Afya ya uzazi kwa Mwanamke

Afya ya uzazi kwa Mwanamke Tunauza na kusambaza dawa mbalimbali zinazotibu afya ya uzazi kwa Wanawake na Wanaume.

💊Habar wapendwa njoo tukupe suluhisho la changamoto zote za Afya ya uzaz  kwa  Mwanamke  ushaur tunatoa bure    P.I.D In...
21/12/2023

💊Habar wapendwa njoo tukupe suluhisho la changamoto zote za Afya ya uzaz kwa Mwanamke ushaur tunatoa bure
P.I.D Inasababisha uke kua mkavu na hii inatokana na uchafu uliyoganda kwenye uke ambapo Dalili Zake ni maumivu wakat watendo la ndoa
P.I.D Inasababisha mvurugiko wa hormone ambapo kitaalamu tunaita hormone imbalance ambapo unapata
📌changamoto za period k**a kukosa period , period nyeusi na za mabonge na tarehe kubadilka
📌 Dalili za mimba wakat hauna mimba Mfano kichefuchefu
📌Mabadiliko ya mwili Mfano chunusi
📌 Kukosa hamu ya tendo la ndoa
P.I.D Inasababisha vivimbe vidovidogo kwenye mayai ambapo Dalili Zake ni maumivu Chin ya kitovu kwenye nyonga upande wa kulia na kushoto mwa tumbo maumivu kwenye kiuno na mgogo
📌💊Unapopata dalili hizo k**a ushapata baabdhi ya hayo madhara ya P.I.D maana yake P.I.D inakomaa kwahyo lazima upate tiba mapema karibu tukuhudumie
Call No:0764281171
No:0764281171

📌CHROMOSOMAL DEFECTS hii Inaongoza kwa kusababisha Mimba Kutoka kwa asilimia zaidi ya 75%,📌Na wengi mimba Zinatoka kuanz...
21/12/2023

📌CHROMOSOMAL DEFECTS hii Inaongoza kwa kusababisha Mimba Kutoka kwa asilimia zaidi ya 75%,

📌Na wengi mimba Zinatoka kuanzia mwezi mmoja mpaka miwili (wiki ya 4 mpaka 8),

Na Hii Mwanamke anapozidi kuwa na umri mkubwa, yaani zaid ya Miaka 35,inakuwa inatokea zaid.
📌Wingi au Upungufu wa baadhi ya HOMONI, vinasababisha Pia kwa kiasi kikubwa Kutoka Kwa mimba miezi mitatu ya Kwanza, na lifestyle ya siku hizi, vyakula tunavyokula, Utoaji Mimba, njia za uzazi wa mpango, vinachangia mvurugo wa homon.

📌 INFECTIONS kwenye mfumo wa damu K**a RUBELLA, Cytomegalovirus, Toxoplasmosis na infection kwenye mji wa uzazi, k**a PID, Endometritis etc.

Lakini Pia,cmtu ambae Mimba Inatoka, Anakuwa Hatarini Zaidi mimba zifuatazo Kutoka asipokuwa na uangalizi wa karibu na wataalamu Wa Afya....

NB.

Kwa mtu mwenye Shida ya MIMBA kutoka, Tena k**a zinatoka mfululizo.. Kukimbilia kubeba mimba Sio suruhisho,

📌Tiba Na ushauri uzingatiwe Kwanza, Pata DAWA za kuweza kuweka kwanza Hali yako Iwe Vizuri, Umeambiwa Chanzo cha Mimba Zako kutoka?!
No :0764281171
:0764281171

21/12/2023

📌Fertility booster Combo for partners mkombozi wa ndoa.

Zoezi la kutafuta ujauzito siyo swala la mtu mmoja(mwanamke pekee)lazima Kufatilia chanzo cha changamoto hii kwa partners ili kubaini tatizo na kupata suluhisho sahihi.

WANAWAKE

hormone imbalance

mayai hayakomai/kutokupata ute wa uzazi.(ovulation)

kukosa hedhi kabisa

maambukizi katika via vya uzazi

*mirija kuziba

vimbe kwenye kizazi(fibroids) na polycyst ovarian syndrome(PCOS)

WANAUME

*kukosa nguvu za kiume

hazina ubora

*mbegu chache

*mbegu nyepesi

*kukosa hamu ya tendo

*mbegu hazina speed

Je unachangamoto gani ya uzazi inayokusumbua na umetumia kila aina ya dawa na hujapata mafanikio?

Watu wengi huangalia gharama na kusahau umuhum wa afya yao ni zaidi kuliko kitu chochote jaman Sasa nipo kwa ajiri ya kuwasaidia watu wote wenye hizi changamoto.
Call No 0724681171
Sms 0764281171

Detox va**na ni kufanya usafi wa mfumo wauzazi ambao unaanzia ndani kwenye mfumo wa uzazi mpaka kwenye ukeDetox va**na i...
21/12/2023

Detox va**na ni kufanya usafi wa mfumo wa

uzazi ambao unaanzia ndani kwenye mfumo wa uzazi mpaka kwenye uke

Detox va**na itakusaidia kwenye mfumo wa hormen

imbalance,pelvic inflammatory disease, UTI,fungus pamoja magonjwa ya zinaa

Ambayo itakusaidia k**a una changamoto kujitibia k**a

huna changamoto kujikinga au kurutubisha

Detox Va**na inatumika na wanawake wa umri wote

Detox va**na sio special kwa wale wenye changamoto Za kutokwa uchafu tu

Sio special kwa wale wenye changamoto ya period tu

Sio special kwa wale wenye tatizo la ukavu wakati wa s*x

tu

detox ni kwa kila mwanamke anae thamini afya ya ua lake.
Call: 0764281171

📌 Hello habar wapendwa naitwa Dr Irene wa suluhisho lolote la kiafya umeangaika mda mrefu bila kupata majibu na USHAURI ...
31/10/2023

📌 Hello habar wapendwa naitwa Dr Irene wa suluhisho lolote la kiafya umeangaika mda mrefu bila kupata majibu na USHAURI tunatoa bure karibuni sana
🩺💊Package ya FERTILITY BOOSTER ina faida nyingi mnoo hata ujauzito wako na afya kwako na kwa mtoto...na muonekano wako na ngozi utavutia mnooo....*

📌Ni package ya doze ya matibabu ambayo ipo katika muundo wa capsule iliyoandaliwa kwa ubora wa hali ya juu na imetokana na mimea na mitishamba..... Inasaidia kutibu na kukinga magonjwa mengi sana ya uzazi kwa wanawake

📌Na hizi ndizo faida zake

📌Humwezesha mwanamke kuboresha Afya ya uzazi au kupata mimba/ ujauzito kwa;

📌Huzuia Na kutibu magonjwa ya Mambukizi ya Mfumo wa via vya uzazi (PID)

📌Hutibu na kuzuia Mvurugiko Wa Vichocheo vya Uzazi (Hormonal Imbalance)

📌Hutibu na kuzuia Uvimbe kwenye Mfuko wa uzazi (Fibroids)

📌Hutibu na kuzuia Uvimbe kwenye Mfuko wa mayai (Ovarian Cysts)

📌Tiba ya Maambukizi ya njia ya Mkojo (Urinary Tract Infection, UTI) na Gono (Gonorrhea)

📌Huondoa Makovu kwenye Mfuko wa uzazi yanayosabishwa na matumizi ya vitanzi au njia za Uzazi wa mpango*

📌Huondoa Maumivu ya tumbo wakati wa hedhi (Abdominal pain)

📌Huondoa ukavu ukeni

📌Huzuia mimba kutunga nje ya kizazi

📌Hii package ni kiboko ata k**a umetafuta mimba kwa muda mrefu Bila mafanikio. Hakika utaitwa mama kijacho ndani ya mwezi ujao...... health care group
CALL NO :0764281171
:0764281171

P.I.D inatibika na Dr IRENE📌 P.I.D ni ugonjwa unaoambukizwa na bacteria ambapo kirefu chake ni pelvic  inflammatory dese...
26/10/2023

P.I.D inatibika na Dr IRENE
📌 P.I.D ni ugonjwa unaoambukizwa na bacteria ambapo kirefu chake ni pelvic inflammatory deseases
📌P.I.D ni ugonjwa wa Afya ya uzazi wa mwanamke ambazo anaupata mwanamke huku mwanaume akiwa ni mmbebaji wa bacteria

📌DALILI ZA P.I.D
1.uchafu k**a maziwa
2.uke kua mkavu
3.kukosa hamu ya tendo la ndoa
4.harufu
5.kupata maumivu chini ya kitovu,upande wa Julia na kushoto wa tumbo
6.kupata maumivu ya kiuno na mgongo
7.kua na hedhi isiyonampangilio
8miwasho
9.dalili za mimba
10.hormone imbalance
11.maumiv wakati wa tendo na kutokwa na damu

📌CHANZO CHA PID
1.kutumia vidonge vya P2
2.Njia za uzazi wa mpango
3.mapenzi na wanaume wengi au mwanaume mwenye wanawake wengi anaweza kuambukiza huu ugonjwa kwasabab wao wanasambaza bacteria
4.vyoo vya kushea
5.vidonge vya majira
6.kuvaa pedi kwa muda mrefu
7.kunawa kwa kutumia vitu vyenye kemikali mfano.. sabuni au kufanya mapenzi na kutumia vilainishi hususan mate
8.kutoa mimba
9.kujifungua bila kusafishwa vizuri

📌MADHARA YA P.I.D
1.kansa ya kizazi
2.kuziba mirija ya kizazi
3.kupata uvimbe
4.kansa ya uke
5.kukosa ute wa ovulation au uke kua mkavu
6.kutokushika mimba
7:hormone imbalance
Tunatoa suluhisho na tiba sahihi ya changamoto hii ya P.I.D
Tupigie kupitia
♦️ 0764281171
Njoo uymtibu tatizo lako kwa gharama nafuu

📌🥼🥼Dr Irene Kuna wakati wewe mwenyewe au jamaa yako au rafiki umewahi kusikia akilalamika kwamba wakati wanacheza ule mc...
25/10/2023

📌🥼🥼
Dr Irene Kuna wakati wewe mwenyewe au jamaa yako au rafiki umewahi kusikia akilalamika kwamba wakati wanacheza ule mchezo wa baba na mama aliona damu kwenye uume. Hii hali inaweza kusababishwa na magonjwa ya kawaida ambayo hayatishii maisha na au ugonjwa mbaya k**a kansa. Kwa magonjwa ya kawaida sababu kubwa huwa ni mabadiliko yanayotokea kwenye shingo ya kizazi ambayo kwa kitaalam inaitwa Ectropion, pia maambukizi ya magonjwa ya magonjwa ya zinaa hasa Kisonono na Klamidia ama PID vinaweza kusababisha hali. Kwa magonjwa ambayo ni kansa, mara nyingi sababu kubwa huwa ni kansa ya shingo ya kizazi...
📌Na pia Inasababisha kupata magonjwa ya zinaa kwa haraka
📌 inakuletea maumivu Chin ya kitovu wakat umemaliza kufanya tendo la ndoa
Wasiliana nas
0764281171
0764281171

📌hello habar wapendwa dr.Irene tunaendelea kutoa huduma zetu  🩺🥼 Katika hali ya kawaida mwanamke anaweza kuhisi muwasho ...
25/10/2023

📌hello habar wapendwa dr.Irene tunaendelea kutoa huduma zetu 🩺🥼 Katika hali ya kawaida mwanamke anaweza kuhisi muwasho ukeni mara moja moja.

📌Hali hiyo ikiwa ya muda mrefu au ya kujirudiarudia inaweza kua imesababishwa na fangasi ukeni,allergy ukeni, Maamukizi ya bakiteria nk

📌K**a nilivyoeleza katika post zilizopita kua ukeni kuna bakiteria wazuri na bakiteria wabaya.. wale wazuri hua ni wengi kuliko wabaya..

📌Inapotokea bakiteria wazuri wakapungua hupelekea bakiteria wabaya kuongezeka pamoja na fangasi.

📌Sababu za muwasho zinaweza kua:-

📌Kuvaa nguo za kubana k**a tight,au chupi zinazobana.

📌kuosha uke kwa sabuni kali(medicated soap)
📌Kutobadilisha ped mara kwa mara unapokua period
📌Unapofika ukomo wa hedhi kiwango cha homoni ya oestrogen hupungua na kusababisha uke kusinyaa na kua na miwasho.

📌Hali hii pia inaweza kutokea k**a una stress mara kwa mara nk

📌Matibabu yake hutegemea na chanzo cha tatizo

📌Na sio kila muwasho ni fangasi... -Muwasho mwingine unasababishwa na aleji

MATIBABU NJOO naweza kuwa sehemu ya msaada. wasiliana nasi:
♦️0764281171

♦️0764281171

25/10/2023

📌 hello habar wapendwa Mimi naitwa doctor irene
Ninatoa tiba ya changamoto yoyote za Afya ya uzaz karibuni sana umetesaka kwa mda mrefu bila kupata mafanikio njoo nikupe tiba ya changamoto zinazokusumbua kwa Afya ya uzazi kwa Mwanamke na kwa mwanaume
📌Je, unatokwa na damu wakat umemaliza kufanya tendo la ndoa
📌Je, unapata maumivu wakati wa tendo la ndoa
📌je unakua mkavu wakat wa tendo hupati Ute Ute kwenye uke
📌Je unakosa hamu ya tendo la ndoa
📌Je, husikii Raha yoyote wakat wa tendo la ndoa
♦️hayo yote ni madhara ya P.I.D hivyo bas wasiliana na Dr irene kwa maswal na ushaur n bure kwa mawasiliano zaid No.
🩺0764281171.
🩺0764281171.

Tunauza na kusambaza dawa mbalimbali zinazotibu afya ya uzazi kwa Wanawake na Wanaume.

Address

Mwenge Mpakan
Dar Es Salaam

Telephone

+255764281171

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ya uzazi kwa Mwanamke posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya ya uzazi kwa Mwanamke:

Share