Health Checkup

  • Home
  • Health Checkup

Health Checkup Karibu Sana Kwenye Ukurasa Huu Wa Afya Kwa Huduma Ya Vipimo Vya Afya Kwa Mwili Mzima. Tunakujali Sana

K**a Unasumbuliwa Na Changamoto Za Uzazi (Mwanaume/Mwanamke) Nisikilize Kwa Umakini Sana.K**a Uko Serious Na Kuondokana ...
18/02/2024

K**a Unasumbuliwa Na Changamoto Za Uzazi (Mwanaume/Mwanamke) Nisikilize Kwa Umakini Sana.

K**a Uko Serious Na Kuondokana Na Changamoto Za Uzazi Ni Lazima Kufuata Utaratibu Wa Matibabu. ACHA KUTAFUTA NA KUTUMIA DAWA BILA KUFAHAMU CHANGAMOTO YAKO VIZURI.

Ndio Maana Tumeandaa Utaratibu Wa Vipimo Vya Mfumo Wa Uzazi Kwa Wanaume Na Wanawake Kwa Thamani Ya Tsh 20,000 Tu.....

Ndio Ni Kwa Thamani Ya Tsh 20,000 (Elfu Ishirini) Tu.

Kwa Lengo La Kusaidia Kuondokana Na Changamoto Hizo Kwa Usahihi..!

👉 Kwako Mwanaume Vipimo Hivi Vya Uzazi Vitahusisha Kuangalia;

✅ Afya Ya Misuli na Mishipa Inayopitisha Damu Hadi Kwenye Uume (Hii Ni Msaada Kwa Walioathirika Na Punyeto Pia),

✅ Homoni Ya Kiume (TESTOSTERONE) - Hii Ikiwa Kwa Kiwango Cha Chini Ni Athari Kwa Afya Ya Mwanaume,

✅ Uwezo Wa Kusimamisha (ER****ON TRANSMITTER) - K**a Uwezo Wa Kusimamisha Uko Chini Lazima Uathiri Uanaume Wako,

✅ Magonjwa Yanayoathiri Afya Ya Mwanaume (Moyo, Ini, Bawasiri, Figo, Vidonda Vya Tumbo, Presha, Kisukari n.k),

✅ Wingi Na Uimara Wa Mbegu Za Kiume. Ni Lazima Kufanya Vipimo Hivi Wewe Mwanaume Mwenye Changamoto Ya Nguvu Za Kiume Kabla Hujatumia Dawa Yoyote Ile.

(PASIPO KUFANYA VIPIMO HIVYO MWANAUME HUWEZI KUMALIZA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME KWA ASILIMIA ZOTE)

👉 Kwako Mwanamke Vipimo Hivi Vitahusisha Kuangalia;

✅️ Dalili Za Maambukizi (Kwenye Via Vya Uzazi Yaani P.I.D Na Maambukizi Ya Fangasi),

✅️ Ukomavu Wa Mayai Kwenye Ovaries (Vifuko Vya Mayai),

✅️ Kusaidia Kutambua Changamoto Za Uvimbe Kwenye Kizazi Na Kwenye Vifuko Vya Mayai (Ovvarian Cyst),

✅️ Kusaidia Kutambua Changamoto Za Mimba Kuharibika Na Kuziba Kwa Mirija Ya Uzazi,

✅️ Kusaidia Kutatua Changamoto Za Kukosa Ujauzito Kwa Muda Mrefu,

✅️ Kumaliza Tatizo La Homoni Kuvurugika (Hormone Imbalance) Na Kuweka Sawa Homoni Za K**e.

(PASIPO KUFANYA VIPIMO HIVI MWANAMKE NI NGUMU SANA KUMALIZA CHANGAMOTO ZA UZAZI)

👉 Baada Ya Vipimo Sahihi Vya Uzazi Dawa Zinapatikana Kwenye Vituo Vyetu Vyote Vilivyopo Kwenye Zaidi Ya Mikoa 15 Tanzania. Dawa Zitategema Majibu Ya Vipimo Vya Uzazi Utakavyovifanya.

👉 Mwanaume Acha Mitindo Hatarishi Inayoathiri Uanaume Wako. ACHA PUNYETO! ACHA ULEVI ULIOPITILIZA! PUNGUZA STRESS KABISA! ISHI MAISHA YA FURAHA NA FANYA KAZI ZAKO KWA BIDII.

👉 Mwanamke Acha Mitindo Hatarishi Inayoathiri Afya Yako Ya K**e. ACHA MATUMIZI YA P2 KIHOLELA! ACHA KUTOA UJAUZITO SI SALAMA! ACHA KABISA KUTUMIA NJIA ZA KISASA ZA UZAZI WA MPANGO! ACHA NGONO ZEMBE!

Jisajili kupata huduma ya vipimo sahihi vya afya vya uzazi kwa thamani ya ofa ya tsh 20,000 Tu.

Dr. Mshamu Mshamu
0744660345

Au bonyeza neno WHATSAPP hapo chini kuja whatsapp moja kwa moja

https://wa.me/message/XXTCEC4BHBYJA1

Tayari tuna huduma ya Massage kwenye vituo vyetu vya Dar es salam (Majumbasita), Arusha (Makao Mapya), Mbeya (Soweto), M...
27/12/2023

Tayari tuna huduma ya Massage kwenye vituo vyetu vya Dar es salam (Majumbasita), Arusha (Makao Mapya), Mbeya (Soweto), Morogoro (NaneNane) na Mwanza (Buhongwa).

Massage ya mwili ina umuhimu mkubwa sana katika kuboresha afya na ustawi wa mtu. Inaweza kupunguza msongo wa mawazo, kupunguza maumivu ya misuli, kuongeza mzunguko wa damu, kuboresha usingizi, na kuleta utulivu wa kiakili na kimwili.

Ni njia nzuri ya kuleta afya na utulivu katika maisha ya kila siku.

Wasiliana nasi kwa namba 0620657127 na 0744660345 kupata huduma bora zaidi za kiafya.

KUMALIZA MWAKA PASIPO CHANGAMOTO ZA KIAFYA INAWEZEKANA...!Hakuna aliyeumbwa ili kuteseka na changamoto za kiafya, na ndi...
22/12/2023

KUMALIZA MWAKA PASIPO CHANGAMOTO ZA KIAFYA INAWEZEKANA...!

Hakuna aliyeumbwa ili kuteseka na changamoto za kiafya, na ndio maana kwa kutambua hilo taasisi ya Afya ya Gcat Health Clinic imeweka punguzo la vipimo vya mwili mzima (full body checkup) kwa wewe mwenye changamoto ya afya.....

Kwa Thamani Ya Tsh 20,000 Tu

(Elfu Ishirini Tu)

Wiki hii ya mwisho ya kumaliza mwaka.

Gcat health clinic ina madaktari bingwa wanaotoa suluhisho la maradhi sugu yote.....

Huduma zinazojumuishwa ni pamoja na uchunguzi wa;

✨Mfumo wa mishipa ya damu, moyo na ubongo
✨Mfumo wa maradhi ya mifupa
✨Mfumo wa mmeng'enyo na uyeyushaji wa Chakula
✨Afya ya ngozi na maradhi ya ngozi
✨Afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake
✨Mfumo wa fahamu, jicho na maradhi ya macho
✨Mfumo wa upumuaji
✨Afya ya Kinywa na meno
✨Kisukari
✨Saratani/kansa
✨Shinikizo la damu/Presha
✨Tezi dume
✨Bawasiri
✨Ugonjwa wa kutetemeka
✨Fangas, U.T.I, P.I.D
✨Matatizo ya bandama
✨Kiharusi na matatizo ya moyo
✨Sikio na maradhi sugu mengineyo

Ili uweze kupata huduma hizi weka miadi ya kufanya vipimo hivyo kwa namba hizi hapa chini;

Dr. Mshamu Mshamu
0620657127 AU 0744660345

Sisi ni daraja la uponyaji wa afya yako. Tunaithamini sana afya yako kwani ndio msingi wa kuishi maisha ya furaha.

KUMALIZA MWAKA PASIPO CHANGAMOTO ZA KIAFYA INAWEZEKANA...!Hakuna aliyeumbwa ili kuteseka na changamoto za kiafya, na ndi...
14/12/2023

KUMALIZA MWAKA PASIPO CHANGAMOTO ZA KIAFYA INAWEZEKANA...!

Hakuna aliyeumbwa ili kuteseka na changamoto za kiafya, na ndio maana kwa kutambua hilo taasisi ya Afya ya Gcat Health Clinic imeweka punguzo la vipimo vya mwili mzima (full body checkup) kwa wewe mwenye changamoto ya afya.....

Kwa Thamani Ya Tsh 20,000 Tu

(Elfu Ishirini Tu)

Wiki hii ya mwisho ya kumaliza mwaka.

Gcat health clinic ina madaktari bingwa wanaotoa suluhisho la maradhi sugu yote.....

Huduma zinazojumuishwa ni pamoja na uchunguzi wa;

✨Mfumo wa mishipa ya damu, moyo na ubongo
✨Mfumo wa maradhi ya mifupa
✨Mfumo wa mmeng'enyo na uyeyushaji wa Chakula
✨Afya ya ngozi na maradhi ya ngozi
✨Afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake
✨Mfumo wa fahamu, jicho na maradhi ya macho
✨Mfumo wa upumuaji
✨Afya ya Kinywa na meno
✨Kisukari
✨Saratani/kansa
✨Shinikizo la damu/Presha
✨Tezi dume
✨Bawasiri
✨Ugonjwa wa kutetemeka
✨Fangas, U.T.I, P.I.D
✨Matatizo ya bandama
✨Kiharusi na matatizo ya moyo
✨Sikio na maradhi sugu mengineyo

Ili uweze kupata huduma hizi weka miadi ya kufanya vipimo hivyo kwa namba hizi hapa chini;

Dr. Mshamu Mshamu
0620657127

Sisi ni daraja la uponyaji wa afya yako. Tunaithamini sana afya yako kwani ndio msingi wa kuishi maisha ya furaha.

Kupima Vipimo Vya Afya Vya Mwili Mzima Kwako Mwenye Changamoto Za Kiafya Zilizokusumbua Kwa Muda Mrefu Ni Muhimu Sana Kw...
06/10/2023

Kupima Vipimo Vya Afya Vya Mwili Mzima Kwako Mwenye Changamoto Za Kiafya Zilizokusumbua Kwa Muda Mrefu Ni Muhimu Sana Kwa Sababu Vipimo Hutoa Taarifa Muhimu Kuhusu Hali Ya Mwili.

Kuchunguza Matatizo Ya Kiafya, Na Kusaidia Kutambua Njia bora za matibabu. Vipimo Hivi Huonyesha Viashiria Vya Magonjwa Hivyo Kukusaidia Kujilinda Kabla Magonjwa Hayajakutesa.

Vipimo Pia Huonyesha Mifumo Ya Mwili Inavyofanya Kazi, Na Kutoa Mwelekeo Wa Jinsi Ya Kudhibiti Au Kuboresha Hali Yako Kiafya.

Matatizo Ya Magonjwa Sugu Tunayotibu Ni Pamoja Na;

✅ Matatizo Ya Presha Na Kisukari.
✅ Matatizo ya Moyo, INI Na Figo
✅ Kansa Na Pumu
✅Vidonda vya Tumbo Na Acid Reflux
✅ Kupooza
✅ Matatizo Yote Ya Uzazi Kwa Wanawake (PID, Uvimbe Kwenye Kizazi, Fangasi Ukeni, Maumivu Makali Ya Tumbo, Kuvurugika Kwa Hedhi Na Mpangilio Wa Homoni (Hormone Imbalance)
✅ Matatizo Yote Ya Uzazi Kwa Wanaume (Kukosa Nguvu Za Kiume, Uume Kulegea, Mbegu Chache, Tezi Dume, Kuvimba Kwa Korodani, Ngiri N.k)
✅ Matatizo Ya Miguu Kuwaka Moto Na Ganzi.
✅ Changamoto Ya Unene Uliopitiliza, Uzito Mkubwa Na Tumbo Kubwa.
✅ Kuongeza CD4 Kwa Wenye Upungufu Wa Kinga.
✅U.T.I sugu.
✅ Bawasiri Na Magonjwa Mengine Yote Sugu Yaliyokusumbua Kwa Muda Mrefu Sana

TIBA ZETU NI TIBALISHE AMBAZO ZINA KAZI ZIFUATAZO;

👉 Kuosha Mwili (Kuondoa Sumu Zote Kwenye Mwili Zilizotokana Na Vyakula, Maji, Hewa Na Mitindo Mingine Ya Maisha).

👉 Kulinda Mwili Dhidi Ya Magonjwa Nyemelezi.

👉 Kujenga Mwili Kwa Kuuongezea Madini Muhimu Yanayopotea Kwa Mitindo Hatarishi Iliyozoeleka Na Vyakula Visivyo Sahihi Vinavyolika Kila Mara.

👉 Kutibu Mwili Kabisa Kwa Kuurudishia Nguvu Mpya Ya Kufanya Kazi K**a Ilivyokua Kawaida.

Karibu Sana Upate Huduma Hii Ya Vipimo Sahihi Vya Afya Na Matibabu Kwa Changamoto Uliyonayo Kwenye Vituo Vyetu Vinavyopatikana Nchi Nzima.

Wasiliana Nasi Kwa Namba 0620657127 Au Bonyeza Neno "WHATSAPP" Hapo Chini Kuweka Appointment Ya Kurudishia Uhai Wa Afya Yako.

Sisi Ni Daraja La Uponyaji Wa Afya Ya Mwili Wako. Mungu Unayemuamini Azidi Kuilinda Afya Yako Kwani Ndio Msingi Wa Mafanikio Yako.

Address

Majumbasita

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Health Checkup posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram