Happiness Massage Clinic

Happiness Massage Clinic Happiness Massage Clinic
Tunatoa huduma bora za Massage Dar es Salaam
Ni kwa watu wenye matatizo n

Mafuta haya ya APRICARE yana faida nyingi sana.Baadhi ya faida hizo ni:-1. Yanaondoa muwasho katika ngozi2. Yanaondoa ma...
11/11/2023

Mafuta haya ya APRICARE yana faida nyingi sana.

Baadhi ya faida hizo ni:-

1. Yanaondoa muwasho katika ngozi

2. Yanaondoa makovu

3. Yanang'arisha ngozi kwa njia ya asili

4. Yanaboresha tendo la ndoa

5. Yanaondoa weusi katika mwili

6. Yanachangamsha fikra.

7. Yanaondoa harufu mbaya ya jasho mwilini

8. Yanalainisha kabisa miguu kwa watu wenye magaga

9. Yanaondoa fangasi katika sehemu za siri na katika ngozi

10. Yanalinda na kurutubisha ngozi kwa kiasi kikubwa

11. Yanaondoa michirizi katika ngozi

👇Mafuta yanapatikana kwa Gharama ya Tsh 20,000/=

Piga simu 0715343161 au 0756343161 ili kuagiza.

Follow
👇👇👇




Tunapatikana Lamada Hotel, Apartment no. 27, Ilala Dar es Salaam.

Karibu Sana, Tunarejesha furaha Yako.

22/09/2021
12/08/2021

I love my work
Book me now with my team for full Relaxation Massage
Your body will thank you.

0715 343 161

12/08/2021

CALL ME NOW FOR BOOKING FULL BODY MASSAGE 24/7
0715 343 161


12/08/2021

APRI - CARE NI MAFUTA BORA KABISA YA NGOZI YAKO YATAKAYOKUPA MUONEKANO UNAOTAKA WEWE NA YATAKUFANYA UWE HURU NA NGOZI YAKO.

POPOTE YANAKUFIKIA TUPIGIE
0715343161
0787 343161
0756343161

⁣⁣⁣⁣⁣⁣Tupo
⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣° MAKUMBUSHO DERM PLAZA FLOOR 3 ⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣
⁣⁣⁣⁣⁣⁣
KARIBU SANA TUKUHUDUMIE

Happiness Massage
⁣⁣⁣⁣⁣⁣

12/08/2021

HI - Massage Oil yanakupa furaha kwa kufanya ngozi yako kung'aa na kukufanya kuwa na muonekana mzuuri.

HAKIKISHA UNAPATA HUDUMA HII HATA K**A HUNA TATIZO NI MUHIMU SANA KWAKO, SOMA YOTE Haya hapa ni mambo muhimu ya kufahamu...
07/07/2021

HAKIKISHA UNAPATA HUDUMA HII HATA K**A HUNA TATIZO NI MUHIMU SANA KWAKO, SOMA YOTE

Haya hapa ni mambo muhimu ya kufahamu kuhusu massage Kukanda mwili (Massage) ni tiba inayohusu, kusugua kubonyeza ngozi pamoja na misuli na viungo kadhaa vya mwili.

Hii ni tiba yenye faida kubwa sana katika mwili na maisha ya Mwanadamu, Massage ni moja ya tiba muhimu baridi na tiba mbadala na njia ya kuepuka kemikali mwilini pia imekuwa ikitolewa k**a tiba kamili pamoja na madawa.

Imebainika kuwa ni tiba kamili na yenye uwezo mkubwa wa kuondoa Uchovu na migandamizo stress na kuondoa maumivu ya misuli katika mwili na misuli iliyoumizwa wakati utafiti zaidi ukiwa unaendelea kuhusu tiba hii tayari maswala kadhaa yamabainika kutibiwa na tiba hii mbadala Kuzuia uwezekana wa kupata kansa pia inazuia uwezekano mkubwa wa kupooza au ugonjwa wa kiharusi stroke

👉 *Kukaa kwa muda mrefu, kusimama kwa muda mrefu na kuendesha gari kwa muda mrefu* ni chimbuko la matatizo mbalimbali katika mwili.

👉Matatizo hayo ni k**a vile *Maumivu makali ya mgongo, uchovu kupita kiasi na maumivu ya miguu.*

👉Matatizo hayo yasipopatiwa suluhisho kwa haraka yanaweza kupelekea athari zaidi k**a vile;
▪️Maumivu makali ya mgongo
▪️Kuondoa maumivu ya misuli
▪️Kulainisha kabisa ngozi na kuifanya iwe na nuru
▪️Huondoa mashaka na hofu nakukufanya uwe mchangamfu kabisa.
▪️Kuondoa uchovu na maumivu ya mishipa ya fahamu
▪Kushindwa kushiriki tendo la ndoa, kutokana na maumivu makali ya mgongo

▪Kukosa umakini katika kazi

▪Msongo wa mawazo

▪Matatizo ya mfumo wa fahamu

🤝🏽 *Happiness Massage* tumekusudia kukukamilishia furaha yako, Karibu upate suluhisho kupitia huduma zetu za massage.

Tunapatikana
Daresalaam.
Ilala, Lamada Hotel Manyara 27.
(Masaa 24 ya siku.)

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.
0715 343 161⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣
0787 343 161⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣
0756 343 161

31/10/2020

Address

Lamada Hotel
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Happiness Massage Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram