
03/08/2025
This World Breastfeeding Week (1st–7th August), we celebrate the strength, love, and commitment behind every breastfeeding journey. 💙
Breastfeeding is a journey, not a sprint — let's support, protect, and empower mothers everywhere.
Wiki ya Unyonyeshaji Duniani (1–7 Agosti), tunapongeza nguvu, upendo na kujitolea kwa kila mama anayenyonyesha. 💙
Kunyonyesha ni safari, si mbio za haraka — tuwape msaada, ulinzi na hamasa kina mama wote.