16/03/2024
PUNGUZO LA GHARAMA ZA MATIBABU MWEZI WA RAMADHANI:
PATA SULUHISHO LA KUDUMU LA HOMA YA INI (HEPATITIS B )NDANI YA SIKU 90:
● Watu wengi wamekua wakiuchukulia kawaida ugonjwa wa HOMA YA INI(HEPATITIS B) kutokana na uelewa mdogo kuhusu ugonjwa huu.
Hii imepelekea kujikuta wakipata MADHARA makubwa ambayo pengine wangeweza kuyaepuka endapo tu wangekua na uelewa mpana wa HOMA YA INI.
● Wengine
wameaminishwa kuwa ugonjwa huu hauna TIBA ya KUUONDOA kabisa, Hivyo wamejikuta wakiendelea kutumia DAWA za kufubaza makali bila kufahamu kuwa DAWA wanazotumia zina sumu ama kemikali ambazo huchujwa na INI ambalo tayari limeshapata hitirafu.
● Pia wapo ambao wamepewa DHANA kua ugonjwa huu huondoka wenyewe TU mwilini hivyo haina haja ya kutumia dawa yoyote.
● Homa ya INI ni zaidi ya UKIMWI, virusi vya ugonjwa huu vinapoingia katika mwili wa binadamu huanza kushambulia INI ambalo ni moja Kati ya viungo muhimu sana mwilini.
● Zifuatazo ni BAADHI TU ya kazi za INI katika mwili wa binadamu.
1.Kwanza Ini ufanya kazi ya kuchuja sumu ama kemikali hatalishi kutoka kwenye damu, ambazo huzalishwa kutoka kwenye
- Vyakula
- Madawa pamoja na vinywaji vikali.
Hivyo hitilafu inapotokea ufanisi wa INI hupungua, hii upelekea sumu kutapakaa mwilini na rangi ya MANJANO hujitokeza kwenye ngozi, Macho pamoja na maeneo ya kucha.
2. INI husaidia kuweka sawa kiwango cha joto linalohitajika mwilini, hitilafu yoyote inapotokea JOTO la mwili huongezeka na mgonjwa kuanza kupata homa za mara kwa mara, uchovu na maumivu ya viungo.
3. INI husaidia kuweka sawa mmeng'enyo wa CHAKULA kwa kuzalisha NYONGO ambayo husaidia chakula kumeng'enywa vizuri na viini lishe kufyonzwa
● Dosari inapotokea hupelekea mtu:
-kukosa hamu ya kula, -tumbo kuanza kujaa maji,
-mkojo kuwa na rangi nyeusi na
-choo kuwa na rangi nyeupe.
4. Pia INI huzalisha Protini maalumu ambayo husaidia chembe nyekundu za damu kuzalishwa kwa wingi, hivyo panapotokea hitilafu -Damu huanza kupungua mwilini
-maumivu ya kichwa na tumbo upande wa juu kulia hujitokeza.
NB: AFYA ni SAYANSI na hivyo haihitaji siasa, huonapo dalili hizi chukua hatua haraka ili kuepuka INI kufeli pamoja na kupata KANSA ya INI.
Kupata USHAURI na TIBA wasiliana nasi kwa kupiga au whatsap no, 0783075579.
HEPATITIS B INATIBIKA OKOA UHAI WAKO.