28/10/2023
NANI MWINGINE ANGEPENDA KUJIPATIA OFA YA UPIMAJI MWILI MZIMA NA KUHUDUMIWA KWA HARAKA..
K**a una changamoto yeyote ya kiafya, unahitaji kupata suluhisho la uhakika na kuhudumiwa kwa haraka.
Inawezekana umepoteza muda mwingi na fedha nyingi kutatua tatizo hilo lakini hakuna matokeo chanya uliyopata mpaka sasa.
K**a unatafuta sehemu inayotoa uhakika wa matibabu na kukuhudumia kwa haraka.
Fika Katika kituo cha afya cha GCAT HEALTH CARE,
Tuna huduma ya upimaji mwili mzima kwa sh 20,000 tu na kuhudumiwa kwa haraka!
Utafanyiwa Upimaji Katika Mifumo Yote Ya Mwili Katika:
✳Mifupa.
✳Mmeng'enyo wa chakula.
✳Uzazi kwa kina mama.
✳Uzazi kwa kina baba.
✳Fahamu.
✳Ngozi.
✳Upumuaji.
✳Macho.
✳Masikio.
Pia matibabu na tiba za magonjwa na maradhi mbalimbali zinapatikana k**a Kisukari, Saratani, Presha, Bawasiri, Vidonda vya tumbo, Tezi dume, Ngiri, Moyo kutanuka, Matatizo ya kibofu na mkojo, Maumivu makali ya nyonga, miguu, mgongo, mifupa, Miguu kuwaka moto na kuvimba, Uvimbe, Aleji, Bandama, Pumu, Matatizo ya kupooza ,Uzazi, Figo, Macho, Meno, Homa ya ini. Uzito na Unene.
Zipo shuhuda nyingi kutoka kwa watu mbalimbali ambao waliteseka kwa muda mrefu wameweza kupona na kupata nafuu baada ya mateso ya muda mrefu kutokana na magonjwa na maradhi yaliyokuwa yanawasumbua.
▪ Hebu fikiria unapata suluhisho la uhakika la tatizo lako baada ya mateso ya muda mrefu.
▪ Hebu fikiria ile furaha utakayokuwa nayo baada ya kugundua umepona.
▪ Utaweza kuokoa fedha zako kwa kupata matibabu ya uhakika na kuhudumiwa kwa haraka.
▪ Utaondokana na maumivu ya tatizo hilo kwa kupata suluhisho la uhakika la tatizo hilo.
Tupo Dar-es-Salaam, Na mikoani pia
Tafadhali wasiliana nasi kwa namba ya sim
0746332999
P.S Thamani ya kipimo hiki ni sh 155,000 Lakini Lakini ndani ya mwezi huu utaipata kwa Ofa ya sh 20,000 Tu!