SIAN Afya Clinic

SIAN Afya Clinic AFYA YAKO FURAHA YETU

ZIMEBAKI SIKU TATU, SOMA UJUMBE HUU👇🏽👇🏽 Ili mwanamke aweze kubeba ujauzito ni lazima nyumba yake ya uzazi iwe safi, kiny...
12/01/2024

ZIMEBAKI SIKU TATU, SOMA UJUMBE HUU
👇🏽
👇🏽
Ili mwanamke aweze kubeba ujauzito ni lazima nyumba yake ya uzazi iwe safi, kinyume chake anaweza asibebe mimba kwa urahisi.
Wapo kinamama wanaohangaika kutafuta mimba kila kukicha bila mafanikio kwa kuwa tu kizazi chao kina tatizo.
JE UNACHANGAMOTO ? OFFER YA UPIMAJI MWILI MZIMA KWA WEWE MWANAMKE LAKINI PIA *Kwa wale wanaume wenye mbegu hafifu
Kumbuka tunatoa ushauri bure fika wahi mawasiliano

07488829836

Watu wengi Wana fikiri vidonda vyatumbo havitibiki no simuwa.me/ 0748829836Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ili vyo...
21/12/2023

Watu wengi Wana fikiri vidonda vyatumbo havitibiki no simuwa.me/ 0748829836

Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ili vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni;

Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori)
Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu k**a asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine)
Kuwa na mawazo mengi
Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
Kunywa pombe na vinywaji vikali
Uvutaji wa sigara
Kuto kula mlo kwa mpangilio

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO

Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na endelea kukuza tatizo, vidonda vya tumbo vinadalili k**a;

Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa k**a ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula
Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo
Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu
Kupata haja kubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu
Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
Kushindwa kupumua vizuri

SULUHISHO linapatikana
WASILIANA nami kupata muongozo wa.me/ 0748829836 na elimu zaidi juu ya changamoto yako

TAHADHARI ‼️  #0748829836Uvimbe kwenye Kizazi huwafanya wengi kupata Maumivu makali, Kupungukiwa DAMU na baadhi huishia ...
20/12/2023

TAHADHARI ‼️ #0748829836

Uvimbe kwenye Kizazi huwafanya wengi kupata Maumivu makali, Kupungukiwa DAMU na baadhi huishia kupata Saratani .... ...
Kutojiamini na hata kushindwa kufurahia maisha yao kutokana na Maumivu makali wakati wa ushiriki wa Chakula cha Wanandoa ............
Maumivu ya mgongo, Nyonga na kiuno kila wakati....
Changamoto hizi zikiachwa huweza kuchangia uibukaji wa matatizo mengine k**a vile.... Kukojoa mara Kwa mara, Saratani Ya kizazi, kuvimba miguu, Choo kikubwa kuwa kigumu, Kuziba Kwa mirija ya Uzazi na hata Ugumba ........
Sio wewe tu wengi wamepitia changamoto hizi .............
Na hivi sasa wanafurahia maisha Yao........

Utaondoa Uvimbe wote bila Upasuaji na utaushuhudia Kwa Macho Yako ukitoka.......

Rejesha furaha Yako na Diana health SIAN Afya Clinic ........ Utapata suluhisho..........
Njoo Whatsapp Kwa Kugusa palipoandikwa Whatsapp- : ....

Pia waeza ingia kwenye group kwakutumia Link hii⤵️

wa.me/255748829836

Namba Yetu ni Moja epuka Matapeli njoo Whatsapp

SIAN Afya Clinic tupo kwaajili ya kukufuta Machozi na kukurejeshea Furaha Yako.





*Hatua 7 za kuudhibiti Uvimbe*(1) Epuka kula vyakula ambavyo vitasababisha uwepo wa Uvimbe kwenye Kizazi.....mfano-:Vyak...
20/12/2023

*Hatua 7 za kuudhibiti Uvimbe*

(1) Epuka kula vyakula ambavyo vitasababisha uwepo wa Uvimbe kwenye Kizazi.....
mfano-:
Vyakula vinavyoivishwa Kwa mafuta mengi...........

(2) Kula zaidi vyakula vinavyowezesha kubalance Acid ,
mfano-:
Mboga za majani,
Matunda,
Na vyakula vya mizizi.......

(3) Ulaji wa Alkaline Kwa kiwango kikubwa utakusaidia kusafisha damu na kuwezesha kubalance Hormone........

(4) Ulaji wa Matunda utakuwezesha kupata Madini, vitamini muhimu Mwilini kwaajili ya kufanya ukarabati wa tissue za Mji wa Mimba, Kuboresha missul na kuwezesha Hormone ya mimba kuruhusu upokeaji.....

(5) Acha Matumizi ya mafuta, Lotio, body Spray, Sabuni yenye viambata vikali ...

(6) Fanya mazoezi ya Nyonga, kiuno na Tumbo la chini......

(7) Epuka Unywaji wa vinywaji vyenye chemical (kemikali) / Acida mfano wa vinywaji vyakuongeza nguvu ambavyo sio virutubisho

Zaidi zingatia kupata wasaa wa Maombi na Kudhibiti Hasira Yako. Call or sms

wa.me/255748829836

Fanya vipimo Bure
Ushauri Bure
Kumuona Dr Bure.
Kwa ushauri na mawasiliano

MAMBO 5 YA AJABU USIYOYAFAHAMU KUHUSU UKE WAKO.1⃣ Uke una mfumo unaojisafisha wenyewe kwa ndani na ni sehemu moja ya mwi...
20/12/2023

MAMBO 5 YA AJABU USIYOYAFAHAMU KUHUSU UKE WAKO.

1⃣ Uke una mfumo unaojisafisha wenyewe kwa ndani na ni sehemu moja ya mwili wako ambayo ni safi kuliko maelezo, safi kuliko hata midomo yetu.

2⃣ Uke una Mfumo unaosafisha damu ya hedhi na shahawa wenyewe, hauhijaji
msaada wa aina yeyote

3⃣ Uke wenye afya una bacteria, lactobacilli, ambao ni kawaida kuwepo humo. Hawa hupambana na vijidudu visivyopaswa kuwepo huko kulinda uke
na mfumo wa uzazi kwa ujumla.

4⃣ Uke wenye afya sio mkavu, muda wote una ute usiokua na rangi (k**a maji), mwepesi na unaonata. Uzito, wingi na mnato wa ute huu hutegemea na mabadiliko ya mwili wa mwanamke. (Jifunze kutofautisha ili ujue muda inapaswa kumuona daktari)

5⃣ Uke wenye afya una harufu, ambayo ni nzuri, murua na isiyokera
K**a harufu itakua kali na inayokera (k**a yai bovu) basi uke wako
hauko katika afya njema na unahitaji kumuona daktari.

Tunza Uke wako Ukutunze.

kwa tiba mbalimbali za mfumo wa uzazi tafadhari usisite kuwasiliana nami.

Karibu sana.

♻️WhatsApp
🥏+255748829436
Call☎️📞

Kuna wanawake wengi hupatwa na tatizo hili la kutokwa na damu ukeni wakati au baada ya kufanya mapenzi au tendo la ndoa,...
20/12/2023

Kuna wanawake wengi hupatwa na tatizo hili la kutokwa na damu ukeni wakati au baada ya kufanya mapenzi au tendo la ndoa,

CHANZO CHA MWANAMKE KUTOKWA NA DAMU WAKATI NA BAADA YA KUFANYA MAPENZI

Kuna sababu mbali mbali ambazo husababisha mwanamke kuvuja damu wakati akifanya mapenzi au baada ya kufanya mapenzi, na sababu hizo ni k**a vile;

– Maambukizi katika via vya uzazi vya mwanamke yaani PELVIC INFLAMMATORY DISEASE(PID)

– Mwanamke kupatwa na magonjwa mbali mbali ya zinaa k**a vile ugonjwa wa Pangusa au CHLAMYDIA

– Mwanamke kuwa na tatizo la ukavu ukeni ambao hupelekea michubuko na kuvuja damu wakati wa tendo la ndoa

Magonjwa hatari kwa mama mjamzito
Magonjwa hatari kwa mama mjamzito
Ujauzito
Magonjwa hatari kwa mama mjamzito Maambukizi hatari sana yanaweza yasitokee mara kwa mara wakati wa
– Mwanamke kuwa na tatizo la Saratani au Kansa ya kizazi au shingo ya kizazi

– Maambukizi ya magonjwa ambayo huweza kusababisha shingo ya kizazi au uke kuvimba yaani Cervicitis and Vaginitis

– Mwanamke kuwa na uvimbe kwenye shingo ya kizazi au kizazi yaani FIBROIDS, ovarian Cysts N.k

– Kufanya mapenzi bila maandalizi ya kutosha hali ambayo huweza kupelekea michubuko na kuvuja damu ukeni

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA 0748 829 836

*SIAN Afya Clinic* *__________*Tunatoa huduma ya *Afya ya Uzazi* na huduma ya Afya kwa ujumla Ikiwa ni pamoja na utoaj E...
20/12/2023

*SIAN Afya Clinic* *__________*

Tunatoa huduma ya *Afya ya Uzazi* na huduma ya Afya kwa ujumla Ikiwa ni pamoja na utoaj Elimu, Ushauri na matibabu bure na vipimo vya *MWILI MZIMA KWA SH. 20,000*...

*MAGONJWA*
° *P. I. D*
° *UTI*
° KISUKARI
° PRESSURE
° BAWASILI
° MAGONJWA YA UZAZI (WANAWAKE)
°. MAGONJWA YA UZAZI (WANAUME)
° MIMBA KUTUNGA NJE YA KIZAZI
° VIDONDA VYA TUMBO
° UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
° KUPATA CHOO KIGUMU

Ovarian cyst ni Uvimbe WA maji maji unaotokea kwenye yai la UZAZI kwa mwanamke ( O***y) pamoja na ukuta unaozunguka maen...
11/12/2023

Ovarian cyst ni Uvimbe WA maji maji unaotokea kwenye yai la UZAZI kwa mwanamke ( O***y) pamoja na ukuta unaozunguka maeneo ya yai. ☘️☘️ ZIFUATAZO NI BAADHI YA SABABU ZINAZOPELEKEA ( Ovarian cyst) 1️⃣Matumizi ya kukithiri ya Dawa ya kusaidia kuchavusha YAI . 2️⃣ MABADILIKO KATIKA VICHOCHEO ( HORMONAL CHANGES). 3️⃣ Kupotea Kwa uwiano sawa WA Vichocheo VINAVYOHUSIKA na uandaaji pamoja na kuratibu mwenendo wa UZAZI Kwa MWANAMKE ( HORMONAL IMBALANCE) 4️⃣MARADHI SUGU pamoja na MAAMBUKIZI YANAYOSHAMBULIA MFUMO WA UZAZI KWA MWANAMKE ( PID). 5️⃣ Historia ya ovarian cyst katika familia. 6️⃣MATUMIZI YA HOLELA YA P2, 7️⃣Kuziba Kwa MIRIJA ya UZAZI kutokana MAGONJWA ya ZINAA, UTOAJI Mimba HOLELA na nk 8️⃣Mtindo mbovu WA MAISHA, lishe DUNI, uzito ULIOKITHIRI, UTUMIAJI WA VILEVI, SIGARA na madawa

☘️🍃🌳 wasiliana nasi kwa huduma Maalum ya VIPIMO pamoja na ya KIMATIBABU
What's app 0743829836

Njoo upate suluhisho wa tatizo lako wa.me/0748829836
26/10/2023

Njoo upate suluhisho wa tatizo lako wa.me/0748829836

Dalili za bawasil ni pamoja na*Kupata choo kigumu*Maimivu Manali wakati wa kujisaidia*Tumbo kujaa gesi*Kupata choo cheny...
26/10/2023

Dalili za bawasil ni pamoja na
*Kupata choo kigumu
*Maimivu Manali wakati wa kujisaidia
*Tumbo kujaa gesi
*Kupata choo chenye damu damu
Hata hivyo vidonda vya tumbo vinasababisha bawasil pamoja na wakina mama wengine wakati wa kujifungua husababishia bawasil kutokana na VIRUTUBISHO tunavyovikosa sasa wasiliana nasi wa.me/0748829836 kupatiwa suluhisho la tatizo lako na wewe mama mjamzito wasiliana nasi ili upatiwe VIRUTUBISHO kuepuka ugonjwa wa bawasil call me 0748829836

28/09/2023

Address

Kariakoo
Dar Es Salaam

Telephone

+255748829836

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SIAN Afya Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram