Maisha ni Afya

Maisha ni Afya KUSAIDIA WATU KATIKA AFYA

PATA SULUHISHO LA BAWASIRI BILA KUFANYIWA UPASUAJITokomeza Bawasiri ndani ya siku 30KUWA MUWAZI KWA MSHAURI WA AFYA, BAW...
06/12/2023

PATA SULUHISHO LA BAWASIRI BILA KUFANYIWA UPASUAJI

Tokomeza Bawasiri ndani ya siku 30

KUWA MUWAZI KWA MSHAURI WA AFYA, BAWASIRI INATIBIKA

Kwa ushauri na tiba usisite Kuwasiliana nasi Kwa kupiga simu /kutuma ujumbe mfupi wa maandishi au WhatsApp

0788 100 499

+255788100499

CHANGAMOTO YA BAWASILI👉 Maana ya bawasili 👉 Visababishi vya BAWASILI 👉 Dalili za  bawasili👉 Tiba ya bawasili*BAWASILI NI...
13/09/2023

CHANGAMOTO YA BAWASILI

👉 Maana ya bawasili
👉 Visababishi vya BAWASILI
👉 Dalili za bawasili
👉 Tiba ya bawasili

*BAWASILI NI NINI ?????*
👉ni uvimbe au vidonda vinavyojitokeza katika tundu la kutolea haja kubwa na huweza kuwa ndani au nje ya tundu la haja kubwa na uvimbe huu waweza kuwa mkubwa au mdogo na hata kufikia kiasi Cha ukubwa wa kidole kiasi kwamba ukimaliza haja kubwa muhanga hulazimika kurudisha ndani kwasabab wakati wa haja huweza kutoka nje na husababisha kufanyiwa upasuaji endapo tatizo litakua kubwa Sana

*Nini husababisha BAWASILI ????*

🔥 Kuharisha kwa muda mrefu
🔥 Wakati wa kujifungua kwa kina mama
🔥 Kuwa na kinyesi kigumu
🔥 Uzito mkubwa kupita kiasi
🔥 Kufanya mapenzi kinyume na maumbile ( a**l sexual in*******se )
🔥 Kukaa kwa muda mrefu
🔥 Umri mkubwa pia kwasababu ya kulegea kwa baadhi ya misuli
🔥 Kudhurika kwa misuli ya mfumo mzima wa utoaji taka mwili

*Dalili za BAWASILI NI ZIPI ????*

🌲 Maumivu makali katika tundu la haja kubwa
🌲miwasho na vimbe kwenye tundu la haja kubwa
🌲 Kutoka uteute wenye mchanganyiko wa damu kwenye tundu la haja kubwa
🌲kutoa haja kubwa yenye mchanganyiko wa damu
🌲kukosa uwezo wa kudhibiti haja kubwa
🌲 Kujitokeza vitu K**a vinyama au vimbe nje au ndani ya tundu la haja kubwa
🌲 Ikifikia hali mbaya muhanga hushindwa kukaaa
TUPO KIMARA STOP OVER
Emails: info@excelhealthliving.com
charomuke74@gmail.com
Website: https://www.excelhealthliving.com
Whatsapp: 0788100499

Karibu kupata suluhu na tatuzi za changamoto za maradhi ya binadamu yasiyo ambukiza
13/09/2023

Karibu kupata suluhu na tatuzi za changamoto za maradhi ya binadamu yasiyo ambukiza

KUSAIDIA WATU KATIKA AFYA

Address

KIMARA STOP OVER �
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maisha ni Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Maisha ni Afya:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram