05/04/2024
⏩Watu wengi wamekua Wakisumbuka Sana kutibu Bawasiri Bila kujua kua sababu kubwa ni Mpangilio WA chakula WA kila siku
Hivyo basi kabla ya kuanza kutafuta tiba Basi fanya Mpangilio wako WA chakula kuwa Sawa.
⏩Chanzo kikubwa cha tatizo hili ni matatizo ya mfumo wa umen’genyaji chakula k**a kukosa choo kwa muda mrefu, kupata choo kigumu, kuharisha mara kwa mara na tumbo kujaa gesi, hivyo kwa kuzuia matatizo haya basi utakuwa umejikinga na bawasiri. Hivyo hakikisha unafanya yafuatayo:
⏩ MAMBO YAKUZINGATIA ILI KUTOKOMEZA BAWASIRI KWA HARAKA SANA.
Kulingana na ukali wa hemorrhoids, daktari atakupendekeza chaguo bora kwako. Kwa ujumla, bawasiri zenye kutokwa na damu kidogo na maumivu zinaweza kutibiwa kwa krimu au marashi yanayopatikana kwa urahisi. Wakati mwingine, daktari anaweza kupendekeza taratibu chache za kutatua hemorrhoids. Taratibu hizi kwa ujumla zinajumuhishwa k**a:-
⏩MATUMIZI YA MDALASINI
Kwa kawaida Vyakula vya fibres husaidia katika kutatua Changamoto ya bawasiri Kwani Madini ya fibers yalokuepo kwenye mdalasini husaidia mtu anayeharisha au kupata choo kigumu.
Tumia MDALASINI asubuhi na jioni kwenye maji ya vuguvugu Kila siku is WA siku 10
Kunbuka hii sio Tiba mbadala hii HIVYO usipoona mabadiliko yoyote waweza Kuja ofisini kwetu tukusaidie.
⏩Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa.
⏩Tumia machungwa kwa wingi
machungwa yana kiungo kinachoitwa flavonoids, kiungo hiki ni muhimu katika ustawi wa mishipa ya damu ya veins, mishipa hii ndio huathirika na kusababisha bawasiri.
⏩Kunywa maji ya kutosha
Tumia kiu na rangi ya mkojo k**a dalili ama kiashiria cha kiasi gani cha maji unatakiwa kunywa. K**a mkojo ni wa rangi ya njano inayokolea basi ni kiashiria kwamba mwili hauna maji ya kutosha na unatakiwa kunywa. Kunywa maji ya kutosha walau lita 3 kwa siku na vinywaji vingine isipokuwa pombe. Nyuzinyuzi na maji ya kutosha husaidia kulainisha choo chako na hivyo kurahisisha utolewaji wake bila kujikamua.
⏩Jitahidi kutumia juice ya matunda k**a vile parachichi,passion na maembe angalau mara 3/5 kwa wiki.
KWA CHANGAMOTO YOYOTE YA KIAFYA WAWEZA KUPIGA SIMU KWA WATOA HUDUMA WETU ILI KUSAIDIWA KUTATUA CHANGAMOTO ZAKO
TUNAPATIKANA TANZANIA NZIMA
PIGA SIMU KWA 0622183833