10/12/2024
Ila Uzazi Duuuh! Unaweza kusema Umelogwaaa...
Haya Mambo 5 ndiyo yanakufanya Useme umelogwa Kwa Sababu ya Ugumba (Namba. 5 Nina Uhakika na Wewe inakuhusu Haswaa!)
Naelewa Ni Kwa Sababu Umetumia Madawa Ya Kila Aina ,,,ya Kienyeji na ya hospitali, ya Mitandaoni na Zingine Umetumia Bila Matokeo na Unahisi kupoteza Pesa Nyingi Sana,
Usijali Hilo Sio Kosa Lako
Kwa Sababu...
Haya Mambo matano ndiyo Yanasababisha Wewe Hadi kuhisi Umelogwa
1.Dalili za Hedhi kufanana na Dalili za Ujauzito
Mambo Ya Uzazi Huwa yanachanganya Sana Kuanzia Dalili za Magonjwa ya Uzazi Hadi Dalili za Mimba Mda Mwingine ni Za Uwongo π€,
Naelewa ushawahi Kuwa na Dalili za Mimba halafu ukapima Nakukuta hakuna Mimba ukajisikia Vibaya na unaogopa hata kupima Kwa hofu ya kukosa Majibu Mazuri Baada ya Kushiriki Siku za Hatari π₯Ή , hapa Lazima useme umelogwa kumbe Sio
2.Miwasho, ukavu ukeni ,Kukosa Kabisa Hamu ya Kushiriki tendo la Ndoa ,,- Kuna Miwasho husababishwa na Pedi unazotumia Unajua ni UTI na Magonjwa ya zinaa kumbe Sio unaharibu Kizazi chako na Dawa Tu
3.Maumivu Ambayo hayaishi na Ukipima utaambiwa hakuna Tatizo,,
Hii inakuchanganya Hadi Unahisi au Bibi MchawiπΊ kachukua Nguo Yangu ya Ndani?
4.Unaona Ute Wa Uzazi , unapata Hamu ya Kushiriki tendo umepima hakuna Tatizo lolote Lakini hupati Matokeo ya Ujauzito aaaah hapa Lazima useme umelogwa π
5. Kila Ukipima unaambiwa Homoni zako hazipo sawa , una PID ,una Vivimbe Kwenye Mayai ,una Uvimbe Kwenye kizazi,Mirija Imeziba , wanakupa Dawa unatumia ila Wapi! Lazima ufikirie kulogwa aisee
Acha Nikwambie Ukweli Kila Changamoto ya Kizazi inachanzo na namna yake ya Kutibu Kuna Njia Tofauti za Matibabu Ambazo hata Wewe Mwenyewe unaweza kufuata na Ukapona Magonjwa ya Uzazi k**a , Mvurugiko wa Homoni,UTI Sugu Fangasi Sugu , kushindwa Kubeba Mimba ,
NAKUSHAURI; usitumie Dawa Kwa Mazoea utaharibu
Bonyeza Link πππ
https://chat.whatsapp.com/BXJuMiqE5hjCF2j7EiXDAj
hii uingie Kwenye Group la Whatsapp na Kuwa Miongoni mwa watakao faidika na Darasa ghali na lenye Elimu na masomo mazito ya Uzazi ,
Humo Kuna
1. Njia Zaidi ya 5 Za Kubeba Mimba Kwa Urahisi,
2. Vyakula na matunda 11 yaliyothibitika Kutibu Magonjwa ya Uzazi na Kukusaidia Kubeba Mimba Kwa Urahisi na Haraka
3. Utajua Changamoto inayokusumbua Kwa Urahisi na Kupata Suluhisho Hapo hapo
4. Utaona Maelfu ya Shuhuda za Wanawake waliokuwa na Changamoto za Uzazi zilizoshindikana na Sasa Wanalea Watoto
Darasa hili Watu hulipia Tzs 50,000/= tu,
Ila...
Habari Njema ni Kuwa tutatoa Darasa Hili BUREEE Kwa Watu 150 wa kwanza Watakaoingia Kwenye Group , Kwa Sababu ni Mwisho wa Mwaka
USIINGIE/ USIBONYEZE LINK K**A WEWE SIO MLENGWA WA DARASA HILI