Mkolwe

Mkolwe Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mkolwe, Dar es Salaam.

> 🌍 Mkolwe | SimuTatu TV
πŸ“Ί Education | Health | Stories | Business
πŸ“§ Email: simutatutv@gmail.com
▢️ YouTube: SimuTatu TV
πŸ“Έ IG:
πŸ”” Follow for ideas, knowledge & healthy living!

Maxi ni Yanga na Yanga ni Maxi….kijana ameongeza miaka miwili hadi 2027.Maxi is here to StayπŸ“ŒJe unaneno kwa Wananchi?
28/07/2025

Maxi ni Yanga na Yanga ni Maxi….kijana ameongeza miaka miwili hadi 2027.

Maxi is here to StayπŸ“Œ

Je unaneno kwa Wananchi?

The border between Cameroon πŸ‡¨πŸ‡² and Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬Wazee wa Masafa malefu
28/07/2025

The border between Cameroon πŸ‡¨πŸ‡² and Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬

Wazee wa Masafa malefu

πŸŸ₯⚽ TAARIFA KAMILI YA USAJILI:🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 π†πŽ! – Granit Xhaka atua Sunderland!Klabu ya Sunderland imefikia makubaliano rasmi...
28/07/2025

πŸŸ₯⚽ TAARIFA KAMILI YA USAJILI:

🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 π†πŽ! – Granit Xhaka atua Sunderland!

Klabu ya Sunderland imefikia makubaliano rasmi ya kumsajili kiungo mshambuliaji Granit Xhaka kutoka Bayer Leverkusen kwa ada ya uhamisho ya €20 milioni.

Mchezaji huyo mwenye uzoefu mkubwa barani Ulaya atatia saini mkataba wa miaka mitatu utakaomuweka Sunderland hadi Juni 2028.

πŸ’£ Xhaka anatarajiwa kusafiri leo kujiunga na Black Cats, akiweka historia mpya katika klabu hiyo inayotafuta kurudi kwenye ubora wa juu barani Ulaya.









28/07/2025

SIMBA SC WAJA KIVINGINE – KIBEGI CHA USAJILI CHATOKA KINA CHA BAHARI!

Simba SC wameamua kuvunja ukimya wao wa muda mrefu kwenye dirisha la usajili kwa mtindo wa kipekee na kisanii. Kupitia video waliyoachia, wameonyesha kibegi maalum cha usajili kikivuliwa kutoka kwenye kina cha bahari, wakisema kimewasili rasmi kwenye Idara ya Habari, tayari kwa kuachia vyuma vizito.

⚑ Kauli hii imechochea hisia mseto mitandaoni huku mashabiki wakisubiri kwa hamu kuona ni nyota gani watawasili Msimbazi!

---










🚨 DUKE ABUYA AONGEZA MIAKA MIWILI ZAIDI YANGAKuendelea kubaki na wananchiβœ…Amestahili!?
28/07/2025

🚨 DUKE ABUYA AONGEZA MIAKA MIWILI ZAIDI YANGA

Kuendelea kubaki na wananchiβœ…

Amestahili!?

🟒 RASMI: Abubakar Nizar Ajiunga na Young Africans SC! πŸ”°πŸ”₯Young African Sports Club (Yanga SC) leo imetambulisha rasmi mch...
27/07/2025

🟒 RASMI: Abubakar Nizar Ajiunga na Young Africans SC! πŸ”°πŸ”₯

Young African Sports Club (Yanga SC) leo imetambulisha rasmi mchezaji mpya Abubakar Nizar kuwa sehemu ya kikosi cha Wananchi!

πŸ‘‰πŸ½ Nizar, ambaye ni kiungo mwenye kipaji na maono makubwa uwanjani, sasa ni Mwananchi halali πŸ”°
Tunamtakia kila la heri katika safari hii mpya akiwa na timu kubwa zaidi Afrika Mashariki. Karibu Yanga SC, nyumba ya mafanikio na historia πŸ’šπŸ’›

🚨 JUST IN: Simba SC Wamfungulia Mazungumzo Mlinzi Kinda wa Taifa! 🦁πŸ”₯Simba Sports Club wameanza rasmi mazungumzo na Vedas...
27/07/2025

🚨 JUST IN: Simba SC Wamfungulia Mazungumzo Mlinzi Kinda wa Taifa! 🦁πŸ”₯

Simba Sports Club wameanza rasmi mazungumzo na Vedastus Paul Masinde (19), mlinzi wa kati wa timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 20 (Tanzania U20).

πŸ”Ή Masinde, ambaye aling’ara akiwa na kikosi cha Tanzania Military Academy (TMA), amevutia macho ya vigogo wa Ligi Kuu kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuongoza safu ya ulinzi.

πŸ”Έ Simba wanamhitaji kwa haraka, lakini si peke yao β€” Singida Fountain Gate FC na JKT Tanzania nao wako kwenye mbio za kuwania saini yake.

πŸ“ Kwa sasa bado ni hatua ya mazungumzo, lakini usajili wake unaweza kuamua mustakabali wa safu ya ulinzi ya Simba kwa miaka ijayo!

YANGA SC kwenye hatua za mwisho kumsajili Edmund Godfrey John! πŸ’₯πŸ’›πŸ’šπŸ”Ή Klabu ya Young Africans SC iko mbioni kukamilisha us...
27/07/2025

YANGA SC kwenye hatua za mwisho kumsajili Edmund Godfrey John! πŸ’₯πŸ’›πŸ’š

πŸ”Ή Klabu ya Young Africans SC iko mbioni kukamilisha usajili wa winga wa Singida FC, Edmund Godfrey John (miaka 22).

πŸ”Έ Nyota huyo aliyeibukia Geita Gold ameshakubali kujiunga na Wananchi. Kinachosubiriwa kwa sasa ni makubaliano rasmi kati ya Yanga na Singida FC ili dili likamilike.

⏳ Muda wowote kuanzia sasa, Edmund atakuwa sehemu ya kikosi cha Wananchi!

27/07/2025

🟒 WANANCHI OYEE!

YANGA SC inasema: "HAINA KUPOA!" πŸ’ͺπŸ’›πŸ’š
πŸ”₯ Wananchi, tukutane leo saa 7:30 Mchana β€” tukishuhudia historia, hamasa, na nguvu ya klabu pendwa ya taifa!

πŸ‘ŠπŸ½ Tuwemo wote... Tuwakilishe vizuri... Tuitikise Jangwani!
πŸ“Usikose β€” saa 7:30 mchana, Muda wa Watanzania!







πŸš΄β€β™‚οΈ NASA Yasaidia Wanariadha wa Tour de France Kupitia Teknolojia ya AngaWanariadha wa baiskeli katika mashindano makub...
26/07/2025

πŸš΄β€β™‚οΈ NASA Yasaidia Wanariadha wa Tour de France Kupitia Teknolojia ya Anga

Wanariadha wa baiskeli katika mashindano makubwa ya Tour de France wapo mbioni kumaliza mbio zao β€” na sasa, teknolojia ya NASA inaweza kuwa msaada mkubwa kwao kuvuka mstari wa mwisho kwa mafanikio!

πŸ”¬ Teknolojia hiyo ni materiali ya kudhibiti joto, ambayo awali ilibuniwa kwa ajili ya glovu za mavazi ya angani ya NASA, lakini sasa imebadilishwa kuwa mavazi maalum ya michezo (activewear) kwa wanariadha wanaokumbana na hali ngumu ya hewa katika mbio hizo.

🌑️ Mavazi hayo huweza kudhibiti joto la mwili, kusaidia kuhimili mazingira ya jua kali, mvua, na mabadiliko makali ya hali ya hewa β€” hali zinazowakumba waendesha baiskeli wa Tour de France.

πŸ“Œ Faida za Teknolojia hii:

Husaidia wanamichezo kudhibiti joto la mwili.

Inapunguza uchovu unaosababishwa na jua kali.

Imebuniwa kwa matumizi ya muda mrefu katika mazingira magumu.

Imeanzia kwenye utafiti wa angani, sasa inatumiwa duniani.

Young African sports club Yapewa pongezi na Raisi wa FFA
26/07/2025

Young African sports club
Yapewa pongezi na Raisi wa FFA

You asked for a Super Magician… we’ve signed him. 𝐖𝐀𝐋𝐄𝐓𝐄𝐄𝐄𝐄πŸ’ͺ🏽Lassine Kouma ni MwananchiπŸ”°
26/07/2025

You asked for a Super Magician… we’ve signed him. 𝐖𝐀𝐋𝐄𝐓𝐄𝐄𝐄𝐄πŸ’ͺ🏽

Lassine Kouma ni MwananchiπŸ”°









Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mkolwe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Mkolwe:

Share