Nutrition Advice

Nutrition Advice Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Nutrition Advice, Kinondoni, Dar es Salaam.

Heri ya Mwaka mpya 2020,Tunaendelea kujifunza dondoo mbalimbali za afya,kumbuka afya yako ndio utajiri wako;Je wajua  ma...
06/01/2020

Heri ya Mwaka mpya 2020,
Tunaendelea kujifunza dondoo mbalimbali za afya,kumbuka afya yako ndio utajiri wako;
Je wajua maharage ni muhimu kwa mgonjwa wa kisukari;

Zifahamu aina kuu mbili za kisukari;Leo tutangalia aina ya kwanza ya kisukari kabla hatujaendelea kwanza tujue.Insulin n...
10/05/2019

Zifahamu aina kuu mbili za kisukari;
Leo tutangalia aina ya kwanza ya kisukari kabla hatujaendelea kwanza tujue.
Insulin ni nini?

Insulin ni homoni inayotoa ishara kwa seli za mwili ili ziweze kuchukua glucose kutoka kwenye damu na kuitumia katika kuupa mwili nguvu na kuujenga. K**a kiwango cha insulin mwilini ni kidogo au hakuna insulin kabisa katika mwili, glucose haitachukuliwa na seli za mwili hivyo kusababisha mwili kuyeyusha mafuta yaliyomo mwilini ili upate nguvu. • Kisukari aina ya kwanza, ambapo Insulini inakuwa tegemezi (insulin-dependent); hapa kongosho halitengenezi kabisa insulini au linaitengeneza kwa kiasi kidogo sana kiasi kwamba mgonjwa analazimika kuchomwa sindano ya insulini au kutumia pampu za insulini.

Aina ya kwanza ya kisukari inaweza kutokea kwa watu kuanzia utotoni mpaka kwa watu wa umri wa miaka 30. Aina hii ya kisukari hushambulia kwa haraka sana, kwa kawaida ndani ya majuma mpaka miezi kadhaa.

Kwakuwa kongosho halifanyi kazi vizuri, usawa wa damu sukari lazima upewe uangalizi wa karibu. Watu wenye kisukari aina hii ya kwanza pia huwa na uzito pungufu (underweight). Kwa maswali na maelezo zaidi kuhusu lishe na virutubisho vya aina ya kwanza ya kisukari what's up msg 0768 221411

Leo tunaangalia suala nzima la udhibiti wa kisukari kwa mtu mwenye kisukari.Lazima ufahamu kuwa wewe mwenye kisukari ni ...
16/04/2019

Leo tunaangalia suala nzima la udhibiti wa kisukari kwa mtu mwenye kisukari.
Lazima ufahamu kuwa wewe mwenye kisukari ni -Tabibu wa kwanza wa tatizo lako.
Kuna matabibu wengi sana mitaani na wote wana utaalamu tofauti pia kuna taarifa nyingi na kwenye mitandao ila ni jukumu lako wewe kujua ni taarifa gani sahihi na inayokufaa.
Note;Unaweza kuambiwa kula aina hii ya chakula usile aina ile ya chakula,acha kabisa kula aina hii ya chakula kula sana aina ile ya chakula mara kula sana aina hii ya matunda ,usile aina ile ya matunda.
Kwa maelezo zaidi na ushauri what's up namba 0768_221411.

Je wajua faida ya kutembea?For more health tips and diabetes health tips.what's  up 0768 221411
30/03/2019

Je wajua faida ya kutembea?
For more health tips and diabetes health tips.what's up 0768 221411

Zifahamu dalili za mtu aliyepungukiwaba sukari mwilini.;-Mapigoya moyo kwenda haraka haraka.-Kutokwa na jasho kwa wingi....
27/03/2019

Zifahamu dalili za mtu aliyepungukiwaba sukari mwilini.;
-Mapigoya moyo kwenda haraka haraka.
-Kutokwa na jasho kwa wingi.
-Kijisikia k**a mwenye homa.
-Kuchoja.
-Kukojoa Mara kwa Mara.
-Kuumwa na Kichwa.
Ni vizuri mtu akihisi Dalili hizi ahakikishe anapima sukari mwilini.

Kwa maelezo zaidi na ushauri wa kina kuhusu lishe na namna ya kuishi na ugonjwa wa kisukari bila mashaka what's up namba 0768 221411

Matumizi ya sukari nyingi yanavyoweza kuleta madhara makubwa kwa mgonjwa wa kisukari.for more health tips and advice  ch...
26/01/2019

Matumizi ya sukari nyingi yanavyoweza kuleta madhara makubwa kwa mgonjwa wa kisukari.for more health tips and advice check me what's up 0768 221411

Chakula ni muhimu kwa MTU yeyote lakini je unakula nini na kwa wakati gani??Tafiti zinaonyesha kuna ongezeko kubwa la ug...
25/01/2019

Chakula ni muhimu kwa MTU yeyote lakini je unakula nini na kwa wakati gani??

Tafiti zinaonyesha kuna ongezeko kubwa la ugonjwa wa kisukari nchini na duniani kwa ujumla.
Mwaka 2007 kulikuwa na wagonjwa mil 246 duniani,Mwaka 2015 wagonjwa mil 415 duniani na ifikapo 2040 inatarajiwa kuwa na wagonjwa mil 642 duniani wanaougua ugonjwa wa kisukari.
Kwa ushauri kuhusu chakula ili kuweza kudhibiti ugonjwa wa kisukari what's no 0768 221411.
Karibu.

Did you know the benefit of Sugarcane juice to diabetic patients.??Je wajua juice ya miwa ni nzuri kwa mgonjwa wa kisuka...
25/01/2019

Did you know the benefit of Sugarcane juice to diabetic patients.??
Je wajua juice ya miwa ni nzuri kwa mgonjwa wa kisukari??
Soma makala hiyo ujue zaidi.

*Health is Wealth,a healthy person can be hopeful of a better tomorrow because of his or her ability to be active at dif...
27/10/2018

*Health is Wealth,a healthy person can be hopeful of a better tomorrow because of his or her ability to be active at different spheres of life in the actions performed day to day in earning an income or in the family,circular world,professional and even social life style.*

To be healthy one needs to ensure that the food eaten each day contains the necessary nutrition for a strong and vibrant body. It is necessary for one to get enough calcium, fiber,magnesium, potassium or vitamin A ,C and E at recommended amounts which help one maintain one health and decrease the risk of chronic diseases.

*JE WEWE NI MMOJA WAPO KATI YA WALE WANAOSUMBULIWA NA  UGONJWA  WA KISUKARI MPAKA UMEKATA  TAMAA???*  *SULUHISHO LAKO LI...
13/10/2018

*JE WEWE NI MMOJA WAPO KATI YA WALE WANAOSUMBULIWA NA UGONJWA WA KISUKARI MPAKA UMEKATA TAMAA???*

*SULUHISHO LAKO LIPO* *USIPITE BILA KUSOMA!!!*

Kwa majina naitwa *Clara Mosha* Mimi ni mtaalamu na mshauri wa kujitegemea kuhusu chakula na Lishe kutoka katika Chuo Kikuu cha SUA.

Natoa Ushauri na Mafunzo ya lishe asilia bure kupitia njia ya Mtandao kwa watu wanaosumbuliwa na ugonjwa wa kisukari.
Kwa Maelezo ya kina na ushauri fuatilia kupitia *Whats up namba*
*0768 221411* .

12/10/2018
None of us will ever accomplish anything excellent or commanding except when he listens to this whisper which is heard b...
12/09/2018

None of us will ever accomplish anything excellent or commanding except when he listens to this whisper which is heard by him alone.

Address

Kinondoni
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

255712511331

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nutrition Advice posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram