Happiness Massage Services

Happiness Massage Services Happiness Massage Services ni Watoaji wa huduma bora za Massage Dar es Salaam.Tunapatikana Lamada Hotel, ILALA.

07/07/2025
26/04/2025

   #2025
01/01/2025

#2025

TUPO WAZI, KARIBU TUKUHUDUMIE 0715343161
09/12/2024

TUPO WAZI, KARIBU TUKUHUDUMIE 0715343161


17/11/2024

FAIDA 20 ZA MASSAGE KATIKA MWILI1 Massage inaboresha afya ya ngozi.2.Massage hufungua mishipa ya fahamu na kuongeza uwez...
31/10/2024

FAIDA 20 ZA MASSAGE KATIKA MWILI
1 Massage inaboresha afya ya ngozi.

2.Massage hufungua mishipa ya fahamu na kuongeza uwezo wa kufikiri.

3. Massage husafisha ngozi na kuboresha mfumo wa utoaji takamwili.

4. Massage inaondoa kovu la jeraha.

5. Massage husaidia kupona kwa wenye mivunjiko ya viungo au mifupa.

6. Massage huondoa uchovu wa mwili na kukosa usingizi.

7. Massage huzuia kansa ya ngozi na tishu.

8. Massage huzuia Saratani ya Matiti.

9. Massage huondoa maumivu ya wakati wa hedhi.

10. Massage huboresha mmeng'enyo wa chakula na kuzuia Constipation (choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu).

11. Massage hupunguza maumivu ya uchungu kwa wamama wajawazito.

12. Massage huondoa uchovu na kuvimba kwa miguu kwa wamama wajawazito.

13. Massage huimarisha mifupa kwa kuchochea ufyonzwaji wa Madini ya Kalsiam(Calcium) na Fosforas.

14. Massage huboresha mzunguko wa damu mwilini.

15. Massage husaidia kuondoa maumivu ya misuli na majeraha.

16. Massage huchochea ufanyaji kazi wa homoni mwilini.

17. Massage huzuia Stroke/ kiharusi.

18. Massage inasaidia sana kwa wazee kuimarisha misuli na kuwapa nguvu ya kutembea.

19. Massage huondoa maumivu ya chini ya mgongo.

20. Massage husaidia kuboresha mfumo wa maji mwilini (lymphatic system)

Tunapatikana Lamada Hotel, Ilala Dar Es Salaam.
0787 343 161
0756 343 161

Happiness Massage Tunaboresha Afya yako na kurejesha Furaha yako.

FAIDA ZA KUFANYIWA BODY SCRUBZifuatazo Ni Faida Za Huduma ya Body Scrub inayotolewa na Wataalamu Wetu wa Happiness Massa...
28/10/2024

FAIDA ZA KUFANYIWA BODY SCRUB

Zifuatazo Ni Faida Za Huduma ya Body Scrub inayotolewa na Wataalamu Wetu wa Happiness Massage.

1. Huboresha afya ya ngozi kwa ujumla.

2. Huondoa mikunjo ya ngozi na kupunguza kasi ya kuzeeka.

3. Hutibu chunusi na madoa katika ngozi.

4. Hukinga ngozi dhidi ya maambukizi ya fangasi na bakteria.

5. Ni kinga dhidi ya uvimbe katika ngozi.

6. Hukinga ngozi kutokana na saratani.

7. Huondoa mikunjo kwa watu wanene (cellulite).
8. Scrub yetu Inang'arisha Ngozi.

WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA: 0756343161

Happiness Massage, Tunarejesha Furaha Yako.

# daressalaam

Address

Kinondoni

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Happiness Massage Services posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Happiness Massage Services:

Share