¡El hongo no pasará

¡El hongo no pasará Tunatibu matatizo aina mbali mbali matatizo ya uzazi wanaume na matatizo ya uzazi kwa wanawake na NK.

NJIA RAHISI YA KUPATA MTOTO WA K**E AU WA KIUMEWANANDOA au hata wasio na ndoa hujiuliza maswali haya. Nini nifanye ili ...
08/10/2024



NJIA RAHISI YA KUPATA MTOTO WA K**E AU WA KIUME

WANANDOA au hata wasio na ndoa hujiuliza maswali haya. Nini nifanye ili nipate mtoto wa k**e au kiume? Je, kuna dawa au vyakula vya kusaidia kupata mtoto ninayemtaka? Siku gani nikikutana na mwenzangu naweza kupata mtoto wa kiume au k**e?

Jinsia ya mtoto
Mtoto hutengenezwa pale mbegu ya kiume inapokutana na yai la k**e. Mbegu ya kiume hubeba vinasaba vya X na Y, wakati yai la mwanamke likiwa na vinasaba vya X peke.

kikutana na mbegu ya kiume yenye kinasaba cha X na yai la k**e (yenyewe yana vinasaba vya X peke yake) mtoto wa k**e hutungwa. Mbegu ya kiume yenye kinasaba cha Y ikikutana na yai la k**e, mtoto wa kiume hutungwa.

Mbegu ya kiume Y + Yai la k**e X = Mtoto wa Kiume.
Mbegu ya kiume X + Yai la k**e X = Mtoto wa K**e.

Njia za Kupata Mtoto Wa Jinsia Uipendayo
Mbegu za kiume zenye vinasaba vya Y huwa ni nyepesi, husafiri kwa haraka katika via vya uzazi vya mwanamke na huishi kwa muda mfupi ukilinganisha na mbegu zenye vinasaba X. Zenye vinasaba X huwa nzito zaidi, huenda polepole na huishi kwa muda mrefu zaidi.

Hivyo, kinadharia ili kupata mtoto wa kiume unaweza ukakutana na mwenza wako siku ambayo yai la uzazi linatoka (ovulation), kwani mbegu Y itasafiri haraka na kukutana na yai ili kulirutubisha kuwa mtoto wa kiume.

Mtoto wa k**e, kutana na mwenzi wako siku 2 au 3 kabla ya yai kutoka. Kwa sababu mbegu Y huishi kwa muda mfupi, nyingi zitakufa wakati zinasubiri yai huku mbegu X zikiwa kwa wingi mpaka siku yai linatoka. Yai likitoka mbegu X zitakuwa kwa wingi kuungana na yai kutunga mtoto wa k**e.
Kiuhalisia, siyo rahisi kufanikisha hilo.

Njia Nyingine

Kuna njia mbalimbali zinazosemekana zinaongeza uwezekano wa kupata mtoto wa kiume au k**e. Njia hizi inajumuisha kula vyakula vya aina fulani, mikao maalum ya kimapenzi, kuweka vitu sehemu za siri na nyingine nyingi bado haziwezi kutatua tatizo hili.

Kwa ushauri na tiba WITCH DOCTOR +255 752 163 838

K**A UNAHITAJI MTOTO WA KIUME AU WA K**E FUATA NJIA HII NI RAHISI ZAIDISiku zote mtoto wa kiume hupatikana siku Mwanamke...
19/09/2024

K**A UNAHITAJI MTOTO WA KIUME AU WA K**E FUATA NJIA HII NI RAHISI ZAIDI

Siku zote mtoto wa kiume hupatikana siku Mwanamke ameingia Ovulation days/yai limetoka na anahamu sana na Mwanaume kuliko siku zote.(Zile I Miss U zinapokuwa zinazidi)

Sasa Mwanamke unatakiwa umpe Tunda mwanaume siku hiyo ya kwanza. Kwa wanawake wenye mzunguko wa siku 24 ni siku ya 12 toka alipobleed na Kwa wanawake wa mzunguko wa siku 28 ni siku ya 14 toka alipoanza kubleed. Hizi ni siku za Yai kutoka.

ikumbukwe kuwa mbegu ya kiume Y inawahi kufika kuliko X ndo maana nakushauri hivyo. Na pia Y inawahi kufa kabla ya X. Y inaishi siku 2 mpaka 2.5 wakati X inaishi mpaka siku 3 na 3.5

kwahiyo k**a ukifanya siku hiyo Mbegu ya kiume itawahi kufika na kurutubisha Yai mapema. Na kumbuka kuwa Ili kuwe na uwezekano mkubwa wa kufika lazima Mwanamke awe Chini na Mwanaume awe juu wakati wa tendo la Ndoa ili kuleta mseleleko mzuri wa mbegu.

Na siku zote Mwanaume apige magoli mengi ili kuleta s***m count kubwa zitakazoweza kufika kwenye Yai. Na Mwanamme ukae style ya Missionary kwa mda Mrefu wakati uume upo kwenye uke mwishoni kabisa ili kufikia karibu na Cervix.

Kwa ushauri na tiba 0752 163 838

TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME Tatizo la nguvu za kiume, linalojulikana pia k**a upungufu wa nguvu za kiume au ere...
14/09/2024

TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Tatizo la nguvu za kiume, linalojulikana pia k**a upungufu wa nguvu za kiume au erectile dysfunction (ED), ni hali ambapo mwanaume anashindwa kupata au kudumisha uume ulio simama vya kutosha kwa ajili ya tendo la ndoa. Hili ni tatizo la kawaida linalowapata wanaume wa rika mbalimbali, ingawa linaonekana zaidi kwa wanaume wenye umri mkubwa.

Sababu za upungufu wa nguvu za kiume zinaweza kuwa za kimwili au za kisaikolojia. Baadhi ya sababu za kawaida ni:

SABABU ZA KIMWILI
1.Shinikizo la damu (hypertension) au magonjwa ya moyo.

2. Kisukari, ambacho huathiri mishipa ya damu na neva zinazosimamia kusimama kwa uume.

3.Uzito kupita kiasi au kutokuwa na mazoezi ya kutosha.

4.Magonjwa ya mfumo wa neva, k**a vile multiple sclerosis.

5.Upungufu wa homoni ya kiume (testosterone).

6.Uvutaji wa sigara au unywaji wa pombe kupita kiasi, ambao unaweza kuharibu mishipa ya damu.

7.Matumizi ya dawa fulani, k**a vile dawa za kupunguza shinikizo la damu, dawa za kupunguza mfadhaiko (antidepressants), na dawa za maumivu.

SABABU ZA KISAIKOLOJIA
1. Mfadhaiko au msongo wa mawazo.

2. Matatizo ya mahusiano au matatizo ya kisaikolojia ndani ya ndoa.

3.Hofu ya kushindwa kutimiza tendo la ndoa (performance anxiety).
4. Matatizo ya kiakili
k**a vile depression.

Ni muhimu kumwona daktari ili kubaini chanzo halisi cha tatizo na kupata matibabu sahihi. Upungufu wa nguvu za kiume unaweza kuwa dalili ya matatizo makubwa ya kiafya, hivyo ni vyema kuliangalia kwa umakini. +255 752 163 838/+255 658 163 838.

JE UNAFAHAMU MARADHI YATOKANAYO NA UCHAWIMaradhi yatokanao ya uchawi ni maradhi ya aina gani. Kiukwel kuna maradhi aina ...
12/09/2024

JE UNAFAHAMU MARADHI YATOKANAYO NA UCHAWI

Maradhi yatokanao ya uchawi ni maradhi ya aina gani. Kiukwel kuna maradhi aina nyingi sana au kuna maradh aina mbali mbali ambayo yanatokana na uchawi sasa utajuaje k**a unaumwa maradhi ya kichawi dalili tano za kufahamu ya kwamba wew umelogwa umefanyiwa uchawi

1. Kulipuka kwa moyo mara kwa mara
2. Kuota ndoto za ajabu ajabu
3. Kuwa na was was kutokumwamin kila mtu
4. Utakapokwenda hospitali kupima tatizo halionekani
5. Kila dawa utakazotumia azikuletei nafuu

Na hizi ndio dalili tano za mtu alielogwa na k**a una dalili hizi basi fanya hima ukutane na mtaalam ili uweze kupata tiba yenye mafanikio. Naitwa WITCH DOCTOR +255 752 163 838

07/09/2024

Maua ya mpapai dume ni tiba ya maumivu ya ngiri na tiba ya maumivu ya tumbo la hedhi.

24/08/2024

Je? Una changamoto ya maumbile yako ya k**e kua yamelegea kutokana na sababu mbali mbali kuzaa,kutoa mimba hata kawaida tu kujikuta maumbile yako ya k**e yamelegea yametepeta tiba ipo nitafute nikupe tiba 0752 163 838

TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA CHANGAMOTO ZAKE NA SABABU ZAKETatizo la nguvu za kiume, pia linajulikana k**a upungufu wa ng...
22/08/2024

TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA CHANGAMOTO ZAKE NA SABABU ZAKE

Tatizo la nguvu za kiume, pia linajulikana k**a upungufu wa nguvu za kiume au kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume (erectile dysfunction), ni hali ambapo mwanaume anakosa uwezo wa kupata au kudumisha uume ulio simama vya kutosha kwa ajili ya kufanya tendo la ndoa. Hili linaweza kuwa tatizo la muda mfupi au la muda mrefu.

Sababu za Tatizo la Nguvu za Kiume
1. *Shinikizo la damu*: Shinikizo la juu la damu linaweza kuathiri mishipa ya damu na kuzuia mtiririko wa damu kwenye uume.
2. *Magonjwa ya kisukari*: Kisukari kinaweza kusababisha uharibifu wa mishipa ya damu na neva, hivyo kuathiri nguvu za kiume.

3. *Magonjwa ya moyo*: Magonjwa ya moyo yanaweza kuzuia mtiririko wa damu kwenye uume.

4. *Msongo wa mawazo na matatizo ya kihisia*: Msongo wa mawazo, unyogovu, au matatizo ya mahusiano yanaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.

5. *Matumizi ya pombe na sigara*: Pombe na sigara zinaweza kuathiri uwezo wa mwanaume kusimamisha uume.

6. *Matatizo ya homoni*: Upungufu wa homoni za kiume k**a testosterone unaweza kusababisha tatizo hili.

7. *Mambo ya kisaikolojia*: Wasiwasi wa kufanya vizuri katika tendo la ndoa au hofu inaweza kuchangia tatizo hili.

8. *Mabadiliko ya mtindo wa maisha*: Kupunguza matumizi ya pombe, kuacha sigara, na kufanya mazoezi mara kwa mara kunaweza kusaidia.

9. *Matibabu ya kisaikolojia*: Ushauri nasaha au tiba ya kisaikolojia inaweza kusaidia katika kushughulikia sababu za kisaikolojia za tatizo.

10. *Dawa*: Kuna dawa mbalimbali zinazoweza kutumika, k**a vile sildenafil (Vi**ra), tadalafil (Cialis), na nyinginezo.

11. *Upasuaji*: Katika hali zisizo za kawaida, upasuaji unaweza kuhitajika kurekebisha mishipa ya damu au kuingiza kifaa cha kusaidia kusimamisha uume.

12. Tiba mbadala: Baadhi ya watu hutumia tiba za asili au virutubisho vya lishe, ingawa ni muhimu kuwa makini na kujadiliana na daktari kabla ya kutumia.

Ikiwa unakabiliwa na tatizo hili, ni muhimu ukatafuta suhulisho nitafute kwa no +255752 163 838

FAIDA YA PILI PILI KATIKA MWILI WA BINAADAM Pilipili, ambayo pia inajulikana k**a pilipili kali au pilipili mbuzi, ina f...
17/08/2024

FAIDA YA PILI PILI KATIKA MWILI WA BINAADAM

Pilipili, ambayo pia inajulikana k**a pilipili kali au pilipili mbuzi, ina faida kadhaa kwa mwili wa binadamu, ikiwa ni pamoja na:

1. Kuchochea Metabolism: Pilipili ina kijenzi kinachoitwa capsaicin ambacho kinaweza kusaidia kuongeza kiwango cha metabolismu mwilini, na hivyo kusaidia katika kuchoma mafuta na kupunguza uzito.

2. Kupunguza Maumivu: Capsaicin inayopatikana kwenye pilipili pia hutumika katika krimu za kupunguza maumivu, hasa yale yanayohusiana na arthritis na maumivu ya misuli.

3. Kuboresha Mfumo wa Mzunguko wa Damu: Pilipili inaweza kusaidia kuboresha mzunguko wa damu na kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo kwa kusaidia kupunguza cholesterol mbaya (LDL) na kuongeza cholesterol nzuri (HDL).

4. Kuchochea Kinga ya Mwili: Pilipili ina kiasi kikubwa cha vitamini C, ambayo ni muhimu kwa kuimarisha mfumo wa kinga ya mwili, hivyo kusaidia kupambana na magonjwa.

5. Kusaidia Katika Uchocheaji wa Hamaki (Appetite): Kula pilipili kunaweza kusaidia kuongeza hamu ya kula, na pia kuimarisha mmeng’enyo wa chakula kwa kuchochea utoaji wa mate na juisi za mmeng’enyo.

6. Kurekebisha Sukari ya Damu: Pilipili inaonekana kusaidia kudhibiti viwango vya sukari katika damu, hivyo inaweza kuwa na faida kwa watu wenye ugonjwa wa kisukari.

Ingawa pilipili ina faida nyingi, ni muhimu kuitumia kwa kiasi kwani inaweza kusababisha madhara k**a vile kuungua kwa tumbo au kero katika mfumo wa mmeng'enyo kwa watu walio na vidonda vya tumbo na pumu

15/08/2024

Sababu za Kupoteza Kumbukumbu

1. Majeraha ya kichwa:Hili linaweza kusababisha amnesia, hasa majeraha makubwa.

2. Magonjwa ya ubongo: Magonjwa k**a ugonjwa wa Alzheimer, ugonjwa wa Parkinson, na ugonjwa wa Huntington yanaweza kusababisha kupoteza kumbukumbu.

3. Msongo wa mawazo (Stress) na wasiwasi (Anxiety): Mambo haya yanaweza kuathiri utendaji kazi wa ubongo na kusababisha kupoteza kumbukumbu.

4. Magonjwa ya mishipa ya damu (Vascular diseases):
Shinikizo la damu au kiharusi kinaweza kuathiri mtiririko wa damu kwenye ubongo na kusababisha kupoteza kumbukumbu.

5. Dawa na pombe:Baadhi ya dawa na matumizi mabaya ya pombe yanaweza kusababisha matatizo ya kumbukumbu.

6. Upungufu wa virutubisho: Upungufu wa vitamini muhimu k**a B1 na B12 unaweza kusababisha matatizo ya kumbukumbu

Kwa ushauri na tiba 0752 163 838

15/08/2024

Tatizo la kupoteza kumbukumbu na sababu za Kupoteza Kumbukumbu

1. Majeraha ya kichwa:Hili linaweza kusababisha amnesia, hasa majeraha makubwa.

2. Magonjwa ya ubongo: Magonjwa k**a ugonjwa wa Alzheimer, ugonjwa wa Parkinson, na ugonjwa wa Huntington yanaweza kusababisha kupoteza kumbukumbu.

3. Msongo wa mawazo (Stress) na wasiwasi (Anxiety): Mambo haya yanaweza kuathiri utendaji kazi wa ubongo na kusababisha kupoteza kumbukumbu.

4. Magonjwa ya mishipa ya damu (Vascular diseases):
Shinikizo la damu au kiharusi kinaweza kuathiri mtiririko wa damu kwenye ubongo na kusababisha kupoteza kumbukumbu.

5. Dawa na pombe:Baadhi ya dawa na matumizi mabaya ya pombe yanaweza kusababisha matatizo ya kumbukumbu.

6. Upungufu wa virutubisho: Upungufu wa vitamini muhimu k**a B1 na B12 unaweza kusababisha matatizo ya kumbukumbu

Kwa ushauri na tiba 0752 163 838

Kukoma kwa hedhi, pia kinachojulikana k**a menoposi, ni kipindi cha mabadiliko ya asili ya mwili wa mwanamke kinachohusi...
10/08/2024

Kukoma kwa hedhi, pia kinachojulikana k**a menoposi, ni kipindi cha mabadiliko ya asili ya mwili wa mwanamke kinachohusishwa na kumalizika kwa mzunguko wa hedhi na uzazi. Kikomo cha kukoma kwa hedhi kwa kawaida hufikia kati ya umri wa miaka 45 hadi 55, ingawa inaweza kutokea mapema au kuchelewa kwa baadhi ya wanawake.

Kipindi cha mpito kabla ya kukoma kwa hedhi, kinachoitwa perimenoposi, kinaweza kudumu kwa miaka kadhaa kabla ya hedhi kusimama kabisa. Katika kipindi hiki, viwango vya homoni (hasa estrojeni na projesteroni) hubadilika na kusababisha dalili mbalimbali k**a vile:

1. Kuchelewa au kuacha kwa hedhi: Mzunguko wa hedhi unaweza kuwa usio wa kawaida au kukoma kabisa.

2. Joto la mwili kupanda (Hot flashes): Hali ya joto kali inayoweza kuambatana na kutokwa na jasho na mapigo ya moyo kuongezeka.

3. Mabadiliko ya hisia: Mwanamke anaweza kuwa na mabadiliko ya kihisia k**a vile huzuni, wasiwasi, au hasira.

4. Matatizo ya kulala: Inaweza kujumuisha usingizi kupungua au kuamka mara kwa mara usiku.

5. Kupungua kwa unyevunyevu ukeni: Hii inaweza kusababisha usumbufu wakati wa kujamiiana.

K**a una maswali zaidi au unahitaji ushauri wa matibabu kuhusu dalili za kukoma kwa hedhi, ni vyema kushauriana na mtaalamu wa afya kwa mawasiliano. 0752 163 838 0658 163 838

Leo nimeonelea kuwaletea elimu mpya kabisa ya uzazi ambapo mwanamke yeyote anaweza kupata ujauzito wenye watoto mapacha ...
28/05/2021

Leo nimeonelea kuwaletea elimu mpya kabisa ya uzazi ambapo mwanamke yeyote anaweza kupata ujauzito wenye watoto mapacha hata k**a si asili ya ukoo wake.

Nimetumia neno ‘mwanamke yeyote’ kwa sababu kuna imani ya miaka na miaka kwamba, si kila mwanamke anaweza kupata ujauzito bali itategemea na asili yake.

IMANI ZA KALE KUHUSU UJAUZITO
Baadhi ya mila na desturi, hasa katika nchi za Kiafrika zinaamini kwamba, mwanamke kupata watoto mapacha kunatokana na urithi wa kizazi chake, kuanzia mababu wa upande mmoja kati ya wanandoa hivyo uzao huo hufuata mkondo kwa miaka na miaka.

Wengi wakipata mapacha huulizwa k**a kwenye kizazi chake, kuna watoto mapacha. Akitokea mama akasema hakuna, basi huaminika kwamba lazima upande wa mwanaume kuna waliowahi kuzaliwa mapacha hata k**a si katika miaka ya karibuni.

NI IMANI YA KIZAMANI
Imani hii ni ya kizamani sana, ukweli ni kwamba mwanamke yeyote mwenye sifa ya kushika mimba na kuzaa, anaweza kupata ujauzito na kuzaa mapacha bila kujali asili ya kizazi chake.

NCHI NYINGINE
Kwa nchi zilizoendelea wanawake wanaweza kuzaa mapacha kwa kupandikiza mayai yaliyopevuka kwa kutegemea na idadi unayoitaka mwenyewe lakini bila kujua wangeweza kuzaa hata bila ya kupandikizwa.

WAGANGA WA KIENYEJI WANAPOTOSHA
Nina ushahidi kuwa, baadhi ya wanawake huenda kwa waganga wa kienyeji kwa lengo la kupatiwa dawa ya kuwasaidia kuzaa mapacha, jambo ambalo si sahihi na halipo. Sanasana utaliwa pesa zako bure na mapacha usiwapate.

WENYE TABIA HII NDIYO WANAONGOZA
Wanawake wengi wanaoongoza kwa kushika mimba za mapacha ni wale ambao wakati wa kulala wanabadili staili mara kwa mara.Mara nyingi inashauriwa kuwa, mwanamke akishaingia kwenye siku zake za hatari kulingana na mzunguko wake wa hedhi, akutane kimwili na mumewe au mwanaume anayetaka kuzaa naye.

Baada ya tendo la ndoa, mwanaume anashauriwa kulala kwa kujigeuzageuza kitandani. Hapa namaanisha kwamba, akiwa amelala, ajigeuze kuangalia juu, kulalia ubavu wa kulia, kushoto, kulala kifudifudi kwa usiku kucha.
Fanya hivi kwa kurudiarudia siku kadhaa katika kipindi hicho cha hatari, hapo uwezekano wa kushika mimba ya mapacha utakuwa mkubwa sana.

kwa ushauri na tiba dr mandai +255 713 995 928

Address

Ukonga Mongola Ndege
Dar Es Salaam
95618

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ¡El hongo no pasará posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to ¡El hongo no pasará:

Share