10/04/2025
*_VIDONDA VYA TUMBO - MWAMBA ANAYETUMALIZA KIMYA KIMYA_* .
K**a kuna ugonjwa uliopata umaalufu kwa miaka ya hivi karibuni basi ni Ugonjwa wa VIDONDA VYA TUMBO.
*
_*Basi Acha Uvivu wa Kusoma Upate njia Rahisi na Ya Haraka Ya Kuondokana na Hii Changamoto*_ 👇👇👇
*
Huu ni miongoni mwa magonjwa hatari yanayomaliza watu kimya kimya kwa sababu ya tabia zake za kumuanza mtu taaratibu na hatimae kufichuka ukiwa umesababisha madhara makubwa.
Ukiwa unajua au hujui, huu ni ugonjwa ambao huanza kuushambulia mfumo wa Mmeng'enyo wa chakula kidogo kidogo
Na hatimaye kufanya uharibifu mkubwa ikiwemo kusababisha kansa ya tumbo na hata vifo kabsa kwa wagonjwa.
Si ugonjwa wa kufumbia macho na kuendelea kuishi nao kabsa maana waliowengi waliendelea kuvumilia dalili zifuatazo na hatimaye huwezi amini leo hatunao tena.
_*NI ZIPI DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO* ?_
Kwa namna yoyote usiendelee kuvumilia dalili zifuatazo ambazo ni viashilia vya ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo.
1. Kukoswa hamu ya kula mara kwa mara.
2. Kuwa na dalili ya kuvimbiwa na kubeua mara kwa mara.
3. Kuhisi kuungua sehemu za tumbo la juu na hata kifuani ( kiungulia).
4. Kupata maumivu makali ya tumbo hasa kila baada ya masaa kadhaa ya kupata chakula.
5. Kupata choo kigumu na cheusi na wakati mwingine kinakuwa na harufu mbaya.
6. Kupata maumivu sehemu za mbavu na mgongo.
7. Mwili kuhisi kuchoka bila sababu.
8. Kupoteza uzito na kupungua mwili .
9. Kupata kichefu chefu na Kutapika mara baada kula.
10. Kuhisi kuwa na gasi tumboni na hata mpaka sehemu ya kifuani.
Piga 0755912740 kupata OFA ya matibabu. WhatsApp bonyeza link hii: https://wa.me/message/QKYRT5YPD4XBB1
*KIZURI ZAIDI* , pamoja na kwamba janga hili ni hatari lakini bado Kuna uwezekano wa kupona kabisa endapo utawahi kupata matibabu sahihi. Nirudie tena hapa "Ukipata matibabu sahihi."
Kumbuka ukiwa una vidonda vya tumbo unapoteza uwezo wa uyeyushaji wa chakula na ufyonzaji wa virutubisho muhimu kuingia mwilini. Kitu ambacho hupelekea mwili kukoswa virutusho muhimu na hata kudhoofika kwa mifumo mingine.
Hivyo tiba yako lazima ijikite katika kuupa mwili uwezo wa kuyeyusha chakula, kujenga na ulekibishaji mfumo wa kuzalisha Gesi na Acid ili kuzuia uharibifu wa kuta na kurudisha uwezo wa mwili kufyonza virutubisho mhimu.
_*JE TIBA YETU IPOJE KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO* ?_
Tunatoa tiba ya pekee na ya uhakika kwa wagonjwa wa vidonda vya tumbo kwa kutumia VIRUTUBISHO au dawa za tiba lishe.
Hizi ni dawa zisizokuwa na kemikali na zinatokana na mimea na madini mbalimbali ya Asili.
Ni tiba lishe zenye uwezo mkubwa wa kusafisha na kujenga sehemu za mwili zilizohalibika na si kutuliza ni kutibu kabisa changamoto ya vidonda vya tumbo.
**DAWA ZETU**
*Mosi* , Kwa miaka mingi sasa mmea Wa ALOE VERA umejulikana k**a mmea mama katika tiba ya magonjwa.
Hii ni kwa sababu ya utajiri wake wa viambata k**a vile Aloin, aloe polysaccharide, plant protein, vitamin A, vitamin B6 na vingine vingi.
Mchanganyiko huu wa vitamin huupa mwili uwezo wa kuyeyusha vyakula mbalimbali kwa urahisi na kuongeza HAMU YA KULA, kwa wanaokosa hamu ya kula.
Hivyo zipo dawa nzuri kabisa zilizo katika mfumo wa vidonge zinazotokana na mmea huu mama. Na zimekuwa mashuhuli kusaidia wathirika wengi wa vidonda vya tumbo,
Kutokana na uwezo dawa hii wa kupambana na bakteria wabaya katika mfumo wa Mmeng'enyo wa chakula huku ikiongeza virutubisho muhimu ndio maana imendelea kuwa bora zaidi na kuusaidia mwili kupata virutubisho muhimu.
*_Pili_* : Kwa kuwa ugonjwa huu hushambulia na kuharibu kabisa kuta za utumbo au tumbo kwa Tindikali na Gesi zinazozalishwa kwa wingi, basi kuna kila ulazima mgonjwa kupata dawa yenye uwezo wa kujenga vidonda vya ndani ya tumbo bila kuleta madhara.
Hivyo tunayo dawa inayotokana na asali ya nyuki wadogo weusi yenye virutubisho zaidi ya 120 Vya Flavoniods. Husaidia kuponyesha mifumo ya mwili iliyoharibiwa na maradhi kwa kuchochea mfumo wa kinga za mwili.
Hii ni dawa pekee yenye uwezo mkubwa wa kujenga kuta zilizohalibika na pia kurudusha utandu (layer) za tumbo zilotobolewa. Maana pasipo kufanya hivyo basi si rahisi kupona vidonda bali utakuwa unapooza kwa muda tu. Kitu ambacho ni hatari.
Pia dawa hizi zipo katika mfumo wa vidonge na zinatumika kwa muda mfupi na hazina usumbufu wowote katika matumizi.
*_Tatu_* ; Ikumbukwe kuwa kutokana na kuharibika kwa kuta na kujaa kwa gesi na tindikali kwa wingi tumboni,
hupelekea chakula kukaa kwa muda mrefu bila kumeng'enywa, kitu ambacho hupelekea kuongezeka kwa mgandamizo na kuzalishwa sumu mbalimbali (food toxins) zitokanazo na chakula zinazoendelea kuathiri mfumo mzima.
Hivyo tunayo dawa mashuhuli iliyo katika mfumo wa majani chai inayotokana na mimea ya asili k**a vile Gynstemma, Cassia seed,, na maganda ya matunda mbalimabali.
Hivyo mchanganyiko huo unaifanya hii kuwa dawa bora zaidi kutokea yenye uwezo wa kutoa sumu za vyakula ambazo k**a zitaendelea kubaki tumboni basi uponaji wa vidonda unaweza kuwa bado ni story tu kwako.
Kitu ambacho kinawafanya wengi kuendelea kuzunguka kwa muda mrefu na janga hili.
*_Nne_* ; bila kusahau ya kwamba changamoto hii huweza kuendana na uzalishwaji wa GESI na ACID kwa wingi tumboni.
Hivyo ni lazima pia upate kirutubisho dawa chenye uwezo wa kulekebisha mfumo wa uzalishwaji wa gesi na acid na ili uweze kupona kabsa na sio kupunguza makali ya Acid.
Hivyo kirutubisho dawa hicho chenye mchanganyiko wa Oligosaccharide ili kuwapa nguvu bacteria wazuri wa mwili na pia huwasaidia wasiopata choo na kuzuia tumbo la kuharisha kwa muda mrefu.
*_MSOMAJI WANGU_* ; K**a unaziona dalili moja wapo hapo juu au k**a umethibitisha ya kwamba unayo changamoto ya vidonda vya tumbo au Gesi na Acid Basi amini yakwamba huu ni muda sahihi wa kuondokana na changamoto hii.
*_TAFADHALI_* ; usiendelee kuvulia dalili za vidonda vya tumbo ni hatari sana maana ni wengi muno wanapoteza maisha kwa kuendelea kuvumilia janga hili kwa kuwa mara nyingi huwa na maumivu ya kuibuka na kupoa.
Bila kujua hapo huendelea kusaga sehemu yako ya mwili, kitu ambacho hupelekea kuwa na hali mbaya zaidi na ni hatari zaidi.
Piga 0755912740 kupata OFA ya matibabu. WhatsApp bonyeza link hii: https://wa.me/message/QKYRT5YPD4XBB1
*_MSOMAJI WANGU_* , usiwe mvivu jifunze kitu hapa.
Kabla hatujaangalia ni vitu gani husababisha vidonda ni vyema pia kujua ni mazingira/ vitu gani uzingatie ili kuepukana kupunguza athari za janga hili.
Vidonda vya tumbo kwa kiasi kikubwa ni ugonjwa unaotokana na maambukizi ya bacteria wajulikanao k**a Helicobacter wenye uwezo wa kuishi ndani ya tumbo la binadam pia vidonda hutokea kwa sababu ya mfumo mbaya wa ulaji wa vyakula.
Mambo yafuatayo yatakusaidia kuepuka au kupunguza athari za vidonda vya tumbo k**a ukiyafata katika mfumo wako wa ulaji.
1. Kuzingatia muda kupata chakula, jitahidi kuwa na ratiba maalum ya kupata chakula ili kuzuia uzalishaji wa acid kwenye utumbo mtupu na kuendelea kulika.
2. Hakikisha kila mlo wako unakuwa na mboga za majani.
3. Jenga tabia ya kunywa maji mengi ili ikusaidie katika hatua za uyeyushaji wa chakula kwa wakati.
4. Jitahidi kutumia matunda kwa wingi na hasa yale yenye nyuzinyuzi k**a vile machungwa, maembe n.k
5. Usipende kupuuza dalili za ugonjwa huu na kuishi nao, chukua hatua ya kumuona daktari mapema.
6. Epuka matumizi horera ya dawa za maumivu.
7. Epuka matumizi ya pombe kali wakati ambao hujala kitu.
8. Epuka kupendelea matumizi ya vyakula vyenye tindikali kwa wingi.
Pamoja na mengine mengi ni muhimu sana kujiepusha na mambo yaliyo orodheshwa hapo juu ili kuendelea kulinda afya au kupunguza athari za vidonda vya tumbo.
Hili ni somo endelevu ili kuhakikisha tunapambana na magonjwa sungu yanayotumaliza kimyakimya na pia jitayalishe kupata elimu ya magonjwa mengine zaidi....
Piga 0755912740 kupata OFA ya matibabu. WhatsApp bonyeza link hii: https://wa.me/message/QKYRT5YPD4XBB1