AFYA CARE DISP

AFYA CARE DISP PRIVATE HEALTH FACILITY FOR MEDICAL PRACTICE

21/03/2015

Ugumba ni hali ambayo mwanaume na mwanamke wapo kwenye mahusiano ya kutafuta uauzito kwa mwaka mmoja na tendo la ndoa linafanyika kikamilifu lakini hakuna ujauzito. Tendo la ndoa kufanyika kikamilifu ni pale wakati yai linapevuka. Zipo sababu za ugumba kwa mwanamke na mwanaume ambazo zinzpatikana ktk maisha yetu ya kilasiku. Endelea kufuatilia page hii.

08/08/2013

Nilifanikiwa kutembelea maonyesho ya sabasaba hapa Dar na nanenane kule Dodoma. Nimegundua asilimia kubwa ya wajasiliamali wanaotengeneza dawa za asili wanauza dawa za kuongeza nguvu za kiume. Je wamefanya utafiti kugundua tatizo hilo lina ukubwa kiasi gani? Au ni mbinu ya kuvuna pesa tu? Kwani wasitafute dawa za asili za kuuwa mbu na inzi? Yapo maeneo mengi ambayo wajasiliamali wanaweza kujikita badala ya kutengeneza dawa za kutumiwa na binadamu ambazo wanaziuza bila kufanyiwa utafiti wa kisayansi maabara na kuthibitishwa na vyombo vyenye mamlaka k**a TFDA. Tuwe waangalifu jamani tunauana wenyewe kwa wenyewe taratibu.

21/07/2013

Kwa mujibu wa ofisi ya mkemia mkuu wa serikali Tanzania,karibu idadi kubwa ya wazazi wanalea watoto wawenzao. Asilimia 48.32 wazazi wamebakiwa. Hii ni kutokana na majibu ya DNA. Hapa ni lazima kutafuta chanzo ni nini kwakuwa idadi ni kubwa . Aidha wanabadilishwa baada ya mama kujifungua au wakati gani? Au akina baba wanachomekewa? Au inakuwaje? Kuwa na takwimu tu haitoshi. Kwahiyo mkemia mkuu amemwaga data na taasisi nyingine tuanze kufanya utafiti. Huenda kuna biashara ya watoto inaendelea chini chini.

20/07/2013

LOCATION: TUPO MBEZI KWA MSUGURI MOROGORO ROAD.
MOBILE: 0713 350 084, Dar Es Salaam.

Address

Mbezi Kwa Msuguri (DR CHALE CLINIC), Morogoro Road
Dar Es Salaam

Telephone

0713350084

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA CARE DISP posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AFYA CARE DISP:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram