Abite Nyumbani

Abite Nyumbani Get treated at your place of choice.

Heri ya Christmas kwako wewe mwanafamilia wa Abite. Furahia siku yako! β›„πŸŽ
25/12/2025

Heri ya Christmas kwako wewe mwanafamilia wa Abite.

Furahia siku yako! β›„πŸŽ

Umewahi kukimbia ghafla au kupiga mpira na kuhisi paja linakukata? Maumivu ya misuli ya paja ni jambo la kawaida kwa wan...
23/12/2025

Umewahi kukimbia ghafla au kupiga mpira na kuhisi paja linakukata?

Maumivu ya misuli ya paja ni jambo la kawaida kwa wanamichezo na hata watu wa kawaida.

Mara nyingi hutokea baada ya shughuli za ghafla k**a kukimbia kwa kasi, kuruka au kubadilisha mwelekeo bila maandalizi.

Pia yanaweza kutokea taratibu kutokana na uchovu wa misuli au mazoezi kupita kiasi.

Wakati mwingine, maumivu ya paja yanaweza kuashiria hali hatari k**a kuganda kwa damu (DVT) jambo ambalo huwa na maendeleo mabaya, hivyo chanzo kinapaswa kufahamika mapema ili kutatuliwa kwa wakati.

Soma zaidi makala kwa kutembelea tovuti yetu ya abitebrands.com/learn (link πŸ”— in bio)

Imeandikwa na: Estom Uvambe, Physiotherapist Officer.

We are officially celebrating our one-year anniversary at Abite Nyumbani. This journey wouldn’t be possible without the ...
19/12/2025

We are officially celebrating our one-year anniversary at Abite Nyumbani. This journey wouldn’t be possible without the trust and support of our incredible community.

As we step into Year 2, we’re more committed than ever to serving you.

Thank you for being part of our story!

Sikuizi vijiji vingi vina umeme, usiogope kumpelekea Bibi yako Heating pad ya umeme kwa kuhofia atashindwa kuitumia. Mae...
19/12/2025

Sikuizi vijiji vingi vina umeme, usiogope kumpelekea Bibi yako Heating pad ya umeme kwa kuhofia atashindwa kuitumia.

Maelezo ya dakika 5 tu atakua tayari msomi wa matumizi ya electric heating pad πŸ˜„πŸ’ͺ

Zinapatikana Abite Nyumbani kwa TZS 30,000 pekee.

Karibu!

Anza mazoezi yako ya hand recovery kwa Punguzo la 50%Kutoka 60,000/=mpaka 30,000/=Inapatikana Abite Nyumbani Marry Chris...
18/12/2025

Anza mazoezi yako ya hand recovery kwa Punguzo la 50%

Kutoka 60,000/=mpaka 30,000/=

Inapatikana Abite Nyumbani

Marry Christmas πŸŽ„ 🎁

Punguzo hili kutoka 25000/= mpaka 12500/= ni zawadi yetu kwako kwenye hii Christmas.Inapatikana Abite Nyumbani,Marry Chr...
18/12/2025

Punguzo hili kutoka 25000/= mpaka 12500/= ni zawadi yetu kwako kwenye hii Christmas.

Inapatikana Abite Nyumbani,

Marry Christmas β›„πŸŽ

Safiri salama, katika mazingira salama na mto salama wa shingo.Offer hii ni kwaajili ya Christmas.Kutoka 50,000/= mpaka ...
18/12/2025

Safiri salama, katika mazingira salama na mto salama wa shingo.

Offer hii ni kwaajili ya Christmas.

Kutoka 50,000/= mpaka 25,000/=

Inapatikana Abite Nyumbani!

Marry Christmas πŸŽ„

Jana, Disemba 3, ilikua siku ya walemavu duniani. Abite Nyumbani tungependa kukumbusha kuwa kupata ulemavu sio mwisho wa...
04/12/2025

Jana, Disemba 3, ilikua siku ya walemavu duniani.

Abite Nyumbani tungependa kukumbusha kuwa kupata ulemavu sio mwisho wa maisha uliyoyazoea, bali ni mwanzo wa maisha mapya yatakayosaidia wengine.

Usijifungie ndani. Usikae kimya. Usikate tamaa.

Kumbuka: Ulemavu si ukimya, ni mazungumzo.

Tuongee, tuelewane, tushirikiane.

Jamii inapokuwa na sauti zote, ndipo inakuwa kamili.

"Fanya & Usifanye" kwa Wagonjwa wa Kiharusi (part 2)
02/12/2025

"Fanya & Usifanye" kwa Wagonjwa wa Kiharusi (part 2)

02/12/2025

Elimika na Dr. Ansbert Mutashobya kutoka Abite Nyumbani.

"Fanya na Usifanye" kwa Wagonjwa wa Kiharusi.
02/12/2025

"Fanya na Usifanye" kwa Wagonjwa wa Kiharusi.

Address

Kimara S**a
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Abite Nyumbani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Abite Nyumbani:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram