Afya Ya Uzazi Na Dr Kaitira

Afya Ya Uzazi Na Dr Kaitira Karibu kwenye ukurasa huu wa Mtu Bora Ni Afya kwa ajili ya suluhisho la matatizo yote ya viungo

04/02/2025

MWANAMKE NI LAZIMA UWE MAKINI SANA UNAPOTAFUTA SULUHU LA CHANGAMOTO ZA UZAZI ZINAZOKUSUMBUA KWA MUDA MREFU

Matatizo mengi sana ya wanawake yana dalili za kufanana, yana vyanzo vinavyofanana fanana (baadhi ya changamoto) na matokeo yake huwa yanaonekana kufanana na hiyo ndio sababu wanawake wengi hawaponi changamoto za mfumo wa uzazi kwani wanatumia dawa nyingi wakidhani wanafahamu changamoto zao vizuri lakini kumbe hawafahamu kabisa.

K**a mwanamke una changamoto za kiafya hasa afya ya uzazi, karibu sana kwenye vituo vyetu vya afya vya Gcat Health Clinic vinavyopatikana kwenye zaidi ya mikoa 15 Tanzania kupata suluhu la changamoto yako.

Tunatibu changamoto nyingi za afya ya uzazi wa mwanamke k**a;

πŸ‘‰ P.I.D
πŸ‘‰ Kuvurugika kwa homoni za uzazi (hormone imbalance)
πŸ‘‰ Kutokwa na uchafu sehemu za siri wenye harufu mbaya sana
πŸ‘‰ Fangasi ukeni na uke kuwa mkavu
πŸ‘‰ Mvurugiko wa siku za hedhi
πŸ‘‰ Maumivu makali sana ya tumbo na maumivu ya kiuno mara kwa mara
πŸ‘‰ Mimba kuharibika
πŸ‘‰ Uvimbe kwenye kizazi
πŸ‘‰ Mirija ya uzazi kuziba
πŸ‘‰ Maambukizi kwenye mfumo mzima wa uzazi
πŸ‘‰ Kukosa hamu ya tendo la ndoa
πŸ‘‰ Ovarian cyst na mayai ya uzazi kutokukomaa

Na kubwa zaidi......

πŸ‘‰ KUKOSA UJAUZITO KWA MUDA MREFU

K**a una dalili za changamoto tajwa hapo juu na nyingine nyingi, wasiliana nasi sasahivi kwa suluhisho la kudumu kwani;

βœ…οΈ Utafanya vipimo vya mfumo mzima wa uzazi ili kufahamu changamoto yako vizuri kwa thamani ndogo ya tsh 30,000 tu! Ndio ni tsh elfu ishirini tu (pasipo vipimo sahihi ni sawa na kuotea ugonjwa tu).

βœ…οΈ Utapata matibabu sahihi kutokana na majibu ya vipimo vya uzazi utakavyofanya.

Sisi ni daraja la afya yako njema ya uzazi, Mungu unayemuamini azidi kukupa afya njema wewe na uzao wako.

Dr. Kaitira
0786592409

09/09/2024

MWANAMKE NI LAZIMA UWE MAKINI SANA UNAPOTAFUTA SULUHU LA CHANGAMOTO ZA UZAZI ZINAZOKUSUMBUA KWA MUDA MREFU

Matatizo mengi sana ya wanawake yana dalili za kufanana, yana vyanzo vinavyofanana fanana (baadhi ya changamoto) na matokeo yake huwa yanaonekana kufanana na hiyo ndio sababu wanawake wengi hawaponi changamoto za mfumo wa uzazi kwani wanatumia dawa nyingi wakidhani wanafahamu changamoto zao vizuri lakini kumbe hawafahamu kabisa.

K**a mwanamke una changamoto za kiafya hasa afya ya uzazi, karibu sana kwenye vituo vyetu vya afya vya Gcat Health Clinic vinavyopatikana kwenye zaidi ya mikoa 15 Tanzania kupata suluhu la changamoto yako.

Tunatibu changamoto nyingi za afya ya uzazi wa mwanamke k**a;

πŸ‘‰ P.I.D
πŸ‘‰ Kuvurugika kwa homoni za uzazi (hormone imbalance)
πŸ‘‰ Kutokwa na uchafu sehemu za siri wenye harufu mbaya sana
πŸ‘‰ Fangasi ukeni na uke kuwa mkavu
πŸ‘‰ Mvurugiko wa siku za hedhi
πŸ‘‰ Maumivu makali sana ya tumbo na maumivu ya kiuno mara kwa mara
πŸ‘‰ Mimba kuharibika
πŸ‘‰ Uvimbe kwenye kizazi
πŸ‘‰ Mirija ya uzazi kuziba
πŸ‘‰ Maambukizi kwenye mfumo mzima wa uzazi
πŸ‘‰ Kukosa hamu ya tendo la ndoa
πŸ‘‰ Ovarian cyst na mayai ya uzazi kutokukomaa

Na kubwa zaidi......

πŸ‘‰ KUKOSA UJAUZITO KWA MUDA MREFU

K**a una dalili za changamoto tajwa hapo juu na nyingine nyingi, wasiliana nasi sasahivi kwa suluhisho la kudumu kwani;

βœ…οΈ Utafanya vipimo vya mfumo mzima wa uzazi ili kufahamu changamoto yako vizuri kwa thamani ndogo ya tsh 20,000 tu! Ndio ni tsh elfu ishirini tu (pasipo vipimo sahihi ni sawa na kuotea ugonjwa tu).

βœ…οΈ Utapata matibabu sahihi kutokana na majibu ya vipimo vya uzazi utakavyofanya.

Sisi ni daraja la afya yako njema ya uzazi, Mungu unayemuamini azidi kukupa afya njema wewe na uzao wako.

Dr. Kaitira
0786592409

12/11/2023

Kupima Vipimo Vya Afya Vya Mwili Mzima Kwako Mwenye Changamoto Za Kiafya Zilizokusumbua Kwa Muda Mrefu Ni Muhimu Sana Kwa Sababu Vipimo Hutoa Taarifa Muhimu Kuhusu Hali Ya Mwili.

Kuchunguza Matatizo Ya Kiafya, Na Kusaidia Kutambua Njia bora za matibabu. Vipimo Hivi Huonyesha Viashiria Vya Magonjwa Hivyo Kukusaidia Kujilinda Kabla Magonjwa Hayajakutesa.

Vipimo Pia Huonyesha Mifumo Ya Mwili Inavyofanya Kazi, Na Kutoa Mwelekeo Wa Jinsi Ya Kudhibiti Au Kuboresha Hali Yako Kiafya.

Matatizo Ya Magonjwa Sugu Tunayotibu Ni Pamoja Na;

βœ… Matatizo Ya Presha Na Kisukari.
βœ… Matatizo ya Moyo, INI Na Figo
βœ… Kansa Na Pumu
βœ…Vidonda vya Tumbo Na Acid Reflux
βœ… Kupooza
βœ… Matatizo Yote Ya Uzazi Kwa Wanawake (PID, Uvimbe Kwenye Kizazi, Fangasi Ukeni, Maumivu Makali Ya Tumbo, Kuvurugika Kwa Hedhi Na Mpangilio Wa Homoni (Hormone Imbalance)
βœ… Matatizo Yote Ya Uzazi Kwa Wanaume (Kukosa Nguvu Za Kiume, Uume Kulegea, Mbegu Chache, Tezi Dume, Kuvimba Kwa Korodani, Ngiri N.k)
βœ… Matatizo Ya Miguu Kuwaka Moto Na Ganzi.
βœ… Changamoto Ya Unene Uliopitiliza, Uzito Mkubwa Na Tumbo Kubwa.
βœ… Kuongeza CD4 Kwa Wenye Upungufu Wa Kinga.
βœ…U.T.I sugu.
βœ… Bawasiri Na Magonjwa Mengine Yote Sugu Yaliyokusumbua Kwa Muda Mrefu Sana

TIBA ZETU NI TIBALISHE AMBAZO ZINA KAZI ZIFUATAZO;

πŸ‘‰ Kuosha Mwili (Kuondoa Sumu Zote Kwenye Mwili Zilizotokana Na Vyakula, Maji, Hewa Na Mitindo Mingine Ya Maisha).

πŸ‘‰ Kulinda Mwili Dhidi Ya Magonjwa Nyemelezi.

πŸ‘‰ Kujenga Mwili Kwa Kuuongezea Madini Muhimu Yanayopotea Kwa Mitindo Hatarishi Iliyozoeleka Na Vyakula Visivyo Sahihi Vinavyolika Kila Mara.

πŸ‘‰ Kutibu Mwili Kabisa Kwa Kuurudishia Nguvu Mpya Ya Kufanya Kazi K**a Ilivyokua Kawaida.

Karibu Sana Upate Huduma Hii Ya Vipimo Sahihi Vya Afya Na Matibabu Kwa Changamoto Uliyonayo Kwenye Vituo Vyetu Vinavyopatikana Nchi Nzima.

Wasiliana Nasi Kwa Namba 0786592409 Au Bonyeza Neno "WHATSAPP" Hapo Chini Kuweka Appointment Ya Kurudishia Uhai Wa Afya Yako.

Sisi Ni Daraja La Uponyaji Wa Afya Ya Mwili Wako. Mungu Unayemuamini Azidi Kuilinda Afya Yako Kwani Ndio Msingi Wa Mafanikio Yako.

25/09/2023

UNAWEZA KUPONA KABISA CHANGAMOTO ZA MIFUPA NA MAUNGIO K**A MAUMIVU YA MGONGO, KIUNO, NYONGA NA MAGOTI BILA KUFANYIWA UPASUAJI KABISA.

Changamoto hizi zifuatazo sio lazima ufanyiwe upasuaji zinaweza kupona kabisa k**a ukifuata utaratibu sahihi wa matibabu

SHIDA KWENYE PINGILI ZA MGONGO ZINAZOLETA MAUMIVU;

1.Pingili kuweza kusagika .
2.Pingili kupishana
3.Pingili kutuna na kubanana
4.Pingili kuishiwa ute

MAUMIVU MAKALI YA NYONGA;

1.Nyonga kuishiwa ute .
2.Nyonga kusagika .
3. Nyonga kukandamiza mishipa wa fahamu.

MAUMIVU KWENYE MAGOTI;

1. Magoti kuishiwa uteute, kusagika na kuvimba.

Matatizo haya yanapaswa kutatuliwa kwa kufuata utaratibu sahihi wa matibabu kwa kufanya vipimo vya viungo, mifupa na maungio kwa sababu zipo sababu tofauti za kupatwa na maumivu ya viungo.

Vipimo hivi vinapatikana kwenye zaidi ya mikoa 15+ kwenye vituo vya afya vya Gcat Health Clinic kwa thamani ya tsh 20,000 tu

Upo muunganiko mzuri wa tiba za kutatua
Matatizo ya pingili za mgongo nyonga na magoti unaokupa suluhisho la kudumu.

Wasiliana na mimi hapa kwa msaada zaidi wa kufanya vipimo vya afya ya viungo, maungio na mifupa pamoja na matibabu sahihi. πŸ‘‡

0786592409
wa.me/786592409
Dr. Kaitira

Address

Majumba Sita
Dar Es Salaam

Telephone

+255786592409

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Ya Uzazi Na Dr Kaitira posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share