Mtuy Health Care

Mtuy Health Care Ninawasidia watu wanaosumbuliwa na maradhi sugu kuondokana na maradhi yao kwa ushauri wa lishe tu.

JE UNASUMBULIWA NA JINO?1Je kinywa chako hata ukipiga mswaki bado kina haraufu?2 je ukipiga mswaki fizi zinatoa damu?3 j...
16/04/2024

JE UNASUMBULIWA NA JINO?
1Je kinywa chako hata ukipiga mswaki bado kina haraufu?
2 je ukipiga mswaki fizi zinatoa damu?
3 je unasumbuliwa na vidonda kinywani?
5 je meno yako yanatoboka?
6 je meno yako ya na ganzi
Tumia ETERNAL TOOTH PASTE ni dawa ya meno inayo
--- shambulia bacteria wanao eneza maradhi ya kinywa na meno
----- inasidia kuweka kinywa kikiwa na harufu nzuri wakati wote
-----inasaidia wale wanao sumbuliwa na ganzi ya meno
------ inasidia kwa wenye meno mabovu ya siendelee kuharibika
-------inasaidia meno kua meupe kwa wale wanao vuta sigara
------inaimarisha fizi za meno zinazo to damu
-------dawa hii pia inatumika kwenye ngozi kwa wale wanye fangasi na mapunye
Pia ukiungua na moto au ukajikata jeraha la aina yeyote ile ukipaka unapona bila.kovu
Bei ni elf 20000
Kuipata dawa hii wasilinan nasi kwa namba 0746301946

*Njia tano za asili za kuondokana na miguu kuwaka moto*👇👇Huu ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi sana na mara nyingi humf...
19/01/2024

*Njia tano za asili za kuondokana na miguu kuwaka moto*
👇👇
Huu ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi sana na mara nyingi humfamnya mtu mwenye tatizo hilo kushindwa kusinzia japo anahisi kusinzia.

Miguu kuwaka moto ni ugonjwa unaotokea ambapo katika mwili wa binadamu kutakuwa na matatizo k**a kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili yani za miguuni hivyo kupoteza uwezo wa utendaji kazi wa neva miguuni, sababu zingine ni k**a kutokuwa na mzunguko mzuri wa damu, kuwa na sumu nyingi mwilini,kurithi au mwili kushindwa kufanya kazi zake vizuri.

Dalili za ugonjwa wa miguu kuwaka moto
Ugonjwa huu una dalili nyingi zikiwemo:
- Kuhisi ganzi,
- kuhisi kuchomwa na kitu chenye ncha Kali miguuni,
- kuhisi miguu kuwa na majimaji kwa ndani,
- joto Kali miguuni,
- kuhisi k**a unaungua miguuni,kushindwa kushika au kubeba vitu na maumivu makali.

Vitu/ mambo yanayoweza kupelekea mtu miguu yake kuwaka moto
Kuna mambo mengi sana yakiwemo:
- Uzito mkubwa wa mwili (hii husababisha uti wa mgongo kukaa tofauti na unavyostahili hivyo baadhi ya neva kukandamizwa na uzito wa mwili au misuli hivyo kusababisha miguu kupata maumivu na kufa ganzi.
- Matumizi ya baadhi za dawa zenye kemikali kwa muda mrefu au mara kwa mara mfano dawa za TB, HIV nk.
- Upungufu wa virutubusho mwilini hasa mkusanyiko wa Vitamini B
- Magonjwa ya sukari na Shinikizo la damu , magoti , mzio na fangasi
- Matatizo ya moyo
- Matatizo katika mishipa ya damu
- Ulevi wa kupindukia kwa muda mrefu

Jinsi ya kuepuka ugonjwa wa miguu kuwaka moto
- Kuwa na uzito unaoenda na na kimoja chako
- Fanya mazoezi ya mwili
- Kula chakula kinachokupatia virutubisho mwili hasa VITAMINI B
- Usafi wa viatu, sox na miguu
- Ondoa sumu au kemikali mara kwa mara mwilini

Matibabu:
- Kula vyakula vyenye mkusanyiko wa vitamini B za kutosha
- Fanya mazoezi ya mwili k**a kukimbia, Kutembea n.k pia kufanya massaging
- Punguza uzito uliopitiliza
- Tumbukiza miguu katika maji ya vuguvugu yenye chumvi
- Tibu maradhi ya sukari hakikisha sukari ipo sawa
- Ondoa sumu kali mwilini mara kwa mara
- Chua miguu yaki kwa vitu vinavyopunguza maumivu ,vinavyosaidia mzunguko wa damu kuwa Vizuri (paka Asali mbichi, shubiri na limao

K**a umeshakumbana na madhara ya TATIZO HILI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0746301946

Fahamu zaidi👇🩸Clitoris-(kinembe)🩸Cervics-(mlango wa kizazi)🩸Nipple-(chuchu)🩸Ear lobes/pina-(masikio🩸The- spot-(center fo...
06/01/2024

Fahamu zaidi👇
🩸Clitoris-(kinembe)

🩸Cervics-(mlango wa kizazi)

🩸Nipple-(chuchu)

🩸Ear lobes/pina-(masikio🩸The- spot-(center for brain activation)

👉Pamoja na hizo kuna sehemu nyingi zaidi ambazo mwanamke anaweza guswa ama kujigusa na akafika kileleni kirahisi nazo ni
- KITOVU, HIPS,
- MAKALIO, LIPS, NYAYO,
- KIUNO, NYWELE,
- NYUMA YA SHINGO, UTI WA MGONGO, SHINGO,
- MIGUU, PUA, PAJI LA USO na nyingine nyingi.

➖Na kila mwanamke ana sehemu yake ambayo akiguswa anafurahi zaidi na kuhisi anafika kunako na kuna wanawake wanaweza kujifkisha kunako kupitia hisia tu bila kujigusa popote na wakafika kunako.

📢Pamoja na sehemu zote hizo,
‼️ G-**OT, ndiyo sehemu pekee/kitovu/kiini cha kufikia kileleni kwa haraka tena mwanamke akiguswa hili. eneo anaweza fika kileleni hata zaidi ya mara 8 wakati wa tendo.

⚠️ Rgds to Dr mtuy health care
♻️WhatsApp〽️
0746 301 946
Call☎️📞

𝗪𝗔𝗡𝗔𝗨𝗠𝗘 𝗨𝗦𝗜𝗞𝗢𝗦𝗘 𝗞𝗨𝗟𝗔 𝗩𝗜𝗧𝗨 𝗛𝗜𝗩𝗜 𝗞𝗜𝗟𝗔 𝗦𝗜𝗞𝗨Sio lazima upate vyote kwa pamoja.Ila usikose walau aina moja au mbili katika hi...
06/01/2024

𝗪𝗔𝗡𝗔𝗨𝗠𝗘 𝗨𝗦𝗜𝗞𝗢𝗦𝗘 𝗞𝗨𝗟𝗔 𝗩𝗜𝗧𝗨 𝗛𝗜𝗩𝗜 𝗞𝗜𝗟𝗔 𝗦𝗜𝗞𝗨

Sio lazima upate vyote kwa pamoja.

Ila usikose walau aina moja au mbili katika hii list ya vyakula vitano.

𝟭. 𝗞𝗔𝗥𝗔𝗡𝗚𝗔:

Hizi zinaongeza kiwango cha uzalishaji wa mbegu za kiume.

Vile vile karanga zinaimarisha afya ya mbegu za kiume,ukiachilia mbali kuongeza uzalishaji wake.

Ziwe karanga mbichi,za kusaga au zilizokaangwa zote fresh tu.

𝟮. 𝗠𝗕𝗘𝗚𝗨 𝗭𝗔 𝗠𝗔𝗕𝗢𝗚𝗔:

Hizi nazo zinasaidia kuimarisha ufanisi wa tezi dume

Kumbuka tezi dume ndilo linalotengeneza yale maji maji katika shahawa.

𝟯. 𝗡𝗗𝗜𝗭𝗜:

Ndizi hasa zikiwa mbivu zina kimen'genyo cha Bromelain ..

Kimen'genya hiki huongeza hamu ya kufanya mapenzi.

Bromelain inapatikana pia katika papai na nanasi

𝟰.𝗧𝗜𝗞𝗜𝗧𝗜𝗞𝗜 𝗠𝗔𝗝𝗜:

Hili lina kiambata kinachoitwa L-Cirturine

Kiambata hiki kinasaidia kutanua mishipa ya damu katika uume

Hivyo kuufanua uume usimame kwa muda mrefu na kwa uimara.

𝗞𝘄𝗮 𝗺𝗮𝘀𝘄𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗮 𝘂𝘀𝗵𝗮𝘂𝗿𝗶 𝗯𝘂𝗿𝗲 0746301946

Lakini pia unaweza kuendelea kujifunza zaidi. Kupitia ukurasa wangu wa 𝗜𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺 hapa👇👇👇


K**a utaona kabisa ni ngumu kupata aina ya hivi vitu nilio kushauri utumie nicheki tu nitakupa mwongizo namna ya kupata mchanganyiko huo ambapo wewe utachukuwa na kwenda kutumia tu karibu 🙏

Zijue faida za kula bamia katika mwili wa mwanadamu ↗hizi husababusha kuwa na afya bora ya uzazi kwa mwanamke na mwanaum...
05/01/2024

Zijue faida za kula bamia katika mwili wa mwanadamu
↗hizi husababusha kuwa na afya bora ya uzazi kwa mwanamke na mwanaume
Faida hizo ni pamoja na
Kuleta ute katika uke wa mwanamke na kwamwanaumezinazosaidia katika tendo la ndoa (semens)
↗k**a unasumbuliwa na matatizo yote ya mfumo wa uzazi kwa mwanamke na mwanaume wasiliana nasi tukupe suluhisho la matatizo yako
Uke kuwa mkavu
Uke kutoa harufu mbaya
Uke kuwasha
Upungufu wa nguvu za kiume nk
Wasiliana nasi kwa sim namba 0746301946
Utapata vipimo vya mwili mzma bure ushauri bure kumwona daktari bure kufungua file elf 20tuu 0746301946

Je unasafisha vipi uke wako??↗kwa kawaida uke unatabia ya kujisafisha wenyewe na unakuwa msafi muda wote↗zipo sababu tof...
05/01/2024

Je unasafisha vipi uke wako??
↗kwa kawaida uke unatabia ya kujisafisha wenyewe na unakuwa msafi muda wote
↗zipo sababu tofauti zinazosababisha uke kutoa harufu mbaya
PID na magonjwa mengine
Uke kuwa mkavu pia husababishwa na fangas na kutokula vyakula vinavyochochea kuwa na ute kwenye uke
K**a unatatizo lolote kuhusu afya ya uzazi kwa mwanamke au mwanaume tujuze tukusaidie
WhatsApp me au piga sim namba 0746301946 tukupe tiba lishe itakayoondoa tatizo lako (supplements)
↗NOTE
Utapata ofa ya vipimo vya mwili mzima bure kumwona daktari bure kufungua file elf 20tuu
0746301946

Sababu ya mtoto kua hivi tumboni , Mjamzito usiiname kwa muda mrefu sana ,usipende kulala kifulifuli , usiwache mwili bi...
05/01/2024

Sababu ya mtoto kua hivi tumboni ,
Mjamzito usiiname kwa muda mrefu sana ,usipende kulala kifulifuli , usiwache mwili bila kufanya mazoezi madogo madogo ,

Ukifanya mazoezi mtoto anachoka tumboni ,na hawi bize na kucheza sana

Mtoto kucheza Sana tumbon anavokua bize kukatiza mitaa ya kwenye placenta yake ndo anavyojifunga na huo utumbo ,

Sababu nyngne ni placenta kua kubwa na mtoto kua mdogo hapo mtoto anavokua anacheza utumbo huwa rahisi sana kujiviringa ,

Sababu nyingine mama mjamzito kushiriki kwenye music hasa yenye speaker kubwa uli mdundo huwa unamfanya mtoto ajikunje na plasenta kuweza kulinda mtoto asidhulike na mdundo huo kuna asilimia kubwa mtoto kuviringwa na huo utumbo

Fanya uchunguzi kaa kwenye mdundo mkubwa alifu utoke mtoto anaweza asicheze hata ndani ya masaa 24 au 48 ,

MADHARA YA MTOTO KUVIRINGWA NA UTUMBO

Anaweza akazaliwa mle mavu , ,au mtoto kuzaliwa kachoka sana au kumpelekea kufa

K**a unashida ya mimba kuharibika , mtoto kufia tumboni piga simu namba 👉 0746301946

CHANZO CHA MAUMIVU YA MIFUPA NA VIUNGIO/JOINTS....✍️?..✍️..?✍️....?✍️..?Cont:0746301946Hii inajumuisha maumivu katika ma...
02/01/2024

CHANZO CHA MAUMIVU YA MIFUPA NA VIUNGIO/JOINTS....✍️?..✍️..?✍️....?✍️..?
Cont:
0746301946
Hii inajumuisha maumivu katika maeneo mbali mbali ya Mwili inaeza kuwa shingo, mgongo, joint za mikono ,joint za miguu ,magoti na Misuli Kuvuta,

WATU GANI WANAKUA KATIKA HATARI HII
1:wenye umri mkubwa
2:wana michezo
3:uzito mkubwa
4:wana gym
5:watoto wenye upungufu wa madini chuma na vitamini

SABABU YA MAUMIVU HAYO
Umri unavyozidi kusogea au kukosa madini flani ya kuimarisha mifupa hupelekea mwili hushindwa kuzalisha ute ute (synovial fluid) katika viungo vya mifupa hivyo kupelekea msuguano wa viungo na kusababisha maumivu makali kushindwa kukaa,kuinuka,kukimbia na kutembea

KWANINI KUTOKEA MAUMIVU

•kulika kwa cartilage
•upungufu wa synovial fluid(ute)
•maambukizi ya vijidudu katika viungo k**a (bacteria,fangasi na virusi
•uzito kua mkubwa
Hivyo basi kwakua umri umeenda au kufanya mazoezi kwa wingi kuna madini yanakua yanapungu au kukosekana kabisa hasa madini Chuma, Calcium,zinc boron, copper, magnesium, potassium, phosphorus na Vitamin D ambayo haya yanahusika katika utengezwaji na uimarishwaji wa mifupa

TIBA NA USHAURI.
Unashauriwa kula vyakula ambavyo vina kiwango kingi Cha madini na vitamin ili kukusaidia kuimarisha mifupa,

Tunazo bidhaa za asili/ Dietary supplement ambazo zimesheheni viini lishe ambavyo vinasaidia kuimarisha mifupa,kuzalisha Ute Ute na kuondoa uchakavu wa mifupa na maumivu.
MAWASILIANO
+255 746301946

 #0746301946  OFFER YA UPIMAJI AFYA mwili mzima (TSh 20,000) BADALA YA  (100,000TSH) Tuna toa Tangazo tena wiki ya afya ...
21/12/2023

#0746301946 OFFER YA UPIMAJI AFYA mwili mzima (TSh 20,000) BADALA YA (100,000TSH) Tuna toa Tangazo tena wiki ya afya imeanza (0746301946).
Mtuy Health care clinic kwaku ona umuhimu wa upimaji wa mwili mzima( Full body checkup)watu wengi Wana changamoto zakiafya lkn uwezo ni mdogo . Tume amua kutoa offer yau pimaji wa mwili mzima kwa watu ambayo kila mtu ata mudumu tuna hitaji watu 50 tu kwawiki hii ili kupunguza foleni ukihitaji tuma msg au tupigie ufanye appointment ili kuzuia msongamano Magonjwa tunayo dili nayo nik**a vile
Presha
Sukari
Nguvu za kiume
Miguu kuwaka moto
Mifupa
Vidonda vyatumbo
Kwa wale wanaume wenye mbegu hafifu
Kumbuka tunatoa ushauri bure fika wahi tupigie 0746301946

Tunapatkana Kariakoo Gerezani mtaa wa Swahili na Makamba kwama wasiloano tupigie0746301946

Karibuni tunajali afya yako Karibu upate vipimo vya mwili mzima bure kumwona daktari bure kufungua file elf 20tuu tunash...
12/12/2023

Karibuni tunajali afya yako
Karibu upate vipimo vya mwili mzima bure kumwona daktari bure kufungua file elf 20tuu tunashuhulikia magonjwa k**a vile
↗kisukari
↗presha
↗bawasiri
↗tezi dume
↗kutoshika mimba
↗mimba kutoka
↗maumivu makali wakati wa hedhi
↗chango kwa kina dada
↗magonjwa ya ngozi
↗mifupa
↗pumu
↗ini
↗meno na magonjwa mengine yote
KARIBUNI UPATE KUJUA AFYA YAKO NA TIBA ZAKE ZOTE
↗TUNATOA TIBA KWA KUTUMIA TIBA LISHE ZINAZOENDA KUTIBU CHANZO CHA MATATIZO YAKO
wa .me 0746301946 kwa mawasiliano zaidi

Hii ni kwa msimu huu wa sikukuu ofa sawa na bure Huduma zetu nin↗tezi dume ↗kuwahi kufika kileleni kutokana na punyeto↗k...
07/12/2023

Hii ni kwa msimu huu wa sikukuu ofa sawa na bure Huduma zetu nin
↗tezi dume
↗kuwahi kufika kileleni kutokana na punyeto
↗kutokwa uchafu kwenye uume
↗uume legevu nk

Utapata ofa ya kupata vipimo vya mwili mzima bure kumwona daktari bure
↗kufungua file Tsh 20000 tu
↗tiba zetu ni tiba lishe zisizo na madhara
↗tunatoa ushauri mahususi kuondokana na punyeto!!
katika mwili wa binadamu zinazoenda kutibu chanzo cha tatizo lako
karibuni nitafute kwenye sim namba
0746 301 946

Jipatie Vipimo vya Mwili Mzima ni bure..✓kumuona daktari bure✓ushauri bure✓vipimo bure✓hakuna kupanga foleni✓utatibiwa c...
24/11/2023

Jipatie Vipimo vya Mwili Mzima ni bure..
✓kumuona daktari bure
✓ushauri bure
✓vipimo bure
✓hakuna kupanga foleni
✓utatibiwa chanzo cha tatizo lako either kwa njia ya lishe au tiba

Utafungua file Elfu 20 tu

Je, unataka kujua hali ya afya yako kwa undani? Hapa ndipo penyewe!

Tunatoa vipimo vya mwili mzima bure.
Huduma zetu ni za hali ya juu na zinajumuisha uchunguzi kamili wa afya yako na utajipatia tiba sahihi kwa tatizo ulilo nalo. Utajipatia tiba ya chanzo cha tatizo lako na utapona .

**Huduma Zinazojumuishwa:**
- Uchunguzi wa maswala ya uzazi
- Vipimo vya shinikizo la damu
- Kipimo cha uzito na urefu
- uchunguzi wa mifupa na joints
-maumivu na ganzi kwenye miguu na mikono
- uchunguzi wa vidonda vya tumbo
- uchunguzi wa tatizo la sukari (diabetic) na tiba ya uhakika
- Uchambuzi wa matokeo na ushauri wa kitaalam

Fahamu zaidi kuhusu mwili wako. Huduma hii ya kipekee ni kwa muda wa kikomo, hivyo tuchukue fursa sasa!

Kuweka miadi ili usikae kwenye foleni , wasiliana nasi kwa simu: **+255 746301946**

FAHAMU KUUSU P.I.DP.I.DPelvic inflammatory deseaseNi maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbuliwa na tati...
21/11/2023

FAHAMU KUUSU P.I.D

P.I.D
Pelvic inflammatory desease
Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu zifuatazo:-
Matumizi ya antibiotics Kwa wingi, kimsingi matumizi haya huuwa bacteria wote, hivyo wanapokufa unakosa ulinzi wa bacteria wa kupambana na maambukizi.
ujauzito ikiwa ni pamoja na kujifungua. Pia sababu nyingine ni matumizi ya condoms na kufanya ngono zembe.
DALILI ZA UGONJWA WA PID
1️⃣Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa
2️⃣Kuwashwa sehemu za siri
3️⃣Uke kutoa harufu mbaya
4️⃣Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
5️⃣Uke kuwa wa ulaini sana
6️⃣Maumivu wakati wa tendo la ndoa
7️⃣Kuvurugika Kwa hedhi
8️⃣Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi
9️⃣Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa
🔟Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula

MADHARA YA PID
•Ugumba
•Kansa ya shingo ya kizazi
•Mirija ya uzazi kuziba
•Majeraha kwenye mirija ya uzazi

↗fika kituoni kwetu ufanye vipimo vya tatizo lako na vipimo vya mwili mzima bure kumwona daktari bure kufungua file elf 20 tuu

N.b - pia maradhi ya mfumo wa uzazi wa mwanamke yamekuwa Mengi ukiona unasumbuliwa na matatizo haya usisite kuwasiliana nasi
* Fungus sugu ukeni
* U.t.i mara kwa mara
* Tatizo la kutopata hedhi kwa wakati
* Maumivu wakati wa hedhi
* Vimbe kwenye kizazi
* Mirija ya uzazi kuziba
* Kutobeba ujauzito
* Kutokwa na uchafu na majimaji yenye harufu ukeni ..
#
Tunatoa tiba kwa tiba lishe (supplements)

Kwa mawasiliano zaidi tutafute au tu follow page yangu ya Facebook or wa.me 0746301946

KARIBUNI

Karibu ufanye vipimo vya mwili mzima bure Kumwona daktari bure Ushauri bure Kufungua file elfu 20 tuuTunafanya vipimo na...
20/11/2023

Karibu ufanye
vipimo vya mwili mzima bure
Kumwona daktari bure
Ushauri bure
Kufungua file elfu 20 tuu
Tunafanya vipimo na tiba lishe kwa magonjwa k**a vile
↗U.T.I sugu
↗kansa
↗kisukari
↗presha
↗P.I.D
↗ugumba
↗matatizo ya mifumo ya upumuaji
↗matatizo ya mifupa
↗matatizo ya ubongo
↗kifua kubana
↗tumbo kujaa gesi nk

Tunatoa suluhisho la maradhi sugu aina zote kwa tiba lishe tupigie au WhatsApp me 0746301946

20/11/2023
Njoo upate vipimo vya mwili mzima upate kujua maendeleo ya afya yako Upate ushauri wa daktari na Tiba lishe tutafute 074...
20/11/2023

Njoo upate vipimo vya mwili mzima upate kujua maendeleo ya afya yako
Upate ushauri wa daktari na
Tiba lishe tutafute 0746301946

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Telephone

+255746301946

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtuy Health Care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Mtuy Health Care:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram