Bawasiri Herbal Cure

Bawasiri Herbal Cure Karibu kwenye ukurasa huu kupata suluhisho la BAWASIRI bila upasuaji..!

21/11/2023

UNAPOKAA NA BAWASIRI KWA MUDA MREFU SANA INAWEZA KUKUSABABISHIA;

πŸ‘‰ Kansa ya utumbo mpana
πŸ‘‰ Upungufu mkubwa wa damu
πŸ‘‰ Uwezo wa tendo kupungua (kwa mwanaume)
πŸ‘‰ Mwili kudhoofika sana
πŸ‘‰ Kushindwa kuzuia haja kubwa
πŸ‘‰ Kupungua uwezekano wa kubeba ujauzito (kwa wanawake)
πŸ‘‰ Kuathirika kisaikolojia
πŸ‘‰ Kutokwa usaha sehemu ya haja kubwa

Hata hivyo moja ya kosa wanalolifanya wengi wanapohitaji kuondokana na changamoto ya bawasiri ni kutumia dawa kiholela pasipo kufahamu changamoto zao vizuri..!

Kituo cha afya cha GcatEternal Health Clinic kinakukaribisha kwenye vituo vyetu zaidi ya 15 Tanzania kwa ajili ya suluhisho la bawasiri ambapo;

1. Utapata nafasi ya kufanya vipimo sahihi vya mfumo wa chakula (Bawasiri ni changamoto ya mfumo wa chakula)

2. Matibabu sahihi kutokana na majibu ya vipimo utakavyovifanya kwani kila mwenye changamoto ya bawasiri ana chanzo cha ugonjwa wake tofauti na mwingine.

GcatEternal Health Clinic
0620657127

Ugonjwa wa bawasiri unatibika kabisaa na unapona kabisa.Usikate tamaa kwani wengi walioteseka na bawasiri wanapona kabis...
11/11/2023

Ugonjwa wa bawasiri unatibika kabisaa na unapona kabisa.

Usikate tamaa kwani wengi walioteseka na bawasiri wanapona kabisa pale wanafuata maelekezo na taratibu sahihi za kuondokana na changamoto hii.

Utaratibu sahihi wa kupona bawasiri unahusisha pia vipimo sahihi vya mfumo wa chakula.

Wasiliana nasi kupata suluhisho lako.

GcatEternal Health Clinic
0620657127

Watoto wadogo wengi hupata huu ugonjwa unaofanana na BAWASIRI unaoitwa RE**AL PROLAPSE ambapo inakuwa k**a nyama kubwa  ...
11/11/2023

Watoto wadogo wengi hupata huu ugonjwa unaofanana na BAWASIRI unaoitwa RE**AL PROLAPSE ambapo inakuwa k**a nyama kubwa hutoka sehemu ya haja kubwa.. ile huwa ni sehemu ya utumbo

Wengine husema mgongo unatoka

Lakini yote kwa yote nataka nikuambia hivi kwamba watoto wachache sana ambao kweli wanapatwa na bawasiri ila wengi hupatwa na RE**AL PROPALSE.

Ukimuona mtoto ana huu ugonjwa usisikilize ya watu sijui umpe dawa za bawasiri wala nini, mpeleke kwanza hospitali wakishachunguza na kugundua ni huu ugonjwa basi watamsaidia juu utumbo kurudi ndani

Msipende kusikiliza kila dawa na kuijaribia kwa watoto wenu. Mtoto ni tofauti na mkubwa.

Hakikisha mtoto wako unampa mlo sahihi kumuepusha na bawasiri, anywe maji mazuri na pia mpe mlo sahihi

K**a unasumbuliwa na changamoto ya bawasiri lipo suluhisho kwa ajili yako, wasiliana nasi kwa namba hizi hapa chini sasahivi;

GcatEternal Health Clinic
0620657127

Suluhisho la kudumu baada ya kutumia dawa za kuondoa changamoto ya bawasiri ni maisha yenye afya. Watu wengine wanaweza ...
04/11/2023

Suluhisho la kudumu baada ya kutumia dawa za kuondoa changamoto ya bawasiri ni maisha yenye afya.

Watu wengine wanaweza kuwa na bawasiri ya mara kwa mara hata baada ya kutumia dawa na kupona.

Hivyo basi ikiwa utafuata maisha ya afya na lishe, unaweza kujikinga na athari za bawasiri wakati wote

K**a bado unasumbuliwa na changamoto ya bawasiri na hujapata suluhisho wasiliana nasi hapa

Bawasiri Herbal Cure
0620657127

27/10/2023

WAAMBIE NA WENGINE KUWA UPASUAJI SIO NJIA PEKEE YA KUPONA BAWASIRI/MGOLO

Bawasiri/Mgolo ni kinyama chenye maumivu makali sana kinachojitokeza eneo la haja kubwa na inaweza kuwa ni ndani au nje.

Kuachana na sababu nyingine nyingi tatizo hili huanzia pia kwenye mfumo wa chakula na mara nyingi mfumo wako wa chakula usipotibiwa tatizo hili halitakuacha salama, litajirudia mara kwa mara.

Bawasiri/Mgolo ni tatizo linalowasumbua watu wengi sana kutokana na mifumo mibovu ya kimaisha iliyozoeleka na vyakula vibovu. Bawasiri/Mgolo huwa na dalili zifuatazo

πŸ‘‰ Maumivu makali wakati wa kutoa haja kubwa
πŸ‘‰ Kupata choo chenye damu
πŸ‘‰ Maumivu makali unapokaa kitako
πŸ‘‰ Kuwa na uvimbe unaoweza kuonekana kwenye njia ya haja kubwa
πŸ‘‰ Kuwashwa mara kwa mara (muwasho huwa mkali)

Bawasiri inaweza kusababishwa na;

βœ…οΈ Ngono kinyume na maumbile
βœ… Choo kigumu
βœ… Uzito kupindukia
βœ… Ujauzito
βœ… Kukaa kitako muda mrefu
βœ… Umri mkubwa sana
βœ…οΈ Kukaa chooni muda mrefu bila kutoa haja
βœ…οΈ Kunyanyua vitu vizito sana

Ipo hivi ikiwa bawasiri yako imesababishwa na choo kigumu hata ukifanyiwa upasuaji HUWEZI KUPONA SABABU kisababishi cha bawasiri hiyo ambacho ni CHOO KIGUMU hakijaondolewa!

GcatEternal Herbal Cure tunawasaidia watu wanaohangaika na bawasiri kwa muda mrefu kupona KWA NJIA SALAMA kabisa bila upasuaji wowote.

Fika kwenye vituo vyetu vya GcatEternal herbal cure vinavyopatikana kwenye zaidi ya mikoa 15+ Tanzania kwa;

βœ…οΈ Vipimo sahihi vya mfumo wa chakula (Mara nyingi Bawasiri ni tatizo linaloanzia kwenye mfumo wa chakula)

βœ…οΈ Matibabu ya kudumu ya BAWASIRI kwa kutibu kuanzia kwenye chanzo kuhakikisha unaondokana na bawasiri bila kujirudia tena! (Si kila mwenye bawasiri anatibiwa kwa njia ya aina moja visababishi vipo vingi tofauti tofauti)

Wasiliana nasi hapa chini πŸ‘‡
0620657127

AFYA YAKO NI KIPAUMBELE KWETU.!

UPASUAJI SIO NJIA PEKEE YA KUPONA BAWASIRIBawasiri/mgolo/Hemorrhoids  ni tatizo ambalo linasumbua watu sana.Watu wengi h...
27/10/2023

UPASUAJI SIO NJIA PEKEE YA KUPONA BAWASIRI

Bawasiri/mgolo/Hemorrhoids ni tatizo ambalo linasumbua watu sana.

Watu wengi hawajui k**a tatizo hili ni la mfumo wa chakula na mara nyingi mfumo wako wa chakula usipotibiwa tatizo hili halitakuacha salama, litajirudia mara kwa mara.

Bawasiri inaweza kuwa ya ndani au ya nje na inaweza kusababishwa na;

βœ… Choo kigumu
βœ… Uzito kupindukia
βœ… Ujauzito
βœ… Kukaa kitako muda mrefu
βœ… Umri mkubwa sana
βœ…οΈ Kukaa chooni muda mrefu bila kutoa haja
βœ…οΈ Kunyanyua vitu vizito sana

Ipo hivi ikiwa bawasiri yako imesababishwa na choo kigumu hata ukifanyiwa upasuaji HUWEZI KUPONA SABABU kisababishi cha bawasiri hiyo ambacho ni CHOO KIGUMU hakijaondolewa!

GcatEternal Health Clinic tuwasaidia watu wanaohangaika na bawasiri kwa muda mrefu kupona KWA NJIA SALAMA kabisa bila upasuaji wowote.

Fika kwenye vituo vyetu vya GcatEternal health clinic vinavyopatikana kwenye zaidi ya mikoa 15+ Tanzania kwa;

βœ…οΈ Vipimo sahihi vya mfumo wa chakula (Bawasiri ni tatizo linaloanzia kwenye mfumo wa chakula)

βœ…οΈ Matibabu ya kudumu ya BAWASIRI (Kwa kutibu kuanzia kwenye chanzo kuhakikisha unaondokana na bawasiri bila kujirudia tena!)

Wasiliana nasi hapa chini πŸ‘‡
0620657127

AFYA YAKO NI KIPAUMBELE KWETU.!

Maliza tatizo la bawasiri bila upasuajiBawasiri ni hali ya kuota kinyama kwenye njia ya haja kubwaKuna aina mbili za Baw...
27/10/2023

Maliza tatizo la bawasiri bila upasuaji

Bawasiri ni hali ya kuota kinyama kwenye njia ya haja kubwa

Kuna aina mbili za Bawasiri
Ya ndani na ya nje
Bawasiri kitaalamu huitwa (HEMORRHOIDS)

Dalili za Bawasiri
=Kupata choo kigumu k**a cha mbuzi
=Kuhisi miwasho kwenye njia ya haja kubwa
=Kuota kinyama sehemu ya haja kubwa
=Kuharisha
=Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
=Kupata choo chenye damu
=Kuvimba kwa mishipa ya njia ya haja kubwa

Madhara ya bawasiri
=Kupungukiwa damu
=Kushindwa kufanya shughuli zako
=Mishipa ya haja kubwa kuvimba

Ikiwa una dalili hizi fahamu kua una tatizo la Bawasiri
Njoo upate ushauri na matibabu utibu tatizo hili moja kwa moja

Dr. Ally Mshamu
0620657127

VISABABISHI/MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI1.πŸ–‡οΈ Uzito kupita kiasi(Overweight)2.πŸ–‡οΈ Ujauzito3.πŸ–‡οΈ Unywaji...
27/10/2023

VISABABISHI/MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI

1.πŸ–‡οΈ Uzito kupita kiasi(Overweight)
2.πŸ–‡οΈ Ujauzito
3.πŸ–‡οΈ Unywaji pombe
4.πŸ–‡οΈ Kukaa sana sehemu ngumu
5.πŸ–‡οΈ Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa.
6.πŸ–‡οΈKujisaidia Choo Kigumu.Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni:
-Vidonda vya TUMBO
-Ngiri/Hernia
-Ulaji duni
-Kuwa na acid mwingi tumboni
7.πŸ–‡οΈ Kula sana nyama nyekundu
8.πŸ–‡οΈ Presha ya kupanda
9.πŸ–‡οΈ Kula sana pilipili
10.πŸ–‡οΈ Kula udongo(Wajawazito na watoto wadogo)
11.πŸ–‡οΈ Kujisaidia kwenye vyoo vya kukaa
12.πŸ–‡οΈ Kuharisha kupita kiasi.
13.πŸ–‡οΈ Kufanyakaz ngumu/kunyanyua vitu vizito

Dr. Ally Mshamu
0620657127

AINA ZA BAWASIRI-Kuna aina 2 za Bawasiri k**a ifuatavyo:1⃣. BAWASIRI YA NJENi kuota kinyama sehemu ya nje ya haja kubwa ...
27/10/2023

AINA ZA BAWASIRI
-Kuna aina 2 za Bawasiri k**a ifuatavyo:

1⃣. BAWASIRI YA NJE
Ni kuota kinyama sehemu ya nje ya haja kubwa ambapo kinyama huwa nje hata k**a hujaenda kujisaidia haja kubwa.

2️⃣.BAWASIRI YA NDANI
Ni kuota kinyama sehemu ya ndani ya haja kubwa mara nyingi huambatana na maumivu makali na damu na kinyama hutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.

Dr. Ally Mshamu
0620657127

Address

Majumbasita
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bawasiri Herbal Cure posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram