doctor neema

doctor neema medical & health

16/03/2025

Karibu upate suluhisho la changamoto yako ambayo imekusumbua Kwa mda mrefu na umeangaika nayo lakni hujapata suluhisho la kudumu. Nazungumza Kwa magonjwa yote sugu Ambayo mengi yanatokana na life style tunayopita wasiliana nasi kupitia izo namba 0746371652

JE,UNASUMBULIWA NA KUTOKA UCHAFU SEHEM ZA SIRI,MIWASHO,FANGASI,U.T.I NA UZAZI KWA MUDA MREFU??Zipo sababu mbalimbali zin...
09/03/2025

JE,UNASUMBULIWA NA KUTOKA UCHAFU SEHEM ZA SIRI,MIWASHO,FANGASI,U.T.I NA UZAZI KWA MUDA MREFU??

Zipo sababu mbalimbali zinazopelekea kuwa na hii changamoto ya (P.I.D) (kutokwa na uchafu sehem za siri)

1). Ulaji wa vyakula vyenye madawa k**a vile chipsi kuku/chipsi mayai,vyakula vya viwandani na aina k**a hizo
2).Matumizi ya njia za uzazi wa mpango
3).Utoaji wa mimba hovyo
4).Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja
5).Matumizi ya mara kwa mara ya antibiotics
6).U.T.I sugu
7). Vifaa vya kujifungulia kuwa na bakteria(kutooshwa vizuri)

DALILI ZA P.I.D
1).Kutokwa Uchafu k**a maziwa wenye harufu wakati mwingine hauna harufu
2).Mzunguko wako kuvurugika
3).Kutoa harufu mbaya sehemu za Siri
4).Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
5).Maumivu ya tumbo upande wa kulia au kushoto
6).Maumivu wakati wa tendo la ndoa
7)Kuwa na dalili za mimba lakini huna mimba
😎.Uk* kuwa mkavu kupita kiasi
9).Kukosa hamu ya tendo la ndoa
10).Miwasho sehemu za Siri
11).Kupata homa au kuhisi homa

MADHARA YA P.I.D
1).Maumivu ya tumbo au nyonga
2).Ugumba /kushindwa kupata ujauzito
3).Ujauzito kuharibika
4).Mirija ya uzazi kuziba
5).Kupata uvimbe kwenye mirija ya uzazi
6).Kupata Uvimbe kwenye mji wa mimba
7).Kupata Saratani ya shingo ya kizazi
8.kizazi kutolewa
9).Kizazi kuharibika
10).Kupoteza uhai

Tumewasaidia watu wengi kupona changamoto hii baada ya kuhangaika sana kutafuta tiba mbalimbali na kupoteza pesa bila mafanikio.

Wasiliana nami Dr. Irene niweze kukusaidia kwa ushauri na tiba.

📞0746371652

⭕🤦🏻‍♂️  CHUKUA DAKIKA MOJA  SOMA  KISHA TAFAKARI KUHUSU ILI 🤦🏻‍♂️⭕➖NIGHARAMA KIASI GANI UTATUMIA PALE UTAKAPOZIDIWA NA K...
05/03/2025

⭕🤦🏻‍♂️ CHUKUA DAKIKA MOJA SOMA KISHA TAFAKARI KUHUSU ILI 🤦🏻‍♂️⭕

➖NIGHARAMA KIASI GANI UTATUMIA PALE UTAKAPOZIDIWA NA KUKIMBIZWA HOSIPITALI KWA TATIZO AMBALO UNAUWEZO WAKULITATUA MAPEMA?
➖KWANINI UNASHINDWA KUUTHAMINI MWILI WAKO WAKATI NDIO UNAOKUFANYA UFANIKIWE?

🎯 AFYA NJEMA YA MWILI WAKO NI UZIMA WAKO, NA NDIO MAFANIKIO YAKO KATIKA MAISHA.

💌 KARIBU UFANYE CHECKUP YA MWILI MZIMA KWA 30000
🔰 HII NI OFA KWA AJILI YAKO.

🌹Inawezekana Ukawa Una Changamoto yoyote Ya Uzazi au Ya Kiafya Kwa Ujumla,
📲 K**a Ndio Napenda Nikukaribishe katika ofisi zetu
💥Tunatoa Huduma Ya Vipimo Vya Mwili Mzima(Fullbody Checkup) Kwa 30,000 tu

Tunapatikana Dar es salaam na mikoani pia

🌹KARIBUNI SANA

Tupigie Kwa Namba

📞 0746371652

⭕🤦🏻‍♂️  CHUKUA DAKIKA MOJA  SOMA  KISHA TAFAKARI KUHUSU ILI 🤦🏻‍♂️⭕➖NIGHARAMA KIASI GANI UTATUMIA PALE UTAKAPOZIDIWA NA K...
23/02/2025

⭕🤦🏻‍♂️ CHUKUA DAKIKA MOJA SOMA KISHA TAFAKARI KUHUSU ILI 🤦🏻‍♂️⭕

➖NIGHARAMA KIASI GANI UTATUMIA PALE UTAKAPOZIDIWA NA KUKIMBIZWA HOSIPITALI KWA TATIZO AMBALO UNAUWEZO WAKULITATUA MAPEMA?
➖KWANINI UNASHINDWA KUUTHAMINI MWILI WAKO WAKATI NDIO UNAOKUFANYA UFANIKIWE?

🎯 AFYA NJEMA YA MWILI WAKO NI UZIMA WAKO, NA NDIO MAFANIKIO YAKO KATIKA MAISHA.

💌 KARIBU UFANYE CHECKUP YA MWILI MZIMA KWA 20,000 TU

04/06/2024

OSTEOARTHRITIS
+255 0746 371 652
Nichangamoto inayoathiri viungo inayotoka na umri kuanzia 40+

🍹Huathiri viungo na mifupa
🍹Hutokea baada ya gegedu (cartilage)kulika kwenye viungo na uteute kuisha
🍹 Huathiri viungo mbalimbali k**a vile
👉 Mgongo
👉 Nyonga
👉Magoti
👉Mabega nk

Kumbuka
👉Viungo ni muunganiko kati ya mifupa miwili (mfupa na mfupa
👉Katika ya viungo kuna gegedu (Cartilage),hii ni plastiki ya asili inayozuia mifupa isigusane kwenye viungo

OSTEOARTHRITIS
Hutokea pale ambapo gegedu (cartilage) imelika na uteute umepungua kwenye viungo

Kwa Ushauri zaidi

Tuwasiliane kupitia namba
+255 746371652

⭕🤦🏻‍♂️  CHUKUA DAKIKA MOJA  SOMA  KISHA TAFAKARI KUHUSU ILI 🤦🏻‍♂️⭕➖NIGHARAMA KIASI GANI UTATUMIA PALE UTAKAPOZIDIWA NA K...
20/05/2024

⭕🤦🏻‍♂️ CHUKUA DAKIKA MOJA SOMA KISHA TAFAKARI KUHUSU ILI 🤦🏻‍♂️⭕

➖NIGHARAMA KIASI GANI UTATUMIA PALE UTAKAPOZIDIWA NA KUKIMBIZWA HOSIPITALI KWA TATIZO AMBALO UNAUWEZO WAKULITATUA MAPEMA?
➖KWANINI UNASHINDWA KUUTHAMINI MWILI WAKO WAKATI NDIO UNAOKUFANYA UFANIKIWE?

🎯 AFYA NJEMA YA MWILI WAKO NI UZIMA WAKO, NA NDIO MAFANIKIO YAKO KATIKA MAISHA.

💌 KARIBU UFANYE CHECKUP YA MWILI MZIMA KWA 20,000 TU
🔰 HII NI OFA KWA AJILI YAKO.

🌹Inawezekana Ukawa Una Changamoto yoyote Ya Uzazi au Ya Kiafya Kwa Ujumla,
📲 K**a Ndio Napenda Nikukaribishe katika ofisi zetu
💥Tunatoa Huduma Ya Vipimo Vya Mwili Mzima(Fullbody Checkup) Kwa 20,000 tu

Tunapatikana Dar es salaam na mikoani pia

🌹KARIBUNI SANA

Tupigie Kwa Namba

📞 0746371652

Address

Airport
Dar Es Salaam
MEDICAL

Telephone

+255746371652

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when doctor neema posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram