Afya bora

Afya bora Tunafanya vipimo bure kujua chanzo Cha tatizo lako na kupata tiba sahihi ya tatizo.

 Kwa watu wote wenye changamoto mbalimbali kiafya tutakuwa na Ofa ya Vipimo na MatibabuShirika la Afya kutoka CHINA/ G C...
01/03/2024


Kwa watu wote wenye changamoto mbalimbali kiafya tutakuwa na Ofa ya Vipimo na Matibabu

Shirika la Afya kutoka CHINA/ G CAT
HOSPITAL, Imeanza kutoa Ofa kwa wagonjwa wote wanao fika katika vituo vyake vyote, na Ofa hii niya👇👇
▪️ Vipimo vya mwili mzima, Kupimwa magonjwa yote mwilini ni Tshs 20,000/= tu
▪️ Punguzo la bei 20% kwa kila dawa( bidhaa zetu )

Magonjwa tunayo tibu ni;
🔹Presha,
🔹Matatizo ya Moyo na INI
Kansa,
🔹Vidonda vya Tumbo,
🔹Kisukari
🔹Pumu
🔹Stroku.
🔹Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba
🔹Matatizo ya mifupa,
🔹Matatizo ya miguu
🔹Ngozi,
🔹Figo,
🔹Fangasi sugu
🔹Kupunguza unene, uzito, na matumbo
🔹Kuongeza kinga mwilini(CD4)
🔹U.T.I sugu,
🔹Gesi
🔹Bawasiri,
🔹Tenzi dume
🔹Heshima ya ndoa kwa kina baba. N.k

TIBA ZETU NI TIBALISHE NA VIRUTUBISHO.
Ambavyo hufanya kazi kuu nne ( 4 ) mwili
👉 Kuosha
👉 Kulinda/ Kukinga
👉 Kujenga
👉 Kutibu

Wasiliana nasi Kwa Namba 0622183833

21/02/2024
OFA YA VIPIMO NA MATIBABUMAGONJWA YANAYOJUISHWA NI K**A✓PID✓UZAZI KWA WOTE✓KISUKARI✓BP✓FUNGUS SUGU✓UTI SUGU✓BAWASIRI✓STR...
14/02/2024

OFA YA VIPIMO NA MATIBABU
MAGONJWA YANAYOJUISHWA NI K**A
✓PID
✓UZAZI KWA WOTE
✓KISUKARI
✓BP
✓FUNGUS SUGU
✓UTI SUGU
✓BAWASIRI
✓STROKE
✓ASTHMA

MAUMIVU chini ya kitovu kwa wanawake kitaalamu huitwa Lower Abdominal Pain, ni tatizo ambalo huwakumba hata wanaume laki...
11/02/2024

MAUMIVU

chini ya kitovu kwa wanawake kitaalamu huitwa Lower Abdominal Pain, ni tatizo ambalo huwakumba hata wanaume lakini kwa bahati mbaya wengi hulichukulia kuwa ni jambo la kawaida kitu ambacho baadaye husababisha wagonjwa kuingia kwenye matatizo makubwa ya kiafya hasa kwenye mfumo wa uzazi na mfumo wa chakula. Maumivu chini ya kitovu yapo yale ya chini yake, katikati, kushoto na kulia.
MAUMIVU KWA WANAWAKE
Kwa wanawake maumivu ya kushoto na kulia yapo ya aina mbili. Kuna yale ambayo yanakuwa upande mmoja lakini husambaa kwa urefu wa sentimita mpaka nne na inaweza ikawa upande mmoja au pande zote mbili lakini yapo mengine chini ya kitovu ambayo yanaweza yakawa upande mmoja au pande zote mbili bila kusambaa kwa marefu.

Je unafahamu bawasiri hupelekea kukosa nguvu za kiume?Bawasiri kwa wanaume hupelekea kukosa hamu ya tendo la ndoa.
15/01/2024

Je unafahamu bawasiri hupelekea kukosa nguvu za kiume?

Bawasiri kwa wanaume hupelekea kukosa hamu ya tendo la ndoa.

Je unachangamoto ya UzaziUpati ujauzito Kwa   mda mrefu Suluhsho tunalo karibu
06/11/2023

Je unachangamoto ya Uzazi
Upati ujauzito Kwa mda mrefu
Suluhsho tunalo karibu

Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke ni nini?Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke au ugonjwa wa PID (pelvic infl...
06/11/2023

Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke ni nini?
Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke au ugonjwa wa PID (pelvic inflammatory disease) ni maambukizi ya bakteria kwenye shingo ya uzazi, mirija ya fallopio, ovari na tumbo la uzazi (uterasi).

Sababu kuu ya ugonjwa huu kutokea ni maambukizi yanayosambazwa kwa kujamiiana (STI). Ugonjwa huu unaweza kuwaathiri wanawake wenye umri wowote, lakini wale wenye umri kati ya maika 15 na 24 huathirika zaidi.

Dalili huweza kujumuisha: maumivu ya nyonga au tumbo, maumivu wakati wa kujamiiana, na uchafu usio wa kawaida kutoka ukeni pamoja na homa. PID hutibiwa kwa antibiotiki, na utambuzi na matibabu ya mapema ni muhimu katika kuzuia madhara ya kupata makovu na utasa.

Kwa ushauri zaidi Piga simu 0782591002

Unasumbuliwa na changamoto ya sukari na pressure na Hadi Sasa ujapata suluhisho?Ujachelewa ANM HEALTH CARE ndo suluhidho...
31/10/2023

Unasumbuliwa na changamoto ya sukari na pressure na Hadi Sasa ujapata suluhisho?
Ujachelewa ANM HEALTH CARE ndo suluhidho la tatizo lako
Utapata vipimo bure Mwili mzima (full body checkup)
Utapewa ushauri bure wa lishe
Utaonana na daktari bure
Tunatibu kutokana na ukubwa wa tatizo lako na tunatibu Kwa Tiba lishe(nutrition supplement) ambavyo vinapatikana katika maisha yetu ya Kila siku.
Tupo Dar es salaam kariakoo Gerezani Mtaa wa Swahili na makamba.
Weka miadi (appointment) Kwa namba 0782591002 mapema Ili kuepuka kukaa foleni.

Address

Dar Es Salaam
KARIAKOOGEREZANI

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya bora posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya bora:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram