Yako ya Kiafya Ndiyo Furaha Yetu: Tuonane Darasani

_*Alikuwa na Tatizo la P.I.D Toka mwezi wa 3, Alitumia Dawa mbali Mbali Bila mafanikio.*_Akapewa namba Yetu na Rafiki ya...
17/10/2025

_*Alikuwa na Tatizo la P.I.D Toka mwezi wa 3, Alitumia Dawa mbali Mbali Bila mafanikio.*_

Akapewa namba Yetu na Rafiki yake, ambaye Mwka Jana tulimtinu Tatizo Kam Hilo. Tukaanza Dawa ya STD CARE. Kwa ajili ya kumaliza kabisa P.I.D SUGU

Amefanikiwa Kupiga Hatua za Mafanikio.

Hautoki n Uchafu Tena, Hn Maumivu katika tendo Wala Kiuno, nyonga n Tumbo Havimuumu.

Anamalizia Dawa ili kumaliza Tatizo na mizizi yake.

_*Kisa Hiki kinanifanya nione Nguvu Kubwa ya Shuhuda Halisi, zinazowafanya Marafiki kupeana namba. Shuhuda za Hivi zinanibariki Zaidi*🤓🤗_

DR LUTAMBI
0711556377

🟢 *K**a Umehangaika Kutibu P.I.D Bila Mafanikio Zingatia Hili...*Umewahi kujaribu kila aina ya dawa za hospitali na za k...
08/10/2025

🟢 *K**a Umehangaika Kutibu P.I.D Bila Mafanikio Zingatia Hili...*

Umewahi kujaribu kila aina ya dawa za hospitali na za kienyeji lakini bado P.I.D (Pelvic Inflammatory Disease) Inakusumbua haishi Tu?

Maumivu ya tumbo la chini, uchafu usioisha, maumivu wakati wa tendo la ndoa na hata kushindwa kushika ujauzito vinaendelea kukutesa?

Unajua tatizo la P.I.D likiachwa bila kutibika lina madhara makubwa kuliko unavyofikiria?

👉 Linaweza kuharibu kabisa mirija ya uzazi yako na kukufanya ushindwe kupata mtoto maisha yako yote.

👉 Linaweza kukusababishia maumivu makali ya kudumu kila siku.

👉 Na zaidi, linaweza kugeuka hadi kuwa ugonjwa sugu usiotibika na kusababisha makovu Kwenye kizazi na mirija ya Uzazi Kuziba...

Kwa kifupi, P.I.D inaweza kuharibu kabisa ndoto yako ya kuwa mama au hata kuathiri ndoa yako kwa kiwango cha hatari, kutokana na Kukosa Hamu ya Kushiriki tendo la ndoa Kila Siku na Kukabiliwa na Maumivu makali wakati wa tendo.

Lakini kuna habari njema. ✅
*DAWA YA ASILI “STD CARE”* imekuwa suluhisho kwa wanawake wengi walioteseka kwa miaka mingi bila mafanikio.

Ni tiba iliyothibitishwa kuondoa kabisa maambukizi ya P.I.D, kusafisha mirija ya uzazi, kuondoa maumivu na kurejesha afya ya uzazi kwa mwanamke.

Wengi waliokuwa karibu kukata tamaa ya kupata watoto sasa wanashuhudia miujiza ya kupata ujauzito baada ya kutumia STD CARE & KUTOKOMEZA KABISA P.I.D.

👉 Usikubali mateso yaendelee – suluhisho lipo mikononi mwako sasa.

📲 Tupo Hapa Kukusaidia Uwe salama Kiafya Tutumie Ujumbe: *"DAWA YA P.I.D"* WhatsApp 0711556377 ujipatie tiba yako leo.

🌟 _*Mtoto Kucheza Tumboni Mambo 9 Ya Muhimu Kuyajua*_ 🌟____________________________🤰 Hali ya mtoto kucheza tumboni kwa m...
23/09/2025

🌟 _*Mtoto Kucheza Tumboni Mambo 9 Ya Muhimu Kuyajua*_ 🌟
____________________________

🤰 Hali ya mtoto kucheza tumboni kwa mjamzito (Quickening) ni hali ya mama mjamzito kuanza kuhisi mtoto akicheza tumboni kwa mara ya kwanza kabisa katika kipindi cha ujazito.
Huonekana k**a miale midogo ✨, mapigo ❤️, au mpapaso hafifu.
Kwa kawaida hutokea kati ya wiki ya 16–20 📅, ingawa baadhi ya wanawake huweza kuhisi mapema au kuchelewa kidogo.

💞 Kuhisi harakati hizi huleta faraja kwa mama kuwa mtoto wake anaendelea kukua vizuri na pia huimarisha uhusiano wa kihisia kati ya mama na mtoto 👶.

🔹 _*1. Mtoto kucheza tumboni (Quickening) Utahisi vipi?*_ 🤔

Wanawake huelezea k**a:
• 🦋 Kuruka k**a kipepeo
• ✨ Mipapaso midogo
• 🎈 Maputo yanavyopasuka
• 🔄 Mizunguko midogo midogo tumboni au kujiviringisha
• ⚡ Mishtuko midogo ya misuli tumboni

Mwanzoni huweza kuchanganyikana na gesi 💨, lakini kadri wiki zinavyosonga, mama hutambua bayana harakati za mtoto wake.

🔹 _*2. Mtoto kucheza tumboni (Quickening) huanza lini?*_ ⏰

• Mtoto huanza kusogea kuanzia wiki ya 12, lakini mama hajahisi mapema.
• Kwa mimba ya kwanza 👩, kawaida huhisiwa wiki ya 18–20.
• Kwa waliowahi kupata mimba, huweza kuhisiwa mapema zaidi wiki ya 16–18.

Mambo yanayoathiri muda huu:
• Ikiwa ni mimba ya kwanza au sio 👩‍👦
• Mahali kondo la nyuma lilipojishikiza (placenta) 🌱
• Tabia ya mtoto (mtulivu au mchangamfu) 😊

🔹 _*3. Utahisi harakati Upande gani wa tumbo?*_ 🫄

Kwa kawaida chini ya kitovu ➡️ karibu na mfupa wa yonga au kinena.
Kadri mimba inavyokua, harakati huhama juu zaidi.

🔹 _*4. Ni mara ngapi unatakiwa kuhisi?*_ 🔢

• Wiki ya 20–24 mama huhisi mara kwa mara.
• Wiki ya 28+ 🤱, anatakiwa kuhisi angalau michezo 10 ndani ya masaa 2.

⚠️ Ukihisi chache au hakuna kabisa siku nzima, mjulishe daktari 🩺.

🔹 _*5. Kucheza hubadilika kuwa mateke (kicks) lini?*_ 🦶👊

Kipindi cha tatu cha ujauzito (Trimester 3) mtoto huanza kupiga miguu, ngumi, kujiviringisha na hata kucheua (hiccups).
Mama anaweza kuona mkao wa mtoto wake.
👉 Kupiga hesabu za miguu husaidia kufuatilia hali yake.

🔹 _*6. Kwa nini mtoto hujongea tumboni?*_ 🤱

Harakati husaidia ukuaji wa mifupa 🦴, misuli 💪 na viungo vya mtoto.
Kukosa harakati kabisa kunaweza kuashiria tatizo kwenye kondo la nyuma au maji ya uzazi 🌊.
⚠️ Ukiona hivyo, mjulishe daktari.

🔹 _*7. Je, mtoto kucheza kunaweza kutoweka kisha kurudi?*_ 🔄

Ndiyo ✅. Watoto hulala 😴 na kuamka ⏰.
Kwa hiyo ni kawaida kuhisi harakati zikapotea kidogo kisha kurudi.
Kadri zinavyokua nguvu, huwa thabiti zaidi.

🔹 _*8. Njia za kumchochea mtoto kucheza*_: 🎶🍹

• Kunywa kitu chenye utamu (juisi/matunda) 🍊🥭
• Kula chakula kizuri unachopenda 🍲
• Kutembea kidogo 🚶‍♀️
• Baba kumpapasa/shika tumbo 🤲
• Kusikiliza muziki mzuri 🎧
• Mama kuzungumza na mtoto 💬
• Kukaa kimya na kutulia 🧘‍♀️

🔹 _*9. Wakati gani wa kumpigia daktari*_: 📞🩺

• Baada ya wiki 28, hujahisi michezo 10 ndani ya masaa 2.
• Ikiwa harakati ghafla zimepungua au zimesimama kwa siku kadhaa 🚨.

❓_*Je, mtoto kucheza kunaleta maumivu?*_
❌ Hapana.
👉 Harakati hazipaswi kuleta maumivu.
⚠️ Ukihisi mikak**ao au maumivu makali, mjulishe daktari.

_*Hitimisho*_
Kuhisi harakati za kwanza za mtoto tumboni ni hatua ya kusisimua zaidi 🤗.
Kwa kawaida hutokea wiki ya 16–20, lakini kila mimba ni tofauti.
Ikiwa una wasiwasi kuhusu harakati za mtoto wako, wasiliana na mtoa huduma wako wa afya 🩺 kwa uhakika.

Pata Msaada wa Dakitari WhatsApp.
0711556377

*Tatizo la Chango la Uzazi (Endometriosis): Sababu ya Maumivu Makali ya Hedhi kwa Wanawake Wengi**Je, umewahi kuumwa san...
18/09/2025

*Tatizo la Chango la Uzazi (Endometriosis): Sababu ya Maumivu Makali ya Hedhi kwa Wanawake Wengi*

*Je, umewahi kuumwa sana wakati wa hedhi kiasi cha kushindwa kufanya shughuli zako za kawaida? Unaweza kuwa unakabiliwa na changamoto ya kiafya inayoitwa *Endometriosis* au kwa lugha rahisi, *Chango la Uzazi*.*

*Endometriosis ni nini?*

Endometriosis ni hali ambapo tishu zinazofanana na zile za ndani ya mfuko wa kizazi (*endometrium*) hukua nje ya mfuko huo – mara nyingi kwenye ovari, mirija ya uzazi au hata kwenye viungo vya karibu k**a kibofu na utumbo.

Tishu hizi zinapokua zimeotea mahali pasipostahili, huendelea kubadilika kila mwezi k**a hedhi ya kawaida, lakini kwa kuwa damu zake kutokea Hazina pa kutokea, huleta maumivu makali, uvimbe na kuleta kovu (scar tissue) ndani ya tumbo la uzazi.

*Dalili za Endometriosis (Chango la Uzazi)*

✅ Maumivu makali sana wakati wa hedhi
✅ Maumivu ya tumbo chini ya kitovu kabla ya hedhi au baada ya hedhi
✅ Maumivu wakati wa tendo la ndoa
✅ Kutokwa na damu isiyo ya kawaida
✅ Ugumu wa kushika mimba (Ugumba).
✅ Kukojoa au kwenda haja kubwa kwa maumivu wakati wa hedhi

*Sababu Zinazoweza Kuchangia*

- Kurithi kutoka kwa mama au dada aliye na hali k**a hiyo
- Mzunguko wa hedhi ulio mfupi sana
- Kutokwa na damu nyingi au hedhi ya siku nyingi
- Kuvuja damu ya hedhi nyuma badala ya kutoka nje (retrograde menstruation)
- Mfumo wa kinga kushindwa kuondoa tishu chafu zilizopo nje ya mfuko wa uzazi.

*Madhara Makubwa ya Endometriosis*

- Kukosa ujauzito au ugumba
- Kuvimba kwa viungo vya uzazi
- Maumivu ya kudumu ya nyonga na tumbo
- Msongo wa mawazo (depression) kwa sababu ya maumivu ya mara kwa mara.

*Je, Chango la Uzazi Hutibika?*

*Ndiyo!* Ingawa tiba ya hospitali mara nyingi ni kupunguza maumivu au upasuaji, *tiba asili* imethibitika kusaidia kwa kiasi kikubwa kuondoa kabisa changamoto ya chango la uzazi.

Dawa za asili huondoa mzizi wa tatizo kwa:

✅ Kusafisha kizazi na mirija ya uzazi
✅ Kusaidia kurejesha mzunguko wa hedhi kuwa wa kawaida
✅ Kuondoa uvimbe na tishu zisizotakiwa
✅ Kurekebisha homoni za uzazi
✅ Kuondoa maumivu kabisa na kusaidia mwanamke kushika mimba

*Je Unahitaji Msaada w Tatizo Hili?*
Usiendelee kuteseka na maumivu ya kila mwezi. Endometriosis *inatibika kabisa* kwa kutumia *tiba asili salama na yenye ufanisi mkubwa.*

📞 *Tuma neno* *"CHANGO"* *kwenda WhatsApp*
*0711 556 377 – Dr Lutambi*
*Tiba salama. Matokeo ya uhakika. Hali hii itabaki kuwa historia!*

*✅ Sababu Kuu Zinazokwamisha Ushikaji wa Mimba — Ambazo Wanawake Wengi Hawazijui:*1. *Maambukizi Yasiyotibika Vizuri (PI...
18/09/2025

*✅ Sababu Kuu Zinazokwamisha Ushikaji wa Mimba — Ambazo Wanawake Wengi Hawazijui:*

1. *Maambukizi Yasiyotibika Vizuri (PID)*
- Maambukizi kwenye kizazi au mirija ya uzazi (Pelvic Inflammatory Disease) yanaweza kuziba mirija au kuharibu mfumo wa uzazi bila dalili za haraka.

2. *Mzunguko wa Hedhi Usioeleweka*
- Mzunguko ukibadilika-badilika huathiri siku za ovulation, hivyo ni vigumu kujua lini mimba inaweza kutungwa.

3. *Matatizo ya Homoni (Hormonal Imbalance)*
- Homoni zikiwa hazipo kwenye kiwango sahihi, mayai hushindwa kupevuka au kupasuka kwa wakati sahihi.

4. *Fibroids (Vimbe Kwenye Kizazi)*
- Huzuia mimba kutunga kwa kuathiri nafasi ya yai kujipandikiza au kuathiri mirija.

5. *Cysts (Vimbe za Maji kwenye Mayai)*
- Huzuia mayai kupevuka au kuachiliwa kabisa.

6. *Uchafu au Sumu Kwenye Mfuko wa Kizazi*
- Hutokea baada ya matumizi ya vidonge kwa muda mrefu, mimba kuharibika mara kwa mara, au maambukizi yasiyotibika.

7. *Uzito Kupita Kiasi au Kupungua Kupita Kiasi*
- BMI isiyo sawa huathiri uzalishaji wa homoni na ovulation.

8. *Msongo wa Mawazo (Stress)*
- Huathiri moja kwa moja mfumo wa homoni na uzazi bila kujua.

9. *Matumizi Mabaya ya Dawa za Uzazi wa Mpango*
- Husababisha kizazi kutokuwa tayari kwa mimba kwa miezi kadhaa baada ya kuacha.

10. *Ubora Mdogo wa Mbegu za Mume*
- Mimba haitatungwa k**a mbegu ni chache, dhaifu au hazina kasi ya kutosha.

*Ushauri:*
Ushikaji wa mimba siyo tu suala la "kujaribu mara nyingi" bali kuelewa afya ya mfumo wako wa uzazi.

Ukiwa na changamoto, tafuta vipimo na ushauri wa kitaalamu mapema.
📞 *Mawasiliano kwa msaada zaidi:* *0711 556 377 - Dr Lutambi*

15/09/2025

I got over 20 reactions on one of my posts last week! Thanks everyone for your support! 🎉

_*VYAKULA 7 VINAVYOONGOZA KUHARIBU NGUVU ZA KIUME.*____________________________kuna *vyakula vya kisasa* vinavyoharibu a...
15/09/2025

_*VYAKULA 7 VINAVYOONGOZA KUHARIBU NGUVU ZA KIUME.*_
___________________________

kuna *vyakula vya kisasa* vinavyoharibu au kupunguza nguvu za kiume, hasa kwa kuvuruga homoni, kuathiri mzunguko wa damu au kusababisha uzito kupita kiasi. Hapa chini ni baadhi ya *vyakula vya kuepuka*:

*Vyakula vinavyoharibu nguvu za kiume:*

*1) Vyakula vyenye mafuta mengi (trans fats & saturated fats):*
- Chipsi, maandazi, vyakula vya kukaanga sana
- Fast food (burger, fried chicken)
- Hupunguza mzunguko wa damu na kuathiri mishipa ya uume

*2) Sukari nyingi:*
- Soda, keki, p**i, juisi zisizo asilia
- Sukari nyingi huongeza insulin na kupunguza testosterone

*3) Vyakula vya kusindikwa (processed foods):*
- Sausages, nyama ya makopo, biskuti
- Vina kemikali zinazopunguza uzalishaji wa homoni za kiume

*4) Pombe kupita kiasi:*
- Huzuia uzalishaji wa testosterone na kupunguza hamu ya tendo la ndoa

*5) Soya nyingi (hasa kwa wanaume):*
- Ina phytoestrogens, kemikali zinazofanana na homoni ya k**e (estrogen), huathiri homoni za kiume

*6) Kafeini nyingi (kahawa kupita kiasi):*
- Inaweza kusababisha msongo na kushusha nguvu za mwili

*7) Soda za energy drinks (Red Bull, etc):*
- Hutoa nguvu ya muda mfupi lakini hushusha nguvu kwa muda mrefu.

Je Ungependa nikupe Pendekezo la Vyakula Bora Zaidi Ambavyo Unaweza kutumia Wewe Binafsi Ili kuwa Fit Zaidi.
Tuma Ujumbe _*VYAKULA BORA VYA MWANAUME*_ (BURE) Kwenda WhatsApp 0711556377

_*MAMBO 7 MUHIMU KUYAJUA KUHUSU TATIZO LA UGUMBA*_______________________________Ugumba ni Ile Hali ya Kushindwa kushika ...
15/09/2025

_*MAMBO 7 MUHIMU KUYAJUA KUHUSU TATIZO LA UGUMBA*_
______________________________
Ugumba ni Ile Hali ya Kushindwa kushika Ujauzito Richa ya Kushiriki tendo katika Siku za Hatari. Hii hali ni pale Wanandoa Wanapokaa kwenye ndoa Kwa Miezi 12 (Mwaka 1) au zaidi Bila Ujauzito.

_*Yafuatayo Ni Mambo 7 Unayopaswa kuyajua Kuhusu Ugumba Ambyo Yatabadilisha Mtazamo wako Kabisa. Haya Twende Pamoja.*_

_*[1]. Ugumba si tatizo la wanawake pekee Yao*_
______________________
Mara nyingi wanawake hudhaniwa kuwa wao pekee ndo chanzo cha ugumba, lakini siyo kweli.

Takriban asilimia 30-40 ya visa vya ugumba husababishwa na wanaume, asilimia nyingine ni wanawake, na zingine kutokana na sababu zisizojulikana au mchanganyiko wa sababu.

*[2].Sababu za ugumba ni nyingi*
______________________
Ugumba unaweza kusababishwa na matatizo Mengi k**a vile:
▫️ Matatizo ya ovulation (kutotoa yai),
▫️Mirija ya uzazi iliyoziba,
▫️Ugonjwa wa P.I.D,
▫️Uvimbe kwenye kizazi (fibroids),
▫️ Hitilafu ya homoni (Hormonal Imbalance),
▫️Hali ya kiafya zama magonjwa k**a kisukari au magonjwa ya tezi za thyroid,
▫️Pamoja na mtindo wa maisha k**a uzito uliopitiliza au kuwa mwembamba kupita kiasi.

*[3]. Umri una athari kubwa kwenye uzazi*
______________________
Uwezo wa kushika mimba hupungua kadri mwanamke anavyozeeka, hasa baada ya miaka 35.

Kwa wanaume pia ubora wa shahawa hupungua taratibu na kuathiri uwezo wa kumpa mimba Mwanamke.

*[4].Dalili za ugumba si rahisi kuzitambua mara moja*
______________________
Ugumba mara nyingi hauna dalili wazi, isipokuwa pale ambapo mtu anajaribu kupata mtoto bila mafanikio kwa mwaka mzima (au miezi 6 kwa wenye zaidi ya miaka 35). Huyo Anaonekana ni mgumba.

*[5].Matibabu ya ugumba yapo na yanategemea chanzo Chake*
______________________
Kuna matibabu ya dawa, upasuaji, na teknolojia ya kisasa k**a IVF, IUI n.k.
▫️Pia tiba mbadala Pamoja na lishe bora,
▫️Mitindo sahihi ya maisha, na dawa asilia husaidia kwa baadhi ya watu.

*[6].Mtindo wa maisha una mchango mkubwa Kufanya Tatizo Litokee*
______________________
Mmbo k**a Msongo wa mawazo, kutopata usingizi wa kutosha, matumizi ya pombe, sigara na madawa ya kulevya, au ulaji duni vinaweza kuathiri uwezo wa kuzaa kwa Pande zote mbili Kwa wanaume na wanawake.

*[7].Ugumba unaweza kuzuilika au kudhibitiwa mapema*
______________________
Mambo Muhimu yanayoweza Kudhibiti Kutokea kwa Ugumba.
▫️Kufanya vipimo vya afya ya uzazi mapema,
▫️kudhibiti magonjwa sugu,
▫️kula lishe bora,
▫️kufanya mazoezi, na
▫️kuepuka mimba za utotoni au,
▫️kuharibika mimba mara kwa mara kunaweza kusaidia kuepuka na ugumba.

Je Ungependa Kupata Mwongozo Zaidi Kuhusu Vipimo unavyopaswa Kufanya na Jinsi Gani Unaweza Kushika Mimba Kwa Haraka Zaidi. Wasiliana Nami _*INBOX 📥 KWA KUBOFYA LINK HAPA*_ 👉👉👉https://wa.me/message/342RRPB6UFETA1

*DR LUTAMBI*
0711556377
0745889503

Address

Magomeni
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Maridhawa Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram