Sam Nature

Sam Nature Kutokomeza Kisukari na Kuboresha Afya kiujumla kwa njia Asilia |
Mawasiliano +255621596614

Gundua chanzo, Tatua Tatizo

08/05/2026
Usitafute sababu nzuri ya kwanini uamue kuhalalisha kula kila kitu na unajua kabisa uko na magonjwa k**a Kisukari, Presh...
06/05/2026

Usitafute sababu nzuri ya kwanini uamue kuhalalisha kula kila kitu na unajua kabisa uko na magonjwa k**a Kisukari, Presha, Obesity (stop justifying)

Haijalishi ni changamoto za mazingira ya kazi, kipato, mazoea n.k Nature doesn't respond to you that way . Mwili Magonjwa yanaweza kukuchakaza vibaya sana bila kujali uzuri wa sababu yako. Tafuta njia, usitafute visingizio.
Magonjwa hayaitikii sababu zako yanaitikia lifestyle yako ya kila siku

06/05/2026

Je unajua hili? Anyway karibu kwenye program za Tokomeza Kisukari

04/05/2026

Aina 2 za Kisukari

Kwenye jamii yetu, changamoto haijaishia kwenye aina ya chakula ambavyo sio rafiki sana… bali pia namna tunavyokula👉 Wen...
04/05/2026

Kwenye jamii yetu, changamoto haijaishia kwenye aina ya chakula ambavyo sio rafiki sana… bali pia namna tunavyokula

👉 Wengi wanakula vyakula vyenye wanga na sukari nyingi

👉 Wanakula mara nyingi sana (Milo mingi) kuliko mwili unavyohitaji

Matokeo yake? Mwili unachoka polepole… na hapo ndipo tunaanza kuona:
Kisukari
Presha
Matatizo ya moyo
Obesity
Mvurugiko wa homoni n.k.

Ukweli ni huu: Hatuumwi ghafla… tunajenga magonjwa taratibu kupitia maamuzi ya kila siku.

Habari njema ni kwamba tunaweza kufanya mabadiliko ikiwa tutaamua kurudi kwenye asili.

Back to basics. Back to nature 💚

03/05/2026

Kujiunga na movement Tokomeza Kisukari comment neno START kwenda namba 0621596614

02/05/2026

Fahamu kuhusu ugonjwa wa Kisukari aina ya kwanza

02/05/2026

Hii ndio Insulin

02/05/2026

Fahamu kuhusu ugonjwa wa Kisukari

01/05/2026

Usilee Kisukari, Gundua Chanzo Tatua Tatizo

Address

Dar Es Salaam
255

Telephone

+255621596614

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sam Nature posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Sam Nature:

Share