Abjad clinic

Abjad clinic we are dealing with chronic diseases

Kisukari ni hatari kwa afya yako kwani unaweza kusababisha√ Ugonjwa wa Moyo√ kupata shinikizo la damu√ kupata kiharusi√ ...
11/06/2024

Kisukari ni hatari kwa afya yako kwani unaweza kusababisha
√ Ugonjwa wa Moyo
√ kupata shinikizo la damu
√ kupata kiharusi
√ kukapata Kansa ya viungo na kupelekea kukatwa kwa viungo vyako Kam miguu au mikono.
√ Kupoteza nguvu za kiume au hamu ya kujamiiana kwa wanawake
√ Kuwashwa ukeni

Hayo ni moja ya madhara ambayo yanaweza kukupata au yamekupata kutokana na ugonjwa wa kisukari.

Kwanini ukeleke na kutumia vidonge kila siku kwa sababu ya kisukari? Unajua vidonge vinatengeneza sumu kwenye mwili wako. Unaweza kuishi bila kutumia vidonge na sindano za insulini kuepuka ugonjwa wa kisukari.

Abjad Clinic inakuletea suluhisho la kudumu dhidi ya ugonjwa wa Kisukari. Wasiliana nasi kwa vipimo, ushauri na matibabu

**TANGAZO: Vipimo vya Mwili Mzima ni bure.. kumuona daktari ni bure, ushauri ni bure*kufungua file ni Shilingi Elfu 20,0...
09/10/2023

**TANGAZO: Vipimo vya Mwili Mzima ni bure.. kumuona daktari ni bure, ushauri ni bure*

kufungua file ni Shilingi Elfu 20,000 tu

Je, unataka kujua hali ya afya yako kwa undani? Hapa ndipo pa kuwa!

Huduma zetu ni za hali ya juu na zinajumuisha uchunguzi kamili wa afya yako.

**Huduma Zinazojumuishwa kwenye vipimo:**
- Uchunguzi wa maswala ya uzazi
- Vipimo vya shinikizo la damu
- Kipimo cha uzito na urefu
- Uchambuzi wa matokeo na ushauri wa kitaalam.

Tuna tibu chanzo cha tatizo na unapona kabisa. Usisumbuke kwingine njoo kwetu tunajali na tutakusaidia kujua namna nzuri ya kutatua changamoto zako wakati mwingine sio swala la pesa ni ushauri ni vyakula gani utumie au virutubisho gani utumie ili uweze kutengeneza afya yako. Fika clinic kwetu

Ilinde afya yako na ujue zaidi kuhusu mwili wako. Huduma hii ya kipekee ni kwa muda wa kikomo, hivyo tuchukue fursa sasa!

Kwa maelezo zaidi na kuweka miadi, wasiliana nasi kwa simu:
wa.me/255755091580

Address

Gerezani Kariakoo
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Abjad clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram