28/06/2024
*FAIDA ZA NDIZI KWA MWANAUME*
ni tunda linalopendwa na watu wengi sana kwenye jamii ya watanzania lakini je unajua ndizi zinaweza kukusaidia mwanaume kwenye shughuli za ndoa na kutimiza majukumu yako ya uwamaume vizuri kwa mke wako au mwenzi wako *leo tutazame faida tatu za ndizi kwa wamaume wenye sehemu ya mahusiano.
1.Ndizi Ni Chanzo Kikubwa Cha Nguvu Mwilini.
Ndizi mbivu *zina kiwango kizuri cha Glucose* ambayo huingia kwenye damu moja kwa moja na kuleta *msisimuko na kuongeza utendaji wa kazi wa mwilini* si unasikia wachezaji wanaambiwa wabugie Glucose kwenye kipindi cha mapunziko sasa ndizi ni glucose salama zaidi tena sio glucose pekee na faida zingine kibao
2.Ndizi ina madini kiasi kikubwa Cha Potassium
Mtu mwenye kisukari (BP) uwezo wake wa kucheza mechi kitandani unakuwa mdogo basi *ndizi ina madini ya potassium* ambayo yanasaidia *kurekebisha kiwango cha sukari mwilini
3.Ndizi husaidia Mfumo wa Mmengenyo wa Chakula
Unajua kitambi kinasababishwa na nini?
kitambi husababishwa na *wingi wa mafuta* ambayo yapo mwilini yameshindwa kuchanganywa vizuri na mfumo wa mmengenyo sasa sikia *ndizi inasaidia mfumo wa chakula kufanya kazi yake vizuri na kwa haraka* sasa unapokula ndizi inaenda *kuongeza nguvu kwenye mfumo huu na mafuta ambayo yanashindwa kutumika mwilini yatatumika kwa kiasi kwenye mfumo huu* hivyo kukusaidia kwenye *mambo ya kitandani*
4:Ndizi mbivu ina kimeng’enyo cha Bromelain ambacho husaidia kuongeza nguvu za kiume na ashki ya mapenzi (libido)*
5:Tunda hili pia lina vitamin B kwa wingi ambavyo husaidia kuamsha hamu ya tendo la ndoa na uzalishwaji wa homoni wa kiume ijulikanayo k**a testosterone.
*USHAURI*
Mwanaume *unashauriwa kula angalau ndizi mbivu 2 mpaka 3 kila siku* ili kusaidia kujenga uimara wa misuli ya uume na kuongeza ufanisi katika tendo la ndoa.
*ZINGATIA*👇
*Hizo ni faida kuu za ndizi mwilini lakini haimanishi kuwa ukila ndizi mchana usiku wake mambo yatabadilika ni swala la muda na mazoea pia usisahau maz