Afya kwanza

Afya kwanza Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya kwanza, Medical and health, .

MATIBABU KWA CHANGAMOTO ZOTE ZA MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA NA AFYA YA UZAZI KWA MWANAUME NA MWANAMKE 📞+255653276442 AU Gusa hii Link
https://wa.me/message/Q2J6YEKPWDUEO1

ACHA KUUITA UGONJWA WAKO, ACHA KUSEMA UMESHINDIKA, NJOO USAIDIWE...🧄Umetibiwa wapi na nani mpaka ufikie hatua ya kukata ...
28/07/2025

ACHA KUUITA UGONJWA WAKO, ACHA KUSEMA UMESHINDIKA, NJOO USAIDIWE...

🧄Umetibiwa wapi na nani mpaka ufikie hatua ya kukata tamaa?

🫚Mbona wenye shida k**a zako WAMEPONA na WAMERUDI kutimiza ndoto zao?

🥦GCAT INTERNATIONAL ni hospital za kichina zinazopatikana karibu mikoa yote Tanzania.

🥥Tumebobea Katika TAFITI NA KUTIBU magonjwa YASIYOAMBUKIZA kwa njia ya VIRUTUBISHO MAALUMU Vinavyotokana na mimea ya asili. Ni hospital pekee nchini tanzania iliyojipambanua kupambana na magonjwa yasiambukiza.

🥭Usikubali kuendelea kuhangaika njoo tukusaidie na wala hatujaribu tunaweza amini tumesaidia wengi wenye matatizo k**a yako.

🥑KARIBU uKutane na Wataalamu waliobobea kwenye Masuala ya Matibabu Kutoka China.

🥕Mfano wa magonjwa yasiyoambukiza ni k**a vile:

✓ matatizo ya Uzazi Kwa wanaume na Wanawake
√ Vidonda vya Tumbo na Typhoid sugu.
√ Mifupa, Ganzi. Na Meno
√ Stroke au kupalalaizi.
√ Magonjwa ya Moyo na Figo
√ Bawasiri na Tezidume
√ Ngiri na Uvimbe aina zote.
√ Matatizo ya Ngozi
√ KISUKARI, Presha ( BP), P I D, matatizo ya Macho N.K

🌡Huduma ya Vipimo kwa OFA ya TSH 30,000/=tu!

👨👩Ushauri wa kiafya na matibabu ya kitaalamu

Tunafungua: Saa 2:00 asubuhi hadi 11:00 jioni ‐ KILA SIKU!

Piga Sasa 📞0653 276 442

Usingoje hali iwe mbaya ‐ Fika leo upate huduma bora GCAT Hospital!

Au gusa Link hapa chini ili kuwasiliana na dokta moja kwa moja

https://wa.me/message/Q2J6YEKPWDUEO1

GCAT HOSPITAL International_HUDUMA YA OFA YA KIPIMO CHA MWILI MZIMA Tupo kwenye kipindi cha OFA maalumu utalipia Tsh 30,...
28/07/2025

GCAT HOSPITAL International_HUDUMA YA OFA YA KIPIMO CHA MWILI MZIMA
Tupo kwenye kipindi cha OFA maalumu utalipia Tsh 30,000 tu ya kufanya vipimo vya mwili mzima na utapata ushauri bure kutoka kwa Daktari.

KIPIMO KINAONESHA
1.Tatizo husika
2.Chanzo cha tatizo
3.Viashiria vya tatizo lingine
kipimo kinahusika na magonjwa sugu ambayo hayaambukizi

Tunafanya vipimo vya mwili mzima katika mifumo ifuatayo :
1.Mfumo wa ubongo
2.Mfumo wa upumuaji
3.Mfumo wa Tumbo
4.Mfumo wa Ngozi
5,Mfumo wa misuli na mifupa
6.Mfumo wa uzazi kwa wanawake na wanaume
7.Mfumo wa macho

pia Tunatoa huduma ya Matibabu kwa magonjwa sugu k**a ifuatavyo
-vidonda vya Tumbo,Presha, Kisukari,
Moyo,Figo,INI,Choresterol,bawasili,
-Tezidume,fangasi,Uzazi kwa wanawake na wanaume , macho, Allergy, Mifupa ,Ngozi

Tunatbu Uvimbe Aina zote bila upasuaji, stroke(kupooza) , miguu,Magoti, ganzi, uzito, na unene, uvimbe kwenye via vya uzazi,ukuaji Mbovu wa watoto n.k

🌡Huduma ya Vipimo kwa OFA ya TSH 30,000/=tu!

👨👩Ushauri wa kiafya na matibabu ya kitaalamu

Tunafungua: Saa 2:00 asubuhi hadi 11:00 jioni ‐ KILA SIKU!

Piga Sasa 📞0653 276 442

Usingoje hali iwe mbaya ‐ Fika leo upate huduma bora GCAT Hospital!

Au gusa Link hapa chini ili kuwasiliana na dokta moja kwa moja

https://wa.me/message/Q2J6YEKPWDUEO1

*Dalili za kupevuka mayai ili kushika mimba*Je umekuwa ukijaribu kuongeza nafasi  Yako katika kupata Ujauzito?!?Kujua da...
28/07/2025

*Dalili za kupevuka mayai ili kushika mimba*

Je umekuwa ukijaribu kuongeza nafasi Yako katika kupata Ujauzito?!?

Kujua dalili za yai kupevuka (ovulation) ni njia rahisi Ya wewe kushika ujauzito.

Na k**a unavyojua ovulation hutokea Siku ya 14 kutoka siku yako ya kwanza ulipo ona hedhi.

Kuchelewa kutoka kwa Yai husababsha yai kutoka haliyakuwa limeharibika na kushindwa kuungana na mbegu za kiume na kutunga mototo

Halikadhalika ovulation kuwahi husababsha yai kutokukomaa na kushindwa kutoka.....

Zipo sababu mbali mbali za yai kuchelewa kutoka au kuwahi kabla ya siku yake na kupelekea kushindwa kushika ujauzito.... K**a zifuatazo
👉Hormonal imbalance (mabadiliko ya homoni)
👉infection (maambukizi ya bacteria)
👉diet (lishe duni/ndogo)

Alikuja Dada mmoja akawa ana lala mika amekuwa akifuatilia siku zake za hatari (danger) lakin amekuwa halewi kwa maana kuna mchnganya ....yeye mzunguko wake n wa siku 28 ana sema akimaliza period tu na baada ya kujisafisha huweza kupata ute ute mwing unatoka na una kuwa na rangi ya njano kwa mbali mnoo

Na pi inapofika siku ya 9 ya mzunguko wake anauona ute mwing pia unatoka na huweza kupata maumivu ya tumbo sehemu ya kushoto na tumbo kumjaa gesi

Aliniomna ushauri Dr nafanyeje hapo maana maana natakiwa nijue siku zangu za hatari nishike mimba?!

Majibu Daktari

Kwanza nilianza kumuelewesha aina tofauti za ute zinazotoka katika uke .... Uke huwa una kawaida ya kujisafisha wenyewe kwa kutumia ute na ndo maana mkilala au kukaa mda mrefu baadh yenu huweza kuukuta ute umetoka wenyewe ...utokaji wa ute mwingi au wenye kuambatana na harufu huweza kuonyesha ishara ya bacteria (infection) ..na ndo maana na huyu Dada na hata ute wake uliweza kubadilika rangi na kuwa wa njano na hyo n kiashiria kikubwa cha maambukiz....

Mabadiliko ya homoni (hormonal imbalance) yenyewe husababsha kupungua kwa ute na kupotea kabsaa na ndo maana wasichana wengi wenye hormonal imbalance ute kwao wamekuwa wakipata kwa kiasi kidgo au hawapati Kabsaa

Na hii hupelekea kushindwa kujua tarehe zao za hatari n zipi ili kuweza kushika ujauzito...

Na pia lishe isiyozingatia ubora k**a mboga mboga na matunda huweza kupunguza ute na kufanha pia yai kutokuwa imara zaid ...

Baada ya kufahamu alielewa na tulifanya vipimo na ikaonekana ana (RTI) maambukiz ya bacteria katika via vya uzazi na kuanza matibabu ya kutibu infection hyo.

Zifuatazo na Dalili Kubwa 3 za kujua siku zako za hatari na kuongeza nafasi kubwa ya kushika ujauzito kwako....

1⃣Kutokwa na ute..ute huwo huwa msafi mwembamba na wenye kuvutika baina ya vidole viwili na una kuwa mfano wa ute wa yai

2⃣Maumivu ya kuzunguka kiuno na tumbo la chini
Na huweza kutokea upande mmoja hima kulia au kushoto katika eneo la tumbo la chini.

3⃣Maziwa kujaa na chuchu kuuma.

Kipind hichi maziwa huweza kujaa na kuuma pia

VIPIMO,,, USHAURI NA MATIBABU KWA BEI YA PUNGUZOSHIRIKA LA AFYA KUTOKA NCHINI  CHINA/ TUNAYO FURAHA YA KUKUPA TAALIFA NJ...
28/07/2025

VIPIMO,,, USHAURI NA MATIBABU KWA BEI YA PUNGUZO

SHIRIKA LA AFYA KUTOKA NCHINI CHINA/ TUNAYO FURAHA YA KUKUPA TAALIFA NJEMA KWAMBA HOSPITAL, IMETOA OFA KWA WATU WATAKAO fika katika vituo vyake vyote, KUPATA HUDUMA YA VIPIMO NA MATIBABU
Ofa hii niya👇👇
▪️ Vipimo vya mwili mzima, Kupimwa magonjwa yote mwilini ni T,sh 30/= tu
▪️ Punguzo la bei 20% kwa kila dawa( bidhaa zetu )

Magonjwa tunayo tibu ni;
✅ Matatizo ya Moyo na INI
✅Kansa,
✅Vidonda vya Tumbo,
✅Kisukari
✅Pumu
✅Stroku.
✅Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba
✅Matatizo ya mifupa,
✅Matatizo ya miguu
✅Ngozi,
✅Figo,
✅Fangasi sugu
✅Kupunguza unene, uzito, na matumbo
✅Kuongeza kinga mwilini(CD4)
✅U.T.I sugu,Gesi
✅Bawasiri,
✅Tenzi dume
✅Heshima ya ndoa kwa kina baba. N.k

TIBA ZETU NI TIBALISHE NA VIRUTUBISHO.
Ambavyo hufanya kazi kuu nne ( 4 ) mwili
👉 Kuosha/ kutoa sumu mbaya zote mwilini
👉 Kulinda/ Kukinga
👉 Kujenga
👉 Kutibu

Karibu sana Upate huduma Zetu imara . Tupo Dar es salaam na mikoani

🌡Huduma ya Vipimo kwa OFA ya TSH 30,000/=tu!

👨👩Ushauri wa kiafya na matibabu ya kitaalamu

Tunafungua: Saa 2:00 asubuhi hadi 11:00 jioni ‐ KILA SIKU!

Piga Sasa 📞0653 276 442

Usingoje hali iwe mbaya ‐ Fika leo upate huduma bora GCAT Hospital!

Au gusa Link hapa chini ili kuwasiliana na dokta moja kwa moja

https://wa.me/message/Q2J6YEKPWDUEO1

MWANAUME!!Mwanaume rijali mpenzi wako anategemea kufurahia tendo la ndoa kutoka kwako mnapokuwa pamoja kitandani, anahit...
16/07/2025

MWANAUME!!

Mwanaume rijali mpenzi wako anategemea kufurahia tendo la ndoa kutoka kwako mnapokuwa pamoja kitandani, anahitaji kukuona wewe k**a ndiye mtu pekee ambaye unaweza kumridhisha na kumfikisha pale yeye anapohitaji wakati wa tendo la ndoa.
⚫Mwanzoni mwa mahusiano mambo huwa sawa lakini baadaye mambo huanza kubadilika taratibu. Hali hii kwa wengine huweza kujitokeza kwa sababu labda ya ubize sana katika kazi hali inayopelekea kukosa hamu ya tendo, kutokula vizuri na wakati mwingine kupitisha mlo bila kula vizuri hivyo mwili kukosa virutubisho muhimu vya kujenga afya ya uzazi, matatizo ya homoni kutokuwa vyema yani Hormonal imbalance, mwili kuwa na taka mwili nyingi yani sumu, kuwa na mafuta mengi mwilini na kitambi, sababu za kiumri hali ambayo hupelekea mwili kupungukiwa na baadhi ya virutubisho muhimu katika afya ya uzazi na pia kuwa na changamoto za kiafya ambazo hupelekea mtu kuwa katika dozi fulani kwa muda mrefu k**a kisukari, pressure n.k na hivyo kuathiri mfumo wa afya ya uzazi

Tunatoa huduma ya vipimo vyote kwa magonjwa yote sugu YASIYOAMBUKIZA kwa wanaume na wanawake kwa ofa ya 30,000/= tu pia tunatoa matibabu sahihi na ushauri kwa kutumia virutubisho bora na asili ambavyo vimewekwa katika ubora wake vikiwa na kiwango kikubwa cha nutrients ambazo ni muhimu katika afya ya uzazi wa mwanaume. Kwa mwanaume ambaye yupo fit pia anashauriwa kutumia kwa ajili ya kuendelea kuboresha afya yako ya uzazi pia

Dawa zetu zitakusaidia kuboresha mfumo wa homoni na kuondoa changamoto zitokanazo au zinazosababishwa na kutokuwa sawa kwa homoni mwilini, zinaongeza kiwango cha uzalishaji mbegu na kuboresha mifumo ya uzazi hivyo ni muhimu sana katika kuboresha changamoto za kutotungisha mimba

Dawa zetu zitaongeza nguvu na stamina, husaidia kuimarisha mishipa ya uume na kuondoa hali ya kulegea au kusinyaa wakati na baada ya tendo la ndoa, zitasaidia kuboresha afya ya tezi dume na pia kuikinga dhidi ya changamoto yoyote.

Zitaongeza nguvu, stamina, kiwango cha uzalishaji mbegu na mfumo wa uzazi.
Kuweka sawa homoni, kuimarisha kinga ya mwili na uzalishaji seli katika mwili, kuboresha changamoto za uzazi na ugumba

Kuboresha changamoto za kuwahi kileleni kabla ya tendo au wakati wa tendo
Kuongeza hamu ya tendo la ndoa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa
Kuondoa uchovu na hali ya mwili kuchoka
Kuboresha mfumo wa kibofu na kuimarisha kinga dhidi ya U.T.I na matatizo yote ya mfumo wa kibofu na mkojo

Afya ya uzazi inaathiriwa sana na lishe tunayokula kila siku. Watu wengi wanakumbwa na changamoto k**a kutopata mimba kw...
11/07/2025

Afya ya uzazi inaathiriwa sana na lishe tunayokula kila siku. Watu wengi wanakumbwa na changamoto k**a kutopata mimba kwa wakati, kuvurugika kwa homoni, uchovu wa mfumo wa uzazi, au mbegu hafifu kwa sababu mojawapo kubwa ikiwa ni upungufu wa virutubisho sahihi mwilini. Leo tunakuletea vyakula vinavyosaidia kuboresha afya ya uzazi

Mayai
Chanzo bora cha protini na vitamini B12, husaidia katika usawa wa homoni na ubora wa mayai kwa wanawake

Parachichi
Lina mafuta mazuri yanayosaidia usawazishaji wa homoni, kuongeza uwezo wa kushika mimba, na kuimarisha afya ya kizazi

Samaki wa Mafuta k**a vile salmon, sardines
Tajiri wa Omega-3, ambayo huongeza ubora wa mbegu kwa wanaume na kusaidia kuzuia uvimbe katika via vya uzazi kwa wanawake

Mbogamboga za Majani mfano mchicha, sukuma
Zina folate, iron, na antioxidants. Folate ni muhimu sana kwa uzazi wa mwanamke na mtoto tumboni

Ndizi zina vitamini B6 ambayo ni muhimu sana katika kudhibiti homoni za uzazi

Karanga na Mbegu za maboga, zina zinc, selenium na mafuta mazuri. Zinc huongeza ubora wa mbegu na huimarisha uzazi wa kiume

Asali Mbichi, husaidia kusafisha mzunguko wa damu katika via vya uzazi, kuongeza stamina na kusaidia nguvu za kiume

Maji ya Kutosha
Unywaji wa maji husaidia mfumo wa homoni kufanya kazi vizuri, na pia huondoa sumu mwilini.

Usipuuze unachokula—lishe ni sehemu ya tiba ya mwili wako. Kwa ushauri wa kina kuhusu afya ya uzazi na tiba asilia ya uhakika kwa changamoto k**a UTI, PID, hormonal imbalance, mbegu hafifu, au kushindwa kupata ujauzito, wasiliana nasi leo

📞 WhatsApp 0653 276 442

👨‍⚕️👩‍⚕️GCAT HOSPITAL Afya Yako, Kipaumbele Chetu!🌍Dar es salaam na Mikoani Huduma Maalum kwa Magonjwa Sugu Yasiyoambuki...
11/07/2025

👨‍⚕️👩‍⚕️GCAT HOSPITAL

Afya Yako, Kipaumbele Chetu!

🌍Dar es salaam na Mikoani

Huduma Maalum kwa Magonjwa Sugu Yasiyoambukiza!

Kwa Mwanaume na Mwanamke, tunatibu magojwa k**a:

✅Shinikizo la damu
✅Kisukari
✅Magonjwa ya mfumo wa uzazi
✅Maumivu ya mwili wa muda mrefu
✅Matatizo ya nguvu za kiume
✅Hedhi isiyo ya kawaida na uzazi na uzazi kwa mwanamke

🌡Huduma ya Vipimo kwa OFA ya TSH 30,000/=tu!

👨👩Ushauri wa kiafya na matibabu ya kitaalamu

Tunafungua: Saa 2:00 asubuhi hadi 11:00 jioni ‐ KILA SIKU!

Piga Sasa 📞0653 276 442

Usingoje hali iwe mbaya ‐ Fika leo upate huduma bora GCAT Hospital!

Au gusa Link hapa chini ili kuwasiliana na dokta moja kwa moja

https://wa.me/message/Q2J6YEKPWDUEO1

Unatokwa na uchafu na unajaa kwenye Chupi? Umeaambiwa ni U.T.I? Umetumia sana dawa ila tatizo haliishiWanawake wanaochan...
10/07/2025

Unatokwa na uchafu na unajaa kwenye Chupi? Umeaambiwa ni U.T.I? Umetumia sana dawa ila tatizo haliishi

Wanawake wanaochanganya U.T.I, Fangasi, P.I.D kutokwa uchafu unaonuka

Kwa kawaida mwanamke ana vishimo viwili, kishomo cha juu ni njia ya mkojo na shimo la chini ndo k yenyewe hapa uume hupita mtoto hupita wakati wa kuzaliwa lakini pia mwanamke akiwa period, damu hupita hapo

U.T.I inahusiana na njia ya juu tu yaani njia ya mkojo, na dalili zake ni kuumia wakati wa kukojoa, kukojoa mara kwa mara mkojo kidogo, kutoa mkojo wenye harufu kali sana

kutoka Uchafu unaonuka sana, kuwashwa Ukeni kwa ndani, maumivu wakati wa s*x chanzo ni nnjia hiyo ya chini yani va**na. Inaweza kuwa Vaginal candidiasis yani fungus, P.I.D, au hata vaginosis, ila siyo U.T.I

Una swali lolote kuhusiana na mambo ya uzazi na ungependa kujua namna ya kujitibia kwa kutumia vyakula, mazoezi na tiba?

🥦GCAT INTERNATIONAL ni hospital za kichina zinazopatikana karibu mikoa yote Tanzania. 🥥Tumebobea Katika TAFITI NA KUTIBU...
06/07/2025

🥦GCAT INTERNATIONAL ni hospital za kichina zinazopatikana karibu mikoa yote Tanzania.

🥥Tumebobea Katika TAFITI NA KUTIBU magonjwa YASIYOAMBUKIZA kwa njia ya VIRUTUBISHO MAALUM vinavyotokana na mimea ya asili. Ni hospital pekee nchini tanzania iliyojipambanua kupambana na magonjwa yasiyoambukiza.

🥭Usikubali kuendelea kuhangaika njoo tukusaidie na wala hatujaribu tunaweza amini tumesaidia wengi wenye matatizo k**a yako.

🥑KARIBU uKutane na Wataalamu waliobobea kwenye Masuala ya Matibabu Kutoka China.

🥕Mfano wa magonjwa yasiyoambukiza ni k**a vile:
✓ Matatizo ya Uzazi Kwa wanaume na Wanawake
√ Vidonda vya Tumbo na Typhoid sugu
√ Mifupa, Ganzi na Meno
√ Stroke au kupalalaizi.
√ Magonjwa ya Moyo na Figo
√ Bawasiri na Tezi Dume
√ Ngiri na Uvimbe aina zote
√ Matatizo ya Ngozi
√ KISUKARI, Presha ( BP), P.I.D, matatizo ya Macho N.K

Piga simu namba 0653 276 442 kupata huduma ya haraka

Tupo DAR ES SALAAM TEGETA KWA NDEVU KARIBU NA MSIKITI MKUBWA WA IJUMAA, MBEZI MWISHO, KIGAMBONI NA GONGO LA MBOTO.

PIA TUPO MIKOA YOTE TANZANIA

Bofya au gusa Link hapa chini ili kuwasiliana na dokta moja kwa moja

https://wa.me/message/Q2J6YEKPWDUEO1

Gcat Eternal Hospital

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya kwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya kwanza:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Practice
  • Claim ownership or report listing
  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share