Irene afya imara

Irene afya imara Nawasaidia watu kutatua changamoto mbalimbali za kiafya kupitia virutubisho lishe

25/08/2025
15/08/2025
30/07/2025

HILI HAPA SULUHISHO LA KUDUMU LA CHANGAMOTO YA VIUNGO NA MIFUPA,MGONGO KIUNO,MAGOTI NK +255716488443

30/07/2025

K**a unapitia changamoto ya mgongo kiuno na Ganzi comment hapo chini au nitafute kwenda namba +255716488443 kwa ushauri zaidi.

24/09/2024

Ukweli ni kwanza changamoto nyingi za kiafya zinasababishwa na mfumo Mbovu wa mmeng’enyo wa Chakula bawasiri ,choo kigumu ,Vidonda vya tumbo ,gesi kujaa tumboni ,tatizo la homoni na upungufu wa nguvu za kiume .Ukizingatia aina ya vyakula unavyokula na vinywaji unavyokunywa utaboresha sana mfumo wako wa mmeng’enyo wa Chakula .Kwa ushauri zaidi juu ya hizi changamoto za kiafya na utatuzi piga +255 620 629 101 .

17/08/2024
*MAMBO (6) YA KUZINGATIA KABLA HUJALALA:* Kabla ya kwenda kulala inashauriwa kuzingatia mambo yafuatayo ili kuboresha us...
29/01/2024

*MAMBO (6) YA KUZINGATIA KABLA HUJALALA:* Kabla ya kwenda kulala inashauriwa kuzingatia mambo yafuatayo ili kuboresha usingizi na kuwa na afya;
01. Usitumie vinywaji vyenve caffeine (k**a vile kahawa) masaa 6 kabla ya kulala.
02. Epuka matumizi ya pombe na kuvuta sigara masaa 2 kabla hujalala.
03. Zima simu janja au vifaa vingine vya mawasiliano dakika chache kabla hujalala
04. Hakikisha chumba hakina mwanga mkali, ni tulivu na kimeandaliwa vizuri kabla ya kulala.
05. Usilale ukiwa na njaa kali. Lakini pia, usile chakula kingi masaa 2 kabla hujalala maana itakuzuia kupata usingizi mzuri.

06. Usifanye mazoezi makali masaa 3 kabla hujalala. Kufahamu mbinu zaidi zitakazoboresha usingizi wako na kukufanya we na afya njema, wasiliana nasi +255 716488443

*DR IRENE* na mifupa na maungio,kwa msaada wa haraka +255 716488443 Je, unatamani kujua changamoto ya MAUMIVU YA VIUNGO ...
17/01/2024

*DR IRENE* na mifupa na maungio,kwa msaada wa haraka +255 716488443
Je, unatamani kujua changamoto ya MAUMIVU YA VIUNGO inasababishwa na nini?

Jibu ni rahisi.

Changamoto hii inasababishwa na mambo haya 7 yafuatayo…

• Matatizo ya mmeng’enyo wa chakula.
• Utumiaji wa pombe na uvutaji wa sigara.
• Msongo wa mawazo { Stress }.
• Uzito mkubwa/Unene uliopitiliza.
• Kafanya kazi ngumu k**a vile kubeba mizigo mizito nk.
• Kutokupata usingizi/Kupumzika muda wa kutosha.
• Kukaa sana chini au kusimama kwa muda mrefu.

Kupitia hayo mambo 7 uliyoyasoma hapo juu hupelekea Mtu kupata Matatizo haya 5 ya Maumivu ya Viungo k**a ifuatavyo:

• Maumivu ya Shingo.
• Maumivu ya Mgongo.
• Maumivu ya Kiuno/Nyonga.
• Maumivu ya Magoti.
• Maumivu ya Ankle na Misuli.

Je, ni dalili gani unapaswa kuzifahamu k**a una tatizo moja wapo?

• Kupata maumivu makali eneo husika.
• Kukosa raha ya kufanya kazi kutokana na usumbufu wa maumivu.
• Kushindwa kuimiri kufanya kazi kwa muda mrefu.
• Kusikia milio ya mifupa mara kwa mara.
• Kushindwa kutembea kwa mwendo mrefu au kufanya mazoezi.

Tatizo hili linaondokaje? Kuna njia mbili.

Moja: Kufanya upasuaji au kutumia dawa za Hospital.

Mbili: Kutumia njia mbadala ambayo itakusaidia kuondoa tatizo hili bila ya kufanyiwa Upasuaji.

K**a utapenda kujifunza Zaidi kuhusu njia hii ya kukusaidia kuondoa tatizo hilo bila ya kufanyiwa Upasuaji au kutumia dawa za hospital bonyeza kwenye maandishi yaliyoandikwa “Whatsapp”

12/01/2024

TATIZO LA MIFUPA NA MAUNGIO KWA WASUMBULIWAO NA
MAUMIVU YA NYONGA, KIUNO, MGONGO NA MAUNGIO (JOINTS)?

MSHAURI: 0716488443
➡▪Hasa maumivu ya kusambaa kutoka kwenye nyonga mpaka kwenye goti

Tatizo hili huweza humpata mtu yeyote. Maumivu ya kiuno huanza chini ya mgongo na kuk**ata katika vifupa vilivyo kwa chini
karibu na makalio. Maumivu haya husambaa kulia na kushoto na wakati mwingine huteremka hadi mapajani. Pamoja na kuwepo katika vifupa hivyo pia ndani zaidi huweza kusababisha maumivu haya yatoke kwa ndani na kusambaa nje yaani katika eneo la kiuno.

👉Maumivu ya nyonga huweza kutokea sambamba na maumivu ya kiuno au nyonga yakawa peke yake. Nyonga huunganisha miguu na mifupa ya mapaja inayotengeneza kiuno. Nyonga ndiyo inayofanya utembee, inakuwezesha kutoka sehemu moja hadi nyingine, kukaa na kuruka.

SABABU ZINAZOPELEKEA MAUMIVU YA KIUNO NA NYONGA (mifupa kwa ujumla)

👉Kujichua muda mrefu hupelekea maumivu hayo. Zipo dawa za kuacha kujichua na kurudisha nguvu zilizopotea.
👉Namna ya kulala (style) /godoro linaweza kukusababishia maumivu hayo
3.Kubeba mizigo kwa kuinama na mzigo.
👉mawazo (stress).
👉kulala kwa muda mrefu na matumizi mabaya ya mto.

MADHARA YA MAUMIVU HAYO NI K**A YAFUATAYO;

1.Hupelekea miguu na mikono kufa ganzi na kuwaka moto
2.hupelekea kupooza kwa baadhi ya viungo vya mwili na kushindwa kutembea (kupata kilema cha kudumu)
3.hupelekea kuwahi kufika kileleni mapema wakati wa tendo na kushindwa kurudia.
4.Unaweza kushindwa kutembea kabisa /kunyanyuka, utakaa ukiwa umelala.

👉Habari njema ni kwamba baada yakufanya utafiti wa kina kwa mda mrefu sasa tiba imepatikana,tiba ya uhakika na ya haraka
Kwa matibabu ya haraka na sahihi wasiliana nasi,+255 716488443

Utajipatia offer maalumu ya msimuu huu

Whatsap https://wa.me/c/0716488443

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255716188443

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Irene afya imara posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram