
29/07/2025
βοΈ Mizani ya Moyo: Chakula, Mazoezi, Usingizi
𧬠Afya ya moyo hutegemea mambo matatu:
1οΈβ£ Lishe bora
2οΈβ£ Mazoezi ya mara kwa mara
3οΈβ£ Usingizi wa kutosha
π Kula viazi vitamu, tikiti maji, na korosho mara kwa mara.
π Cheza muziki wa polepole, pumua kwa kina na epuka msongo.
π Lala kabla ya saa sita usiku na uepuke skrini muda mrefu kabla ya kulala.
π Ongeza k**a sehemu ya mlo wako β husaidia kupunguza shinikizo la damu na kuimarisha moyo.
π² Inbox sasa au acha nambari yako ili upate ofa maalum ya 50% leo!