ushauri na tiba

ushauri na tiba medical & health

21/01/2025

Karibu ww unaeteseka kwa maradhi mbalimbali sugu yasioambukiwa ikiwemo k**a ugonjwa wa ngozi na ukatumia dawa bila kata matokeo GCAT hospital ipo kwa ajili ya suluhisho la ko kwa kutibu kuanzia chanzo Cha tatizo kwa mawasiliano zaidi 0746371652

12/01/2025

Karibu upate suluhisho la tatizo lako la vidonda vya tumbo ambalo limekutesa Kwa mda mrefu bila kupata matokeo au tiba sahihi karibu ukutane na dactari bingwa tunatibu kuanzi chanzo Cha tatizo kwa nawasiliano unaweza piga izo namba zilizopo apo chini 0746371652

04/01/2025

Je unateseka na magonjwa haya yasiyo ambukiza Sasa suluhisho la tatizo lako ambalo imeiangaikia Kwa mda mrefu bila kupata matokeo imepatakana bila kutumia dawa zenye chemicali utapata matokeo wasiliana nasi Kwa namba zilizopo apo chini 0746371652

Karibu ujue afya yako na kuanza matibabu mapema kabla changamoto halijakuwa kuwa Kwa magonjwa yote sugu tunashugulika na...
14/11/2024

Karibu ujue afya yako na kuanza matibabu mapema kabla changamoto halijakuwa kuwa Kwa magonjwa yote sugu tunashugulika nayo njia ya vipimo ili kutambua chanzo Cha tatizo dawa lkn na ushauri karibu k**a kansa, stroke, magonjwa ya moyo lkn ata upande wa uzazi Kwa wanaume na wanawake karibu upate suluhisho la tatizo lako wasiliana nasi kupitia iyo iliyopo apo chini 0746371652

JE,UNASUMBULIWA NA KUTOKA UCHAFU SEHEM ZA SIRI,MIWASHO,FANGASI,U.T.I NA UZAZI KWA MUDA MREFU??Zipo sababu mbalimbali zin...
13/11/2024

JE,UNASUMBULIWA NA KUTOKA UCHAFU SEHEM ZA SIRI,MIWASHO,FANGASI,U.T.I NA UZAZI KWA MUDA MREFU??

Zipo sababu mbalimbali zinazopelekea kuwa na hii changamoto ya (P.I.D) (kutokwa na uchafu sehem za siri)

1). Ulaji wa vyakula vyenye madawa k**a vile chipsi kuku/chipsi mayai,vyakula vya viwandani na aina k**a hizo
2).Matumizi ya njia za uzazi wa mpango
3).Utoaji wa mimba hovyo
4).Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja
5).Matumizi ya mara kwa mara ya antibiotics
6).U.T.I sugu
7). Vifaa vya kujifungulia kuwa na bakteria(kutooshwa vizuri)

DALILI ZA P.I.D
1).Kutokwa Uchafu k**a maziwa wenye harufu wakati mwingine hauna harufu
2).Mzunguko wako kuvurugika
3).Kutoa harufu mbaya sehemu za Siri
4).Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
5).Maumivu ya tumbo upande wa kulia au kushoto
6).Maumivu wakati wa tendo la ndoa
7)Kuwa na dalili za mimba lakini huna mimba
😎.Uk* kuwa mkavu kupita kiasi
9).Kukosa hamu ya tendo la ndoa
10).Miwasho sehemu za Siri
11).Kupata homa au kuhisi homa

MADHARA YA P.I.D
1).Maumivu ya tumbo au nyonga
2).Ugumba /kushindwa kupata ujauzito
3).Ujauzito kuharibika
4).Mirija ya uzazi kuziba
5).Kupata uvimbe kwenye mirija ya uzazi
6).Kupata Uvimbe kwenye mji wa mimba
7).Kupata Saratani ya shingo ya kizazi
8.kizazi kutolewa
9).Kizazi kuharibika
10).Kupoteza uhai

Tumewasaidia watu wengi kupona changamoto hii baada ya kuhangaika sana kutafuta tiba mbalimbali na kupoteza pesa bila mafanikio.

Wasiliana nami Dr. Irene niweze kukusaidia kwa ushauri na tiba.

📞0746371652

Pata suluhisho la changamoto lako Kwa matibabu  Ili kuepuka matatiz ya kukosa Uzazi na kutengeneza njia ya kuboresha fam...
18/10/2024

Pata suluhisho la changamoto lako Kwa matibabu Ili kuepuka matatiz ya kukosa Uzazi na kutengeneza njia ya kuboresha familia bora yenye furaha kuepukana na magonjwa k**a UTI sugu PID na mengi zaidi Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia 0652497432 kupata maelezo Zaid

10/10/2024

OSTEOARTHRITIS
+255 0746 371 652
Nichangamoto inayoathiri viungo inayotoka na umri kuanzia 40+

🍹Huathiri viungo na mifupa
🍹Hutokea baada ya gegedu (cartilage)kulika kwenye viungo na uteute kuisha
🍹 Huathiri viungo mbalimbali k**a vile
👉 Mgongo
👉 Nyonga
👉Magoti
👉Mabega nk

Kumbuka
👉Viungo ni muunganiko kati ya mifupa miwili (mfupa na mfupa
👉Katika ya viungo kuna gegedu (Cartilage),hii ni plastiki ya asili inayozuia mifupa isigusane kwenye viungo

OSTEOARTHRITIS
Hutokea pale ambapo gegedu (cartilage) imelika na uteute umepungua kwenye viungo

Kwa Ushauri zaidi

Tuwasiliane kupitia namba
+255 746371652

09/10/2024

Karibu upate suluhisho la tatizo lako ambalo imeiangaikia Kwa mda mrefu bila kupata matokeo utapata ushauri vipimo vyetu vya kisasa wasiliana nasi Kwa namba 0746371652

Pata suluhisho la changamoto lako Kwa matibabu  Ili kuepuka matatiz ya kukosa Uzazi na kutengeneza njia ya kuboresha fam...
04/10/2024

Pata suluhisho la changamoto lako Kwa matibabu Ili kuepuka matatiz ya kukosa Uzazi na kutengeneza njia ya kuboresha familia bora yenye furaha kuepukana na magonjwa k**a UTI sugu PID na mengi zaidi Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia 0746371652 kupata maelezo Zaid

Address

Majumba Sita
Dar Es Salaam
MEDICAL&HEALTH

Telephone

+255746371652

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ushauri na tiba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram