
08/07/2024
CITY COLLEGE OF AND ALLIED SCIENCES - KAMPASI YA ILALA
WANAKUTANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA MUHULA WA SEPTEMBA KATIKA KOZI ZA AFYA,
1) PHYSIOTHERAPY,
2) DIAGNOSTIC RADIOGRAPHY,
3) CLINICAL OPTMETRY,
4) HEALTH RECORDS AND INFORMATION,
5)CLINICAL MEDICINE,
6)PHARMACEUTICAL SCIENCES.
MAOMBI YATUMWE MOJAKWAMOJA CHUONI ILALA AU CHUKUA FOMU KWENYE TOVUTI YETU http://application.ilalacollege.ac.tz/
CHUO KINA USAJILI WA KUDUMU WA NACTVET KWA NAMBA REG/HAS/213 NA KUTAMBULIWA NA MABARAZA YOTE YA WATAALAMU.
ADA ZETU NI NAFUU NA UNAWEZA KULIPA KWA AWAMU NNE AU KWA MWEZI.
HOSTELI ZA KISASA ZINAPATIKA BURE KWA WANAFUNZI WOTE
CHUO KIPO ILALA CHANIKA MWISHO
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA 0780 556677 au 0780556688 au 0781334455
Apply online hapa: http://application.ilalacollege.ac.tz/
WHATSAPP Group link: https://chat.whatsapp.com/GcMdzNyxt8E1yk0PpW4jqc